Mwaminifu nimepita, hapo sasa amefafanua, ukweli ni kwamba wasanii waanze lipwa kwa ku perform, maana kama nastahili tuzo na sitokuja kuhudhuria utoaji tuzo, Dafesta mtanipeleka wapi. Tuseme wasanii wawe nominated kwenye Dafesta kiroho safi tu, Ila wasitokei siku ya tukio, ndo kufa kwa Dafesta, next year wafanye mabadiliko. La sivyo Dafesta inakufa. Maana wasanii wote watagoma.
Wanashindwa kujenga wanaikalia kuvaa naakuna pakwenda kukosa akili kweli😅😅😅😅😅
😂😂ukijenga si sw
Wewe si ujenge na pesa zako,yaani wewe unataka kuwapangia cha kufanya na pesa zao 😂😂
Mwaminifu nimepita, hapo sasa amefafanua, ukweli ni kwamba wasanii waanze lipwa kwa ku perform, maana kama nastahili tuzo na sitokuja kuhudhuria utoaji tuzo, Dafesta mtanipeleka wapi. Tuseme wasanii wawe nominated kwenye Dafesta kiroho safi tu, Ila wasitokei siku ya tukio, ndo kufa kwa Dafesta, next year wafanye mabadiliko. La sivyo Dafesta inakufa. Maana wasanii wote watagoma.
Njoo inbox Tigo upate kwelew zaid
Kwakweliiii Hamisa amezilaaaaaaaa bila shakaaaaaa wabembe kwakweliiiiii akiliiiii atunaaaaaa ukiwekaa hamisa na gasper namchangua gasper iviiiiiii hamisa alikuja kufanya nini asaaaaaa
Sio rahs kuelew ndg yng that’s the reason mbembe kupiga hatua inaitaj miujiza.mwak jana alikuj alikiba akuna aliyesema,leo hii kaja hamisa maneno mengi,anyway vijana tutafute hela.