Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

CHUCHU HANS AFUNGUKA KURUDIANA NA RAY KIGOSI/KUBADILI DINI/KUMZALIA MTOTO WA KIKE RAY/LUKAMBA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 бер 2023
  • Tumepiga Story na Chuchu Hans

КОМЕНТАРІ • 44

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky Рік тому +3

    Seriously Chuchu maji ya kimwagika? Kwani hujui mtoto akizaliwa nje ya ndoa ni WA MAMA?

  • @brandycrescent1208
    @brandycrescent1208 Рік тому

    Wakristu tunafunga na huu ni mwezi wa mfungo wa kwaresma

  • @jacqueli18
    @jacqueli18 Рік тому

    Yaa, yaaaa ivo

  • @fatfat9093
    @fatfat9093 Рік тому

    Mungu akuongoze namsimamo huohuo ddngu

  • @Teddy-fq5oc
    @Teddy-fq5oc Рік тому +3

    Eti Afungi rey mkristo...kwani wakristo atufungi aujui hichi kipindi ata aujui ni cha kwa resma

    • @rubbymusa1971
      @rubbymusa1971 Рік тому

      Natamani kujua kwa wakristo kufunga ni lazima?

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 Рік тому

      @@rubbymusa1971 sio lazima af kwa uelewa wangu kufunga sio lazima chakula,ko kipind cha kwarezma tunaaswa kutenda yaliyo mema na kutoa sadaka sana na kusaidia waitaji.

    • @safiahassan6121
      @safiahassan6121 Рік тому

      Kwaresma ni wakatoriki tu si wakristo wote

  • @fatumamwalimu5765
    @fatumamwalimu5765 Рік тому

    Wasanii wengi hovyo kabisa, kuna siku ulihojiwa ukasema Roy amesha silimu!!!

  • @salmaabdu5011
    @salmaabdu5011 10 місяців тому

    Wacha thambi huyo ni mtoto wako mama unachukuwa jukumu kwa mungu

  • @dullaseif8742
    @dullaseif8742 Рік тому

    Eti ntafanyaje sas,,yan wazalishwa tu hadi watoto watatu wakt hamjaoana na wajua pia uliyenae hajakubali kuwa katka dini yko...aisee uxur wa sura lkn boggas

  • @magrethsanga942
    @magrethsanga942 Рік тому

    Una miaka 3o wapi

  • @jworld1480
    @jworld1480 Рік тому

    why yeye hataki abadilishe dini anamtaka ray peke yake abadilishe na yeye ?

  • @mangofish9079
    @mangofish9079 11 місяців тому

    Una miaka 30 na bora tu sema 35+

  • @keyla3641
    @keyla3641 Рік тому

    Na wewe tunasubiri nini miaka yote hiyo unaxini tu hakutaki angekutaka angesawazisha

  • @salimakuyela7813
    @salimakuyela7813 Рік тому +3

    Msanii mzima unasema maji yakisha zoleka hayamwagiki🤣🤣🤣🤣

  • @yousramutwale2463
    @yousramutwale2463 Рік тому +1

    Binadam acheni roho mbaya kasema anamiaka 30naa mbona mbalalamika Mimi ninamiaka 25ukiniangalia nikama bibi kizee

  • @jannyjmamdak2570
    @jannyjmamdak2570 Рік тому

    Miaka 30 31 au 32 ni uongo dada yaani hapo hukosi 38 39 mpka 40

  • @mwanduelizabeth2282
    @mwanduelizabeth2282 Рік тому +1

    😃😃😃Eti maji yakishazoleka hayamwagiki 😃😃

  • @laurentmupira1280
    @laurentmupira1280 Рік тому +2

    Umegichubua?

  • @salimakuyela7813
    @salimakuyela7813 Рік тому +3

    Chuchu anamiaka 44

  • @reenyaysher7639
    @reenyaysher7639 Рік тому

    Duuuh miaka 30 wakati umeshafika 40😂😂😂

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 Рік тому

      Hv kwann watu wanapenda kukuza wenzao,ujue mtu akishazaa anaonekana mtu mzima,kwaasilimia kubwa

    • @nasranasra5500
      @nasranasra5500 11 місяців тому

      wanajirudisha nyuma

    • @reenyaysher7639
      @reenyaysher7639 11 місяців тому

      Namjua chuchu toka nasoma nami nina miaka 35 now ndugu 30 haiwezekan she is above 40