(HOUSE GIRL) BINTI WA MAIAKA 16 APEWA MIMBA NA BOSS WAKE NA KUFUKUZWA BILA KULIPWA PESA ZAKE..MMH

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 27

  • @FoxeTv
    @FoxeTv  11 днів тому

    KAMA UMEGUSWA NA HILI 0746409426

    • @anitalowrence-be9vb
      @anitalowrence-be9vb 9 днів тому

      Wewe mwandishi ni msomi hebu mpele police au dawati la malalamiko apate haki zake sio kutuletea mrejesho tu.

  • @Angependo9141
    @Angependo9141 11 днів тому +2

    Nimeumia akakuita umbwa kweli??

  • @JuliusiMasanja
    @JuliusiMasanja 11 днів тому +1

    NAMBA za rafiki YAKE anazo atafutwe HUYO MZEE ashitakiwe na ubakaji.DNA ITAHUSIKA

  • @JoyceMkini
    @JoyceMkini 11 днів тому +1

    Mwandishi msaidieni msaidieni serikali iingilie katit asaidiwe huyo mtoto watafutwe hao watu ni unyanyasaji huo watafutwe hao mabosi kamharibia maisha yake

  • @RoseKillian-b8k
    @RoseKillian-b8k 5 днів тому

    Maboss wanaume wenye tabia mbaya kama hiyo .mkome na mulaaniwe ...nyie bucking dogs ..

  • @anitamashobe6185
    @anitamashobe6185 11 днів тому +1

    Hee jamani,hawajamlipa?,tangu aanze kazi?,na wakamfukuza?,huu NI ukatili

  • @WaridiLugano
    @WaridiLugano 8 днів тому

    Pole san daaaa dada wakaz wanazalauliwa kwannn jmn daa kuitwa mbwa kweli😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @CharoChengo-rf5ll
    @CharoChengo-rf5ll 10 днів тому

    Kwani hakuna serekali huko tanzania,sababu wababa kama hao wanastahili wapewe adabu kali,,,mumusaidie kutafuta huyo mtu ili afunguliwe kesho yaubakaji

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 11 днів тому +2

    Dohh makubwa haya, hata sio vizuri, yani huyo boss alikosa mwanamke 😮😮 ?

  • @Angependo9141
    @Angependo9141 11 днів тому +1

    Nawajua wanaume kama hao wapo lakini huu mtoto selikali imtetee jamani kukunyima mshahala na kukupa mimba tena inauma

  • @RahmaAlly-pe2vb
    @RahmaAlly-pe2vb 10 днів тому

    Lazima huyo baba akamatwe ashtakiwe kwa kubaka mtt kajatafuta Leo unamuharubia Kisha unamfukuza

  • @jokhaadawi3692
    @jokhaadawi3692 10 днів тому

    Mimi ushauri wangu naona kwanza msaidieni chapili bora wadada wakazi muwe manakataa kabisa hlf muwe mnawaeleza madam zenu ili muweze kusaidiwa

  • @TatuTatu-f1v
    @TatuTatu-f1v 10 днів тому

    Pole kila mwenye kudhulumu na yeye hubhulumiwa

  • @AlyAly-dp7iv
    @AlyAly-dp7iv 11 днів тому +1

    Uyo baba akamatwe afunguliwe mashtaka muuwaji mkubwa

  • @UlendoKilawe
    @UlendoKilawe 10 днів тому

    Pole sana bnti huyo baba akamatwwe

  • @mussaelias3535
    @mussaelias3535 11 днів тому +1

    Huuu ni unyanyasaji wanaharakati wa haki za binadamu waingilie suala hili na serikali huyu mzee akamatwe kwani amembaka huyo binti kwani hajatimiza hata umri wa miaka kumi nanane

  • @MamaMzazi-k2c
    @MamaMzazi-k2c 11 днів тому +1

    Huyo baba atafutwe Hana huruma na mke wakeila malipo ni hapa hapa

  • @AishaJuma-wd8xd
    @AishaJuma-wd8xd 10 днів тому

    Jamani tumsaidie

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 11 днів тому +1

    Kama ni kweli Haki za binadamu zimsaidie maana wanaume huwa wanafanya namna ya kuwadanganya hawa wasichana wa kaz,mke anavyogundua mwanaume hua wanakua wakali na kumtukana dada ili kujihami kwa mkewe.

  • @Angependo9141
    @Angependo9141 11 днів тому +2

    Kuna mwanaume alinitishia hivo eti ataniuwa nikikataa kulala nayeye

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 11 днів тому +1

    Huyo mzee ni MSHENZI itabidi ashtakiwe.

  • @NAWALSALIM-h9v
    @NAWALSALIM-h9v 11 днів тому

    Pole sana mamy

  • @AlyAly-dp7iv
    @AlyAly-dp7iv 11 днів тому +1

    Pia pole dada

  • @MajumaMusa
    @MajumaMusa 11 днів тому

    😢😢😢duuu pole sana jmn