MBWELA KAKANGU NAKUHURUMIA SANA YAAN SAUDA KAKUAMULIA ILA NACHEKAA MAANA SI KWA HALI HIO UJANJA WOTE KWISHA NAKUPENDA SANA KAKANGU ❤❤❤❤ NISALIMIE DAA MWASI
Mi naona wamekua wanashindana sana kutoa movie sijui series mpk sehemu zingine ziko mbele ya muda zingine nyuma ya muda wangerelax maana kundi lote la snake boy kila mtu ana movie yake series yake mpaka wanaigiza maaeneo hayo hayo kila mtu movies tofauti kila kitu kina muda wake humuoni lebbo za mziki za mziki wanavyosota ndani la lebbo mpkaa kutoka 😂
Nlikua natafuta hii comment, sielewi pia...hii episode wakiwa kwa mganga kanyoa,alipoenda kwa mgaya akampata ametoka kuoga na sauda hajanyoa kisha nywele ni kubwa haswa
Mwinyi mkuu anaupiga mwingi sanaaa akiwa mganga kama unakubali gonga like za kutosha🎉
ILA KAKA MBWELA TULETEE MUENDELEZO WA MTOTO KAUTAKA❤❤❤❤❤
Mie wa tatu wote mtakao tazama mungu awabariki sana
Amini❤❤❤❤❤❤
Mbwela yuko vzr sana 🙌🙌🙌jamaa anafit sehemu yyt yan hana baya
Mbwela Kwa kweli unafanya kazi nzuri pokea ua lko🌹🌹🌹
Mbwela mwanangu unajua vibayaaa Yan mpk unakelaa huyo sauda anakutesa baba uoga wako unanifany nakufa cheko nakurudia kipande etty mgaya umeni choncha 😅😅
Mbwela 😂😂😂 nakupenda sana 😂😂 unafanya mazoezi na jua Kali au sio 😂🙌🙌🙌
Director kakoso kazi nzuri🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
😂😂km ndo wachaw wanavofanya daahh wachawi shikamoon😂 Kaz nzur xn kak kakoso mungu akubarik sana pamoja na Tim nzima❤❤
Yaani mbwela wewe Leo umenifurahisha sana😂😂
Chili kazi ya ganga imekupendeza mno kwani we ni mganga kweli au😅😅😅
Nakubar San kakoso una bay kak kaz nzuri ❤❤❤❤
Movi ya moto sana hongera kakoso
MBWELA KAKANGU NAKUHURUMIA SANA YAAN SAUDA KAKUAMULIA ILA NACHEKAA MAANA SI KWA HALI HIO UJANJA WOTE KWISHA NAKUPENDA SANA KAKANGU ❤❤❤❤ NISALIMIE DAA MWASI
😁😁🏃
Mbwela 😂😂😂😂mazoezi jua Kali mm nakataa😅😅😅😅
Sauda now you have found the part that suits you. The best witchlady so far best part.
Mbwela umepatikana kweli yani mi nacheka hatali ila kaz nzuri sana bro
Nakubali sana director kakoso 👍
Move nzuri mnajua amjawai kukosea big up❤❤✌️✌️✌️
Mbwela kama mbwela umepatikana😂😂😂😂
Aisee kazi nzuri wapendwa.natamn iwe mnatuletea kila siku jmn😂
Safi sana brow 🎉🎉🎉🎉
Nakubali kazi yako Kakoso
😂😂😂❤❤❤
Kazi nzuri sana🇹🇿
Nakubali director kakoso❤🎉
Kaz nzuri San jamn
Mbwela😂😂😂😂 eti unafanya tu mazoezi😅😅😅😅
😂😂😂 nimeceka kama mazuri Mbwela yamekukuta yalomukuta Sauda mukonae sambamba mazowezi yataaca rage 😂😂😂😂
😁
😂❤❤bwela umenichekesha ulipokua wachungulia mchawi
😂😂😂😂😂😂mbwela leo kawahiwa!!eti nitakuwa nmebugi 😅😅😅😅
kazi nzuri sana TZ
Hehehe habari zako pia wanazo ndio maana mawe🏃😂😂😂😂
Na taArifa zenu mimi ninazo lakin zangu hamna....😂😂😂😂
Kaka mbwela umenifrahisha sn hadi raha nakukubali hn mpizan❤❤❤❤❤❤❤❤
Mbuzi kafia kwa muhuza supu😅😅😅
Kazi nzuri
😂😂Nimechelew saw lkn kwahil lazim nilisem ndo kwanz naon mchaw anajibanza😂😂😂
Jamani 😂🤣😃 nitanyamba cheche😂😂😂 nitanyamba giza😂😂😂😂 humu tu 😄😂😂😂 we kuweza 🤣😃
Wooooow safi sna
Bwela wewe noma kweli 😅😅😅😅 🇧🇮
Mwinyi mkuu mimi nishazoea unasaidia watu mbona huku upo tofauti
Mwinyi mkuu movie hii hausaidii wanadamu umekua na roho mbaya
Sauda ameua sana
😂😂😂Ety mtajamba cheche na kunya😂😂😂 giza
😂😂😂😂😂
Mbwela umetisha kaka penda kaz yako
Eti watajamba cheche na kunya Giza 😂😂😂
Kakoso huyu Sauda hii party ya uchawi inamfaaa sana, naomba iwe anacheza hii party katika movie zote za kiwachawi
😁🙋
😂😂😂😂😂😂😂
Ila mbwela...mgaya kakufanya nini😂😂😂
Nawakubali sana
Sauda kaweza kwa kwely
🙌🙌Hii kaz n fire
Sengo jamani nakuhurumia 🥹🥹🥹
Nitakwambira sio nitakwambia kulukuntantaa😂😂😂😂
Huyu sauda anafaa kasi ya uchawi sana aeendeleetu hapohapo musimueke part nyingine😂😂😂😂
Mi naona wamekua wanashindana sana kutoa movie sijui series mpk sehemu zingine ziko mbele ya muda zingine nyuma ya muda wangerelax maana kundi lote la snake boy kila mtu ana movie yake series yake mpaka wanaigiza maaeneo hayo hayo kila mtu movies tofauti kila kitu kina muda wake humuoni lebbo za mziki za mziki wanavyosota ndani la lebbo mpkaa kutoka 😂
Kali sana
Kwl,ss wenyew tunap3nd ivo yan napenda mbwela awe na nguvu nae
mbwela mala kanyoa mara hajanyoa vipo jamani.
Mm siwezi ogopa uchawi kiasi hiki ata kidogo.
Katoka mbio mbwela😂😂
Kakoso umezingua mbwela mbna amenyoa akiwa anaongean mwasi alaf akiwa n mgaya hajanyoa
😂😂😂😂😂Hahaha haha 😂😂😂Hahaha
Mbwela hizo nywele unataka kusuka😂😂😂
Vipi Ku usu mwakatobe
Whataboutmwakatobe
Mgaya umenichonja 😂😂😂 nimecheka😂😂
😅😅😅😅😅
Kazi nzuri wadau
😂😂😂😂😂Mtajamba cheche na kunya giza 😂😂😂😂
Directir kakoso jaribu kuweka image iwe nzuri
Whaou mbwela mwasi mimi shabiki wenu kwa nini dairecta kakoso nisi mushabikie poa
Ila mgaya mgaya umenichonja😂😂😂😂
Sauda uchawi umemfaa kabisaa, mdomo mweusi kama mwanamke mumbea
Kuruku tata mantetereee chili mzaziiii hahahahahhahah
Chili daaaah umetisha hahahaha😂😂😂😂
Ila Mbwelaa😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Mmeweza🎉🎉🎉
Mbwela kuna scene anaonekana kanyoa nyingine nywere nyingi na color tofauti kwwn imekaaje hapo kakoso
Nlikua natafuta hii comment, sielewi pia...hii episode wakiwa kwa mganga kanyoa,alipoenda kwa mgaya akampata ametoka kuoga na sauda hajanyoa kisha nywele ni kubwa haswa
@@aishaomar2287 inabidi Mr Genius kakoso a cheki mambo haya yasiwe mengi , I’m sure tutafika Hollywood inshallah 🙏🏿all the way from 🇺🇸!! Naitwa way
@@twicclernachechanachecha2179 he has to...ASAP!
😂😂😂😅watu wanaish wew na hawawez kuiktii mchezo cku nzimaa Kuna vipande vinakoseaa coz unakuta mtu ushachange muonekano unaambiwa Kipandeee kirudiwe
Ayo ni makosa ya bongo movie wengi kwaiyo fata tu stol
One love
Nikubaya 😅😅😅😅 🇸🇦 🇸🇦 🇸🇦 mbwela kwisha
Nimefika kabisa gutoka burundi
Movie nzuri sana hiii nimeisubiri 🎉🎉🎉
Sengo mjue bibi yako😅
😂😂sauda anajikuta mwamba
🚵vandame😁
Mbwela kama mbwela ety unatoka kufanya mazoezi na jua kali yote mtaniua ww na sauda😂😂😂
🙋😁
Naikubali sana
Ap mdomon umepaka langi am nakama langi ujapaka vizur
Mbwela kanisikia kaenda kupunguza nywele 😂
Nimemnyoa usiku wa manane😁😁 haogopi tuu ngoja aneng'eneke tena
@@mjapanitz 😂😂😍
Ila mbwela kaingia kwa p didy saudaa😂😂😂😂😂😂
😁😁😁🚵
@@mjapanitz napenda saana kazi zako mrembo 🥰🥰🥰
@@StarBwoiyz 🙏
Mtajamba cheche na mtakunya giza
Mboka kama ndoo haina maji kwani alikwenda kuoga nini bafuni
Sauda kama mchawi kweli vile
😁😁😁jichanganye
Mwinyi ndie mganga kamili
chuma juu ya chuma
Kakoso Hii Filamu Ya Tatu Naona Mmeigiza Eneo Moja Tatizo Nni
Nipo na story, natamani niweze kuifikisha mikononi mwenu Ili ifanyiwe kazi.
Nipo Bagamoyo
Next❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Sauda kulachakula chenye hafya upate mwili kama wengine ila kazinzuri
Kwa jinsi vimuv vya kichawi humu u tube vilivyojaa itafikia hatua sasa watoto wa 2000 watajua uchawi ni kitu kizuri
Mbwela mbona unahatarisha maisha yako ukitaja saudani mchswi😂
🤗
Kwan sauda anachubuka mdomo kwa ugonjwa Gani au kasha ungua sio kwa ubaya jamna
🎉🎉🎉🎉
😂😂😂😂😂😂Mbwelaaaaaaa