#EXCLUSIVE
Вставка
- Опубліковано 27 гру 2022
- #EXCLUSIVE: MTANZANIA ANAYEMILIKI KIWANDA cha TEKNOLOJIA AONESHA ANAVYOTENGENEZA MASHINE za KISASA..
GLOBAL TV imefunga safari hadi Kimara Temboni jijini Dar es Saalam kukutana na kijana wa Kitanzania anayetengeneza mashine mbalimbali kwa kutumia teknolojia ya kisasa..
⚫️ WASILIANA NA MBUNIFI - 0758965632
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline - Наука та технологія
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
Tanzania tuna vipaji sana , dah hongera kaka God bless more brother
Huyu kaka Ana bidii kweli, Mungu awabariki mfike mbali zaidi ya hapo.
Hawa ndio watu wakupewa sapoti. Kazi nzuri broo.
Hawa ndiyo watu tunataka nchi kuwaona,syo kila siku mnatuonesha wasanii wSanii tu
Uko sawa brother. Kuna mashine inauzwa dola 49,000 China sawa na zaidi ya milioni 120 za kitanzania ila mimi nilivyoikagua vizuri mtandaoni niliitengeneza kwa milioni 10 tu za kitanzania
Safi
Very nice
Mwamba umetisha Sana 👏👏👏
Anaongea point tupu. Big up to you. Kuna mtu alibuni machine ya kutengeneza umeme lakini serikali kimya.
Yule alikuwa mhuni tu. Alidanganya
Bravooo sana kaka,safi sana
Umeongea kitu cha kweli kabisa, serikali haiwezi kusapoti vipaji vya hapa kwetu kwa sababu kuna watu ndani ya serikali wana mipigo yao kwenye mitambo inayotoka nje ya nchi wanaona wakikusapoti ww hawataiona hela ndo mana wanafifisha vipaji kama hicho ulichonacho ww jua kwamba kila muwamba ngoma ngozi huivutia kwake
Hahahhaha hongera sana aiseeee,,, Mungu aliye juu 👆 aendelee kukunyanyua zaidi Amen
Amen
Hongera una bidii sana katika bunifu zako,nashauri wekeza zaidi katika vitu ambavyo vinagusa sana maisha ya watu,mfano buni teknolojia ambavyo itawafanya wamama waepukane na mikopo ya kausha damu,utaokoa mambo mengi hapo na utapata pesa na umaarufu pia kwa kuokoa ndoa za watu.
Pongezi Sana ndugu kwa mwendelezo wa ubunifu siku hata siku. Maximum performance hakika.🗻🤝🇹🇿
Hawa wakisapotiwa wanaweza kuajiri waelfu ya watanzania. Tunatumia nguvu nyingi kuwekeza kwa mikataba ambayo inakuja kutushitaki kwenye mahakama za kimataifa na kulipishwa mabilioni ya dollars
Huyu mwanamume, anatisha!!!
MUNGU AMJAALIE,
Ongera sn kk,serikali inapaswa kuongeza nguvu kwa watu km hawa
If "mwamba huyu hapa" was a person
Brother Mungu akubariki sana nataman siku moja nije kuona mwenyew
Jaribu kubuni mtambo mdogo wa kutengeneza sukari, ataokoa nchi
Kwani huwezi kuishi bila ya Sukari? ndugu yangu
Amazing!!
safi sana nakukubali sana
Hongera sana,Naomba Namba ya simu
Sawa kabisa brother uko vzr
Mungu akuzidishie zaidi
Nataka unitengenezee mashine ya kufulia nguo
Sema mchizi haweki vizuri maelezo yake,amesema compresa ya silent,wakati imezimwa hapo ili wasikilazane,amekuwa ni kulaumu na kujisifu,kwa uwezo wake angebuni vitu ambavyo vingesaidia kutatua changamoto zinazowakabili wananchi wenye hali ya chini.mfano kilimo,ufugaji,ujenzi, n.k.hata hizo nchi zilifanikiwa kwenye haya mambo walianza na changamoto zinazowakabili wao wenyewe hawakusubiri mtu aje awambie nahitaji kitu fulani ndio uwaze kutengeneza ili umuuzie .hizo machine anazotumia kuunda hivyo vitu vyake mbona amenunua si angezitengeneza pia.
Gud sanaa
mawaziri watampotezea kabisa, viongoz wetu hawataki tuwe na wabunifu na kuunda vyakwetu sababu watakosa ulaji, utakuta kitu kinaweza kuundwa na mtanzania lakin watataka kwenda kununua ulaya au china ili wapate na posho ya safari na kupiga cha juu.
Uncle big up,
Erick Chalinze hapa
Safi sana bro
ongereni sana
Sasa hapa angealikwa na kajala hapa kuongeza views maana wabongo akili zetu hatutaki vitu serious
Tuna watu wenye akili lakini hatuna watu wa kuwaongoza na kuwawezesha!!!
Ongera Sana naitaji machine ya kusi dika parachichi na papai Nika pata mafuta ya Kila na himatumia umeme was kawaida namarizia jengo napatikana bukoba na omba majibu
Kitu mnakosea watu wa media,ili kuwapromot hawa jamaa ni vema mnaweka na details zao kuliko muwahoji lakini mawasilino yao hakuna ndo nini
Namkubari Gadius
Aweke namba
China imeendee baada ya kusamin viwanda vidogo
hii video inawatazamaji elf7 mpaka sasa, lakin cha kuhuzunisha hii ideo ingekuwa ya harnmonize kumpomonya kajara gari bas ingekuwa na watazamaji ata millions.
sad to us
Unatakiwa uchaguliwe na Rais uwe waziri wa science na technology.
tunaomba namba zake
Watz ndio wanamatatizo unaweza kwenda dukani kitu cha 5000 inauzwa 10000 sasa huoni ni shida nikama huyo kilichonifanya asitaje bei ni nini
MUNGU ni mwema saaana
Et kama mpya kwaiyo used au na mpya za mbele
Cha ajabu hakupewa nafasi kuonyesha ubunifu huu mkubwa mbele ya kamala harris 😔
Hawa watu wawezeshwe ni lulu ya taifa
Ukosawa
We producer wa hii makala naomba namba zako,
Naomba namba ya simu tafadhali
Serekali iangalie watu wenye vipaji iwakuze sio iwapeleke shule na kuishia kuua vipaji vyao
Vipaji vipo afrika
Hiyo machine inagarimu bei gani
Naomba no yake huyo mtaalamu
Hawa niwatu wakuchungwa sana na serekali, chaajabu mnalinda wasiofaa kbs,, maana hawa mkiwapa sehemu ya utulivu wa ubongo wanawaza zaidi yaapo
Sehem pekee ninayo iona imejaa utajiri ni hiiii secta ya ubunifu na uzalishaji wa mashine na bidhaa mbali mbali
Mashine za sabuni je?
Makofi ya kilo
NAomba ,
Namba
Anafanya uzalishaj wa mifuko
Tunaomba NAomba zake
Sipend mtangazaji unaongea mno
Point Point Point, Naamini Serikali yetu ni Wasikivu watafanyia kazi haya
Subutuuuu
Walimsikiliza nani kwa mfano
Yaani Unaweza shangaa MAWAZIRI HUSIKA watajifanya hawamjui lakini TRA watampiga KODI badala ya hata rais apewe taarifa amtie Moyo na kumsaidia watamkwida Kodi huyuu!!ndio utajua hi ni nchi ya AJABU kweli badala awe hero atapewa kero za ajabu
Nope NAomba yako
Kweli kabisa bongo kunavipaji shida serikar haithamin wabunifu
Serikali inakusubiri umalize uzalishe ,itoze Kodi na Tozo. Dunia nzima Serikali zipo hivyo
Asante.
Lakini hivi leo mtu anaweza kudai amegudua tairi? Hapa hakuna ubunifu.
Upo vizur sana kaka! Nimempenda sana alichokifanya
Nataka nijuwe bei naunipe namba yasimu ilituongehe zaidi