SIJAONA HII FILAMU INAPOFUNDISHA UCHAWI, NAONA WANATUFUNDISHA NIDHAMU NA KUTO KUDHARAU MTU iwe unamfaham au haumfaham😢😢 BIG-UP #mwinyimkuu🎉🎉🎉💪🏽🤝🏽 KAZI NZURI SANA BRO🎉❤kiroho sayona❤
Nenda na wew kaigize ya kwako yenye maadili ya dini kwani unafeli wapi ndugu yetu?...arafu izo ni shobo za mwendo Kasi! Wewe kilanga chako nani kakutuma umfollow mzee mwinyi?...mbona kuna account nyingi tu zinazofundisha dini?...Kwan account ya shekhe kishk,mazinge,Dr sule,na wengineo hujaziona mpaka uje uku?...we vp!😂😂😂😂😂😂
Hii move imenifundisha inatakiwa uliambiwa usikie ikikutana na mtu kuheshimu na nimejifunza nilitoka kwawatu niishi kama niko kwa watu na kuwaheshimu waenyeji
Chili mko vzr maneno ya ya watu yasiwakatishe tamaa❤
SIJAONA HII FILAMU INAPOFUNDISHA UCHAWI, NAONA WANATUFUNDISHA NIDHAMU NA KUTO KUDHARAU MTU iwe unamfaham au haumfaham😢😢 BIG-UP #mwinyimkuu🎉🎉🎉💪🏽🤝🏽 KAZI NZURI SANA BRO🎉❤kiroho sayona❤
Kabisa Iko sawa kabisa
Sijaona kutufundisha uchawi baliinatufundisha watu tupendane family ipendane. Naikubali sana hii film
Chili unafnya kaz nzur sana jamii inajifunza namna ya kuishi na watu na kuamini Mungu yupo binadam wabaya sana
Mchanganyiko wa wasanii humu ndani ndio i like ishara ya upendo,ushirikiano na kusapotiana ❤
Hakokawimbo mwinyimkuu
Hii filamu kwani ndo apa inaanza ningependa kuionea mwanzo mwinyu mkuu unaweza❤
Juma Yuko chini sana hata kwenye mamuz sio kabisa huy
Mwiny Mkuu ananikosha nyimbo zake yani nazipenda unaweza❤❤❤❤🎉 from omani
Uyumwinyi niyule aliekuwa anaigiza namalehemu majuto
Ata na mm
Ndio huyo alikuwa anaitwa chili
Wapenda hizl za kichawi tujuane hapa❤😂😂😂nyie wengine kaeni kwa kutulia na msiguse comment yangu😂😂
😂😂😂😂 aki ww
@@aishaomar2287 😂😂
😂😂😂😂 mbona Kama umenigusa vile
Chil you're dope man still stick in you're ..yako hiyo hiyohiyo yako usije kubadilika my G Safi sana ndugu slt sana my G
Et uchawi hilo ni darasa mjue mnaishi kwenye njia gan afu hii ni sanaa ndo maan tunaona maudhui,
Nenda na wew kaigize ya kwako yenye maadili ya dini kwani unafeli wapi ndugu yetu?...arafu izo ni shobo za mwendo Kasi! Wewe kilanga chako nani kakutuma umfollow mzee mwinyi?...mbona kuna account nyingi tu zinazofundisha dini?...Kwan account ya shekhe kishk,mazinge,Dr sule,na wengineo hujaziona mpaka uje uku?...we vp!😂😂😂😂😂😂
Safi sana bro! Mwambie aijue nin maana ya Sanaa Kisha aielewe sanaaa😂😂😂
Wanawakeee mioyo yao haiwez kutunzaaa siriiii
Pigakaz Kaka🎉🎉 kunawengin wameaminishw maombi hawatambui kuahao wachungaj tunawaagua usiku kanisan et waganga wabay yy iliapate mvuto tunampiga nderekwanza hahaha kurumaman tetereeee
Amani iwe juu yenu wapenzi.kaka kazi nzuri sana tena sana na wala usikatishwe tamaa na baadhi ya comment ambazo hazikuzingatia maudhui ya hadithi
Kazi nzr chili we noma bor
Wewe maadili ajakufundisha babaako namamaako ikakufundishe move apa chapalapa mwanzomwisho mchongo wakutafutaela tuu maadili ndio nn
😂😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
Ekti wewe michezo ya mungu na kichawi sisi tuachie michezo yetu nausikomenti chochote hapa
@@AdofMpahi-f3f nisamehe mara 70 Mkuu
Nili mmisi uyo dada nwenye kipini na nguo zabluu uwa ana fanana na mama ❤❤❤❤❤
Mwinyii unajuwaa kuimbaaa hongera
Mashallah ❤❤Nice one
Chili hii ni adithi nilembe matongo tongo yangu yote uwone chia😂😂😂 nimependa
Mswano kazi nzur sana mwinyimkuu
Hahaahhahahaah kweli huyu ni mwenyewe wallllaaiii may Almighty Allah bless your job
Sound ni kubwa sana kuliko maneno jmni mpunguze❤🎉
kwakweli chili anajuasana mungu am baliki aweze kufanikiwa lakini ata wanaetoa tunzo awaoni pia anaemuunga mkono Mungu amlipe
Nakukubali sana chili
Wakanza mimi leo wapi like zangu toka kigoma
Tumekubaki kazi kmkm zanzibar
Jamani Chilli Kwa kumpendeza uganga daah😂
Ss tunapenda hii we ipi yenye kuelimisha mapenzi au tushaachaga uko
Picha himeanzia kilingeni❤❤
Waaacha😂😂😂 chili wewe n the goat😊
Uyu mwinyi niyuleyule aliekuwa anaigiza namalehemu majuto
Asante sana mwenye mku
Duh sisi wanawake sijui kwannhatunaga vifua asa wewe ushaambiwa usiseme mgonjwa alipo wewe ushasema duh
Yaan wanawakee bn sijui tun nini😂😂😂😂kashasema tena
😂😂😂😂😂
Hana kaba 😂
Yaan sisi wanawake bhana
Kaz nzuri sanaaa
Bgap sana Wana namikubali waacha
Da kwli kk uko sawa kk
Sauti ya mziki iko juu sana
Huyu mama mdogo chenga kweli . Mtu wa hiv simtaki
Kaz nzur
Acha kinanda kilindime
Hii move imenifundisha inatakiwa uliambiwa usikie ikikutana na mtu kuheshimu na nimejifunza nilitoka kwawatu niishi kama niko kwa watu na kuwaheshimu waenyeji
Wanne leo🎉🎉🎉🎉
Kinanda jamani mkiwa mnaongea mkipunguze
Tusapoti vya Kwetu iko kinanda kabla akijaekwa watu waliona kwamba Akina madhara
@@stym12345 sasa tusitoe maoni na kama ningekua sisapoti ningeangalia sasa mpaka nikasikia hiko kimziki
Mwinyi mku lete maraha 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Good job 👌
Dah wanawake amna kifua
Kazi mzuri sana
Sound ya muziki kubwa sana kuliko maneno
Mzee bwan aly😂
Moral lesson , keep you plans a secret until the fruits blossoms and reveals themselves
Wanakijiji hawana siri... aliambiwa asiseme ... mm nashuku huyo mama mdogo
Chili umefanana na ogan wa mieleka😅
Kumi bora nipo😂
Uchawi tu kuoga Wala
Kwa inakuhu hilo la kuoga
kazinzur ila saut iko chin mzik uko juu san
Djamani mimi nazifurahiya muvi hizi za huyu mganga Tangu nikiwa mutoto
Toweni miziki
Aka kakatuni kasaundile mama❤❤
Mziki upo juu kuliko sauti i
Wa pili mimi apa
wakwaza kukoka congo
KAZI nzury chili mwana WA sosi
Nzuri sana
Uchawi upo chili carata yake ni uganga
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Chili chilikaaa
Huyu bi zengo ni bi kikala wa kombolela au macho yng?
Hii n mpya au
Ni mpya
Kulungute lile😅😅
Iyo sound ya mziki ni kubwa kuliko maneno msiwe mnaweka sound sehem wako wanaongea bna
Huyu maman anaye ongea kila Kitu ana nikwaza Sana kwaku ongea ongea
Kiwi kudharau watu
Namuona mama zumooooo apooooo
Sasa baya liwapi hapa si haya mambo yapo mpka saizi wajitia una dini sana si utoe yako ya vitabu vitukufu basi we vip
siku hizi ni kujifunza ushirikina tu
Action ni acting
Nzur
Nzur sana
🎉🎉🎉❤❤❤
Kwan mkoba wa Bibi imeisha chilii
Huko nako tunaelemishwa uchawi upo
Ina man hausikii ama kiziwi
Mkoba wa bibi mbona ujaimaliza chili
Acha ujinga
Uyo mama ananikera silipendi
Ile mkoba wa bibi hata sijaelewa ilivyoisha
Haijaisha itaendeleya sehemu ya pili
Walile odama😂
okay
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
🙏🙏🙏❤️❤️🇧🇮🇧🇮
🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️❤️🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Baada ya kuekt michez yenye kuifunza jamii maadili ya dini na uchumi mnafundisha uchawi tu
Hii ni sanaa ni wanatoa elimu juu ya maisha ya Sasa kwahyo kama huelewi tuachie
Acha usenge ww
Wacha wapate majina kwanza alaf watatuletea hizo zingine
Hayo ndo maisha halisi ya apo bongo usijitoe akili au vep mwanetu
😂😂😂kugumu
😮😮😮😅😅😅😅
Kwani mkoba wa bibi imeisha?
IYOO SOUND TRACK AISEH SOMETIMES IS BOARING .....
Vp
Stop hio flute ... inaharibu twashindwa kuskia wanachosema waigizaji