Kwenye hili la yanga na kagoma naomba viongozi wetu wa yanga katika hili sisi mashabiki na wanachama wa yanga hatuitaji kuombwa msamaha atuitaji busara bali tu aitaji sheria ziwajibike, kero masimango kejeli tunaoumia n sisi mashabiki uku mtaani hvyo tunaomba tutendewe viongozi wetu wasichekeshe katika hili.
Kagoma atacheza tu hakuna mbwa wowote wa kumzuia asicheze labda kocha tu asimpange kwa matakwa yake kutokana na aina ya mechi ila sisi hatutishwi na kelele za utopolo hata siku moja pigen kelele kama kama mnautaka
Na kipindi hicho mwezi wa 4 2024 yanga mlikuwa mumefungiwa kusajili na Fifa sasa mlifanya kosa kumsajili Kagoma wakati mlikuwa kifungoni nakumbuka June ndio mumefunguliwa baada ya kulipa fain
Ally kamwe Mwanaume wakisawa sawa haongei akirusha mikono nakushabikia kikike kike kama hivyo sasa unaendelea kututia wasi wasi ndio maana mke alikimbia na hutaki kuoa inaonekana njongoo labda halipandi mtungi ndo maana hata bishana yako hapo yakijinsia ya upande wapili na muonekano wako si bishana yakirijali kabisa
Tunapoelekea hili swala halileti picha nzuri kwa afya ya mpira wa Tanzania na haswa ukizingatia vilabu viwili vyenye mgogoro vinashiriki michuano ya caf.
Na Andawile alipatikana vipi kanarukaruka kama maharage jikoni. Deni lenu la muda mrefu lakibabage ilibidi lilipwe mnamtumia muda mrefu bila kulipa ilibidi wakutege ndio ulipe?. Nà it huyo Andabwile ulilipa lini au ulitaka kurukaruka tena?. Safari hii utasema viziri tu .
Oneni aibu sana kutamka hicho kiasi ni kidogo mno. Hakika Nimeyaamini saana na maneno ya semaji Ahmed Ally jamani utopoloni hakuna hela. Ni wanyonyaji wakubwa kabisa hamfaii hata kwa dawa yaaani mil.30 misimu 3 !!!??
Unapo sema Hela ndogo Unakosea walio tamka na Singida walisema wanataka kiasi hicho bei ya Mchezaji hutegemea na Ubora wake na hizo pesa walio hitaji Singida Mchezaji naye alikuwa na yake na timu jinsi unavyo jibrand ndivyo soko litakuwa kubwa
Waandishi mnagombezwa kama watoto wadogo na huyo dogo sisi hawatuwezi safari hii ubaya ubwela tu leseni ya kucheza katoa nani unakuja na mihemko ahmed ally upo wapi njoo upige kichwani kuna kajitu bado kanapumua huku halafu huyu dogo kama kabadilika hivi anavimba sana kawa na dharau sana
Wanajitia videole hawa halfu wakinukishana wenyewe tafteni mwanasheria hapo hamn mwanasheria hajuii llt wala hakuna mtakacho kipata msicheze na Simba ile ni kilabu ya mpria sio kikundi cha machizi km nyny
Kuna usajili na mikataba..suala la usajili ni la club kusajili wachezaji kwenye mfumo na kusaini mikataba ni suala la mchezaji na club pia club na club
Moja kati ya kiongozi mmoja mkubwa wa mpira alishawahi kusema "mpira hauchezwi uwanjani tu Bali unaanza njee ya uwanja," hvyo hii kauli inanifanya niamini ishu ya Kagoma n mbinu iliyotumiwa na rahis wa yanga kumsainisha Kagoma mkataba kmya kmya Kisha kumwambia kasaini Simba alafu ukishacheza ndio tutautangaza mkataba wetu na wewe na hapo ndipo Simba watakatwa pwent ambazo tiar itakuwa n advantage kwao yanga kuanza kutengeneza gepu la pwent na mshindani wake wa karibu. ndivyo ilivyokuwa kwahyo tunarudi na kusema kuwa hersi n mtu atar Sana haswa kwenye kusaka ushindi wa nje ya uwanjaa
Safiiii wananchiiii daima mbele nyuma mwikooooo🎉🎉🎉
😅😅😅😅😂😂😂😂😂kwa lipi
Excellent 🔥🔥🔥🔥🔥
💚💛💚💛💛💚tuko pamoja pesa lazima itokee
Kwenye hili la yanga na kagoma naomba viongozi wetu wa yanga katika hili sisi mashabiki na wanachama wa yanga hatuitaji kuombwa msamaha atuitaji busara bali tu aitaji sheria ziwajibike, kero masimango kejeli tunaoumia n sisi mashabiki uku mtaani hvyo tunaomba tutendewe viongozi wetu wasichekeshe katika hili.
Walipewa nafasi ya kuyamaliza ndio maana hakutambulishwa ila walivyoona kimya wakajua yameisha.
wakikatwa point waje waanze kulialia simba mrudisheni kagoma halaka sana jangwani tena kesho saa 2 asubuhi
huy Ally Kamwe akachekiwe akil pengin ana tatizo la afya ya akil
ukiskiliz kw mkin utajua kua yanga ni mazomb hawajajua wap walipokosea
yanga mnajidhalilish kw kwel😂😂😂😂😂😂
ubaya ubwela unaanz kufny kaz
simba nguv moja❤❤❤❤❤❤❤❤
Kwahyo wata nyang'anywa point 😅😅😅
Hayo mnaweza kujisumulia wenyewe 😂😂😂 sasa anashtakiwa mcheza au timu iliyouza, hiyo mikataba mlikaanayo chumbani
Kagoma atacheza tu hakuna mbwa wowote wa kumzuia asicheze labda kocha tu asimpange kwa matakwa yake kutokana na aina ya mechi ila sisi hatutishwi na kelele za utopolo hata siku moja pigen kelele kama kama mnautaka
Fuata Sheria kwanza kabla ya kusema wanashiriki CAF, ujinga usiruhusiwe kuendelea! Yaani wakizembea ikafika CAF kuna mtu atashushwa daraja!
Mumkumbushe mwanasheria wao hajawahi kushinda kesi yoyote kuhusiana na wachezaji😅😅😂
Simba Wanyang`anywe kwanza point hapo sasa ndio twanze kuzungumzia kesi sasa.
Mnateseka
Na kipindi hicho mwezi wa 4 2024 yanga mlikuwa mumefungiwa kusajili na Fifa sasa mlifanya kosa kumsajili Kagoma wakati mlikuwa kifungoni nakumbuka June ndio mumefunguliwa baada ya kulipa fain
Naombeni acheni kusamehe kilahisi mimi mwanachana huyu awe mfano kwa wengine
Kwani kibali kapewa acheze timu gan?
Nakupa tuu taarifa...kagoma jumapili anacheza jumapili anacheza we maharage tuuu 😂😂
mshatakiwa namba moja ni Fountain gate sio mchezaji hapo wamezingua hio kesi hawatoboi
Safi sana waandish wakuda umbea tu hawataki kuumiza vichawa kufanya vitu vya msingi wanasubiri vyakutafunwa wao wameze tu
Tushalipa sana ela za adhabu kama kagoma kagoma kustop kutumikia mchezo basi nasisi wasitupige faini kuku ao
Anaomba msaada anasema Hela za wanachama
kama mko serious vile kumbe mavi matupu
Ally kamwe Mwanaume wakisawa sawa haongei akirusha mikono nakushabikia kikike kike kama hivyo sasa unaendelea kututia wasi wasi ndio maana mke alikimbia na hutaki kuoa inaonekana njongoo labda halipandi mtungi ndo maana hata bishana yako hapo yakijinsia ya upande wapili na muonekano wako si bishana yakirijali kabisa
Kwanza kuna mkataba wa miezi 3? Kama sio mwaka mmoja au miwili na kuendelea
yanga tunachojua mlimsajili mzee magoma na Sio yusuphu kagoma naomba tuelewane
😅😅😅😅😅😅 kabisa. Aiseee
sasa Ilê saii ni ya babayako?😮
@@moiseszacariasmoisesmoises yaaani wewe mbwa na hizo mbwa nyenzako mtapata tabu sana na hiyo saini ni ya babu yenu mpili
We mjinga2 hujitambui
Hata shilingi aipo wee Kaa ukadanganye watu mtaambulia vuzi tupo wote
Siku ya mwananchi yanga haikumtambulisha kagoma .imeiga kwa simba manula na kibu mtanzania mpya .
Wachambuzi wa bongo jambo wakifanya simba wanakaa kimya ila ingekua lipo kwa yanga ungewasikia wanavosema vibaya
Kweli hii Tim ya yanga ni vichaa akuna wakukuomba msamaa mweu ww
Tunapoelekea hili swala halileti picha nzuri kwa afya ya mpira wa Tanzania na haswa ukizingatia vilabu viwili vyenye mgogoro vinashiriki michuano ya caf.
Utajua wewe
Subiri dawa ikuingie
Na kwer mnapga kelele
Hivi aya majina ya goma goma yana shida gani ya yanga, ukienda kule mara mzee magoma ukija uku mala kagoma shenziiii, wafundisheni adabu hao
Hatunaga jambo dogo sisi
Na Andawile alipatikana vipi kanarukaruka kama maharage jikoni. Deni lenu la muda mrefu lakibabage ilibidi lilipwe mnamtumia muda mrefu bila kulipa ilibidi wakutege ndio ulipe?. Nà it huyo Andabwile ulilipa lini au ulitaka kurukaruka tena?. Safari hii utasema viziri tu .
Oneni aibu sana kutamka hicho kiasi ni kidogo mno. Hakika Nimeyaamini saana na maneno ya semaji Ahmed Ally jamani utopoloni hakuna hela. Ni wanyonyaji wakubwa kabisa hamfaii hata kwa dawa yaaani mil.30 misimu 3 !!!??
We unayo
Unapo sema Hela ndogo
Unakosea walio tamka na Singida walisema wanataka kiasi hicho bei ya Mchezaji hutegemea na Ubora wake na hizo pesa walio hitaji Singida Mchezaji naye alikuwa na yake na timu jinsi unavyo jibrand ndivyo soko litakuwa kubwa
Lengo letu sio mchezaji wala pesa lengo tuwatie adabu nyie makolokwinyo
Tuko nae na tunatamba nae 😂😂😂
Kombe halifunikwi mwanaharamu hapitiiii
Acha kulisha watu matango pori
Nyie wenyewe mandezi,
Mtoto kautaka😂😂😂😅
Tumebaini kumbe yanga wapigaji
Ndio mdaiane wenyewe,simba wamekosea wapi
Mikataba ni siri usiwape waandishi
Msemaji wa yanga n tapeli kabisa
Naona kama muda unatumiwa vibaya
YANI YANGA NI UTOPOLO....MSHITAKIWA NI FOUNTAIN GATE
Sasa wew akili huna kumbe kwan kagoma hakusaini mkataba ama yeye pia si alisaini mktaba ama
Uyo mwanashelia mwenyewe akilizake kamaww kwaiyo mc24c cc 2ungane na nyie ulofawenuwenyewe
Kagoma ni mtoto wa Mzee magoma mbuzi issa
Waandishi mnagombezwa kama watoto wadogo na huyo dogo sisi hawatuwezi safari hii ubaya ubwela tu leseni ya kucheza katoa nani unakuja na mihemko ahmed ally upo wapi njoo upige kichwani kuna kajitu bado kanapumua huku halafu huyu dogo kama kabadilika hivi anavimba sana kawa na dharau sana
Ww unaelekea kuwa mwehu
3:12
Nonsense
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Imekuwa 60 tena wakati kwa kibabage mlikuwa na deni la million 30😂😂
sas si wawil hapo unaon kibabage 30 na kagoma 30
Wanajitia videole hawa halfu wakinukishana wenyewe tafteni mwanasheria hapo hamn mwanasheria hajuii llt wala hakuna mtakacho kipata msicheze na Simba ile ni kilabu ya mpria sio kikundi cha machizi km nyny
Yanga sasa mnatuchamfanya. Kama mlimsajili kwenye siku ya Mwananchi mbona hakutangazwa? Na je, kwenye majina yaliyiko CUF jina lake limo kwa Yanga?
wewe usiwe kama pungu pungu wa akili,Au kiswaili kinakupiga chenga?chizi wewe😮
Kuna usajili na mikataba..suala la usajili ni la club kusajili wachezaji kwenye mfumo na kusaini mikataba ni suala la mchezaji na club pia club na club
Ally kamwe acha utoto wewee
Mdai kilabu sio mchezaji yanga kweli wajinga namtaaibika. Kweli nyinyi wajinga kama alivyo waita manara kubwa jinga. Wote
Moja kati ya kiongozi mmoja mkubwa wa mpira alishawahi kusema "mpira hauchezwi uwanjani tu Bali unaanza njee ya uwanja," hvyo hii kauli inanifanya niamini ishu ya Kagoma n mbinu iliyotumiwa na rahis wa yanga kumsainisha Kagoma mkataba kmya kmya Kisha kumwambia kasaini Simba alafu ukishacheza ndio tutautangaza mkataba wetu na wewe na hapo ndipo Simba watakatwa pwent ambazo tiar itakuwa n advantage kwao yanga kuanza kutengeneza gepu la pwent na mshindani wake wa karibu.
ndivyo ilivyokuwa kwahyo tunarudi na kusema kuwa hersi n mtu atar Sana haswa kwenye kusaka ushindi wa nje ya uwanjaa
TFF hawakuwapa Simba kibali Cha kumtumia Kagoma?
Ndg ongea ki mpira ,vibari vya mchezaji ili akaitumikie timu nyingine anatoa nani? Elewa hilo.pili vibali viwili havitolewi kwa mchezaji mmoja
Hiyo hadithi kamsimulie mkweo
Wajinga ndio waliwao inamaana Ally ujui
Ally kamwe nikuma 2
Unamtukania nini unayo nyumbani unaichezea lakini mwenzio anaingiza hela na laana yako
simba mtateseka sana inafikia matusi kwa sababu ya ushabiki mbwa mmoja wewe
@@listonjiwe3467 et jamani