"SIKU 56 BILA WATOTO WANGU NEEMA na PUDE WALIOFIA KWENYE AJALI ya GHOROFA KARIAKOO" Mama Mzazi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 263

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  16 днів тому +2

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

  • @HannanSomaiyah-wp7ny
    @HannanSomaiyah-wp7ny 6 днів тому +5

    Pole Mwanamke mwenzangu Allah akupe imani 🙏 Mungu anasababu Yake 🙏 kuchukua vitu Vyote,

  • @mwanahamisrashid7787
    @mwanahamisrashid7787 15 днів тому +17

    Pole sana mama angu nmeumia sana natamani uwe mama angu 😭😭😭nmepoteza mama cjawahi kumuona natamani niwe mfariji wako Allah akupe subra npo na ww kidogo alichonipa Mungu ntashare na ww mama😭😭😭

    • @TatuHusseni-hs7mu
      @TatuHusseni-hs7mu 12 днів тому

      Pole kipenzi mungu akupe subra tumuombee to mam huko aliko Amin 👏 👏

  • @MatildaFrank-bp5oq
    @MatildaFrank-bp5oq 15 днів тому +24

    Pole saana mama angu,naomba nikwambie kitu chini ya jua hapa vitu vyoote tulivyonavyo vitapita,iwe mali,watoto,mume na ndugu vyoote vitapita,lakini tumaini letu sisi litabaki Kwa Mungu wetu tuu,na Mungu yeye atabaki kuwa Mungu,hata kama tumemuomba saana na hakutujibu vile tulivyokuwa tunataka sisi.

  • @HalimaKassim-yz3we
    @HalimaKassim-yz3we 16 днів тому +31

    Musimhoji huyu mama jamani hua naumia sana masikini huyo mama mungu ampe nguvu inshallah

    • @julianapeason6254
      @julianapeason6254 15 днів тому +1

      hujasikia mwandishi amesema mama Neema ndo amewaita kumhoji sasa mwandishi angekataa ungali mama anataka apaze sauti yake????????????

    • @HalimaKassim-yz3we
      @HalimaKassim-yz3we 15 днів тому

      @julianapeason6254 ahaa sawa daah

  • @NadineNdagwaruka
    @NadineNdagwaruka 16 днів тому +9

    Pole sana Mama yangu kipenzi 😭😭Mungu peke ndo mfariji wako katika nyakati ngumu unayo pitia Mama❤️❤️💖🤲🏿🤲🏿🙏🙏

  • @FatmaHamad-g6s
    @FatmaHamad-g6s 16 днів тому +27

    Sio kwa ubaya Rais wetu ile pesa unayowapa simba na yanga waombe kwa muda uwasaidie hawa wahanga haswa huyu mama anapitia magumu sana

    • @ednaJF1028
      @ednaJF1028 15 днів тому +1

      Ni kweli kabisa umenena.
      Yani wakati mwingine unaweza kufuru MUNGU. Lakini tuseme tu MUNGU atabaki kua MUNGU

    • @ednaJF1028
      @ednaJF1028 15 днів тому +2

      Hatuwezi kubeba vitua vyake kwakweli MUNGU tu amupe nguvu

    • @mimasaady5638
      @mimasaady5638 15 днів тому

      Uwiiii mola wetu mpe mama huyu subr

    • @Mariacc699
      @Mariacc699 15 днів тому +1

      Sio Kwa ubaya. Ila matukio kama haya tunakumbushwa umuhimu wa Bima hasa eneo la biashara... Anyway Mungu awape nguvu maana magumu wanayopitia hatuwezi elewa ata robo

    • @CristinLyanga
      @CristinLyanga 15 днів тому +1

      Mama Pole sana hakika kiatu chako ni kikubwa na ni kiizito mnoo,ila neno moja kwako mama yangu,mshikilie sana Mungu na umtegemee yeye peke yake,kwani atakufariji,atakutia,nguvu,na at kupa mango na njia mpya ya kutojea Mungu atakuwa nuru kwako mama na hatakuacha kamwe.

  • @elesianakabuje5832
    @elesianakabuje5832 16 днів тому +4

    Daaah! Pole sana mama angu mungu akupe moyo wa ushujaa..tunapaswa kushukuru mungu kwa kila jambo..mwachie mungu kikubwa tuwaombee.

  • @joycesamweli1219
    @joycesamweli1219 15 днів тому +3

    Mungu ni mwaminifu sana mshike sana huyu mama kaondokewa na watoto tunahitaji kukutegemea Mungu mpe Nguvu huyu mama

  • @NoelaTembe-x5i
    @NoelaTembe-x5i 15 днів тому +2

    Pole sana mama yangu kipenzi usihisi kama MUNGU kakuacha yupo pamoja na wewe endelea kumuomba na tumaini lako libaki kwa MUNGU nae atafanya jambo kwenye maisha yako

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 2 дні тому

    Pole mama Mungu akawe faraja yako

  • @wahidamohammed7294
    @wahidamohammed7294 15 днів тому +3

    Pole sana Mama Mungu akupe nguvu ya kuanza upyaa , 6:02 kazi ya Mungu haina makosa

  • @Joyce-l7s
    @Joyce-l7s 2 дні тому

    Pole mama tunajua inauma sana lakini hakuna namna tunakuimbea Kwa mungu akutie nguvu Kwa wakati huu mgumu kwako nasi tunaungana nawewe usk na mchana tunakuimbea mama yetu

  • @Haleema-dg5bo
    @Haleema-dg5bo 14 днів тому +1

    Pole sana mama mungu ,azidi kukupa subra najua xiyo rahisi kusahau lakin kazi ya mungu haina makosa inauma sana 😢😢😢😢😢

  • @AliceAlice-z9d
    @AliceAlice-z9d 20 годин тому

    😭😭😭🙏Pole SANA mama MUNGU akutie NGUVU kwenye kipindi kigumu🙏

  • @halimashaban811
    @halimashaban811 10 днів тому

    Subhan'Allah 😓
    Jamani msimkumbushe tena jmn bado haja poa vizur
    Pole mamá mwenyezi mungu akupe subra na nguvu
    Kikubwa uwaombee wanao mama

  • @Mariamodest-love
    @Mariamodest-love 16 днів тому +4

    Pole ssna mama yangu unawakat mguku sana mama yangu tumeumbiwa kusahau lkn hili pigo kwako kubwa sana mungu akufanyie wwpes

  • @mossyfimbo3577
    @mossyfimbo3577 15 днів тому +1

    Pole saana mdogo wangu hakuna jinsi mdogo wangu pole pole Mungu awe faraja kwako hata Sasa unaishi ni kwa Neema ya Mungu tu mini mmoja nalia mpaka leo wewe wawili Ewee Mungu zidi mfariji kiumbe wako ni ubinaadamu unatusumbua hakuna kitakachobaki kila kitu kitapita Bali Jina la Bwana litasimama milele na milele

  • @RaifaHeri
    @RaifaHeri 9 днів тому

    Pole sna Mama Mungu akutie nguvu

  • @marthaadammakatobemwakatob4246
    @marthaadammakatobemwakatob4246 16 днів тому +3

    Polee sn mama Neema wakukufariji ni mungu tu maana sisi binadam tunakufariji siku kadhaa lkn mungu ni wakila siku😢

  • @ummySheikh72
    @ummySheikh72 14 днів тому

    Pole mwanamke mwenzangu poleee! Siwezi kuvaa viatu vyako Dada yangu. Mungu atakupa subra hatuna la kusema hata upewe pesa za Dunia nzia hazitoshi😭😭bila ya wtt wako! Namalizia pole saana!

    • @JudithAdonis
      @JudithAdonis 9 днів тому +1

      Kwa kweli 😭😭😭......Mungu mwenyewe ajuaye kuganga mioyo ahusike kwa Mama huyu

  • @SABRINASHAMSI-j4l
    @SABRINASHAMSI-j4l 12 днів тому

    Mwenyezi Mungu akutie nguvu mama ang😢😢 tunaamin mwenyezi Mungu ndio mtoaji na ndio muamuzi wakila jambo🥹🥹hakuna njia Wala kitu ambacho tunaweza kufanya mbele ya maamuzi ya mwenyezi Mungu 😢😢 huo ni mtihani mkubwa mama aliokupa mama yangu 😢😢 ambao unaweza ukakufanya ukakufuru au usikufuru lkin Cha msingi mama unapokuwa na huzuni na simanzi piga goti na ulie pamoja na Mungu 😢😢🙏🏻🙏🏻 kikubwa hakuna wakutenda zaidi ya alie umbea mbingu na ardhi 😢😢 mshkuru Mungu kwa kila jambo mama Nina Iman japo ni ngumu utaweza kuishi kwa kudra ya Mungu 😢😢😢 mama Mungu akupe umri mrefu kwa ajili ya familia yako kuwa na Iman ya Mungu muda wote na tuwaaombee walio tangulia wapunzke kwa aman walipo🤲🏻🤲🏻😭😭😭

  • @JanetNjobvu-xf4vq
    @JanetNjobvu-xf4vq 7 днів тому

    Mama pole sana mungu akuvunge mkanda mama nayajua maumivu unayo yapitia

  • @jokhaali5893
    @jokhaali5893 16 днів тому +6

    Nyamaza kulia mama, Pole sana, mimi nimefiliwa na bint yangu huu ni mwaka wa 8 lakini bado sikuwacha kulia tuwe Pole sana darling wangu

    • @Mohammed-v3i1u
      @Mohammed-v3i1u 16 днів тому

      Mungu akupe subra my😢

    • @syliviakente9460
      @syliviakente9460 16 днів тому

      Mungu azidi.kuwapa nguvu na raha ya milele uwape ehh Bwana wapumzike kwa Amani 🙏

    • @TatuHusseni-hs7mu
      @TatuHusseni-hs7mu 12 днів тому

      Pole kipenzi Allah akupe nguvu

  • @Gaudensiamuganga
    @Gaudensiamuganga 15 днів тому

    Poleee sana Mamaetu Mungu akukumbke akupe Neema ya ustamilivu ktk haya.
    Ninajiskia uchungu yaan km mzazi ila sina la kusema zaidi ya kukuombea mamaa maana viatu vyako ni vizito

  • @ShemsaKiobya-x8h
    @ShemsaKiobya-x8h 3 дні тому

    Mungu yupo mama atatenda tu kwa njia yake mama

  • @JamilaKelota
    @JamilaKelota 10 днів тому

    Pole sana mama pude Mungu wa mbinguni atakusaidia na wapumzike kwa amani wapendwa wetu

  • @JanethMogela-hv2mb
    @JanethMogela-hv2mb 15 днів тому +2

    Mungu mtie nguvu mam yetu Dua yako isimuache

  • @JeniphaMwacha
    @JeniphaMwacha 15 днів тому +1

    Pole sana mama mtumain mungu peke yake ndiye mweza wa yote🤲

  • @salmanassor8732
    @salmanassor8732 15 днів тому

    Pole sana mama angu 😢maumivu unoyapitia hayaelezeki Mungu akuzidishie subra ishallah

  • @user-xk5we1iz6c
    @user-xk5we1iz6c 16 днів тому +3

    😢 jmn mungu akutie nguvu,mama si rahisii..inalizaa

  • @bhokeMagige-bh8zq
    @bhokeMagige-bh8zq 16 днів тому +2

    Pole sana mama mungu akupe nguvu kwa magumu unayopitia

  • @khadejakhadeja9713
    @khadejakhadeja9713 15 днів тому

    Pole pole dada kazi ya mungu Haina makosa wewe unapanga na mungu anapanga pole 😭😭😭😭💔💔💔💔💔💔🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @lucyedgar4869
    @lucyedgar4869 16 днів тому +2

    pole sana mama Neema na Pude Mungu akutie nguvu mama

  • @TatuHusseni-hs7mu
    @TatuHusseni-hs7mu 12 днів тому

    Pole sana mama yetu Allah akupe Subra kwa mtihani ulo kupata 😭😭😭

  • @Mohammed-v3i1u
    @Mohammed-v3i1u 16 днів тому +2

    Najikuta roho inaniuma sana 😢😢 lakin yote siwezi pingana na mipango ya mungu

  • @marykennedymarwa1641
    @marykennedymarwa1641 11 днів тому

    Pole sana mama , mwenyezi mungu atatoa njia nyingine .

  • @MerryRenatus-ck4lz
    @MerryRenatus-ck4lz 16 днів тому +4

    Viatu vyako ni vizito sana kuvivaa mama angu😭😭😭

  • @FaudhiaWadongo
    @FaudhiaWadongo 15 днів тому

    Pole Mama Allah akupe nguvu na Uvumilivu Allah awasamehee wapendwa wetu😢😢😢😢

  • @julianapeason6254
    @julianapeason6254 15 днів тому +3

    Mama usilie, usisononeke.Kabla watoto hawajakuwepo ulikuwepo wewe, unakosea sana kusema ndo walikuwa jembe lako na pengine ndio maana MUNGU amewachukua ili aone utafanyaje, wewe mtumainie Mungu ndo kila kitu chini ya jua. Ukiendelea kulia na wewe utawafuata kwa depression

  • @AsiaAsia-sv6ok
    @AsiaAsia-sv6ok 14 днів тому

    Pole sana mama 😭😭💔 niuchungu usiebebeka Mungu tu ndie anaweza kukufariji mama 😢

  • @zuweinaalhabsya8773
    @zuweinaalhabsya8773 16 днів тому +1

    Pole Sana habibty mama Allah atakupa subra mitihani mkubwa huu. 😢

  • @salmaelhinai833
    @salmaelhinai833 14 днів тому

    Pole mama Allah akujaalie subra katika kipndi hichi kigumu

  • @CristinLyanga
    @CristinLyanga 15 днів тому +2

    Mama Samia sisi watanzania pia tunakuomba uwasaidie hawa wahanga hasa huhu mama tunaomba umwangalie kwa jicho la huruma na la kipekee,naomba mbebe huyu mama kwa chochote,mama yetu Samia,ninaamini ujumbe huu kupitia mguso na roho ya kimungu utaupata mama yangu mpedwa,

  • @LLl-p4r3l
    @LLl-p4r3l 16 днів тому

    Pole mama mungu akutiye nguvu 😢😢😢inauma kuondokewa watoto wawili kwa wakati mmoja 😢😢😢

  • @zamzanimakundi2546
    @zamzanimakundi2546 15 днів тому +2

    Lia na mungu sugua goti mungu atakuinulia mtu wakukushika mkono lia na mungu.achana na SAMIA mungu kwanza

  • @zakiajuma646
    @zakiajuma646 9 днів тому

    Pole sana mama MWENYEZI MUNGU akutie nguvu

  • @najmaamour4445
    @najmaamour4445 11 днів тому

    Pole mama mungu atakusaidia

  • @pillykinabo8722
    @pillykinabo8722 15 днів тому

    Mungu amewapenda zaidi. Mtazame Mungu. Mtegemee yeye atakuvusha salama ktk hili

  • @HidayaMzima-n8w
    @HidayaMzima-n8w 15 днів тому

    Utaishi kwa uwezo wa mungu mama mungu ndo anaekupa na kuondosha, mungu hatokuacha atakupa mwendo,

  • @IddTwaha
    @IddTwaha 16 днів тому +2

    So sad mungu akutie nguvu mamaangu mungu amekupa jaribu inabidi ulishinde mamaangu

  • @Tariqxxtenations
    @Tariqxxtenations 15 днів тому

    Inauma sana.pole sana mama nakuelewa machungu ulionao hili neno jembe namkumbuka tulipoondokewa na kakayangu pia mama alilia sana😭😭nishakuwa mtu mzima uyu ndo wakunizika uyu ndo jembelangu aseee poleni sana 😭😭😭😭

  • @Rahela-u4b
    @Rahela-u4b 16 днів тому +1

    Pole. Sana. Mama. Agu. Allah. Akupe. Subrà inshaallah

  • @irenembura8045
    @irenembura8045 16 днів тому

    Kwa kweli ni ngumu saana. Pole saana! Mungu azidi kukupa nguvu.

  • @JenipherAgustinoMwakasala
    @JenipherAgustinoMwakasala 14 днів тому

    Mungu akutie nguvu mama yetu pole sana

  • @MaysoonBadat
    @MaysoonBadat 16 днів тому +1

    Waa hii machungu sana Pole mama

  • @ClaraMtisi
    @ClaraMtisi 15 днів тому

    Pole ndugu yangu Mungu akutie nguvu

  • @dotnatajoseph2620
    @dotnatajoseph2620 15 днів тому

    Pole sana mama du 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 mwenyz mungu akutie nguvu inshallah 🙏

  • @tunsumealfredym7896
    @tunsumealfredym7896 15 днів тому

    ALLAH AKUJAALIE MAMA NA AKUPUNGUZIE MAUMIVU INSHALLAAH,,NIKIJAALIWA KUPATA CHOCHOTE NTATUMA NUMBER NIMESAVE.

  • @DianeUzomushaka
    @DianeUzomushaka 15 днів тому

    Pole sanaa Maman yangu maumivu yako hayabebeki💔🥹🙇🏽‍♀️

  • @joselinejoseph9632
    @joselinejoseph9632 16 днів тому +1

    pole sana mama Mwenyez Mungu akutie nguvu 💔

  • @evelynemwinuka671
    @evelynemwinuka671 16 днів тому

    Mungu akutie nguvu mama jamaniiii Bwana Yesu akufunike kwa damu yake ,siyo rahisi ila Mungu mwenyewe akusaidie kwa neema yake akuponye majeraha, auponye moyo wako mama.

  • @habibamaguru2722
    @habibamaguru2722 14 днів тому

    Mungu akutie nguvu mama yangu

  • @ImanMwashitete
    @ImanMwashitete 16 днів тому +1

    Hakika yesu pekee mama yangu ndiyo mfariji wetu kila jambo lilotokea Mungu asimame

  • @dinasylivester3236
    @dinasylivester3236 14 днів тому

    Halafu huyu mama sio. Mbinafs kabsaa anaulizwa asaidiwe nini, ila anakumbuka na wahanga wenzake. Mungu akupe faraja mama😢😢😢😢

  • @VioraMniko
    @VioraMniko 14 днів тому

    Pole sana dada, MUNGU akutie nguvu mpenzi.

  • @zainabwage4658
    @zainabwage4658 16 днів тому +1

    Pole sana mama mungu akutie nguvu kipind hiki kigumu

  • @hadijauledi6995
    @hadijauledi6995 16 днів тому

    Dada pole sana sikuangalia hadi mwisho inauma inauma huyu mama yaani daaah😭😭😭😭😭😭

  • @SofiaMasawe
    @SofiaMasawe 14 днів тому +1

    😢😢pole mama

  • @AshuraIssa-p7v
    @AshuraIssa-p7v 15 днів тому

    Pole sana mama mungu akupe faraja katika kipindi hiki kigumu

  • @ZuhuraAthuman-u2i
    @ZuhuraAthuman-u2i 13 днів тому

    Pole sana jamani ni uchungu mno 😭😭😭mungu azidi kukutia nguvu ni kitu ambacho huwezi kusahau kabisa uzao wako na mungu awarehemu huko mbele za haki😭

  • @mwajumakweli
    @mwajumakweli 9 днів тому

    Kwanini mmekwenda kumkumbusha tena machungu uyu mama jamani 😭😭😭

  • @RahelyEzekia
    @RahelyEzekia 10 днів тому +1

    Dah😢😢

  • @TatuMkeso
    @TatuMkeso 15 днів тому

    Pole.sana mama,mungu akutie nguvu

  • @AgustinoJoseph-jq7or
    @AgustinoJoseph-jq7or 15 днів тому +1

    Usilie mama yangu mungu yupo pamoja na ww atakufuta machozi

  • @FetyNuh
    @FetyNuh 16 днів тому

    Pole mama angu kipedhiiiii mungu ni mwema kira wakati😭

  • @LinnaJohn
    @LinnaJohn 15 днів тому

    Pole mama yangu mshukulu mungu tu naumia mm atunajinsi tunabudi kushukulu tutasema nn atuna chakuongea

  • @ZawadiHemedi-c5d
    @ZawadiHemedi-c5d 16 днів тому +1

    Pole sana mama angu mungu azidi kukutia nguv

  • @happyfihavango4151
    @happyfihavango4151 15 днів тому

    Pole mama mungu awe upande wako

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 16 днів тому +5

    Pole sana mama Neema. Yesu auponye moyo wako.

  • @lucythemaasaijewelleryshop6131
    @lucythemaasaijewelleryshop6131 14 днів тому

    Kama alivyo mwinua ayubu na ww mama mungu atakuinua mungu aruhusu jaribu bila kukupa mlango wa kutokea mama mungu atakutendea kama alivyomtendea ayubu atkupa watoto mara dufu na mali mara dufu

  • @HAMEEDAHHAMIDU
    @HAMEEDAHHAMIDU 16 днів тому +1

    Kwann mnamhoji jaman mbona mapema sana 😭😭😭 nmeshindwa hata kuangalia hadi mwisho inaniumiza 😭

    • @jescarwegoshola1754
      @jescarwegoshola1754 15 днів тому

      Wanamkumbusha machungu Janani,😭😭

    • @HAMEEDAHHAMIDU
      @HAMEEDAHHAMIDU 15 днів тому

      @jescarwegoshola1754 yaan we acha tu. Mungu azidi kumpa faraja

  • @bitecastory2137
    @bitecastory2137 16 днів тому

    Inauma mno jmn mama pole sana kwa kweli Mungu wa Mbinguni akupe nguvu peke yako mama huwez pole sana

  • @SashaRamadhani-uu1wv
    @SashaRamadhani-uu1wv 15 днів тому

    Dah so sad jamani pole sana Mama pude 😢😢 pole sana mama neema MUNGU MWENYEZI akutie nguvu

  • @ChristianSiwale-iw7ex
    @ChristianSiwale-iw7ex 13 днів тому

    Pole sana wajina mngu akutie nguvu😭😭😭

  • @HappyEmmanueli-d9e
    @HappyEmmanueli-d9e 16 днів тому +2

    Pole sana mamaang Mungu akupe ushujaa katika maisha ako na katka dunia cc binadam ni kama maua tunachanua na kunyauka na dada zetu hawa Mungu azilaze roho zao pema peponi amen ,Mungu akupe nguvu zote mamaang

  • @WardaNcheve
    @WardaNcheve 16 днів тому +1

    Pole sana mama angu

  • @FarkiyyaAbdallah
    @FarkiyyaAbdallah 16 днів тому

    Pole mama angu Mungu akutie nguvu

  • @lizyliz5357
    @lizyliz5357 13 днів тому

    Yesu Kristo akaee faraja yako mama

  • @wendynkya1309
    @wendynkya1309 16 днів тому +2

    Maskini kweli Mungu ampe nguvu huyu mama na kumtetea na mnapozidi kumuhoji ndo mnamwongezea uchungu

  • @Sharmy_02
    @Sharmy_02 15 днів тому

    Pole sana mama Mungu awe mfarji kwako

  • @jemimabakari
    @jemimabakari 15 днів тому +1

    Sasa asipohojiwa hicho kilio chake kitasikika vipi kwa Rais,haya namba hiyo tumfute machozi,sio kusema asihojiwe tu 😢

  • @Pixxmoleli
    @Pixxmoleli 14 днів тому

    Pole mama mzuri.

  • @AnnaMbossa
    @AnnaMbossa 16 днів тому

    Mungu akutete pole sana

  • @DeborsJoseph
    @DeborsJoseph 13 днів тому

    Jaman mmerud kumhoji tena huyu mama naumia sana najikuta machoz yananitoka, pole mama angu Mungu akusaidie

  • @MariamOmary-uq3rs
    @MariamOmary-uq3rs 16 днів тому

    pole sn mama angu kpnz MUNGU yupo kayaona machozi yako hakika umenitoa machozi lakini mungu wetu ni mwaminifu atafanya njia pasipo na njia mwamini saaa

  • @RotinaMwamloka
    @RotinaMwamloka 16 днів тому

    Pole sana mama mungu akulinde

  • @RoseShakanya-x8s
    @RoseShakanya-x8s 15 днів тому

    Mungu akutie nguvu mama.

  • @ashahassan2120
    @ashahassan2120 11 днів тому

    Pole mama unatuliza na ss

  • @d.m453
    @d.m453 16 днів тому +4

    Pole sana mama,Mungu azidi kukupa faraja,na akufungulie njia nyingine nyingi za baraka,inauma sana jamani,yani huu mtihani ni mgumu mno😢😢😢