Wallahi ninamshukuru sana Allah kwa uwepo wako. Maana tangu nimeanza kufuatilia hizi raddi ninaelimika zaidi na kutambua uovu wa hao watu wa bidaa. Wallahi nimeona kwamba hawana hoja wala hawajitambui. Hafidhaka Allah ya Muhammad Bachu.
Sheikh Bachu tunakupata 100 kwa 100 waelimishe hao maghulafi watu wa bidaa kwakweli Muamedi bachu tunamuomba Allah akupe umri mrefu wenye manufaa kwa jamii
Tunakuelewa sana Bachu, endelea kufundisha na kila anaye elimika thawabu unazipata, ila anayepoteza watu wa Allah nakama atazipata. Hajahifadhi kitabu cha Allah,
Yusuf Diwan hajahifadhi Quran hajui Qur'an na tafsiri zake. Yeye anachokijua ni ujanja ujanja wa Lugha ya kiarabu upande wa Mahwu, Balagha na Swarfu basi. Sheikh Muhammad Bachu, Allah akubariki na akukinge na kila la shari.
Sheikh Mohammed bachu nakuomba uwakosowe au kuwafundisha kwa kauli nzuri sababu wasio waislam wanafuatilia na kuona kuwa twatukanana badala ya kuelimishana alhamdhu lillahi Mimi ni mtu WA Sunnah ila watu WA twarika watafuta Kila njia ya kukosowa WA sunni na Hawa watu WA twarika twajuwa yote watafuta kuturudisha katika wakati WA ujahilia WA kufuata mashekh wao WA twarika hawataelewa na kwa sababu fii kulubihim maradwan wazadaah allahu maradwaah
Sheikh Bachu Allah Akuhifadhi na Akuzidishie kila la kheri. Kwa ufafanuzi wa namna hii utawatia maradhi ya pressure wenzetu maana unagonga ndipo hasaa. Illa khofu yangu ni ndugu zetu wasije wakajitia kwenye dhambi kwa ubishi tu wa kukataa haqqi iliyo wazi kabisa kwa mujibu wa maelezo ya Sheikh Bachu (HafidhahuLLah). Allah Atuongoze!
Shida ya masheikh wa kikhurafi hawajahifadhi Quran na tafsiir hawaijui.Kazi yao ni kugangaganga maneno tu na kupotosha waislamu.Sheikh Bachu Allah akuhifadhi uendelee kuwakosoa na kutufundisha sisi.
JAZAKALLAHU KHEIR SHEIKH BACHU KWA KUMSAIDIA ZAIDI SHEIKH DIWANI ATUTAFSIRIE KATIKA SURATUL MUUMINUN KUAZIA AYA YA 87 HADI 89 ILI TUJUWE KAMA KWELI YUPO KWAAJILI YA KUENEZA DINI YA ALLAH
Alhamdulilah tunapata faida ni nying sana mashallah , ila naon kwa hivi hata uwape dalili zote hawatoelewa kwasbb wameshkilia msimamo wao naomba tuendelee na duruusubzetu za lugha na kma kuna kitabubchengine cha fiqhi basi tukianza bac itapendeza ili watu wanufaike na waendelee kujua dini yao inshallah.
Sheikh wetu muhammad bachu me naomba nitoe ushauri tu, huyu mwenda wazimu atatupotezea muda ima uwekwe munaqasha baina yako na yy ama mfungie maongez km ulivyowafungia kina abuu rududi baad ya kushindw kuvunja hoja na kutoa ushahid juu ya jambo fulan wakawa wanazunguka na kuropokw mpk ile mada wakaitia kwapuni bx na huyu mfanyie hivyo hivyo kwn una mengi muhim ya kuyazungumza na kuwapa w2 faida ktk dini yetu. Sk zote m2 akishatia nia yake ya kua atakwend kunyume na ww bx allah pekee ndo atamuongoza kupitia ujinga wake au atamuacha aangamie baad ya kuja ukwel akaukataa kw iyo usisumbuke na w2 ambao ni machizi sisi tunataia faid ya v2 vingi kupitia ww InshaAllah.
Mdiwani hutumika kama ubao kuwaelimisha watu, kila anapojitutumua sisi ndio tunafaidika zaidi kupitia mwalim wetu Allah amuhifadhi Muhammad Nassor Bachu
Wallah akhi ndugu yangu Me nafurahi sana manke tunaelimika kwa dalili zilizo wazi Sema akhi Muhammad bachu hiki kibonde chake anakipiga dana dana anavyo taka yeye adii raha wallah Allah atuhifadhi ndugu zangu
Kuwapa nasaha ni jambo zuri huenda wakaongoka ingawa tumeona katika majibu yao wameongeza na kuuwacha staha za kiislamu wanatoa matusi tena kwa ufedhuli na majigambo. Sasa mtu anaye kataa maneno ya wanachuoni sasa bila hao wanachuoni elimu hiyo pamoja nakua ni ya chini sana aliipata wapi? Ukimfuata pocho utakua zezeta
JAZAAKALLAAHU KHEIR SHEKH BACHU ALLAH AKUZIDISHIE KILA LA KHERI UZIDI KUWAUMBUA HAO MASHEKH WAGANGA KWA UPOTOSHAJI WA DINI ILI WAKIDHI MASILAHI YAO YA KIDUNIA..
Elimu unayo itoa na mtu unae shindana nae nikama unamsomesha mtoto wa chekechea masomo ya chuo kikuu Yani huyo mganga ni zuzu kweli nilicheka sana siku 1 alisema et hizi comment zetu ni zako Wewe mwenyewe sijui Sisi waskilizaji zetu zipo wapi Yani mtu zuzu ni zuzu tu, huyo hata Mimi namzidi mbali sana.
A.Aleikum Naomba Please yeyote atakae muona Yussuf Diwani a mwambie huku kenya TUNAOMBA AYA HAU HADITHI ya wazi wazi inayo sema Marungi na mugokaa ni Haramu please AYA AU HADITHI YA WAZI WAZI itatusaidia sana tena pakubwa inshaAllah.
Huu mjadala wenu wachosha sasa. Mwenye kutaka haqi ashajua haqi iko wapi. Tauhid ni kumpwekesha Allah. Na kugawanya tauhid ni kugawanya aina za kumpwekesha Allah wala hagawanywi Allah. Mfafanulie huyo mchawi taarif ya tauhid kisha basi huu mjadala umechosha
Kuna Jambo ambalo linashangaza kwa baadhi ya wapinga Aqsamu Tauhid. Kwa kuwa jambo hili la Tauhidi ukiliamini mambo machafu hautakiwi kuwa nayo (uongo, fitna, wizi, shirk) sasa wote wanaopinga Tauhidi wapo kwenye mushkel huo.
Akhy chukua hiyo kumsaidia hata masufi wanakiri Allah ndie aliyeumba lkn Kun wakati humuomb awaokoe jailany tena kupitia kaswid yao ....madadi yaaa jailaaany madady yaa jailaany........... Diwani hamun kitu pia hata waisilamu wanaokwenda kwa wagang wanakir Allah ndiye aliyeumba mbingu na Ardhi
Ukisikiliza mwanzo mpaka mwisho HAKUNA TUSI lolote kwenda kwa Mheshimiwa Diwani, na kuitwa MGANGA yeye mwenyewe anaona sawa nd mana msimamo wake siku zote anasema UGANGA UPO KWENYE UISLAM. Kiufupi DIWANI HAJATUKANWA
YANI SHEE HUYU YUSUFU DIWANI NIMJINGA ILEMBAYA UKITIZAMA VIDEOYAKE YAJANA NDO UTAAMINI KWAMBA NIMJINGA KUPITILIZA. NANDOMANA ANAFUNGA SEEM YA KOMENT ANAJUA ANGESHAMBULIWASANA NA WATU WENYE UFAHAM
Kwa hakika waumini wote ni ndugu, JE WEWE UNAPOSEMA NDUGU YAKO HUYO ULIESEMA NI NDUGU YAKO, NI NDUGU YAKO KWENYE UGANGA AU KWENYE KUTAPELI AU UNAMAANA GAN UNDUGU WAKO WEWE NA YEYE
Diwani kafunga mpaka comments . Domo chafuu matusi mengi kama mau zinde. Ila atanyooka tu senge bovu.... Tuanasoma hapa hatushindani. Sheikh Muhammad msomeshe huo mganga muuza dawa... Hamuna kitu humo usichoke.
Wallahi ninamshukuru sana Allah kwa uwepo wako. Maana tangu nimeanza kufuatilia hizi raddi ninaelimika zaidi na kutambua uovu wa hao watu wa bidaa. Wallahi nimeona kwamba hawana hoja wala hawajitambui. Hafidhaka Allah ya Muhammad Bachu.
Mashallaah tumeelewa shekh wetu, Jazaakallaahu khayraa, muhimu sisi maamuma tuelewe Alhamdulillah.
Mashaa Allah. Allah akuzidishie ilmu uzidi kuibainisha haqi shekh Muhammad bachu
Wallah kila unapowafanya wao ubao sisi ndio tunazidi kunufaika allah akuhifadhi sheikh wetu
MAASHAA ALLAH TABARAKALLAH SHEIKH ALLA akuzidishie afya n uumri mrefu
Sheikh Bachu tunakupata 100 kwa 100 waelimishe hao maghulafi watu wa bidaa kwakweli Muamedi bachu tunamuomba Allah akupe umri mrefu wenye manufaa kwa jamii
Masha Allah sheikh Muhamad bachu Allah akuhifadhi
Maashaallah sheikh Muhammad tuko pamoja na tunakupenda kwa ajili ya Allah (s.w)♥️ 💖
Tunakuelewa sana Bachu, endelea kufundisha na kila anaye elimika thawabu unazipata, ila anayepoteza watu wa Allah nakama atazipata. Hajahifadhi kitabu cha Allah,
Mashallah shekh bachu, hakika tunapata faida nyingi kupitia Hao wanao lazimisha yasiowezakana
Masha allah from Moçambique 🇲🇿🇲🇿 allah akupe umri mrufu wenye Baraka na manufa uhibuka fi allahi sheikh muhammad bachu
Yusuf Diwan hajahifadhi Quran hajui Qur'an na tafsiri zake. Yeye anachokijua ni ujanja ujanja wa Lugha ya kiarabu upande wa Mahwu, Balagha na Swarfu basi. Sheikh Muhammad Bachu, Allah akubariki na akukinge na kila la shari.
Sheikh Mohammed bachu nakuomba uwakosowe au kuwafundisha kwa kauli nzuri sababu wasio waislam wanafuatilia na kuona kuwa twatukanana badala ya kuelimishana alhamdhu lillahi Mimi ni mtu WA Sunnah ila watu WA twarika watafuta Kila njia ya kukosowa WA sunni na Hawa watu WA twarika twajuwa yote watafuta kuturudisha katika wakati WA ujahilia WA kufuata mashekh wao WA twarika hawataelewa na kwa sababu fii kulubihim maradwan wazadaah allahu maradwaah
MashaAllah sheikh leo umetoa somo kamili
Sheikh Bachu Allah Akuhifadhi na Akuzidishie kila la kheri. Kwa ufafanuzi wa namna hii utawatia maradhi ya pressure wenzetu maana unagonga ndipo hasaa. Illa khofu yangu ni ndugu zetu wasije wakajitia kwenye dhambi kwa ubishi tu wa kukataa haqqi iliyo wazi kabisa kwa mujibu wa maelezo ya Sheikh Bachu (HafidhahuLLah). Allah Atuongoze!
Tunashkuru allah akufanyie wepesi ww na ss kukuelewa
TUPO MWNZA TUNANUFAIKA SAN NA JUHUD YAKO NA ALLAH AKUFANYIE WEPES KUELIMISHA JAHIL HILO ILA SIS TUNAELIMIKAN KUPITIA HILO TAILA
MASHA ALLWAH SH BACHU NAKUPENDA MNO KWA AJILI YA ALLWAH
Bismilaahi rahmani raahim namshukuru mungu tena sana alhaamdulilaah na yeye ni mfalme hakuna mwingine zaidi YAKE AMIN AMIN yaarab AMIN alhaamdulilaah namshukuru mungu tena sana kua mwislam dini iliyoo nyookaa na isiokua na shaka juu yake alhaamdulilaah shekha unahekma sana mashaalhaaalhaah mashaalhaaalhaah mashaalhaaalhaah hão waislam wenzangu waoooo wanamatusi uislam hautaki matusi ukweli unaaumaa wakiambiwa ukweli wanatukana inaaa lilaahiii wainaaa ilaahi raaajuhn nawapa pole mashaalhaaalhaah mashaalhaaalhaah mashaalhaaalhaah shekhe Mohammed bachu mashaalhaaalhaah mashaalhaaalhaah mashaalhaaalhaah alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar takbir alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu wapeeee ukweli mashaalhaaalhaah
Shida ya masheikh wa kikhurafi hawajahifadhi Quran na tafsiir hawaijui.Kazi yao ni kugangaganga maneno tu na kupotosha waislamu.Sheikh Bachu Allah akuhifadhi uendelee kuwakosoa na kutufundisha sisi.
Mashaallah Allah Akupe Afya njema ili upate kutoa Elimu Shekh Muhammad Bachu
JAZAKALLAHU KHEIR SHEIKH BACHU
KWA KUMSAIDIA ZAIDI SHEIKH DIWANI
ATUTAFSIRIE KATIKA SURATUL MUUMINUN KUAZIA AYA YA 87 HADI 89 ILI TUJUWE KAMA KWELI YUPO KWAAJILI YA KUENEZA DINI YA ALLAH
Mashallah Allah akuzidishie elimu ni wazi unaelimisha umma sh.Muhammad Bachu
Allah akujaalie kila la nkheri nakufuatilia sana niko burundi
Allah akubariki sheikh wetu. Tunavuna mengi kwako
mimi nakupenda kwaajili ya allah nspenda sana ukitamka khee
Safi sana sheikh Muhammad bachu
Assalam aleykum warahamatullah wabarakatuh shukran Sana Sheikh Bachu.
فرَّج الله همك، وقضى دينك، وأسعدك في الدنيا والآخرة "♥"🤲🏽❤
آمين ❤❤❤
Diwani hawezi kukuelewa bachu ako na kichwa ngumu kama mawe..bt sisi uku nje tunaelimika sana Allah akuhifadhi kka..
Alhamdulilah tunapata faida ni nying sana mashallah , ila naon kwa hivi hata uwape dalili zote hawatoelewa kwasbb wameshkilia msimamo wao naomba tuendelee na duruusubzetu za lugha na kma kuna kitabubchengine cha fiqhi basi tukianza bac itapendeza ili watu wanufaike na waendelee kujua dini yao inshallah.
Hakika Unaeleweka kabisa Shekhe wetu Mashallah.
Nataka kufahamu faida ya kuyatikisa mabega wakati wa mwanzo wa kuzungumza halafu الحمدوو kuivuta ni sahihi
"Allaah atuongoze..."
Mashallah tumekuelewa shekhe Allah akubariki
Nakupenda sana ndugu yangu Mohammad kwa ajli ya ALLAH
Sheikh wetu muhammad bachu me naomba nitoe ushauri tu, huyu mwenda wazimu atatupotezea muda ima uwekwe munaqasha baina yako na yy ama mfungie maongez km ulivyowafungia kina abuu rududi baad ya kushindw kuvunja hoja na kutoa ushahid juu ya jambo fulan wakawa wanazunguka na kuropokw mpk ile mada wakaitia kwapuni bx na huyu mfanyie hivyo hivyo kwn una mengi muhim ya kuyazungumza na kuwapa w2 faida ktk dini yetu.
Sk zote m2 akishatia nia yake ya kua atakwend kunyume na ww bx allah pekee ndo atamuongoza kupitia ujinga wake au atamuacha aangamie baad ya kuja ukwel akaukataa kw iyo usisumbuke na w2 ambao ni machizi sisi tunataia faid ya v2 vingi kupitia ww InshaAllah.
Mdiwani hutumika kama ubao kuwaelimisha watu, kila anapojitutumua sisi ndio tunafaidika zaidi kupitia mwalim wetu Allah amuhifadhi Muhammad Nassor Bachu
Simba huzaa simba allah akubariki
Wallah akhi ndugu yangu
Me nafurahi sana manke tunaelimika kwa dalili zilizo wazi
Sema akhi Muhammad bachu hiki kibonde chake anakipiga dana dana anavyo taka yeye adii raha wallah
Allah atuhifadhi ndugu zangu
Sheikh achana na mjadala huu. Hawa wanajua lkn wamechagua upotofu na Allah kawapa nguvu ya kuelekea huko huko walikojielekeza.
Kuwapa nasaha ni jambo zuri huenda wakaongoka ingawa tumeona katika majibu yao wameongeza na kuuwacha staha za kiislamu wanatoa matusi tena kwa ufedhuli na majigambo. Sasa mtu anaye kataa maneno ya wanachuoni sasa bila hao wanachuoni elimu hiyo pamoja nakua ni ya chini sana aliipata wapi? Ukimfuata pocho utakua zezeta
Mpasue kabisa ganga yusuph diwani.. Sijui anafikiria nini yule. Allaah amuongoze
Jazaakallahu khaira
Maashallah!
Allah Akubariki Akhu Muhammad Bachu hilo diwani ni ganga halielewi kitu kwanza liongo sana na utapeli tu
JAZAAKALLAAHU KHEIR SHEKH BACHU ALLAH AKUZIDISHIE KILA LA KHERI UZIDI KUWAUMBUA HAO MASHEKH WAGANGA KWA UPOTOSHAJI WA DINI ILI WAKIDHI MASILAHI YAO YA KIDUNIA..
Alhamdulillah Allah subhannahu wa taala atuongoze sote na wao pia na zaidi ni mwenye akili atazingatia na ajue kweli usufi utwarika ushia ni upotovu
Ukristo mambo leo duuh hatari. Ila comments zinathibitisha kua wengi tunaelewa faida kubwa inapatikana Jazaka Llahul khayr 😊
Allah akuhifadhi shekhe bachu
Allah akuhifadhi shekh muhammad wallahi nakipenda kwa ajili ya Allah namuomba Allah akulinde uzidi kutuelimisha
أسأل الله أن يرفع درجتك
Masha Allah, Allah akujaalie maisha marefu ummah ufaidike na elimu yako
Mashallah vzr sana shekh wetu
Elimu unayo itoa na mtu unae shindana nae nikama unamsomesha mtoto wa chekechea masomo ya chuo kikuu Yani huyo mganga ni zuzu kweli nilicheka sana siku 1 alisema et hizi comment zetu ni zako Wewe mwenyewe sijui Sisi waskilizaji zetu zipo wapi Yani mtu zuzu ni zuzu tu, huyo hata Mimi namzidi mbali sana.
Mashalaah tunapata faida nyingi sana
DIWANI JIFINZE KWA BACHU USITETEE UGANGA BWANA
Wallahi umefafanua nyepesi kabisa and I hope wengi wataelewa lakini Mr Diwani sioni kama atakubali hata kama ameelewa
💯
That's it
Mashaa Allah tabaraka Allah
Mashaا الله she mihamadi bachu الله akuongoze nakupenda kwa ajili ya الله
Shukran ❤❤❤mwalimu wangu❤❤
لقد أسمعت لو ناديت حيا ولكن لا حياة لمن تنادي
ولو نار نفخت بها أضاءت ولكن أنت تنفخ في رماد
Shekh Wangu Natamani Sana Nipate Namba Zako Nahisi Tapata Mengi!
Binafsi Leo Nimekuelewa Sana Sheikh
Ingawa Nami Ni Katika (أهل المولد)
A.Aleikum
Naomba Please yeyote atakae muona Yussuf Diwani a mwambie huku kenya TUNAOMBA AYA HAU HADITHI ya wazi wazi inayo sema Marungi na mugokaa ni Haramu please AYA AU HADITHI YA WAZI WAZI itatusaidia sana tena pakubwa inshaAllah.
😂
Tunasubiri jibu😂😂😂😂😂
😂😂
Alhamdulillah Leo nmkuwa wa kwanza akhy bachu nijibu nifurahi😅
Atakujib in shaa Allah
Mashallah Allah akubarik @IbrahimSuleiman-xs7wi
@@Muhammad_Nassor_Bachu_. ua-cam.com/video/2CgZnMuvfyk/v-deo.htmlsi=7R3cOoaKQqlztpQb kuna hii clip chafu ya haji upepo naomba uiskize
Hao washavaa jezi nikisikiliza nacheka sana,,eti allah nikitu kingine rabbu nisehemu kamungu inachekesha HAO WASHAVAA JEZI
MashaAllah kila kitu Kiko wazi kabisa wanaubishi tu
Ikiwa bayana iko wazi hawataki basi allah avunje ndimi zao kwakule kushindana na hakki, ili kuwapoteza watu.
Huu mjadala wenu wachosha sasa. Mwenye kutaka haqi ashajua haqi iko wapi. Tauhid ni kumpwekesha Allah. Na kugawanya tauhid ni kugawanya aina za kumpwekesha Allah wala hagawanywi Allah. Mfafanulie huyo mchawi taarif ya tauhid kisha basi huu mjadala umechosha
Sheikh mwambie yule muganga yusuf dawani awe anafungua sehemu ya comment asiwe anakukutukana nakufunga comment. Isa wa Zambia🇿🇲
HAWEZI KUFUNGUA KWA SABABU ANAJUA KUWA ANAWAPOTOSHA WATU NA WATAMKOSOA MWENYEWE NAMTAMANI SANA AFUNGUE HANA LOLOTE
Sh. Wasikushugulishe hao. Hata washirikina wa sasa Kama yeye huyo Diwani ndio walivyo hukengeuka ktk masiala ya kuabudu.
Jamaa hata hajui anazungumzia nini na anatetea nini yaan DARUWESHI TUH
Asante nilikua nasubiria kwa hamu vedeo yk
Yusuf Diwani Hana tofauti na Aduii Chongo
Sheikh lete aya au hadith inayogawanya tawhid mara 3,
Kila siku unabadilisha mada.
Wewe ni taahira kama hujaelewa kapimwe akili
Suratul Maryam ayah ya 65
Kila siku Aya mnapewa tena unadai nn😂
Au umetumwa na Diwan Kuja kuchafua Hali ya hewa
katoto kadiwano😂😂😂
Acha jazba, tumia hekma kumuelimisha mtu😮@@RamadhaniShembilu-l1e
MashaAllah
Haya ni madhara ya kuingiza fikra zao za kisuffiya katika mipaka ya Allah hawa jamaa wamenitoka kbsa
Kuna Jambo ambalo linashangaza kwa baadhi ya wapinga Aqsamu Tauhid. Kwa kuwa jambo hili la Tauhidi ukiliamini mambo machafu hautakiwi kuwa nayo (uongo, fitna, wizi, shirk) sasa wote wanaopinga Tauhidi wapo kwenye mushkel huo.
Yusuf Diwan kufunga sehem ya comment hahahaha anajua utumbo anaufanya
😂😂😂😂
Achana nalo Hilo taira la kisufi linaleta kiburi na jeuli Allah, alichome
Usiseme ivo muombee allah amuongozetu😂😂😂😂😂
MASHAALLAH Leo matamu kwel asaaa
nisahihi allah ndy huyohuyo rabuku au rabi mlez huyooo nimungu
Wewe bacho, hutakiwi kuitwa mwalimu unatakiwa uitwe mwalimu wa walim au sheikh mkuu au ulamaa
Swadakta
Wakichafua tunasafisha au sio...
الحمدلله sio الحمدو لله😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Jamani huyu Mganga ana khofu na Allah kabisaaa!
Naomba uwaambie waweke mambo wazi tukomenti kwa Nini wanaficha?
Huyu diwani sidhan kama anaijuwa kur an kweli😢😢
Bachu acha ujinga kasome.
Wewe ushasoma!? Njoo umsomeshe basi!
Kamsoneshe kma kushacha ujinga
Akhy chukua hiyo kumsaidia hata masufi wanakiri Allah ndie aliyeumba lkn Kun wakati humuomb awaokoe jailany tena kupitia kaswid yao ....madadi yaaa jailaaany madady yaa jailaany........... Diwani hamun kitu pia hata waisilamu wanaokwenda kwa wagang wanakir Allah ndiye aliyeumba mbingu na Ardhi
YANI UYU YUSUF DIWANI KAMA MLEVI YANI 😂😂😂😂😂
Ungekuwa unachembe katika Elimu ungejua.namna ya kuelezea hayo mafungu ya tawheed
Wamefunga comenti zao hao waganga watapeli. Wanakutukana sheikh wetu. Lalalala wafungue comenti tuwajibu sawa na maswali yao
Batil siku zote haijiamini
Hao hawarelewi yaani vyoote ivo unavyowaleza, Kufahamu pia ni Rizk
So kama hawaelewi Wameamua tuu kushindana na hakki na kuburi Cha ujahli kimewajaa
Uyo tapeli haelewi2 mpk anakera ss
asalm kwema mm nafuatiliya ila kinaniuma kitu kimoja mnatukanana ukiona mtu hajuii mlinganien kwa taratibu sy mtukanane
Ukisikiliza mwanzo mpaka mwisho HAKUNA TUSI lolote kwenda kwa Mheshimiwa Diwani, na kuitwa MGANGA yeye mwenyewe anaona sawa nd mana msimamo wake siku zote anasema UGANGA UPO KWENYE UISLAM. Kiufupi DIWANI HAJATUKANWA
DIWANI ANAZOZAZOZA TU WANAOMUELEWA WANAUFAHAMU KAMA YEYE WASIOJUA KITU
YANI SHEE HUYU YUSUFU DIWANI NIMJINGA ILEMBAYA UKITIZAMA VIDEOYAKE YAJANA NDO UTAAMINI KWAMBA NIMJINGA KUPITILIZA. NANDOMANA ANAFUNGA SEEM YA KOMENT ANAJUA ANGESHAMBULIWASANA NA WATU WENYE UFAHAM
Diwan anazidi kujiumbua kuwa uelewa wake mdogo
Anakurupuka Sana inaonekana
Kwa hakika waumini wote ni ndugu, JE WEWE UNAPOSEMA NDUGU YAKO HUYO ULIESEMA NI NDUGU YAKO, NI NDUGU YAKO KWENYE UGANGA AU KWENYE KUTAPELI AU UNAMAANA GAN UNDUGU WAKO WEWE NA YEYE
KWANI MAWAHABA MUNA MAMBOGANI TENA WEZETU TOFAUTI NA UISLAM
Bachu we ni mkufunzi mafundisho mganga huyo hajui kitu kasomea unganga huyo
Tafuta kitabu hiki kitakusaidia ufahamu kidogo حسن التفهم والدرك لمسألة الترك 😅😅😅😅😅😅😅😅
Tuko pamoja
Diwani kafunga mpaka comments .
Domo chafuu matusi mengi kama mau zinde.
Ila atanyooka tu senge bovu....
Tuanasoma hapa hatushindani.
Sheikh Muhammad msomeshe huo mganga muuza dawa... Hamuna kitu humo usichoke.
Mwacheni Diwani na matusi yake nyie msitumie hio ndo taqwa hatujibu matusi kwa matusi.