Nimeiyangalia mechi hii nikiwa Europe mbele yawazungu ambao tunaamini wao ndio wanaujua mpira nawameikubali zanzibar Km haitoshi wameniahidi kuitembelea zanzibar Hakika zanzibar heroze mmetuheshimisha hongeren sana sana sana
Sikumuelewa Feisal siku alivyokuwa anamsifia CHEDA kwamba ni mchezaji anayetamani kucheza naye.Leo ndiyo nimemuona vizuri Sana huyu dogo CHEDA.Hongera Sana Ndugu zetu Wazanzibar.
Mamae ukija ukuu znz star ni mmoja tuu STARHILIKA halafu wabongo mpira hamujui muliongea sana mexhi ya kenya sasa na hapa ongeeni bas kenge nyinyii cheda nakuona yanga mwanangu sio kwa loose ball iyoo dahh raha sana gado upo vzr sana blood❤❤❤❤
Simba na Yanga zinabebwa ni wachezaji wa kigeni sanaa lakini kwa Tanzania mpira wa miguu nyumbani kwao ni Zanzibar vipaji ni naturally, goli la kwanza ni la kiwango cha Neymar
ZANZIBAR NI HOME MASHALLAH VIPAJI VINAONEKANA. NI SASA KUWA NA MTAZAMO MZURI KUWEKA SIASA PEMBENI KUIMARISHA VIPAJI. BADO ITASOMEKA NI TANZANIAN TU. MFANO MIMI NIPO URUSI NA NI MZAZIBAR LAKINI NAWAKILISHA BENDERA YA TANZANIA. NAIPENDA TANZANIA YANGU. ASANTENI AZAM KWA PICHA QUALITY SSNA KAMA EUROPE.
Bonge la mchezo Zanzibar heroes wamecheza vizuri sana kama timu. Siyo tanzania bara wametia aibu sana sijui ni kocha alichagua wachezaji wabaya bila kujali quality za wachezaji .
Mpira nikipaji kipaji na Sanaa ndani yake siyo mchezaji tu lazima Sanaa iwepo aliyefunga goli la kwanza nisanaa watu Kama Hawa tukiwa nao watano tu Tanzania 2027 watatuambia walikoificha Kila kheri wachezaji wetu Chan na afcon 2027 na mwakan pia
Zanzibar ni nchi na mipaka yake kama ilivyoainishwa ktk katiba ya Zanzibar. Kama sikosei nakumbuka ipo hivyo kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar ila itafute ujiridhishe zaidi
Unatakiwa ujiulize hivyo kwan ile timu ya Taifa ya Tanzania bara ishakua nchi nayo, maana Tanzania ndiio nchi ila hakuna Tanzania bara, wala sijui bendera ya Tanzania bara imekaaje, maana naona wanatumia bendera ya Muungano, angal Zanzibar ina bendera pia
Kwa ufupi kabisa: Nchi ni eneo lenye ardhi yake, mipaka na serikali yake. Kwaajili hiyo, Zanzibar kwakuwa ina ardhi yake na mipaka yake, ni nchi. Taifa: Ni kundi la watu wenye utambulisho wa aina moja mfano; lugha, dini, kabila, utamaduni n.k. Kwaajili hiyo, Tanzania ambayo ni lao la mchanganyiko wa kundi la Wazanzibar na Watanganyika, ni taifa.
ZANZIBAR ipewe MAMLAKA kamili, they can GO SO FAR
Hongereni Zanzibar kwa ushindi huu. Great goals
Daah zenji wamejitaidi sana tunayo wachezaji wazuri sana
Magoli yote niya kiwango cha juu sana. Hongera sana Zanzibar heros, Bara tujifunze kwa Zanzibar.
Nimeiyangalia mechi hii nikiwa Europe mbele yawazungu ambao tunaamini wao ndio wanaujua mpira nawameikubali zanzibar
Km haitoshi wameniahidi kuitembelea zanzibar
Hakika zanzibar heroze mmetuheshimisha hongeren sana sana sana
Bravo my country❤❤❤❤ Zanzibar 👍👍👍
3 world class goals. Watching from 🇬🇧
Nice pic proudly sahel sahara nile and swahili coast region it's wonderful and incredible thank from senegal❤❤❤❤❤😂😂😂❤❤❤❤❤
Hongera kwa timu yetu Zanzibar heroes, best team ever.....
Zanzibar Masha Allah kuna rahaa yake ❤❤❤❤❤❤
Sikumuelewa Feisal siku alivyokuwa anamsifia CHEDA kwamba ni mchezaji anayetamani kucheza naye.Leo ndiyo nimemuona vizuri Sana huyu dogo CHEDA.Hongera Sana Ndugu zetu Wazanzibar.
Mbali na mchezo Mzuri, magoli mazuri sana, Commentator amuetendea haki mchezo
Well done Zanzibar Herous
Salaam kutoka Toronto Canada, Feisal na wenzako mmeipa heshima Zanzibar
Zanzibar oyeeee❤❤🎉💃💃
Taifa stars bila Zanzibar hakuna timu hapoooo Hongera sana vijana kutoka visiwa vya karafuuu, Hongera sana Rais wa Zanzibar
Acha uongo wewe
Hongera sana Rais Samia, Mama wa Taifa! ❤️❤️❤️
Sasa wachezaj wanaocheza wa Zanzibar wanafikia 5 kwa mechi mpya katika timu ya Tanzania?
Star hilika anakuaga Sana kufunga huyu jamaaa
Hongereni Zanzibar heros mmetuwakilisha vyema Watanzania 👏👏👏
Soo watanzaniya wamewakilisha wazanzibar nyiny tanganyika meangushwa na watanganyika wezenu
🤝
@@HarithAlyhamadi hivi Zanzibar ipo afcon watanzania hatuna shida na hilo kombe sisi
Hongereni sana ndugu zetu❤❤🎉
Ongera sana zanzibar
Nzuri mno ZANZIBAR heroes
Mamae ukija ukuu znz star ni mmoja tuu STARHILIKA halafu wabongo mpira hamujui muliongea sana mexhi ya kenya sasa na hapa ongeeni bas kenge nyinyii cheda nakuona yanga mwanangu sio kwa loose ball iyoo dahh raha sana gado upo vzr sana blood❤❤❤❤
Hongeren san san wazanzibar wezangu kwa ushindi waleo
Alierejea Kuyaangalia MAGOLI zaidi ya Mara 3 tujuwane 😂
Magoali ni mazur❤❤❤
Magoli yote ni ya viwango sana. ZANZIBAR BINGWA
Zanzibar Herous 🔥🔥🔥🎉
Jeda achukuliwe Yanga. Yupo vzr sana
Napenda zanzibar
mpira mzuri sana, Hongereni ndugu zetu Zanzibar...Ni furaha ya hali ya juu.
🤝
Love zanbar
Zanzibar ❤❤❤❤❤
Pure talent from fei toto
Hongera Zanzibar 🎉
Zanzibar ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
This is heroes
Zanzibar heroes...best team❤❤
Safi sanaaa
Leo nimefurahi sana Zanzibar kushinda heko Mheshimiwa Rais Hussein Ali Mwinyi.
Well played zanzibar
Bravo znz
Tupo vizuri bado heshima kwetu
Hongera sana Zanzibar Heroes
cheda ni shujaa siku zote Baraka tele Baba!
Saf zanzibar 🔥🔥🎉
Sema Zanzibar kinachowasaidia huwa wanajituma saana sio kama bara wanacheza kifaza😂
Goli la mwisho nimelielewa mno .........🙌🙌🙌🙌
Zanzibar 🎉🎉🎉
Hapo bacca hayupo, mudathir hayupo
Hata sisi Kilimanjaro hapakuwa na msuva,samatta,dismac,job,mzize,kibu,zimbwe,shomari, yani kwa kifupi walio cheza ni kikoc cha pili
leten icho kikos cha kwanza bas@@ShabaniOsama-f3m
Cha 3 kabisa@@ShabaniOsama-f3m
Magoli yate ya leo yanahazi ya ulaya
Wakitaka vilabu vyao vifanye vizuri waje wachukue talent Zanzibar hawatajuta….
ZANZIBAR ni Brazil ndogo au Spain ndogo kwa mpira ukibisha uwe na sababu za msingi
Yah Kuna vipaji vya asili na mpira uko kwenye mioyo ya watu hususan watoto so siku zote watu wampira lazma wawepo
Wapiiii
Wesenge tu nyinyi wa Zanzibar hamna lolote
Naona umeamua kuwa zuzu @@ZaidyMussa-cz6ok
Nyinyi mlokuwa soo wasenge mnanin@@ZaidyMussa-cz6ok
Mi nimependa magori yte matatu kwa pande zte mbili ni makali🔥🔥🔥🔥🔥
Ila wa Zenjj mpira wanaujuwa ,ukweli usemwe
I❤ zanzibar
Mkifanya tena hii,ligi yenu umsituingize tena sisi wakenya
Magori mazuri sana
Sio magori ni magoli
Simba na Yanga zinabebwa ni wachezaji wa kigeni sanaa lakini kwa Tanzania mpira wa miguu nyumbani kwao ni Zanzibar vipaji ni naturally, goli la kwanza ni la kiwango cha Neymar
ZANZIBAR NI HOME MASHALLAH VIPAJI VINAONEKANA.
NI SASA KUWA NA MTAZAMO MZURI KUWEKA SIASA PEMBENI KUIMARISHA VIPAJI.
BADO ITASOMEKA NI TANZANIAN TU.
MFANO MIMI NIPO URUSI NA NI MZAZIBAR LAKINI NAWAKILISHA BENDERA YA TANZANIA. NAIPENDA TANZANIA YANGU.
ASANTENI AZAM KWA PICHA QUALITY SSNA KAMA EUROPE.
Wew mjinga eti mm nipo nje ya AFrica na naiwakilisha my country zanzibar freeeee inshaallah amna cha kuogpo tanzania ni mataifa mawili freee zanzibar
Goli la kwanza ni kali sana la Zanzibar
Jamaa wa zanzibari wanajua
Nomaaa
Warabu wenzngu tufurah kw pamoj watanzania feitoto kilasiku unazidi kuonekan borazaidi kz nzr mungu akufikish nchii y ahadi ulaya inshaallah
Fei toto kwani mwarabu?
Amin yarabalalamin
Ngoda magoli uliyafanyia haki kabisa haswa goli la mwisho🔥🔥🔥
Kipaji na Sanaa ndo mpira unataka siyo kucheza tu chuku chuku hongeren Sana Zanzibar kwakuchukua ndoo
Tukiedelea namna hii tutafika mbali kwenye fani y mchezo wa mipira wa miguu
Hongera kwa timu ytu na walio shiriki kwenye pigo hili la mwaka
Bonge la mchezo Zanzibar heroes wamecheza vizuri sana kama timu. Siyo tanzania bara wametia aibu sana sijui ni kocha alichagua wachezaji wabaya bila kujali quality za wachezaji .
SALUM GADOO yupo vizur sana
Hongereni mashujaa wa nyumbn zanzibar
Hii nchi itambuliwe caf ipewe nafasi timu yao yaifa isiwe sehemu ya muungano ! Ishiriki michuano yote ikiwemo afcon
Jidanganyeni
Tayari... Z'bar imekuwa full member wa International Football Federation Association... Hongera Rais Mwinyi! 😅😅😅
@JCMaxima fafanua au tupe Ushahidi
Jitegemeeni afu ndo mta jua
Mechi nzuri mabao ya viwango sana
Zanzibar wapambanaji sannnah maaaaa shaaaa allah
Pumzika kwa amani mwalimu kashasha mana najaribu kuvuta picha vip ungelichambua hili goli lacheda bonge moja ya semi voli
Goli la cheda unaweza kwenda kuombea mkopo benki. Jamani tuachilieni zanzibar yetu hebu tujitawale koloni tanganyika hamna uwezo wa kuifunga zanzibar heroes .
Znz wapewe mamlaka yao kamili
Ahsante sanaaa❤❤❤❤❤
Taifa stars inaendeshwa na wazanzibar pia
😂😂😂😂
@@emmadora7848 sio taifa stars tu hata uchumi wa tanzania unaemdeshwa na zanzibar (TRA)
Ndugu zetu vichogo wanaumia kuona zanzibar inatwaa ubingwa
Timu ya zanzibar ijitegemee kwenye michuano mikubwa itatuwakirisha vzuri lakn Tim yetu ya bara hamna kitu wachezaj hawana uzarendo kupambania nchi yao
Naunga mkono hoja yako
kitu napenda zanzibar kelele kama mbele auskiangi mavuvuzela
What is Zanzibar FIFA rankings????
Rankings tukuachia mwenyewe
000 Ila ball inaonekana, Endeleeni kutubania iko siku mutaachia
Zanzibar sio member wa FIFA.
Member wa FIFA ni TANZANIA@@MohdOmar-w4r
@mussamohd-b4h Najua ila hawa wanatubania kwa roho mbaya zao iko siku wataachia
Mim nimrundi nilikuw naskia kuw zanzibar nisehem inayoongoz kwawanawak wenyekujuw mapenz kumb ata mpira nao wanajuw?
Kaka unasema nini. Ama kuandika kiswahiliunachoongea ni kugumu
Kutoka Asia naitazama team yngu ikiwakilisha nchi!!
Zanzibar 🤔or Tanzanie ?
Zanzibar
Zanzibar we need to play for cuf because we are better than any Africans nationals
Goli la hilika Zanzibar ni goli Kali sana
Mganga wa Zanzibar ni noma magori ya kona dakika za mwisho mechi mbili 😅
💯
Haya magoal haychoshi kila ukiyangalia ni matamu
Heroes
Watu walishangiria kabla mpir hauj ingia golin mumeon
Magol ya ulaya hayo
Mpira nikipaji kipaji na Sanaa ndani yake siyo mchezaji tu lazima Sanaa iwepo aliyefunga goli la kwanza nisanaa watu Kama Hawa tukiwa nao watano tu Tanzania 2027 watatuambia walikoificha Kila kheri wachezaji wetu Chan na afcon 2027 na mwakan pia
Mr president mwinyi atapata nguvu zaidi kwenye nia yake ya kujenga academy Kila mkoa wa Zanzibar
Hamna kitu drama tu
Zanzibar vipaj vimelala
Congratulation wala urojo 😮
ZANZIBAR never DISS APPOINT, when it comes to FOOTBALL
Hilo goli la pili ndo lenyew sasa nilijuwa azizi k yupo ndani 😂😂😂😂😂
Hiiii bonge la goli la hilika
Goli la bukinafaso ni zuri lkn almuhimu tumewachapa nipo mbali na nchi yngu lkn najihis kwassa nipo zanzibar!!!!
ivi zanzibar mpaka kua na timu ya taifa ishakua inchi ama vipi plz I need explanation Asante
Zanzibar ni nchi na mipaka yake kama ilivyoainishwa ktk katiba ya Zanzibar. Kama sikosei nakumbuka ipo hivyo kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar ila itafute ujiridhishe zaidi
Unatakiwa ujiulize hivyo kwan ile timu ya Taifa ya Tanzania bara ishakua nchi nayo, maana Tanzania ndiio nchi ila hakuna Tanzania bara, wala sijui bendera ya Tanzania bara imekaaje, maana naona wanatumia bendera ya Muungano, angal Zanzibar ina bendera pia
@ ooh poa kabisa sasa inakuaje FEI TOTO anachezea timu mbili za taifa
ama timu ya taifa ya zanzibar aipo recognise na chama cha fifa
@ dhaa mambo ni mengi mdaa mchache
Kwa ufupi kabisa:
Nchi ni eneo lenye ardhi yake, mipaka na serikali yake. Kwaajili hiyo, Zanzibar kwakuwa ina ardhi yake na mipaka yake, ni nchi.
Taifa: Ni kundi la watu wenye utambulisho wa aina moja mfano; lugha, dini, kabila, utamaduni n.k. Kwaajili hiyo, Tanzania ambayo ni lao la mchanganyiko wa kundi la Wazanzibar na Watanganyika, ni taifa.
yanga imsajiri traore
naunga mkono hoja
GOOODDDDDDDDDD