Cheki kwanza vyenye wana imba smart sana tena kiunyenyekevu na bila hata maringo Lakini pia nyi mabo zao siko na ujumbe pia mbarikiwe sana kwa hakika ❤❤❤❤
Song Lyrics 1.Kama mti wa mtende uotapo jangwani, jangwani Dhoruba ivumapo bado mti huwa imara. X2 Yesu alipoingia Yerusalemu walimlaki kwa matawi ya mitende ee mitende wakionesha ushindi x2 Chorus Kama vile vile mtende ndivyo nasi twapaswa kusimama katikati ya majaribu tukiwa pamoja naye Yesu. Tutatembea popote tukiwa na Yesu ni Salama Ndiye rafiki wa kweli ushindi wetu hakika kwa Yesu. X2 2. Wewe hu pekee yako jangwani jangwani, Dhoruba itavuma jangwani jangwani Wala usiogope jangwani, jangwani Utashikwa mkono, na Yesu Jangwani x2 Chorus Kama vile vile mtende ndivyo nasi twapaswa kusimama katikati ya majaribu tukiwa pamoja naye Yesu. Tutatembea popote tukiwa na Yesu ni Salama Ndiye rafiki wa kweli ushindi wetu hakika kwa Yesu. X4
Big up sana
I have been coming back to this song everyday for the last three months. A True Blessing indeed
Mbarikiwe sana ndugu zangu katika imani!! Nyimbo zenu zinanibariki sana na zina ujumbe mzuri na mzito kweli kweli
My God , I listen to this 24 hours . May God bless you all ❤❤❤❤❤❤❤❤
MUNGU AWABARIKI INJILI IENDELEE KUHUBIRIWA DUNIANI KOTE KUPITIA NYINYI
Njiro Mungu awatumie mfike mbele zaidi
Hawa waimbaji ni unique tu walai,,I love them,their songs too,role model wangu,much love from Kenya.
Be blessed 😇
Hallelujah 🙏🙏 much love from Saudi i love your songs soo much 🎉🎉🎉 nategea sana🎉🎉 God bless you 🎉🎉🙏🙏🙏
Cheki kwanza vyenye wana imba smart sana tena kiunyenyekevu na bila hata maringo Lakini pia nyi mabo zao siko na ujumbe pia mbarikiwe sana kwa hakika ❤❤❤❤
Nkm mwalimu wao n mtanzania
Wimbo ulio Bora Kwa hakika, my daughter must listen to this song everyday as I walk her to school
Hii choir naipenda sana siwezi kosa kusikia nyimbo zao hata cku moja
I love this song too much be blessed 🙏 I have to download it and save
Song Lyrics
1.Kama mti wa mtende uotapo jangwani, jangwani
Dhoruba ivumapo bado mti huwa imara. X2
Yesu alipoingia Yerusalemu walimlaki kwa matawi ya mitende ee mitende wakionesha ushindi x2
Chorus
Kama vile vile mtende ndivyo nasi twapaswa kusimama
katikati ya majaribu tukiwa pamoja naye Yesu.
Tutatembea popote tukiwa na Yesu ni Salama
Ndiye rafiki wa kweli ushindi wetu hakika kwa Yesu. X2
2. Wewe hu pekee yako jangwani jangwani,
Dhoruba itavuma jangwani jangwani
Wala usiogope jangwani, jangwani
Utashikwa mkono, na Yesu Jangwani x2
Chorus
Kama vile vile mtende ndivyo nasi twapaswa kusimama
katikati ya majaribu tukiwa pamoja naye Yesu.
Tutatembea popote tukiwa na Yesu ni Salama
Ndiye rafiki wa kweli ushindi wetu hakika kwa Yesu. X4
🙏🏿🙏🏿🙏🏿 woow be blessed
God is great. So are His mercies. Bravo Njiro SDA Choir.
Thanks you 🙏
Merci 🙏
Mpo vizuri mungu awabariki sana
Hongereni kwa uimbaji mzuri unaofundisha! Mungu awajalie neema ya kuyaishi yale mnayoimba. Amen.
God bless you njiro sda choir u have changed my heart am rea
lly blessed i want to be born again
Victory assured in Jesus
I have realised ladies uniform is a challenge in every group or choir
Njiro uimbaji huu mzuri sana mmetulia tofauti na Choir zingine.
Indeed a true friend
I really love your songs... They are so enlightening and lovely to listen to❤
Njiro mungu awabariki sana nyimbo .nzur na zina ujumbe mzur sana
Natamani kusikia na kuangalia nyimbo hii kila mara maana inanipa moyo wa kusonga mbele katika kila jambo.
Tukiwa na yesu ni salamu siku zote
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ congratulations soldiers of God ❤❤❤❤
Njiro ur strong in Jesus name
Ushindi wetu hakika kwa yesu.Tusimame imara.Ushindi wetu hakika kwa yesu wana Njiro.
Beautiful compilation, harmony in vocals and all. Praise God!
Thank you so much!
I'm always Blessed with the songs from this Choir. !! Jehovah Awabariki!!
Mbarikiwa na bwana kutumika kwenu si bure mbele zake mungu
Stay blessed 🙏 njiro
Amen
Nimebarikiwa mno
Moja ya nyimbo zinazonibariki ni HUU
A very beautiful song,I'm blessed with it.
Mungu awabariki mnoooo
Nabarikiwa sana na nyimbo zao njiro sda choir
Very lnspiriing songs.The Best in the World
Mungu awee upande wenu
Mungu aibariki Huduma yenu
Mungu awabaliki sana
God bless u njiro choir with your families so blessings to us
All injiro songs I like sana
Ujumbe mzuri Sana, mbarikiwe
Nafurahi sana nkiuskiliza wimbo huu mbarkiwe sana
Thank you
Njiro mfike mbali zaidi
Mungu azidi kuwabariki
Wimbo mtamu sana.. Mbarikiwe sana
Amina!
AMINA
Amina barikiweni wimbo mzuri sana
Nawapenda sana Njiro SDA choir
What a blessing 😊
Very nice song God bless you all and provide more and more inspirational songs
Oh good song
Mubarikiwe sana
Mungu awabariki hakika wimbo ni mzuri
Jamani Mungu awabariki sana
👌
Mbarikiwe
Shukrani kwa wimbo bora, Ila neno, moja ni hii, yesu sii Bwana kwetu,Ila ni Baba
Amina
Amen
AMINA, barikiweni Sana kwà huduma hii ya nyimbo
amen
Amen
Mungu azidi kuwainua na kuwaitamia
👋
Mungu awabariki xanaaaaa
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Amina
Amen
Mbarikiwe
Amen