Ila na uchovu jamani wanachoka, kikubwa tuendelee kuwaombea, na kumshukuru Mungu angalau kwa point hizo 3, hawajapumzika toka Zanzibar ratiba imebana sana. Naamini watafanya makubwa tu. Simba nguvu moja💪
Kaka hatoi pasi jamaa yeye na winga mwenzie Mutale na Kijiri wanacheza mpira wa miaka 800 ilopita mtu anakimbia bila kituo haangalii hata anaenda wap 😮😮 kibu arudi achukue namba yake tu toa mtale rudisha Ntibazokiza bora hata ntibazokiza😂😂
Tuendelee kuwaombea hata wenzetu upande wa pili tulipomaliza mechi wakasema tukae kando tuangalie mpira wa kiume na jinsi wanavyompiga mtu magoli ya kutosha (KMC), umeona kilichotokea ? 🤣🤣🤣 nilishangaa wamepotea wote sebuleni kimya kimya bila kuaga . Mimi niko Simba na mtoto mmoja na baba yuko Yanga na mtoto mmoja. 🤣🤣🤣
Kiukweli barua afike mahali abadikike aache uchoyo msimu huu tumeisha sema niubaya ubwela kwa hiyo aache hizo mambo,na kingine semaji nimefurahi sana uwe hivyo hivyo kabla ya mechi usitambe tukisha wakaanga vizuri sasa ndo tutambe kama hivo ni mwendo wa ubaya ubwela hadi laha
Simba nguvu moja ❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ simba nguvu moja
Tabia ya barua hainifurahi ata kidogo nimchoyo sana mwambie mashibiki tunataka ushindi sio nani kafunga
Sanaaa ameshaanza kutuudhi 😢😢
Abadilike
Tunataka ushind sio Nan kafungaa tutamtoa
Hongera sana chama langu.
Mkanyeni barua uchoyo sio kitu kizuri kabisa atafanya tupoteze nafasi
Barua asiwe mchoyo, alikua na mipira zaidi ya mara 2 lakini hatoi pasi kwa wengine
Tumekosa nafasi nyingi ila tunashukuru kwa kuchukua points 3 tunasonga mbele
Uhakika
Hongera wachezaji wetu mmetufrahisha mhim point tatu
Simba nguvu moja mionooooo
Chasambi,chasambi,chasambi dogo anajua vibaya mno lkn sijui kwann hata achezi,barua na chasambi ni mbingu na ardhi,
Mim nilichogundua .kocha anaangalia nin anafanya ko yawezekana mazoezin hafanyi vizur
Ubaya 💪
Simba Nguvu mmoja Oyee
Full House dodoma
Hadi raha .wanaofos mpk sasa wanagoli moj sijui wanafos nini,
Tamu baraaaaa ❤
Balua tulimpa sifa baada ya tripoli ameanza kuzingua,,, mwambieni abadilike
❤❤❤🎉
Mnyama 🦁
Simba nguvu moja
❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ubaya ubwela Simba nguvu Moja
❤️ALHAMDULILLAH❤️ 🇹🇿 🇦🇪
👏👏👏👏👏👏👏🦁❤️❤️❤️❤️💪💪🙏🙏
Balua alizingua sana
Barua mwambieni apasie bana
🎉🎉🎉hauna baya
This is simba brother ubaya ubwela 😂😂😂
Mukwalaaa ana ki2 Cha kujifunzaaa Kwa Atebaaa😎
Barua ndo amezingua hii mechi
Ila na uchovu jamani wanachoka, kikubwa tuendelee kuwaombea, na kumshukuru Mungu angalau kwa point hizo 3, hawajapumzika toka Zanzibar ratiba imebana sana. Naamini watafanya makubwa tu. Simba nguvu moja💪
@@carolinemasonga6429😂😂😂😂
Kaka hatoi pasi jamaa yeye na winga mwenzie Mutale na Kijiri wanacheza mpira wa miaka 800 ilopita mtu anakimbia bila kituo haangalii hata anaenda wap 😮😮 kibu arudi achukue namba yake tu toa mtale rudisha Ntibazokiza bora hata ntibazokiza😂😂
@@carolinemasonga6429 Ni kweli kabisa shida ya ss watanzania tunaongea sana.
Simba bado kidogo timu kila mtu anajituma ila bado wachoyo basi za mwisho tukituliza akili tu eneo hilo wapinzani wataomba msamaha
Kweli simba imeshinda lakin ushindi wa simba wa Leo haujafurahisha.
Tuendelee kuwaombea hata wenzetu upande wa pili tulipomaliza mechi wakasema tukae kando tuangalie mpira wa kiume na jinsi wanavyompiga mtu magoli ya kutosha (KMC), umeona kilichotokea ? 🤣🤣🤣 nilishangaa wamepotea wote sebuleni kimya kimya bila kuaga . Mimi niko Simba na mtoto mmoja na baba yuko Yanga na mtoto mmoja. 🤣🤣🤣
Simba mbele bado,utulivu unatakiwa.Wachezaji wanajituma.So akili,kujituma uwanjani kuna jitu litalia tarhe 19/10😂😂😂
Hii ndio simba tuliokuwa tunaitaka sasa SEMAJI kula rojo kwa mrija
Mutu Kama aaona katingwa atoe pas mapema haxa balua abadilike
wamakumbuke chasambi pya ni mzuri zaid ya mtale
Barua anaanza kutuboa mpeni onyooo jmn tunataka ushind sio Nan kafungaa
Full house in dodoma studium
Wengineeeee😂😂😂
Waletee tunawataka hao utopolo
Dua muhim
Ubaya ubwela
Hatari kubwaa
Jamani CHASAMBIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
Bora acheze chasambi kama barua anaonekana kua mchoyo wapasi sisi tunataka magoli sio mbwembe
Hemedi Kwa iyo na wewe utapewa tuzo😂😂 unahatari
Deborah aonywe uchoyo sio deal ametukosesha magoli kama mawili ivi
Simba gari limewaka spid ¹⁰⁰ kwa saa
Barua mchoyo
Mechi ilikuwa gumu sana
Fadru fadru nakuita mala ya tatu fadru!!! Naomba umpe nafasi chasambi hata mechi moja tuu umuone naamn huyu barua atajifunza mengi kutoka kwake
barua mchoyo
Sanks GOD 🙏
Sio mbaya ili mradi point 3
Haswaa umenena tunataka ushindi sio Kacungu nani?
Ninalia na Chasambi TU mbna hachezi balua kaanza kufeli naomba chasambi acheze jaman huyu dogo ana kitu
Kiukweli barua afike mahali abadikike aache uchoyo msimu huu tumeisha sema niubaya ubwela kwa hiyo aache hizo mambo,na kingine semaji nimefurahi sana uwe hivyo hivyo kabla ya mechi usitambe tukisha wakaanga vizuri sasa ndo tutambe kama hivo ni mwendo wa ubaya ubwela hadi laha
Acha tuwakere acheni tuwakere tuwaudhi kuwaudhi ndo jadiyetu ubaya ubwera 😂😂😂
Barua uchoyo utakuponza
Ubaya ubwex
nalia na chasambi jaman dogo mbona achezi
Ubaya ubwela unaendeleya
Mwambieni barua mashabiki hatutaki nani afunge tunachokitaka mafans wa Simba sc ni ushindi wa goli nyingi
Balua mekusikia kaka 🤣🤣
😂 ssc ni hatariii
Barua anataka afunge yy tu roho mbaya atoe basi