MPANGAJI |2|

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 165

  • @NatashaStanley-n1d
    @NatashaStanley-n1d 2 місяці тому +7

    mbwela nakupenda Mungu akupe maisha marefu

  • @Midekotee
    @Midekotee 3 місяці тому +16

    Mbwela character hii wamekuweza😂😂😂❤🎉

  • @mr_shabery
    @mr_shabery 3 місяці тому +3

    mwasi yupo vizuri aisee difenda imeturia

  • @MariamJaberi-g5y
    @MariamJaberi-g5y 3 місяці тому +6

    Kaz nzuri San kakoso una bay kak

  • @NasraFahmy-j9y
    @NasraFahmy-j9y 3 місяці тому +3

    Hongera enginius kakoso kaz nzr 🎉🎉🎉 mzenj ap jamni uy da hawa nampend hakiamung mpole anaonesh ❤❤❤

  • @Jacksonkyando-l2w
    @Jacksonkyando-l2w 2 місяці тому +4

    Sauda kama sio yeye Kwa umbeaa

  • @kipendimusic6859
    @kipendimusic6859 3 місяці тому +3

    Kakoso huna baya. Nakuelewa sana! Muvi Kali balaaa🎉

  • @zaujikha
    @zaujikha 3 місяці тому +4

    Napendaa chill anavyoimbaga

  • @LinahKasila-i2t
    @LinahKasila-i2t 3 місяці тому +12

    Hata kama nimechelewa naomben like zangu 😅😅😅movie imeandaliwa ikaandalikaa woiii🎉🎉

  • @SalluDullah
    @SalluDullah 3 місяці тому +7

    Karibu nakuckiliza, nimeipenda iyo

  • @Babyhuu-mg9mp
    @Babyhuu-mg9mp 3 місяці тому +3

    Kaz nzur sana mungu azidi kuwabarik na kuwatia nguv mzid kutupa vi2 vizur km hiv❤❤❤

  • @JanetRiziki-ut2is
    @JanetRiziki-ut2is 2 місяці тому +5

    Kazi nzuri sana mbarikiwe ❤❤❤❤

  • @NaiNaiStudio
    @NaiNaiStudio 2 місяці тому +2

    KAZI NZURI DIRECTOR #KASOSO#NAINAI TV

  • @SharifahMgude
    @SharifahMgude 3 місяці тому +3

    Nakupenda hawa wangu na unapendeza na stara yako

  • @SmartVicenzo
    @SmartVicenzo 3 місяці тому +18

    Afadhali ya wanawake kwa wanawake😂 kuitana mpenzi ila sisi vidume ukijaribu unaitwa P.DIDDY😂gonga like

    • @rehemamutua44
      @rehemamutua44 2 місяці тому +1

      P. Diddy is typng😂😂😂

  • @JanethAnania-w3s
    @JanethAnania-w3s 3 місяці тому +2

    Nawapenda sana mungu awajalie mufike mbali ❤❤🎉🎉

  • @JAMESBahati-k3v
    @JAMESBahati-k3v 3 місяці тому +6

    Hawa
    Naa mwasi
    Keep it up
    Bwera

  • @MwanahamisiMbembeni
    @MwanahamisiMbembeni Місяць тому +2

    Mwasi duu nyashi❤

  • @isamiIbra
    @isamiIbra 3 місяці тому +3

    Movie nzuri sana story yake ila dakika chache bora uweke full movie

  • @Brother_kakoso
    @Brother_kakoso Місяць тому +3

    Machozi ya simb....mwsi kuanzia leo nakupenda na siwezi ishi bila wewe😂😂😂

  • @SakinaAbdallah-r6y
    @SakinaAbdallah-r6y 2 місяці тому +2

    Nimempenda sengo

  • @HamzaMakombe
    @HamzaMakombe 2 місяці тому +2

    Sasa uyu kakonso tena kaolewa

  • @freedommarcus6583
    @freedommarcus6583 2 місяці тому +2

    Duh kakoso ana mshedede saiz hatari

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 3 місяці тому +7

    Sauda mwnzko anaangalia tu alichoumba Mungu😂😂😂 sengo shenzi sana😊

  • @EzekielMasai
    @EzekielMasai 3 місяці тому +2

    Napenda kazi yako❤❤❤

  • @tiffahbby3697
    @tiffahbby3697 3 місяці тому +3

    Bwela umevaa huusika wa uoga mwingi Kwa ino movie 😂😂😂😂😂 hongera upo vzr

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 11 днів тому

    Mwasi umekuwa mrembo sana ktk mpangaji wallah

  • @okaypotraits3577
    @okaypotraits3577 7 днів тому

    Kwaiyo huyu sauda yeye Hana kazi ya kufanya kazi kufatilia maisha ya watu

  • @thamratysuleiman3053
    @thamratysuleiman3053 3 місяці тому +2

    Mbwela kapatikana sana kwenye hii movie

  • @OMARYKASSIDI
    @OMARYKASSIDI 2 місяці тому +1

    Hiii ni zaidi ya snake boi kazi nzuri saana ❤❤❤❤

  • @ahmadabdallah9555
    @ahmadabdallah9555 3 місяці тому +2

    Honger ako haw siwai kukuon ukivaa mavaz ya hovy kweny move zako

  • @MariamMgate
    @MariamMgate 3 місяці тому +2

    Wow Mashaallah kazi safi ❤❤❤❤❤

  • @Mashversion-Entertainment
    @Mashversion-Entertainment 3 місяці тому +22

    First viewer from Kenya...wapi likes zangu❤

  • @mnyampaa_kisasa
    @mnyampaa_kisasa 3 місяці тому +9

    Uongo mbaya mtt hawa ni mzuri walah anapendezea sana movie za mjini mjini huku wanamzeesha tu😂😂😂

  • @Veronicahermanjohn166
    @Veronicahermanjohn166 3 місяці тому +2

    Dude kama lile , nyash kama lile😅😅😅😅😂😂😂😂 sengo

  • @SnapBoy254
    @SnapBoy254 3 місяці тому +6

    Hawa na mwassi kama madada vile

  • @BarakaStephano-u6q
    @BarakaStephano-u6q 27 днів тому

    Hawa na mwasi hakika Mungu kawajalia inshallah nawapenda

  • @SarahMasigani-q9z
    @SarahMasigani-q9z Місяць тому

    Nakubal director kakos big up sanaa🎉🎉❤

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 2 місяці тому +2

    😂😂😂😂Mbwela eeeh matafari na siment na mabati utazani anajenga nasio kutibiya mbavu zangu mie Mbwela utazilipa😂😂😂

  • @GrandePiquiGrande
    @GrandePiquiGrande 3 місяці тому +42

    Wanao Amini kwamba kakoso atakuja kuwa mwigizaji bora tujuwane apo kwenye like 🎉🎉❤

    • @SheikaYussuf
      @SheikaYussuf 3 місяці тому +2

      KIUKWELI TIM VEVO WOTE VICHWA KILA1 ANAMSHINDA MWENZIWE MAASHALLAH❤❤❤❤

    • @Msaniitz
      @Msaniitz 2 місяці тому

      Nipo

    • @Boniphaceshayo5
      @Boniphaceshayo5 Місяць тому

      Mwigizaji au Director bora

  • @Mosetieunice
    @Mosetieunice 3 місяці тому +4

    kazi nzuri sana kakoso 🎉🎉🎉🎉Kenya tuko ndani ❤

  • @OengaMildred
    @OengaMildred 2 місяці тому +3

    Mbwela pole sana 😢😢 but mwisho nakuwait dear 😘

  • @Msaniitz
    @Msaniitz 2 місяці тому +2

    Sengo sengo 😂😂unaangalia tako la wenyewe😂

  • @RehemaMwambene-nf3yh
    @RehemaMwambene-nf3yh 2 місяці тому +2

    Mbwela nawewe zam yako kuteseka sasa😂😂

  • @salimkombora2742
    @salimkombora2742 2 місяці тому +2

    Watching from Kenya

  • @BarakaStephano-u6q
    @BarakaStephano-u6q 27 днів тому +1

    Jaman mwasi ana makalio balaa Kwan umeolewa

  • @helinasubila987
    @helinasubila987 3 місяці тому +5

    Bwela aki mayai 😂😂

  • @scompanyswahili3024
    @scompanyswahili3024 2 місяці тому +4

    Mbwela mbwela mbwela hajawai kukosea huyu mtu mzito

  • @SnapBoy254
    @SnapBoy254 3 місяці тому +6

    Hawa? Saut sumu iyo, chunga nahao wasopenda na bwana zao

  • @ScolaMashalo
    @ScolaMashalo 2 місяці тому +1

    Kaz nzuri sanaaaaaaa hongereni, Kakosoo umetishaa

  • @liz77941
    @liz77941 3 місяці тому +1

    Well organized movies kakoso . Love from Kenya

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 3 місяці тому +4

    Nimekuwa wa kwanza nakubali kakoso hujawahi kutuangusha❤🎉

  • @AffectionateChess-mh5cz
    @AffectionateChess-mh5cz 3 місяці тому +3

    Hawa endelea kuvaa vizur hivyo hivyo unapendeza sana

  • @TheReporter-A47
    @TheReporter-A47 3 місяці тому +5

    Huyu dada hawa anasauti nzuri sana na anajua kuigiza akiwa ametulia

  • @TamarChirwa
    @TamarChirwa Місяць тому +1

    Mbwela anatisha nyie acheni wewe huyu jamaa ni noumaaaa

  • @SarahSonia-y4g
    @SarahSonia-y4g 3 місяці тому +5

    Uyo dada uchawi unamfanana tena awo mchawi kweli

  • @LebonAlliance
    @LebonAlliance 3 місяці тому +2

    Kazi zuri kabisa musikawe kutocha nainpenda sana usisheleweshe

  • @NgumbaoMartin
    @NgumbaoMartin 2 місяці тому +1

    Mbwela ,,mchawi anautaka😂😂

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 11 днів тому

    Hakika mwasi upo vizuri natamani ningekuowa ilq ndo ivo una wako

  • @NoorEesa
    @NoorEesa 3 місяці тому +1

    😂😂😂😂😂😂mm wote mko sawa ila hapa sengo umenichekesha walai😅😅😅😅macho hayana huruma

  • @GadafiBakari
    @GadafiBakari 3 місяці тому +3

    BADO tunasubiri kinyesi kwa njia panda akiwa uchi

  • @HidayaJamali-v1g
    @HidayaJamali-v1g Місяць тому +1

    Hawa mzuri jamani mashaallah

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 11 днів тому

    Mwasi uji ktk mfuko wa rambo umejaa mzee wa shebele kavurugwa

  • @YusufuKabemba
    @YusufuKabemba 4 дні тому

    Mwasi kwa mwinyi mkuu

  • @muhayarugaonlinetv
    @muhayarugaonlinetv 3 місяці тому +3

    Hii movie niyakitambo mbn.. Nikama imerudi tena na jina la kakoso

  • @cristaezekiel1036
    @cristaezekiel1036 3 місяці тому +7

    😂😂😂😂Kwakweli mbwela huyo ni anautaka 😂😂😂😂😂

  • @HassanHassan-ix7cj
    @HassanHassan-ix7cj 2 місяці тому +1

    Hawa na Mwasi
    Ma Shaa'Allah ❤❤
    Nawapenda bure

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 11 днів тому

    Mzee wa shebele 🎉🎉🎉😂😂

  • @cristaezekiel1036
    @cristaezekiel1036 3 місяці тому +5

    Hawa mzuri jmn 😍😍😍😍awwwwww

    • @IsmailJuma-n4c
      @IsmailJuma-n4c 3 місяці тому +2

      𝐢𝐥𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐥 𝐡𝐮𝐲𝐮 𝐡𝐚𝐰𝐚 𝐚𝐭𝐚𝐧𝐢𝐭𝐨𝐚 𝐫𝐨𝐡𝐨 𝐧𝐢 𝐦𝐫𝐞𝐦𝐛𝐨 𝐬𝐚𝐧

  • @ALIMOHD-bk9lr
    @ALIMOHD-bk9lr 3 місяці тому +3

    Safari hii SAUDA kaamua UBAYA UBWELA tuuuuu😂😂😂😂😂😂

    • @mjapanitz
      @mjapanitz 3 місяці тому

      🔥🔥🔥😁😁🏃🙅

  • @HassanHassan-ix7cj
    @HassanHassan-ix7cj 2 місяці тому +2

    Kuangalia alicho umba Mungu si makosa 😂😂

  • @ReemaM-i5t
    @ReemaM-i5t 2 місяці тому

    Kazi safi sanaa

  • @DaudJohn-y9y
    @DaudJohn-y9y 3 місяці тому +3

    Mpangaji

  • @HamisiMwadziwe-t7o
    @HamisiMwadziwe-t7o 19 днів тому

    yani Sengo na mitulinga hawachani😂😂😂😂😂

  • @RobertGodyfray
    @RobertGodyfray 3 місяці тому

    Nawakubar San nakazi zenu ❤❤❤❤

  • @nellymtambo8432
    @nellymtambo8432 2 місяці тому

    Eti anakutaka atakutakaje na t.shirt yako imeandikwa Simile 😂😂😂 na c smile 😂😂😂waigiaji mjitahidi kusoma na kuelewa maandishi yanayo andikw kwenye nguo zenu km vipi bora mvaee maua maua😂😂😂

  • @willymzawa9183
    @willymzawa9183 2 місяці тому

    Hii move nzur san yan no west time

  • @cristaezekiel1036
    @cristaezekiel1036 3 місяці тому +1

    Kwan mama mwenye nyumba shida nn?mbona kama unautakaaaaaaaa 😂😂😂😂😂unamlazimisha mtu akae kwenye nyumba yako kwann 😂😂😂😂nmekwazika sana
    Mbwela ebu mpe kitu anataka huyo saudaaaaa 😂😂😂😂😂😂😂anautaka

  • @stevenhaule6786
    @stevenhaule6786 3 місяці тому +1

    Nakubali

  • @cristaezekiel1036
    @cristaezekiel1036 3 місяці тому

    😂😂😂😂😂Nampenda pete wa clam 😂😂😂😂😂😂

  • @Rui_Lvs
    @Rui_Lvs 3 місяці тому

    Umetisha Kaka ❤🔥

  • @PendoJoseph-vm1oc
    @PendoJoseph-vm1oc 3 місяці тому

    Mzee wa noma kakutana nacho acha uoga

  • @mejubagu6825
    @mejubagu6825 3 місяці тому

    Mwinyi mkuu❤❤❤❤❤

  • @ErnestMoyo
    @ErnestMoyo 2 місяці тому +3

    Mmh mwasi ana mzigo aiseee

  • @RamadhaniOmary-s7n
    @RamadhaniOmary-s7n 3 місяці тому

    Mnatisha mbwa

  • @Tarzan_cat
    @Tarzan_cat 2 місяці тому

    Uchawi tuu kuangalia makalio aah 😂

  • @andrewkilave3532
    @andrewkilave3532 3 місяці тому

    Nzuri sana

  • @Cathrinelik
    @Cathrinelik 2 місяці тому

    Kutoka kenya 🇰🇪 naombeni likes zenu😅

  • @anualhemed6808
    @anualhemed6808 3 місяці тому

    Hii imekaaa fire🎉🎉🎉🎉🎉

  • @PMkagoni
    @PMkagoni 3 місяці тому +1

    Kenya my country.... 3:21

  • @Maryam-e2x8p
    @Maryam-e2x8p 3 місяці тому

    Mbwela kwisha habari hyako 🇸🇦 🇸🇦 🇸🇦 🇸🇦

  • @jubaidamiss2409
    @jubaidamiss2409 3 місяці тому

    Next ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @YohanaNyabanda
    @YohanaNyabanda 15 днів тому

    Kumbe mchaw nae ana wivu

  • @selemanisalehe7559
    @selemanisalehe7559 Місяць тому

    Tabasamu la mwasi linanivuruga

  • @MaiyyahSaidi
    @MaiyyahSaidi 2 місяці тому

    We Dada utakua mchawi kweli. Sasa Ole wako uje uiloge comment yangu

  • @OmariMohamed-l3o
    @OmariMohamed-l3o 3 місяці тому

    huyu mwasi huyu mmmmmh haya bhn

  • @johnrogeo2161
    @johnrogeo2161 2 місяці тому +1

    kaIi sana

  • @MashakaSaidi-v7n
    @MashakaSaidi-v7n 2 місяці тому

    Mwasi kumbe una shepu..

  • @geoffreymaingi6088
    @geoffreymaingi6088 3 місяці тому

    Macho ya ayana uruma basi🎉🎉

  • @shaybu-nj2pe
    @shaybu-nj2pe 2 місяці тому

    Mbwela kk tangu chanuwo kw madebe lidai nakufuatia,niwazotu kwnn ukifanya kaz zawatu unafanya vzurivzuri sana ila zakwako sipati kile ninacho amini kwny uwezo wako,shida nn kk