MAHALI LILIPO SANDUKU LA AGANO. Hekalu la Sulemani part 3. Na Mwl. Vincent Mwakisyala

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 тра 2024
  • Unaweza kusaport huduma hii kwa sadaka yako na Mungu atakubariki.
    Mwalimu Vincent Mwakisyala
    +255 753114222

КОМЕНТАРІ • 35

  • @lasentinelle77
    @lasentinelle77 2 місяці тому +4

    Amri ya Mungu yote kumi pamoja na ile ya nne ya kushika sabato imeendelea hadi siku Kristo atarudi duniani.
    Imeondolewa katika mbao, ila imewekwa katika mioyo ❤ yetu. Soma Waebrania 8, na Waebrania 10.
    Leo, Agano jipya lafundisha kwamba mtu aitwaye mtakatifu, anayestahili kuingia katika uzima wa milele, ni yule azishikaye amri za Mungu ma kuwa ma imani ya YESU.
    Soma Ufunuo 14:12

  • @HamzSaid
    @HamzSaid 2 місяці тому +1

    Asante sana kwakuwa unajajuwa hayo Yahweh akubaniki

  • @HaruniGhasper
    @HaruniGhasper 2 місяці тому +2

    Ubarikiwe, Mwalimu Vincent mungu azidi kukufunulia maono.

  • @ElishaMmari
    @ElishaMmari Місяць тому +1

    amina sana mtumishi kwani hata mimi nilikuwa najiulizaa sana sanduku la agano lipo wapi

  • @NataliaMalley
    @NataliaMalley Місяць тому

    Asante sanaa mtumishi kwa kutuelimisha kuhusu sanduku la agano

  • @Aggreymbugano
    @Aggreymbugano 2 місяці тому +1

    Amen mtumishi nimebarikiwa sana na masomo haya

    • @DeoKanyatta
      @DeoKanyatta Місяць тому

      Hakusema shikari sabatobali ,slitamka shikabkitakatifu siku ya MUNGU.nyie sabato nendeni mkamezevdoya beans zenu

  • @RahmaAmena-ei7xx
    @RahmaAmena-ei7xx Місяць тому

    Amen mtumishi wa Mungu ubarikiwe milele

  • @VenerandaKundi-ph4hg
    @VenerandaKundi-ph4hg Місяць тому

    Ni kweli sanduku la agano lipo mbinguni Kwa sababu kama angegusa mtu anakufa

  • @user-bw1wn3sz4z
    @user-bw1wn3sz4z Місяць тому

    Asante sana bwana vicent.ila waisraeli walikuwa watu weusi picha za kizungu hazistahili hestoriya

  • @EnockTuza
    @EnockTuza Місяць тому +1

    Wakati Yesu anaisalimu Roho yake,pazia la Hekalu lilipasuka,je sanduku la agano halikuwepo ?

  • @user-gd3lf7rm8d
    @user-gd3lf7rm8d Місяць тому

    Sanduku la agano liko mlima Kenya 🇰🇪

  • @indelectronicsmedia3760
    @indelectronicsmedia3760 2 місяці тому +6

    Moja ya sehem unayo kosea ni kuelezea umuhimu wa sheria za Mungu ! tambua sheria za Mungu zipo vilevile hazibadili na hazito badilika kwani Mungu hajipingi ! pia lazima tuelewe bila sheria hakuna dhambi ! je sheria gani imeondolewa ili kuhalalisha dhambi ? je ni ya kuzini au kuiba ? au ni ipi ? naomba utoe somo kuhusu Mungu na sheria zake..

    • @mwlvincentmwakisyala
      @mwlvincentmwakisyala  2 місяці тому +1

      Rafiki hatuongelei sheria tunaongelea Agano, Agano lisilobadilika ni moja tu. Ila hatujagusia somo la sheria bado.

    • @ElardMlawa
      @ElardMlawa Місяць тому

      Wengi watakubali sheria zote lakini sheria ya sabato wanaipinga na hawajui kua sabato ndio muhuri na ishara ya mungu na wale wanao mtii

    • @jackobsamson2241
      @jackobsamson2241 Місяць тому

      ​@@ElardMlawa ujinga

  • @PeterDeogratias
    @PeterDeogratias 2 місяці тому

    Ok saaaaf

  • @sarahkingunza1516
    @sarahkingunza1516 Місяць тому

    Biblia inasema mifupa mikavu ikawa jeshi kubwa sio kwamba aliwafariji hapana

  • @lusekelomwainyekule-fi4zn
    @lusekelomwainyekule-fi4zn 2 місяці тому +3

    Hili hekalu la duniani ni kivuli cha lile la mbinguni sanduku la agano la hekalu la duniani lilikuwa ni nakala ya lile la Mbinguni. Hivyo si kweli kwamba lililoonekana mbinguni ndio lile la duniani, kwani mbinguni kulikuwa na hekalu halisi. Sanduku lilifichwa na nani? Hatujui! Yaliyofichwa ni ya MUNGU yaliyofunuliwa ni yetu sisi na watoto wetu Torati 29:29

    • @mwlvincentmwakisyala
      @mwlvincentmwakisyala  2 місяці тому

      Upo sahihi, barikiwa.

    • @Mch_David_Batemba
      @Mch_David_Batemba Місяць тому

      Safi sana, hio ndio kweli.
      Musa aliambiwa na Mungu afanye yote sawasawa na mfano wake alioonyeshwa mlimani. Kut 26:30
      Mwalimu akifundisha kwamba lile sanduku lililoonekana mbinguni ni lile la duniani lililopaa inamaana hata lile hekalu la mbinguni ni lile la duniani lililopaa?

    • @ElizaphanKamando
      @ElizaphanKamando Місяць тому +1

      ​@@Mch_David_Batembanamimi nilishangaa kusikia et lilichukuliwa na Mungu, mh kwa akili ya kawaida tu Mungu tunayemwabudu mweny nguvu na utukufu atachukuaje kitu alichomwagiza musa kukitengeneza? Ina maan wkt Mungu anamwambia musa kutengeneza kumbe Mungu nae alilitegemea hilo hilo 🤣🤣 jibu ni hapana, kila alichokitengeneza musa kilikuw mfano wa vile vilivyo mbinguni, hivo yesu alivokufa msalabani pazia la hekalu lilipasuka maan yake hamna huduma tena pale, hivo bas hakukuw na utukufu wowote tena, hilo sanduku Mungu hawez kuangaika nalo

  • @ridhiwanmlawa1371
    @ridhiwanmlawa1371 Місяць тому

    Nani aliloliona huko mbingùni

  • @sifamugwaneza8774
    @sifamugwaneza8774 Місяць тому

    Asante sana kaka angu mie kwa kutuelimisha me niliijua chanel hii jana tu ila toka nimeijua sitamani kusikiliza au kuona chanel zingine maana hapa unatuelimisha kuhusu MUNGU na si kwa ubaya na wala hautufundushi vibaya achana nahao ambao wanasema tofauti eti unamsema sheria za Mungu wala husemi sheria bali unatuelimisha yale ambao tusiyo yajua na kutufunza vyema ili tujue MUNGU anataka nini kwetu sisi na kujua namna nakumuheshim nakumtii nakumtumikia pia endelee kutuelimisha tena natena na MUNGU akubariki sana

  • @jumamazoya790
    @jumamazoya790 2 місяці тому

    Uongo mtupu someni sana vitabu

  • @isayamtanda8484
    @isayamtanda8484 Місяць тому

    Hekalu lililojengwa baada ya Utumwa wa Babel na likaja kuvunjwa na Warumi mwaka wa 70 lilikuwa linafanyaje huduma zake kama Sanduku halikwepo?

  • @DanielMaguge
    @DanielMaguge Місяць тому

    Sanduku la miti liende mbinguni? Kweli nimeamini wenye nafasi kutumia mitandao na media hata kama hawajui kitu wanajivi njari

    • @mwlvincentmwakisyala
      @mwlvincentmwakisyala  Місяць тому

      Mwili wa Musa wa udongo upo wapi? Mwili wa nyama wa Eliya na Enoko haipo, hatusemi ipo mbinguni ila ipo wapi? Na Je nini maana ya mbinguni? Ni angani au sehemu aishipo Mungu?

  • @user-fb7tc7gg9x
    @user-fb7tc7gg9x Місяць тому

    Sanduku hilo lilionekana DRCongo mwaka wa 18877 na watu kama kipa nvita ,simoni kimbangu , na mze petro sangya waliliona likipita pita mawinguni mpaka mloma wa misotchi DRCongo fizi