MUDA HUU:ENG.HERIS AFUNGUKA MAKUBALIANO YA AZIZI KI&YANGA KUBAKI|OFA NI NYINGI KAPEWA TUMEMBAKIZA!!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 жов 2024
  • #azamtv #azamfc #azampesa #mavalatv #simbasportclub #manaratv #ayomatv #azamtvmaxapp
    #SimbaVSBisharaUnited​#Simba​#Yanga​#YangaVSKageraSugar​#BerkaneVSSimba​#Challenge​#TryNotToLaugh​#Mayele​#YangaVSMtibwa​#LiveMatch​#AllyMayay​#MtibwaVSYanga​#BerkaneVSSimba​##AllyMayayTembele​#YangaTv​#SIMBA​##KibwanaShomari​#Yanga​#Simba​#Yanga​#Simbawalivyoondoka​#KikosichaSimba​#Tryagain​#SimbaApp​#Simbakuondoka​##UchambuziWaAllyMayay​#Bocco​#Mayele​#yanga

КОМЕНТАРІ • 7

  • @emacomedytv
    @emacomedytv 3 місяці тому

    Kama kweli yeye ni engenear asikubali kumwachia huyu jamaa abaki tanzania anatujua nje& ndani timu yetu na mashabiki wengi tutaamia kwao sababu tunataka burudani sisi😂😂😂❤

  • @vibeonlinetv
    @vibeonlinetv 3 місяці тому

    ❤❤❤❤

  • @DavisonKahimba
    @DavisonKahimba 3 місяці тому +1

    Huyu azizi kiii Looooo!!akiondoka ni bora asibaki tanzania maana akibaki tanzania tutapata shida sana tena akienda Azam ndo shiiiiidaaaa😂😂😂

  • @emacomedytv
    @emacomedytv 3 місяці тому +1

    Tunaomba uongozi wetu wa yanga usikubali kumwachia mchezaji huyu tutaumbuka chama sio kitu ila huyo azizi ndo mali kama atauzwa asibaki tanzania 😂😂😂

  • @YusuphJilala-r4e
    @YusuphJilala-r4e 3 місяці тому +1

    Hiyo nichezesha bwejge tu waandishi nawachambuzi watanzania nimazuzu watupuuuui ,huropoka tu

  • @DavisonKahimba
    @DavisonKahimba 3 місяці тому

    Shida uongozi wetu unachukulia poa ila tulikuwa tunaomba uongozi usikubali katu katu kumtoa azizi ki tutaumia sisi sana tena sana tuuuuuu

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 3 місяці тому

    Unataka aziz asiondoke kadi ya uanachama unayo? Kadi umeshalipia mwezi huu Julai? Mpira ni pesa siyo maneno, eti eng amsajiri, anamsajiri hela inatoka wapi, wewe maneno tu akiondoka unamfuata, si umfuate.Hatutaki mashabiki oyaaoyaa na mashabiki maandazi.