Siku moja nilisikia malaika wakiimba wimbo huu kwa sauti ambayo sijawahi isikia maisha yangu yote...Hongera sana Mtu wa MUNGU kwa kuileta Mbingu duniani...HAKIKA MUNGU HU YEHOVA SHAMA🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿
Amen amen majeshi majeshi hongera kwa kazi nzuri tusonge mbele tumtumikie mungu wetu Wa Ufufuo na Uzima amen jeshi kazi nzuri mungu akutumie kwa viwango vya juu
Kaka Ashley this is powerful Brother.......I'm so Loved to witness your gifts and latent abilities that God ignited within our Generation. Nakupenda na nakuombea mafunuo makuu zaidi ya haya. Keep moving Brother.
Kuna mtaa nimekuja kusalimia jirani kuna kibanda kila Asubuhi huniamsha na nyimbo za dini,Sasa leo nikausikia huu wimbo asubuhi sikuwa na jinsi yakuupata jioni nikausikia tena unapigwa kuna mtu akaniambia habari ya Shazam kweli kuushazam likaja jina and here Iam now nabarikiwa nao...Mungu akubariki
Sometime I don't need many stanzas.....I get stuck to words repeated.. .😭it get my focus away from the burdens deep down and take my focus to God....and this magnifies God and He gives me the peace I want....I have spotted this song now and ,I love it....it's a full worship
Ooh its comes with the Touch of Heaven, we Love the work that God has started in you Servant Nassary Plz make A Live Performance and Let it be the Official Video Tunakupenda#
God bless you Mtumishi kwa version Nzuri zaidi ya Kiswahili na Sauti Nzuri. Ushauri tu ni pia ungejaribu pia kuonesha acknowledgement kwa mtunzi wa original version. Ni Heshima zaidi kwako lakini ni Jambo la kumpendeza Mungu pia. Other wise this is actually the best version kwangu.
Siku moja nilisikia malaika wakiimba wimbo huu kwa sauti ambayo sijawahi isikia maisha yangu yote...Hongera sana Mtu wa MUNGU kwa kuileta Mbingu duniani...HAKIKA MUNGU HU YEHOVA SHAMA🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿
KAMA UMESIKIA HUU WIMBO NA UKAJAZWA NA ROHO MTAKATIFU, UKAANZA KUZUNGUMZA MANENO UYAELEWI EMBU GONGA LIKE HAPA!! KAKA SONGA MBELE MUNGU ANAKUPENDA!!.
Amen
Barikiwa
Me natamani sana ,kunena kwa ndimi ,🙏😭
Bb
Naam Mungu ni mkuu sana
Mungu wangu akutunze na alichoweka ndani yako akikuze Yeye mwenyewe, in the name of Jesus Christ i pray. Amen
All the way from South Australia listening to this beautiful song. God bless you Man of God.
Mungu azidi kukutumia Ashley!! in Jesus name
ua-cam.com/video/TrUcZ6yR8rw/v-deo.html
The first time I had the song I was in tears,great worship song, God bless you
I love this version😭🇰🇪🇰🇪🇰🇪
ua-cam.com/video/TrUcZ6yR8rw/v-deo.html
Amen amen majeshi majeshi hongera kwa kazi nzuri tusonge mbele tumtumikie mungu wetu Wa Ufufuo na Uzima amen jeshi kazi nzuri mungu akutumie kwa viwango vya juu
Asante Yesu, bado nakuamini!
Kaka Ashley this is powerful Brother.......I'm so Loved to witness your gifts and latent abilities that God ignited within our Generation. Nakupenda na nakuombea mafunuo makuu zaidi ya haya. Keep moving Brother.
Amen kaka
Nyimbo kama hizi zinastearehesha moyo wanhu na sichoki kusikiliza.hii ni ibada tosha. Thank you Jesus
Nimeimba kwa dream hi songa nimeamuka tu kuitafuta masaa haya
Glory to God🙏🙏🙏
Wewe bado utabaki kua Mungu
My Lord From Heaven ❤️Bless You 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙇🏻♀️🙇🏻♀️🙇🏻♀️🙇🏻♀️🙇🏻♀️
2024❤shammah shammah
My God ! This song leaves me in tears n I can't understand
Kuna mtaa nimekuja kusalimia jirani kuna kibanda kila Asubuhi huniamsha na nyimbo za dini,Sasa leo nikausikia huu wimbo asubuhi sikuwa na jinsi yakuupata jioni nikausikia tena unapigwa kuna mtu akaniambia habari ya Shazam kweli kuushazam likaja jina and here Iam now nabarikiwa nao...Mungu akubariki
Coming firm work and holy spirit just asked me to play the song, I don't know why but yes am playing UT right now.
Ndugu yangu ubarikiwe Sana Sana'a hujakosea kabisa Kaka nabarikiwa na kile Mungu amekupaa.....
Nawapenda wote tuombeanne nite leonand tomasi mwimbaji wanyimbo zaijili
Hii nyimbo mtumishi ni nzr sanaa huwa naipenda,,,ushaur wang naomba uifanyie live performance ndo iwe official video
Amen kaka
Yes please do a live perfomance bro!
Please brother we need video of this song, it's too blessing
Nyimbo nzuri Sana nilikuwa naitafuta muda mrefu Mungu akubariki Sana.!
Wow napenda sana hii nyimo hila naona kuna muingiliano wa kimashairi..!!! @upendo skawa shama
ELOIHIM🎉ADONAI🎉SHAMA🎉NANI KAMA MUNGU WETU🎉HAJAWAHI KUSHINDWA🎉
Sometime I don't need many stanzas.....I get stuck to words repeated..
.😭it get my focus away from the burdens deep down and take my focus to God....and this magnifies God and He gives me the peace I want....I have spotted this song now and ,I love it....it's a full worship
Nikijimimina simalizi maombi nahuu wimbo ,balikiwa kaka
Utukufu wote una YESU nimebarikiwa mno mimi
Roho Mtakatifu pokea sifa nitenge kama muabudu , katika kizazi hiki cha mwisho Nakuomba 🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Adonai I bow before you perfect my destiny
Huu wimbo nmeupenda bure, umejitaidi sana kuuimba vzur
Any person on earth can communicate with this song!!! It is real an international version!!!Jesus bless you Mtumishi.
Que Dieu benisse cette voix. J'ai été touchée🥺❤️😭
Wimbo umejaa uwepo! Bwana akuinue zaidi
MUNGU akubariki sana
Am deeply blessed with this version of the song. I will share it with as many people as I can!.
God bless you abundantly Man Of God!
Hakika wimbo una uwepo wa mungu Sana 🙏🙏
Mungu akupake mafuta ya viwango vya juu zaidi. Una kitu ambacho ni cha pekee sana kwenye worship, keep the fire burning.
Hongera Sana mtu wa Mungu wimbo mzur kwel unagusa hasa kwangu ninae penda kworship songs
Amen dadayangu
MUNGU akubariki sana kaka Ashley
Power power 🔥🔥
Mungu akutunze sana shemela na mtumishi wa Mungu huu wimbo Mungu akuwezeshe na video yake hakika ni wimbo wa kumpeleka mtu kwenye maombi muhimu
Wimbo mzuri sana roho mtakatifu anashuka kabisaa
ashley ata mimi nkakubali.. blessed from kenya
Good work My Brother 💥💥💥 Yesu aendelee kuponya watu wakee kupitiaa wimbo huu ... 🙏🙏🙏
Amen my brother
Aminaa mtumishii🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏💪💪👍👍
😢Amen 🙏 🙏 very blessed servant, God is using you well, I am very blessed by your songs
Shama we shama shama shama oooooooo shama Mungu wangu nipo hapa Ili nikuabudu wewe shama
Ooh its comes with the Touch of Heaven, we Love the work that God has started in you Servant Nassary
Plz make A Live Performance and Let it be the Official Video
Tunakupenda#
Can God bless u and lift u up for his greatest
Eee yeye ni Shama🙏🙏🙏Bwana akuinue zaidi Ashley
Such a powerful Worship song that we love singing .Glad to know one of the persons who first ministered it❤
Songa mbele dadangu 🚶🙏
Wimbo huu umenibariki🙏 Mungu akuinue
Ubarikiwe sana mtumishi wa YEHOVA! Nabarikiwa sana jinsi unavyoimba katika ROHO
Awesome song....God bless you man of God 🙏.
Mungu akubariki sana ..Wimbo mzuri sana!!! Kazi nzuri
😭😭🙌🙌 Bwana wewe ni shama
Utakatifu ni vazi lako Ooh SHAMA
Mungu akubariki sanaaa brother Ashley
Utuzwe na Mungu mwenyewe
🎉❤❤Amina barikiwa😊
Ameeeeeeen, mtumishi wa Mungu aliye hai zidi kusonga mbele
God bless you brother when I hear this song I am filled with the holy spirit
Powerful worship
JINA LAKO NI SHAmaaa
Ubarikiwe sana
Barikiwa Sanaa wimbo nimeupenda
God bless you Mtumishi kwa version Nzuri zaidi ya Kiswahili na Sauti Nzuri. Ushauri tu ni pia ungejaribu pia kuonesha acknowledgement kwa mtunzi wa original version. Ni Heshima zaidi kwako lakini ni Jambo la kumpendeza Mungu pia. Other wise this is actually the best version kwangu.
You are blessed brother 💕
🙌🙌🙌🙌🙌 hakika wewe ni shama
Imba wimbo huu kwaanzia saa sita mpaka saa kumi kisha lala utaona maana maajabu utapata majibu yako
Mungu anakutumia sanaa mtumishi,
You are blessed so much.....Mungu akutunze na kukubariki sana
Amen 🙏🙏 🙏 🙌🙌
Annointed worship song. My the Lord Himself preserve you young brother
barikiwa sana mkuu
God bless you eternally my brother
Haleluya Yesu nakupenda
Shama.. . Elohim. Amen
Asante kaka Ubarikiwa tubarikiwe Amen
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
🔥🔥🔥🔥
Wimbo una upako sanaaa💯💯
Mwimbo unanibarik sana kaka
Mungu akubariki sana
My prayer song
Elohim.... Shamah
Barikiwa mtumishi wa Mungu, unanibariki na nyimbo zako
Am in tears 😭😭
Yes, you did it. Please bring more of worship. Glory to Shammah!
Umeifanya vizuri .Mtunzi akiisikia atajisikia vyema sana
Wow...! Powerful
Great voice accampanied with great word
Yesu azidi kukutetea katika uduma yako Amen
What the anointed song!
ua-cam.com/video/TrUcZ6yR8rw/v-deo.html
Barikiwa sana mtumishi mwenzangu
Keep going..it is not in vain
Congrats Ashley for this anointed song, Shammah ( our God is here ).
Amen utukufu kwa YESU
I love this song
Am deeply blessed, may God bless you sir
ua-cam.com/video/TrUcZ6yR8rw/v-deo.html
Amen Amen Amen Asante kwa zawadi hii
Be blessed brother Ashley
From Gideon Paul, Iam blessed mtumishi 🙏🏽
Loving this guy😭😭
ua-cam.com/video/TrUcZ6yR8rw/v-deo.html