CHUCHU HANS AFUNGUKA KUTOFUNGA NDOA NA RAY KIGOSI KISA KUBADILISHA DINI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 сер 2024
  • WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 83

  • @Emedroadtocanada
    @Emedroadtocanada Рік тому +20

    Usje badili dini dada angu huo uslam ni tiketi yako yakuingia PEPONI

  • @Festonjalika-ud6kc
    @Festonjalika-ud6kc Рік тому

    Mungu akutangulie chuchu

  • @ruqiyanasir7141
    @ruqiyanasir7141 Рік тому +6

    Hamana mpango wowote kazienu zinanatu hiyo zinaa ndomaisha yenu hamuongopi hata Allah ujuwetu Allah utakalo lifanya ndilo atakalo kulipa habandilishi maneno yake katu abandan kama umefanya kheri atakulipa mazuriyoko uloyafanya nakama umefanya yashari atakulipa kwasharizako ulizo zifanya ifike taim tuache tumueleke Allah tuache kufanya zinaa Allah atuongoze kwenye njia dhabiti

  • @aishambagi7371
    @aishambagi7371 Рік тому +4

    Kufunga ramadhani karim kope kucha usanikazi

  • @guenterernst5481
    @guenterernst5481 Рік тому +2

    Kuzini ashazini na hio ni dhambi zake muhimu asibadili dini allah nimsamehevu na amsamehe

  • @dullaseif8742
    @dullaseif8742 Рік тому +1

    Ungekua na mawazo hyo usingekubali kumpa utamu Hadi mkazaa...Leo hii ndio watambua Hilo..Mungu akuongoze ustake umaarufu na kumchukiza Allah

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 Рік тому +1

    Kila la kheri ❤

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 Рік тому +1

    Maskn mlifanana sana sster hako chuchu😢mungu amsamehe makosa yke inshallah

  • @williamkibacha1358
    @williamkibacha1358 Рік тому +1

    Noma 2029

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Рік тому

    Kazi ipo

  • @user-ec4vo9hv1m
    @user-ec4vo9hv1m 3 місяці тому

    Mwanamke hana dini

  • @aishambagi7371
    @aishambagi7371 Рік тому +1

    Wasani wangi huwa wanaonisha mavazi yao mitandaoni kuonyesha

  • @aishambagi7371
    @aishambagi7371 Рік тому +1

    Mwezi mmoja mnashindwa viumbe wa zito dunia inawapeleka mbio ipo Siku mtaiacha unafuturisha watu kucha Kama shetani kope Kama brashi ya mishikaki

  • @lailalaila8206
    @lailalaila8206 Рік тому +3

    sasa mnazin tu miaka yote si mfanye mamuzi ya ndoa tu

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 Рік тому +3

    Sasa wewe unajikinga mtoto jee

  • @adeyaruks5729
    @adeyaruks5729 Рік тому +2

    hii uislamu wakiafrica huwaje mwanamke muislamu kapata mtoto na mkristo nahaezi kuolewa naye kikwangu hio naona uislamu unafeki nimingi

    • @minatibra-tx6pf
      @minatibra-tx6pf Рік тому +1

      Uislam ni uislam hakuna kitu kma uislam wa kiafrika wala kizungu ni mja mwenyewe kuamua athafata njia ya kheir au viseversa

    • @shuubinty1447
      @shuubinty1447 Рік тому

      Kuna watu mnachekesha et uislam unaufeki mwingi uone unavyouwona ww lkn ss wenyeww tunaojua uislam tunajua una ufeki au hauna😏😏😏😏

  • @user-xt6jf9um4s
    @user-xt6jf9um4s Рік тому

    Huo ni uongooooo eti mwanamke anafata dini ya mwanaume
    Nani kakwambia mwanamke atafufuliwa na mwanaume wakihojiwa mbele ya mungu mume atakuwepo?
    Acheni upotoshaji kila mtu na mzigo wake mbele ya mungu ss ww thubutu kujirubun ubadili dini! Alafu utakuja kumalizana na mola wako

  • @abusahil5527
    @abusahil5527 Рік тому

    duhh2029😅

  • @suleimanseif3290
    @suleimanseif3290 Рік тому

    Mimi nakuhitaji sana mwanamke wewe nikuoe tu uwe mke wangu wa ndoa na nitakutafuta

  • @bernadethakahemele4609
    @bernadethakahemele4609 Рік тому +1

    2029????

    • @haysal9619
      @haysal9619 Рік тому

      Umeiyona iyo kama mm😂😅

  • @imanidaraja8275
    @imanidaraja8275 Рік тому +1

    Kwanini unaleta vipingamizi kwenye dini kwa ni ulipozaa nae hukuja kuwa ni mkristo achana hizo bwana wewe

  • @suleimanseif3290
    @suleimanseif3290 Рік тому

    Wewe mwanake usije kubadili dini utaumia tu

  • @rizoibrahimovich605
    @rizoibrahimovich605 Рік тому +6

    Tena chuchu usikubali kubadili dini tafadhali,

    • @sukariyao6537
      @sukariyao6537 Рік тому

      Koma kwanini asibadili muoe wewe mbona umuoi ww

    • @user-pj8ed9kn6g
      @user-pj8ed9kn6g Рік тому

      ​@@sukariyao6537 🙄🙄🙄You stop carelessly

    • @sukariyao6537
      @sukariyao6537 Рік тому

      @@user-pj8ed9kn6g shut up okay mind your bissness fuk 😏

    • @liberatusjackson5045
      @liberatusjackson5045 Рік тому

      Uisilamu sio din tambua maraya sana wanyajiii wapombe wakorofiii kiufup siwaerew mashee wanakuaganadawa wanatudanganya ete dua uhuniii2

    • @shairiharuna2544
      @shairiharuna2544 Рік тому

      @@sukariyao6537 mfyuuu kaz ujinga tu asibadili din hana ujinga wakubadili dini kama ww

  • @zoizanzibar5923
    @zoizanzibar5923 Рік тому

    Miss Tanga 2029

  • @aishambagi7371
    @aishambagi7371 Рік тому +2

    Sasa mnafunga kweli au huwa mnaonyesha nguo mlizo vaa kuonyesha mitandaoni

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 Рік тому +7

    Tuachieni na Ray wetu, bado tuna mtaka KANISANI

  • @dannynsajigwa4661
    @dannynsajigwa4661 Рік тому

    Wewe mchaga miss 2029??

  • @esperancenathali
    @esperancenathali Рік тому +3

    Huo ujinga maana hata mahandiko inasema utamuacha baba na mama na utahambatana na mume wako kwenda kujenga taifa lenu sasa hiyo dini naisi ya ukoo wao na umehamua kuamia ukoo mwengine lazima anae badili ni mwananake ila siku hizi wanao howa ni wanawake na si wanaume 😂😂😂😂 vichwa vya nyumba wanakuwa wao hii dunia basiii tu

    • @minatibra-tx6pf
      @minatibra-tx6pf Рік тому

      Hakuna chaulazima ana kila mmoja ana uhuru wa kujiamulia mbona Ray hathaki kubadili bc chuchu pia ana haki sawia ndoa ni maelewano

    • @esperancenathali
      @esperancenathali Рік тому

      Ndoa ni maelewano ila sidhani km hapo pana maelewano ndugu na nilazima mwanamke ndiye anayetakiwa kumfuata mwanaume weeee fungua macho ila waislamu wagumu nyie pia wabishi mtupuuuuu hata hamuogopi Allah

    • @BrigitteRachel-gf9zz
      @BrigitteRachel-gf9zz Рік тому

      @@minatibra-tx6pf ulisikia lini mwanaume anafata mwanamke

  • @anithabahimana-hp8en
    @anithabahimana-hp8en Рік тому

    Kazi nikazi na mapenzi yana muda wake

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY Рік тому +1

    Chuchu mpe haya ya kiislam
    ray hili hawe muslim
    Upate swawabu mlete kwenye
    Din ya HAKI din ya
    MITUME NA MASWAHABA WOTE

    • @queen.christelle1
      @queen.christelle1 Рік тому +1

      Uliona wapi ikawa kirahisi mwanaume kufuata mwanamke ama kubadili dini yake kwasababu ya mwanaume sio kirahisi. Kwa mwanamke sawa inawezekana lakini kwa mwanaume sio rahisi na kuambia tena sio rahisi haijalishi huyo mwanaume ni mkristo ama mueslam sio rahisi

  • @nahlahassan-fd6le
    @nahlahassan-fd6le Рік тому +11

    Wee chuchu mchukue ray kweny uislam

    • @sukariyao6537
      @sukariyao6537 Рік тому +1

      Never yeye amfate

    • @minatibra-tx6pf
      @minatibra-tx6pf Рік тому +1

      Kma Ray hawezi kubadili dili basi hakuna ndoa ya lazima hapo chuchu athapata ubavu wake wenye kheir zaidi

    • @sukariyao6537
      @sukariyao6537 Рік тому

      @@minatibra-tx6pf sasa mbona bado wanadhini je uislamu umeruhusu watu kudhini mbona king'ang'anizi sana huyu ajui kuachwa aswaah Mumfunde mwenzenu anatia aibu 😏👌

    • @Ummu-Nauthar98
      @Ummu-Nauthar98 Рік тому +1

      ​@@sukariyao6537 sukari ya umma naona Kila aliecomment unakuja kumjibu Kwa ukali basi weka no hapa yesu akulipe mshahara wa kuipigania dini ya hovyo😂

    • @sukariyao6537
      @sukariyao6537 Рік тому

      @@Ummu-Nauthar98 mamako pia alikuwa sukari ya masera dini ya ovyo kma ya kwako unayewadangia waarabu au unawashwa

  • @madamaisha1641
    @madamaisha1641 Рік тому +1

    Usiwe mnafiki wewe mwanamke,kwanza wewe sio muislamu ,muislamu haswa hawezi kuzini,wala hawezi kuolewa na mkiristo na kuzaa nae,wewe ni mnafiki na Adhabu yako kubwa mbele ya Allah sasa subiria kidogo atakapokujia malaika wa mauti ndo utajua huo ujinga wako kama unafaida au la

    • @rehemazahoro7963
      @rehemazahoro7963 Рік тому

      Subhanallaah!Hayo so maneno ya kumwambia muislam mwenziyo.

    • @minatibra-tx6pf
      @minatibra-tx6pf Рік тому +1

      SubhanaAllah wa kuhukumu Allah thu muhimu mja ajitambue na kuomba msamaha

    • @bintiomariwendo2279
      @bintiomariwendo2279 Рік тому

      SubhanaAllah. Haya ni maneno mazito sana kumwambia Muislam mwenzio..Kumbuka na Kahaba aliyesamehewa na Mwenyezi Mungu na akaingizwa peponi kwa sababu alichukua kiatu chake akachotea maji kisha akampa mbwa maji hayo akanywa. Sasa wewe na mimi ni nani wa kuhukumu binadamu mwenzetu?

    • @queen.christelle1
      @queen.christelle1 Рік тому

      Judge ni mungu usisahau hilo mungu ndie anae hukumu sio sisi binadamu. Mwanadamu kama bado umevaa mwili jilinde kuwaombea binadamu wenzako mabaya ogopa kuwa neneya mabaya wenzako ogopa kuhukumu maana hio sio kazi yako. Muache Mungu alie juu afanye kazi yake. Mungu akusamehe

    • @aishagebo8811
      @aishagebo8811 Рік тому

      Muislam hawez kua Ivo kichwa wazi nywele kuungaa sio muislam kabisa