Mbaraka Mwinshehe Paka Akitoka Panya Hutawala

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 16

  • @AthumaniFNgoma
    @AthumaniFNgoma Рік тому +11

    Napenda instrument zake nasikia nyanga hizo , wanatumia ala za upepo nao wanarindima kweli kweli aliesikia aweke likes hapa

  • @bensonmangenge8436
    @bensonmangenge8436 Рік тому +2

    Huyu alikuwa chuma ya kazi nyimbo zenye mafunzo,lala pema ndugu,tunakulilia,Amen.

  • @ogetoj6245
    @ogetoj6245 10 місяців тому +1

    Nyimbo za zama zadunda vilivyo. Hamu tele kwa kutuliza roho. Pumuzika kwa utulivu gwinji wa mziki. Dr. Ogeto International

  • @mashabirya9094
    @mashabirya9094 Рік тому +9

    Mungu akuweke pahali pema mbaraka nyimbo zako hazitasahaulika milele

  • @epawekati5459
    @epawekati5459 11 місяців тому +1

    Nazipenda nyimbo zake sana.

  • @MWARUNGUKALIMBOMWANDOE
    @MWARUNGUKALIMBOMWANDOE Рік тому +3

    Hamna atakae mufikia marehemu mbarak mwinshehe kwa ustadi wake wa kutunga nyimbo zenye jumbe muhimu na zilizo jaa mafundisho mazuri na ushauri mzuri tele. Mungu azidi kumuweka mahali pema kwenye wema peponi .

  • @SamwelEdward-on7if
    @SamwelEdward-on7if 4 місяці тому

    Hizi nyimbo mbaraka mwishehe nikisililiza nankumbuka. Baba yangu ambae sasa ni marehem alikuwa anapenda sana kuziimba

  • @johnswale7001
    @johnswale7001 2 місяці тому

    Safi sana

  • @mbaturia
    @mbaturia Рік тому +4

    Mziki wenye mpangilio kamili

  • @dominicmusembi7475
    @dominicmusembi7475 Рік тому +1

    Old is gold.

  • @AggreyInina
    @AggreyInina 6 місяців тому

    Napenda ngoma lala salama mwarugha

  • @terrywachuka8713
    @terrywachuka8713 4 місяці тому

    Na mpeda sana nikiwa mdogo

  • @osororay
    @osororay Рік тому +4

    kweli huyu gwiji ndio "Franco Luambo wa East Africa".. endelea kulala pema peponi

  • @MeshackOwino-t8d
    @MeshackOwino-t8d 10 місяців тому

    when men were men music yenyewe sauti kama nira

  • @vanscarkulanga838
    @vanscarkulanga838 8 місяців тому

    THOSE OLD GOOD DAYS WHEN MUSIC TALENTED MEN WERE REAL. NOWADAYS YOU LONG FOR SUCH BUT MUSICIANS CAN'T PLAY EVEN A GUITAR "SHAME ON THEM"

  • @jonathanchepkwony5503
    @jonathanchepkwony5503 8 місяців тому +2

    Rest in peace bro