Hii yote n kz ya Mungu ipo sk Mungu atatenda miujuza yake kwa munayopitia bila kuanzisha mambo hizo watoto wangeuliwa sana lkn hii imefanya munaokoa watu sana Mungu atawalipeni 😢😢😢😢
Usijali na brayo yeye anatumika kama chombo kindly msimchukulie kama mtu mwingine tafauti kama alivyokua hapo hawali. Mission lazima tuchape kwa yote Mungu mbele kila saa na wakati
May God always protect you all
Our heavenly father protect u guys
Mungu awe nanyi
Brayo anaenda kaa risasi
Mungu awatangulie 🙏🙏
May God help you guys
🙏🙏
God is God Jesus is the winner
N huku c kunakaa kwenye yale masheito walikua wameweka mtoi wa Bonvee aki
Mungu awalinde siku zote
Hii yote n kz ya Mungu ipo sk Mungu atatenda miujuza yake kwa munayopitia bila kuanzisha mambo hizo watoto wangeuliwa sana lkn hii imefanya munaokoa watu sana Mungu atawalipeni 😢😢😢😢
Be safe and bless
Hapa kwani ni penye Sarah nakina Solomon walikua
Usijali na brayo yeye anatumika kama chombo kindly msimchukulie kama mtu mwingine tafauti kama alivyokua hapo hawali. Mission lazima tuchape kwa yote Mungu mbele kila saa na wakati
Tugrow pamoja ❤❤❤
21 sub 🎉done
@luciamwikali3616 done too
Amen mungu awatakulie alafu aki mutume aniobee nilimaliza mwez deti Tisa aki baka sai sijalibwa munisaitie nibante mushahara aki
Pole saana mamaa ni mungu tu apitie ndani ya boss haswa hii ni tabia ya waarabu. Mungu apitie tu na tuzidi kuomba
Aky mungu atuonekanie sisi ambao tunafanya kazi kwa warabu yani mtu unafanya kazi ila kulipwa ni balaa unafanya kudai😢
Poleni sana tumieni chumvi ya mawe mi wangu hawanisumbui nalipwa deti15 nashukur Alhamdilillah 🙏🏻🙏🏻niko oman
@@Zuuh4286naomba unieleze jinzi ya kutumia pls😢
@@Zuuh4286Unatumia aje plz
Many blessings Team Beka
Mungu awatangulie j
Glory to God
God protect you guys 🙏
🙏
God fanya jambo❤nakuaminia
Mugu. Awapeguvukbx. Awaride. Kiramahari
Hiyo shimo ndio waliingisha baby lucky
Hilo shimo na Bonvee walifika na pastor Ken Dangulo mungu awaongoze muokoe watoto
Glory to almighty God
God protect you 🤲🤲🤲
Amen 🙏
Damu ya yesu iwazingire
Nikweli hii place paster ken waliona muchawi akiingia na mtoto
Hapa ni mahali pastor ken walikuwa wanapingana na wachawi hile siku walikuwa wakitafuta mtoto wa Bonvee kuna wachawi hapo dani
Amen
Blood of jesus be with you 🙏
Mungu awalinde
Hapa sini mahali kina Sarah na Bonvee walikuwa ama?
Hizo mashimo kwa walichimba za Nini surely😢
Bythaway mtu panga alienda wPi
God protect you all Team beka
Amen Amen 🙏🙏🙏🙏
Mungu hawatangulie kwa kila jambo
Mungu Linda watumishi wako baba
Haki MUNGU wangu rinda hawa watumishi wako usiwaachilie mikononi mwa maandui there is power in the blood of Jesus Christ
What happened?
😢😢😢😢
Kioko hiyo post tafuta ndogo ju itakudhuru mwenyewe kutumia nguvu mingi
Hi guys, can l buy the oil and you send the oil to my daughter?
Yes
Amen
Amen 🙏🙏🙏
Amen