God bless Obby Alpha haikuwa, Rahisi kufika hapo it touched me so badly Omg I don't know ' how what say I'm speechless for how far how God brought for far
Bro hii Nembo kwenye Jina lako inavyo onekana ukitumia computer mbona kama imenikata mood ghafula kuendelea kusikiliza Nyimbo zako. kwani hiyo logo inamaana gani?.
Kak obadia nakupenda Sana mungu kiongoz kwako na azid kuinua kz ya mikon yako huna ujuzi mwingi lkn mungu kwako ni muanzilishi wa kila Jambo be blessed ❤ like hapa
Kikubwa uvumilivu, Mungu hachelewi kujibu wala, haja za mioyo yetu zinatimia wakati wowote apendao mwenyewe, hatupaswi kukata tamaa haswa pale mambo yanapozodi kuwa magumu, huo ndio wakati wa kupokea. Mbarikiwe wote mlioshiriki kwenye wimbo huu wa kutia nguvu ya kuendelea kumwamini Mungu anayetuwezesha kushinda. Amen.🎉🎉🎉
Kipaji chako kilionekana muda mrefu sana kaka hasa kwa wasio kufaham kaka ,, Sisemi kwamba nakufaham ila tokea kipindi nakujua kipindiicho click alikua anafanya producer na dirictor kwa wakati mmoja,, MUNGU azidi kuwainua Vijana
Haikuwa rahisi,it has taken his hand🙏🙏I the lord will make a way for you.Don't give up rather trust in God he will surely make a way for you at the end of the tunnel.
i came here from tiktok and trust me i have repeated it for more than 10 times. bila wewe mungu wangu siwezi....wapi likes za wakenya
One of my favourite songs when I remember what God did for me😭
Amen 🙏🙏.ni mkono wa mungu tu 🙏🙌
Nyie naupenda huu wimbo🎉😢
God bless Obby Alpha haikuwa, Rahisi kufika hapo it touched me so badly Omg I don't know ' how what say I'm speechless for how far how God brought for far
Kenyans from tiktok drop a like
Hongeren nyote mlioshiriki huu wimbo ila sauti umetulia pahali lake💐💐🙏
Adi nikafanya challenge pale TikTok..wah .penda sana huu wimbo
Japhet mwalimuuuuuuuuuuu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤🎉🎉 🎉 🎉 🎉 🎉 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Amen🙌hallelujah😭on repeat mode.asante yesu
Amen YOHANA 15:5
Bro hii Nembo kwenye Jina lako inavyo onekana ukitumia computer mbona kama imenikata mood ghafula kuendelea kusikiliza Nyimbo zako. kwani hiyo logo inamaana gani?.
Hio nembo ni ya medali. Zile wanavalishwa washindi.
Asante Mungu,
I've been blessed with this one brother @ObbyAlpha consider me for a remix💯💯
Much love from Kenya.
Wale wa kugraduate this year its our gospel jam ❤
Welldone bro commenting from BUKOBA KAGERA TANZANIA
Asante Mungu 🎉🎉🎉❤by #Ibrahimuimani-moyowasubira
Kak obadia nakupenda Sana mungu kiongoz kwako na azid kuinua kz ya mikon yako huna ujuzi mwingi lkn mungu kwako ni muanzilishi wa kila Jambo be blessed ❤ like hapa
My favorite gospel in the ulbum.
Bila Mungu mimi siwezi kweli...thank you obby for this song
Sometime we should just tell God thank you we are breathing is a gift
Amen🙏🙏🙏🙏
Just God knows how many fears am holding in, but hope someday i will be relieved🙏.Hope everyone should cheerup and leave the moment we have now🥰
Sorry❤
Bila Mungu Mimi siwezi Asanteeh Kwa wimbo mzr
Amen and AMEN I FEEL OBSESSED WITH THIS WONDERFUL SONGS OMG ❤❤
Amen, barikiwa ndugu,
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Ahsanteni sana watumishi
Sio rahisi kabisa bila Mungu mimi siwezi lolote yani hata kidogo
Ubarikiwe ktk kupitia nyimbo zako usiku huu wa nane napata Aman na kutoka ktk majonz niliyo nayo barikiwa😢
congratulations Obby ft Japhet your songs are blessing if love their songs like tukisonga 👍💪
Wimbo mzuri sana yani
Much love bro. Be blessed 🙌 😇 🙏
Nice one brother obby, nilikua najiuliza mbona umenyamaza hivo, kumbe you were cooking something! more Grace brother
Sauti nzuri ujumbe mzuri Mungu aendelee kukuinua zaidi na zaidi
Ameni Mungu AZIDI kukuinua zaidi yahao ulipofika
Glory to God ❤❤
Can you please let us download 😭😭😭🙏
Kaka this is fantastic, and international Hit Song brother Ubarikiwe sana
Kaka this is fantastic, and international Hit Song brother Ubarikiwe sana
Aiseee wewe noma nyimbo zakozinanibariki mno
Hallelujah Yesu umeinuliwa juu sana
❤❤❤❤❤❤
My life is in this song
Be bleesed
Love your songs even though I don't understand them that much more grace on your life
Blessed 🙌 😇
Mimi siwezi bila wewe Mungu ...Nice message alpha
Kikubwa uvumilivu, Mungu hachelewi kujibu wala, haja za mioyo yetu zinatimia wakati wowote apendao mwenyewe, hatupaswi kukata tamaa haswa pale mambo yanapozodi kuwa magumu, huo ndio wakati wa kupokea.
Mbarikiwe wote mlioshiriki kwenye wimbo huu wa kutia nguvu ya kuendelea kumwamini Mungu anayetuwezesha kushinda. Amen.🎉🎉🎉
Mungu akubariki maneno yako yamenipa nguvu ya kuendelea🙏🏼🥹
@@vickymichael5059Amina 🙏 tuzidi kubarikiwa sote.
Kuna muda tunapitia magumu mengi hadi kukata tamaa lakin kupitia maneno ya Mungu tunainuka tena ,,Mungu akubariki mtumishi.
Very nice one keep it up brother you have gained a new follower
Barikiwa ❤
Mungu azidi kukuza mwendo
Mungu anainua watu
Isingekuwa rahisi kweli😭😭😭😭
Amém ❤❤❤
2:48😍👍🏼
Mbarikiwe Kwa Wimbo Mzurii Sana 👏🙏
Mungu azidi kukuzidishia kaka
❤❤❤haikua rahisi for real
❤❤❤
Amen amen watumishi!
🙏🙏💪
Japhet addition is a flex🎉
Barikiwa sana jamani ❤❤ 0:18
Nice song God bless you people
Unanibarik sana broo
Kaliakoo 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu akubark obby
Amen
❤❤
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Dope sana bro keep on doing it
Amen good Gospel
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
nice
Hongera sana kaka
Ua new subscriber❤❤❤
Ameen ni Mungu
Barikiwa Sana
Bila Mungu Mimi siwezi😭🙏
Ongera sana ma brother
Nyimbo kali mnoo 🎉
Nice
Kipaji chako kilionekana muda mrefu sana kaka hasa kwa wasio kufaham kaka ,,
Sisemi kwamba nakufaham ila tokea kipindi nakujua kipindiicho click alikua anafanya producer na dirictor kwa wakati mmoja,,
MUNGU azidi kuwainua Vijana
Glory to God
🎉🎉🎉
Amen 🎉
Nilikuwa mtu wa kwanza mwaka Jana kukupendekeza ukaimbe kwa Mwamposa na mwaka huu imekuwa
More grace
Haikuwa rahisi,it has taken his hand🙏🙏I the lord will make a way for you.Don't give up rather trust in God he will surely make a way for you at the end of the tunnel.
Amen 🙏🙏🙏🙏
🙌🙌🙌🙌🙌
Nice song
Nice song
💥💥💥💥
Obby really blesses my heart by how he carefully chooses the lines... I mean not just singing but passionate singing with heart touching words
Amen
🌹🌹🌹💐🌸🌸🌸🌸🌺🌺🌺
❤❤❤❤❤❤
👌👌🙏🙏
❤
🔥🔥