SIKUACHI EPS 11
Вставка
- Опубліковано 8 вер 2024
- Bado mambo ni magumu kwa Marigaretha, kwani bado hajafanikiwa kujinasua kutoka mikononi mwa Remixakxon Pereira Dunckan. Ila dereva wake yeye kakubali kufunika kombe ili mwanaharamu apite. Sikuachi, Sikuachia ndo wimbo mama anaoendelea kuimba binti huyo wa Bilionea.
#simulizimix #love #simulizimedia #film #simulizizakweli #duet #dance #anime #manga #kenyadigitalnews #Sikuachi
L'histoire est bon vraiment n'a kubali kazi
@@JokerOnelove-hk6vh Thanks
Simulizi kali kijana
Ahsante twende nayo sambamba mkali wao
Umetisha kaka👊👊
Ahsante jembe.
Naombeni comments zenu jamani. Nipo hapa nazisubiria
Ahsante mkali...