Tafadhali SUBSCRIBE kupata videos Zingine Nyingi. Pia Share videos hizi za Chenja na wengine wazipate na wa enjoy, wakongwe wakumbushie Enzi zao. SUBSCRIBE kupata chenja kali zaidi. Kwa group WhatsApp chat.whatsapp.com/JhFHLiG7OOvHYEdg35ranQ
Morali morali Oyo Oyo oyooooo km umesikiya ndio Basi ndiooo basi Tena wakat mzigo ND hnz unanza unaimbiwa ety ndio bc tenaa 😁😁😁dondosha like za kutosha hpo chin ili tuendeeeee sawa......
daaah nimemkubali sana muimbaji 😀😀😀 eti ananishangaza yero masasi yani yy ndio anaweka mizuka yote adi mm huku nacheza ndomboro ya soro yani hadi raha mm sio mjeshi ila nimevutiwa sna mungu awarinde makanda wetu na awape nguvu mlilinde taifa letu la TZ
Apumzike kwa amani, co wangu meja singu, Mr RSM akonay,, 835kj mgambo skills mlizotupa ndio zimetufikisha hapa tulipo, akumbukwe pia oc kajiru kombania c, op kilimo kwanza 2009,meja kombania c, Sgt mihembo.
Nakumbuka mbali sanaaa 835kj mambo yalikuwa fire na babu wa roliondo na afande lukosi eagle coy mgambo ya tanga kabuku vilee na rekuti elisantee mpenda chenja ukumbukwe sana napamc jeshin mnooo
Wazee wanzangu nakumbuka 2009 OP Kilimo kwanza kosi 821 kj Bulombora kikosi kikiongozwa na afande Thomasi mungu ampumzishe mahali pema pepon CI afande Musira comb C coy chini ya s/sgt Mwanja ni nooma saana uku wakisaidiwa na babu omary, bwana pepsi private Idrisa na Tarimo uku msengi ni nooma saaana mabio kama gote adi Ilagara, kaseke, miyobozi hatareee
Nakumbuka kj825 mtabila kigoma 2016,,daaah jesh mwanzo mgum ila fulu morali ukiyakubali hayo maisha na kunywa maji mengi moyo uelee,,,respect kwako afande wangu Mpuche,Ngasa,Mapunda,na jembe,,,,kurutiii wenzangu devie,,kasimu,baraka,mahira ,devi,dani,zai,daaah heahima kwenu
Enzi hizo aisee 2014, 832KJ ilikuwa hatari Sana, A coy aka Bulombora coy ilikuwa hatari, bogi likiongozwa na Afande mshono, na omary daah, bila kumsahau chae, na msila aisee daah ilikuwa hatari Sana, Afande best jamanii nimemmiss Sana kwny kitengo cha karate
EMMANUEL MWERUKA da mwanangu umenikumbusha mbali afande best , musira, boko, alafu kuna huyo wa kuitwa afande magumashi hatari sanaa kiungo cha kati unamkuta RSM ISSA MGIMBE 832KJ hatupoiiii
Tafadhali SUBSCRIBE kupata videos Zingine Nyingi.
Pia
Share videos hizi za Chenja na wengine wazipate na wa enjoy, wakongwe wakumbushie Enzi zao.
SUBSCRIBE kupata chenja kali zaidi.
Kwa group WhatsApp
chat.whatsapp.com/JhFHLiG7OOvHYEdg35ranQ
Poa
Niungeni na mm kwenye group la wasap
Mzee karume
Pw
Group whatsApp +255 752 08 96 51
Duuuu amenikumbusha op mererani kj 841 mafinga iringaaa fib Kam lote nakupendaa jeshi aiseee sidhan Kam Kuna maisha mazuri Kam ya jeshi
umepita mwaka gani pale
Wanangu wa 841 kj OP SAMIA SULUHU, nimekumbuka mbali sana
Naomba like watu wa 842kj (mlale),,2014 op muungano,,,,sir major wangu venue mzee wa red bull.
Hizi nyimbo zinznihamasisha kufanya mazoezi kila siku. Safi Sana huyu mwamba anajua sana
Morali morali Oyo Oyo oyooooo km umesikiya ndio Basi ndiooo basi Tena wakat mzigo ND hnz unanza unaimbiwa ety ndio bc tenaa 😁😁😁dondosha like za kutosha hpo chin ili tuendeeeee sawa......
Hongeleni sana muimbishaji yuko vizuri sana pumzi ya kutosha
Oya wanangu wa 841kj mafinga gongeni like zenu hapa
daaa...821kj bulombora ..op mereran ..ukumbi wa mikutano huooo...nakumbukaa mbali sanaaa...2018...gonga like km umepitia 821kj..
Nakmbuka 822kj
Nakmbuka 822kj
Wewe hao miaka 50 jkt
Hapo ni RWAMKOMA JKT KJ 822 MUSOMA MARA. UKUMBI UNAITWA NDOMBA HALL. NILIKUWEPO HAPO OP TANZANIA YA VIWANDA 2017 MUJIBU WA SHERIA
@@bensoncleophace8500 wewe dogo acha uongo hao wote mimi nmepiga nao kozi 2013 bulombora au unataka nikutajie majina yao wote hao kuazia huyo kwaya master jakline kenedy hapo mbele
Niko marecan nakumbuka mazoez ya ngazimia wallah namiss kwetu sana. Love you TZ sn✌🇹🇿
pole na karibu zenj ngazi mia zipo tu
daaah nimemkubali sana muimbaji 😀😀😀 eti ananishangaza yero masasi yani yy ndio anaweka mizuka yote adi mm huku nacheza ndomboro ya soro yani hadi raha mm sio mjeshi ila nimevutiwa sna mungu awarinde makanda wetu na awape nguvu mlilinde taifa letu la TZ
duh show qalii
❤❤❤ Dah! Nikiwa mabio huwa natamani Sana kuwekewa chenjaaa ka hizi ila basi tuuu....mujibu wa sheria shkamoo
kikosi gan weww
834 OP miaka 60 ya jkt tunalike hapa💯📌
Apumzike kwa amani, co wangu meja singu, Mr RSM akonay,, 835kj mgambo skills mlizotupa ndio zimetufikisha hapa tulipo, akumbukwe pia oc kajiru kombania c, op kilimo kwanza 2009,meja kombania c, Sgt mihembo.
Sawa
Dah hatari Sana asee 835kj op sensa 2012
Waoo I like this songs
Bravo coy ya demo
Bravo 2018 kj 841 mafinga kampi tajiri kuliko yote tz
Tatizo ni barid haise
Daaah nimekumbuka mbali sana wadau wa 832jk ruvu 2017 A-coy sauti ya simba(Nathan),devi (diamond), baba yanga miss sana makamanda wangu
Iyanga Mashauri popote ulipo! Salamu zako mkuu, David Nindi, ST Zungu heshima yenu wakuuu
Afande almas , gaspar, mtan salut kwenu
Na hizi chenja ni kama vile 832kj hapo bila shaka, shamba la bibi moja
Wazee C.U pale kwa RUTA kijana alikuwa a coy Huyu kwa mlezi wetu Wa koy matiku big up sana kijana wangu Wa op
I remember those days. Muimbishaji mapafu ya mbwa akikufata ulipo nyuma na morali hyo lazima nguvu iongezeke
Wanangu wa 838Kj Tanga,,,,,,BRAVO COY.....👊
Mwaka gan kjn
Mwaka gan
Mafinga 841kj 😁😁😁.... Hatari sana jmn
D coy nlkua hapo, ntumie namba yako kamanda
Aisee mzee baba umekimbusha mbali sana chenja ya kutosha hata kama ulikua umechoka lazima umalize luti chenja
Hahahaha noma xanaaa mwamba.
Hii ni Bravo coy Mgambo jkt
Ulikuwepo mwaka gan
838kj maramba op magufuli c coy ya demo salute afande msuya, afande george na madoja wenzangu man abel salute
Tulikuwa hatar kipindi kile
Aiiiii C coy ya demooooo
@@jacklinewiseman5434 acha2 yaan naomba namba ako jack
Duh hizi ngoma zina leta morali htr dadeki I like it
825kj..chenja kilaa mabio..full molali.palee kazaul..adi magofu.bila chenja utoboi.mkuu wa mafunzo capt EP LeMa.RIP kamanda.
Tukutane manguluwe
Dah! Mwanangu nyimbo tamu sana.
Wanangu wa 8 2 1 Nahitaji like za kutosha apaaaaa Op Muungano
ML mm mk
1
B. Coy moja
832kj op Tanzania ya viwanda😓😓😓😓 natamani ijirudie tena
Ndo bac tenaaa mwambaaa.....
Watoto wa Charles mbugee
Hahaha hatari sana
Deo Machenja 834kj Makutu tos like mnayekumbuka shughuli yake
😅😅😅🙌Oya weeeeeh Mwanang wa Mkuza
Hakuna kazi nzuri duniani kama ya jeshi
Hatari sana... Hii ni zaidi ya konki fire....
838kj maramba jkt op tz ya vwanda @ bravo coy
Pamoja sana enzi izo....nlkua eagle coy kwa afande mwita 😅😅😅😅😅😅😅😅
Hamna danger coy Afande Mtweve op ya tz ya viwanda
843 kj nachingwea..OP makao makuu dodoma daaahhh mnanikumbusha mbali sanaaa
Dah wananikumbuksha 843 kj
841 kj, umenikumbusha mbali
846 KJ sumbawanga OP uchumi daaaaah natamani ata kurudi jeshi❤❤❤
Nakumbuka mbali sanaaa 835kj mambo yalikuwa fire na babu wa roliondo na afande lukosi eagle coy mgambo ya tanga kabuku vilee na rekuti elisantee mpenda chenja ukumbukwe sana napamc jeshin mnooo
Lydiaso nc Katunguti daaaaah babu wa roliondo lina matusi lile
Weee huyu tulikuw na elsante roli na lukosi F coy, Op kikwete 2015 hapohapo mgambo.
BULOMBORA JKT 821 KJ OP Tanzania ya viwanda 2017 pamoja Sana 💪💪💪💪💪
Nakubal sana mkal wangu, WAP st ezra
Pamoja port 821KJ 2018. Port Ambali, Kadurege wa ukweli
Rojadeta Mwanri manina kadurege
Pamoja sana mwamba! Wapi Afande KADULEGE,AMBARI na MZEE WA KITENGO MAGOGO NGUTANI?
Ulikua coy gani Mzee wangu😂😂
841 kj op mererani daaah ni nomaah 💣
Mafinga yetu
Mafinga moja
A coy ya demo.
nimekumbuka 822kj Rwamkoma...2016.,, safi sana ..tudumishe uzalendo.
Maduhu Joel acha tu rwamkoma moja
rwamkoma!!!!!!!!!!! mimi bado na liaaa tu !!1 shebunge!!!
Afande Assam Jeneza
Dah! Inanikumbusha mbali,kanembwa Kama umepitia kurutu Kama Mimi nipe like zang jama.
Dah!!atal sana
Dah we acha tu
Bravo coy pltn no.04 mikono juu kwa chum boooy.....afande side mzee wa mitusi hahahaa....meli ya mgiriki bugalama.
Daah now nipo USA but nimekumbuka OP maguful 832 Kj hakuna maishaa mazur kama ya Jeshn happy life ... Shout out to all our soldiers ..
Wa op wewe,, mm nilikua coy ya afande best,,832KJ kushoto private Marley kulia Mzee wa kwata Adam liganja😂😂
Daaa umenkumbusha kweli afande Marley,liganja,Kerobuku,Masangula at 832KJ
Eagle coy Tz ya viwanda
Afande masangula, Marley, Kerobuku
Mpwapwa jky,2020 makini sanaa
Wazee wanzangu nakumbuka 2009 OP Kilimo kwanza kosi 821 kj Bulombora kikosi kikiongozwa na afande Thomasi mungu ampumzishe mahali pema pepon CI afande Musira comb C coy chini ya s/sgt Mwanja ni nooma saana uku wakisaidiwa na babu omary, bwana pepsi private Idrisa na Tarimo uku msengi ni nooma saaana mabio kama gote adi Ilagara, kaseke, miyobozi hatareee
Ndombolo ya solo by MASE Jr Tanzania scouts association 😮😮🎉😮😮
haha nmekumbuka 2015 ..821kj Bravo coy ilikuwa ya makomando bigup afande ngwasho
Obeck Simkwai daaa bulomboraaa sio poaaaa...kuleeee...
Inapendeza Sanaaaa Inanikumbusha mbali aiseee
Nakumbuka maramba 838 kj op kikwete mamaeeee
Dah nakubaliii xaana wazeee wa kazii
Waliopita mgambo kwenye mashamba ya dunia gonga like twende sawa!
Kwa msanga
Jamaa wana mashamba km ugomvi aisee, kwa msanga moja hyo
2014/2015 mgambo JKt gonga like twende sawa!!! Kwamsanga
Hahaha sio pw huko
@@jumakinana1198 gendagenda vp
Dirt songa nlitaka fia kule
Oya dert songa balaaa😂😂😂😂
Ñakübl ✊✊ Wana siwapingi wana lwakwomaaa
These Songs thou 😊😊
Daah!!!kitambo sana nikiwa 842kj mwk 2011 op miaka 50 ya Uhuru.
Ya mtoto hyooo haina maji😁😁 841kj likes zenu
2018 , nlkua hpo
841kj
Mafinga
Kunabarid ka uturuki haise😂😂
Nlikua Eagle coy
Nakumbuka kj825 mtabila kigoma 2016,,daaah jesh mwanzo mgum ila fulu morali ukiyakubali hayo maisha na kunywa maji mengi moyo uelee,,,respect kwako afande wangu Mpuche,Ngasa,Mapunda,na jembe,,,,kurutiii wenzangu devie,,kasimu,baraka,mahira ,devi,dani,zai,daaah heahima kwenu
napenda sana jeshi ila sijapata tu nafas
Bugalamaaaaaaaaaaaa....wauweeeeehhh!!
Bugalamaaaaaaaaaaaa mzee wamasongi wapi pachawako zakayoooo aliyesoma elimu ya mbele rashiaaaaaaaa!!!
838KJ--OP KIKWETE 2015
EAGLE COY
825kj daaaaah inanikumbusha mbali
Daaah wanangu we 832kj kama tuko pamoja gonga like ya nguvu
Afande chae noma sana😅 op tz ya viwanda 2017 @ chali coy
832 kj op miaka 50 ya JKT -2013
Ramadan Jabir Hahahahaha
832 kj op miaka 50 ya jkt B-coy 2013,,,
Op mereran c koy mpoooo chini ya marey na mmole
Boma kichaka miba😅😅😅
daaaahhh noma sana mzeee.... 838 kj maramba, ett... A coy ya demo... umenkumbusha mbal sana mzeee
Unamkumba solider mzee wa Congo alikuwa service pale 838kj maramba
A coy ya demo
Daah kuna service man anaitwa Razack mkal wa chenja tumeenjoy San watu wa A coy 2020 OP uchumi wa kati
Kj 838 maramba jkt tanga
C coy afande X 2015 ST wao npo hapa🤣
Wao I love it
Daaaah,umenikumbusha maeneo flani wkt bigula la mchaka mchaka saa nane usiku,Mungu ni mwema tumemaliza na tunalisongesha mikoani
good job Bugalama wa depo
mnanikumbusha mbali Sana jaman 2016 op Magufuli
Ok ulienda wapi wewe saivi
So poa
Nimeipenda
Wote watoto,gonga like kama unaijua Op Jajiri,2005-2006
Mbona kama sauti ya Bugalama dadaqqq
mzee wa story😋😋😋😋
Black Mamba ndioo yenyew mzeee wa kikwazo na daraja
Ndio mwenyew
Dah nimekumbuka mbali sana!
Wanang wa 832kj OP Makao makuu Dodoma mujibu ....Danger coy ..conga like apa
Jaman daaa memkumbk mabio jogging ya asubh unahic umkimbiakidog kumbeeenamiiba yamakutupora daaa Raha Sana Acoy
Huwezi kuchoka hta mkimbie kilometres ngapi..
824 KJ gonga like OP kikwete 2015
Daaaah... Nlikiwa hapo op maguful 2016..
Noma sana..
nakubalii]i
yala kido changu ,,,,wap t
maloda
Kamanda kamwenje Fundi
832kj
G coy
daah nakumbuka mbali sana 2012 duuh 842 kj ni noma sifa morali tuu
Enzi za embakasy
824kj Kanembwa 2013 mujibu wa sheria & volunteers noma Sana R.I.P dakanyama na magesa
Chage Nyakamoti
Kwani Magesa naye alishafariki?
Kanembwa op Magufuri #bravo
Op meralani
Daaah kwa hiyo molali adi nimemis kurudi 824 kg 2021 tuombe mungu turudishwe mapema
Tutarud usijali op uchumi
Wow iyoo song nimeikumbuka
nakubali sna hata mm najua ningekimbia mita kama zote
hahah
Hongelen
Nakumbuka Sana nkiwa jkt maramba kikosi 838
832 op Uzarendo.mambo yalikuwa moto.
Oljoro moja hiyo balaa nakumbuka mbali sana asubuhi asubuhiiiiii
824 kj... Kanembwa... Kigoma usiombe😂😂😂🙌🙌🙌
Jeshi was the best experience ever.. 🙌😅 #mgambojkt
Sure 😊
Reen
Mabio ya Gendagenda,
Mabio ya Gendagenda
@@christianpeter7689 hahahahaa kwa bojo, kwa msanga. Zile ruti za rest house usipime kaka. #mgambokj Op. Kikwete, mujibu. F coy ya demo😂😂😂
R.I.I ALEX 822kj op kikwete nmekukumbuka baada ya kusikiliza chenja za mabio
Maktopolajkt 332 amshaamsha sana
Tujuane intake ya 2014 kanembwa,walimu mliimba nyimbo mkatengeneza Cd
Mimi nilikuwa 833kj jkt oljioro same year. Natamani sana ningepata hizo nyimbo
Mwana nimezikubali sana hzo song,,,huna videos kabisa utupie tukumbuke mbali
Thanks,
soon will be here
@@AndrewMugaya 👊
Pa1
Full molali
Check this out
ua-cam.com/video/C6SvvK_Of1k/v-deo.html
Enzi hizo aisee 2014, 832KJ ilikuwa hatari Sana, A coy aka Bulombora coy ilikuwa hatari, bogi likiongozwa na Afande mshono, na omary daah, bila kumsahau chae, na msila aisee daah ilikuwa hatari Sana, Afande best jamanii nimemmiss Sana kwny kitengo cha karate
mwenzangu uko wp mbona tulikua kikosi kimoja
EMMANUEL MWERUKA da mwanangu umenikumbusha mbali afande best , musira, boko, alafu kuna huyo wa kuitwa afande magumashi hatari sanaa kiungo cha kati unamkuta RSM ISSA MGIMBE 832KJ hatupoiiii
pamoja
Dah bro umenikumbukusha sana afande chae na best
832kj 2018
Kawaida ya course ukimaliza ndo unaona raha kama irudiwe wale wa 838 kj like
Mwaka gan
832 JK 2013 'Danger Coy ya molali'🔥🔥🔥 raia ni ngumu kuelewa kwanza wapite hivi🤣😂🤸kama umemkubali mwana twende sawa!
👇
Msira Meja
Aisee mbona sikukumbuki mie pia nilikuwa danger coy kwa bi bhoke
@@lizamakala heeh kwelihh
824kJ kanembwa OP Dodoma makao makuu 🔥 🔥
Daaah!!,, noma xaana unikumbusha
838kj maramba-tanga
Prospa mgaya aka chenja boy!!!,, Halaf wew nae ety somebody mgaya hayo majina ya mgaya veeeep!!!!
😊😊 yamefanana tu.
Nimekumbuka 821jk miaka ya 2013-2014 op miaka 50 ya jkt
mbali sana long sana
🙌🏽🙌🏽🙌🏽Chenjaaaa
832kj op tz Ya viwanda, Hizo chenja za kuendea Shamba La vitunguu ( Kwa Trump)
hhhhhh dah
822 nawakumbuka sana st wenu
825 KJ kikosi mtabila operation miaka 50 ya muungano C- Coy ya demo chenja Kali sanaaa jeshi tamu sanaaaa
Kwenye ndizi😁
hahahahahaaa daah raha sana ''Tatzo unapamic ila ndo uwezi kwenda kutembea kama shule uliyo maliza''......
''NDOOO BAAAS NDOOO BAAAS TENA''
😂😅😆😆😃😉 unaenda tu sifa .Mikazo. na unywe maji mengi
Hizi nyimbo zinanikumbusha machungu tu
821 kj ni kikosi cha makomando aise acha kabisa kile kikosi.ukienda men get ukikutana na mp tasi ni shida.kama umepitia 821 gonga like hapo
Mp nick mtabila ni mwisho
Nomaaa!!! sana babu kapata wapi wakucheza nae
845kj op makao makuu dodoma ikumbukwe hyooooo
Hahaha kaka Andrew hii umenikumbusha mbali sana
wapi huko