So sad For Kioko Finding out her mum died, days ago and his siblings living a poor life😭😭mad drama

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 58

  • @eunitakesio
    @eunitakesio Годину тому +1

    Ngaii ni uchungu jamani pole sana kioko aki huyu shetani

  • @KamikaziSalma
    @KamikaziSalma 3 години тому +2

    Polesana my brother kama ungekuwa unauwezo ungepeleka dada zako ukaishinawo 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @lilianmbeyu
    @lilianmbeyu 2 години тому +1

    Ukweli maisha yanaeza kukupeleka ukajiona huamini yeyote ila nafsi yako na Mungu tu,Brayo acha kumkalia mkali muelewe na mumshauri Mungu akiwaongoza.

  • @ZolufaMas-ie4un
    @ZolufaMas-ie4un 3 години тому +1

    Mungu akutie nguvu bro kioko

  • @ngenynaomi
    @ngenynaomi 3 години тому +2

    Pole sana kioko my advice mitumwa mahali mkifika muanze n maombi 😮

  • @fozfoziya9317
    @fozfoziya9317 Годину тому

    Pole sana Kioko na ndugu zako😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @elizabethkosgei4731
    @elizabethkosgei4731 Годину тому +1

    i think olive oil inafaa mupake kila mtu kwa hii Familia plz coz iyo ndio Kazi ya olive oil

  • @JosephineMueni-v4y
    @JosephineMueni-v4y 2 години тому

    Lakini ata hao wajamwambia poa wangemuelezea Pole Pole. Pole sana ndugu

  • @BernardOtieno-bc1xo
    @BernardOtieno-bc1xo Годину тому

    Pole sana kioko

  • @fozfoziya9317
    @fozfoziya9317 Годину тому

    Mungu ndie aliruhusu ufukuzw ili u kuje ukomboe familiya

  • @maulnejumba1128
    @maulnejumba1128 4 хвилини тому

    Poleni sana a mungu ampe nguvu. Sasa mbona hawakumwambia woye

  • @EhrustineZ
    @EhrustineZ 2 години тому

    😭😭😭😭😭

  • @moraamorash
    @moraamorash Годину тому +1

    Hiyo 10 years yy ajai rudi home 😢

  • @fathima7617
    @fathima7617 3 години тому

    We poleni Sana mungu ampe ngufu

  • @gozakoth8466
    @gozakoth8466 11 хвилин тому

    Mbona mutumie holy oil lakini

  • @charitywangeci4846
    @charitywangeci4846 2 години тому

    Wooi mwagilieni holy water

  • @carendeborah5687
    @carendeborah5687 Годину тому

    nashuku hii,kwa nini wazike mama huko chini

  • @PhilisKundu
    @PhilisKundu 3 години тому +1

    Pole jibe moyo mungu uko

  • @MaryMuthoki-g4x
    @MaryMuthoki-g4x 2 години тому

    Awa nawao wanaogeaji kamawajiga badara wakaribishe wageni kwaza diomuogee mufikie apo but yote tuachie mungu najuaniuchugu kioko pole sana iowimbo naikifariji

  • @MuthamaMacelina
    @MuthamaMacelina 4 години тому +1

    Kioko Mungu akufariji

  • @wilykisternasimiyu7643
    @wilykisternasimiyu7643 2 години тому

    Pole sana kioko 😢😢😢😢 jipe nguvu mungu awape faraja

  • @VailethSolomon
    @VailethSolomon 11 годин тому +1

    Pole sana kioko jmn

  • @MarionNyakerario-x6k
    @MarionNyakerario-x6k Годину тому

    Ama ile pete ndio ikua na maisha ya mamake

  • @اسماءاحمد-غ2ح2ث
    @اسماءاحمد-غ2ح2ث 14 хвилин тому

    Queen wa muranga ndo aliua mama ya kioko

  • @gracemungai5046
    @gracemungai5046 11 годин тому +1

    Jesus Christ 😢😢😢 pole kioko

  • @MwangalaEverlyneNelima
    @MwangalaEverlyneNelima 3 години тому

    Mulipea chief pesa za nimi??

  • @centrineomar5958
    @centrineomar5958 3 години тому

    Kioko be strong God above all

  • @joycewanjiru9813
    @joycewanjiru9813 3 години тому

    Aki pole kioko sana 😢

  • @AndreLeonSwanepoel
    @AndreLeonSwanepoel 2 години тому

    All these guys suffer so much.

  • @Zuuh4286
    @Zuuh4286 3 години тому

    Mungu wangu tena 😢😢😢😢😢😢😢😢pole kioko

  • @margerywanjoki4018
    @margerywanjoki4018 3 години тому +1

    Kioko alivurugwa na uncle juu yeye ni kijana wa kuridhi mali, hioni uchawi na hata mamake aliuliwa hivyo, atafuata hata baba ya Kioko,ashindwe,Kioko aombe sana bila mchezo😅😅😅😅😅

  • @AlylenShitamu-tc2ng
    @AlylenShitamu-tc2ng 4 години тому

    Kioko pole sana mungu akutiye nguvu😢😢

  • @catherinemakokha1400
    @catherinemakokha1400 3 години тому

    Kioko pole sana 😢😢😢😢

  • @dorcaschep
    @dorcaschep 3 години тому

    Na uyu sister ya kioko wa red amejifunga aje mungu ingilia Kati sasa

  • @NofelaJaco
    @NofelaJaco 3 години тому

    Wooiye kioko pole sana dogo😢

  • @AgnesKamau-h6j
    @AgnesKamau-h6j 3 години тому

    So he went to Nairobi while he was 6yrs only

  • @rebecarael-t9i
    @rebecarael-t9i 7 годин тому

    jesus Christ😢Pole maskin kioko😢😢

  • @margitm7207
    @margitm7207 3 години тому

    Mmi ushauri wangu mkienda mahali mkimaliza kusalimia ombeni ruhusa kama munaeza anza namaombi mshukuru Mungu kwanza ndo muanze mazungumuzo kwa sababu kujikinga namaombi mhimu

  • @catherinemakokha1400
    @catherinemakokha1400 3 години тому

    This are not easy thing at all ,watu wanateseka juu ya background ya familia nyingi hazina amani😢😢😢😢😢😢

  • @margitm7207
    @margitm7207 3 години тому

    Kwani hamjabeba mafuta mpake na muombe

  • @CathelineKarumbi
    @CathelineKarumbi 9 годин тому

    Uuuui nikuluswa aliluswa asiwahi kubuka home, pole sana kioko

  • @centrineomar5958
    @centrineomar5958 3 години тому

    Mwagilie holy water

  • @charlesongoro4811
    @charlesongoro4811 3 години тому

    15yrs kioko haujawahi pigia mum yako phone📱? 😢

  • @SHARONCHEPTOLO-n1s
    @SHARONCHEPTOLO-n1s 9 годин тому

    Pole aki kioko

  • @mwahijaseleman4247
    @mwahijaseleman4247 4 години тому

    🔥🔥

  • @nancymoraa6491
    @nancymoraa6491 10 годин тому

    Pole kioko 😢

  • @floramumbua3393
    @floramumbua3393 9 годин тому

    Pole kioko

  • @catherinemakokha1400
    @catherinemakokha1400 3 години тому +1

    😢😢😢😢😢😢😢😢 poleni sana si rahisi imechanganyikiwa,na Beka mbona unaaka Kwa camera instead ya kuhelp brayo surely.

    • @joycewanjiru9813
      @joycewanjiru9813 3 години тому +1

      Kwani ujawai juwa beka hanaga hiyo roho ya kusaidia kwani ukuona wakati brayo Ali vamiwa akumsaidiaga

    • @veronicahsabina6522
      @veronicahsabina6522 3 години тому

      True​@@joycewanjiru9813

  • @josephinekwamboka2065
    @josephinekwamboka2065 3 години тому

    Beka huwezi achilia camera usaidie mwenzako

  • @adelaidemary5514
    @adelaidemary5514 3 години тому

    I think queen ndio alitoa mum kioko sacrifice 😢

  • @SaidaAwour
    @SaidaAwour 4 години тому

    Kioko 10 yrs haendi hm 😢😢😢

    • @conniekerubo8325
      @conniekerubo8325 3 години тому +1

      Ukiingia kwa hii group ya illuminati huwezi enda home juu vitu wanawekewa kwa mwili yao sio za kawaida

    • @sellyraps2057
      @sellyraps2057 3 години тому

      Kioko alikuwa amexhukuliwa na Queen wa murang'a na ukifanyiq mashetani kazi sio rahisi kujua jamii yako

    • @SaidaAwour
      @SaidaAwour 2 години тому

      @sellyraps2057 waaah pepo ishindwee

    • @SaidaAwour
      @SaidaAwour 2 години тому

      @@conniekerubo8325 aky mungu amtie nguvu kioko