Jinsi ya kujithamini mwenyewe

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024
  • Jinsi ya kujithamini mwenyewe.
    wakati mwingine tunashidwa kujithamini au kutambua thamani yetu kwasababu ya kusikia thamani yetu kutoka kwa wasio just thamani yetu.
    ni vyema ukajua thamani yako mwenyewe ili usijizalau kwasababu ya watu wasio just thamani yako.
    Nemo la Mungu kutoka katika kitabu cha
    Isaya 43:4 linatusaidia kujua kua kua sisi ni wa thamani machoni pa Mungu tena ni wenye kuheshimiwa na kupendwa sana na Mungu.
    hivyo tunapaswa kujithamini, kujipenda na kuwa wenye furaha.

КОМЕНТАРІ • 7

  • @PelicanPassion
    @PelicanPassion  2 місяці тому

    Thanks dear keep watching,like subscribe and share.

  • @annamariamakula3853
    @annamariamakula3853 2 місяці тому +1

    Go girly let the sky be the only limit

  • @emperorvicky5299
    @emperorvicky5299 4 дні тому

    my first view, I promise to always stay here and recommend the channel to family and friend
    will teach the PMC with your teachings