MASAIBU YA MWALIMU MUTISYA 0727990926

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 15

  • @evangelistvictor9728
    @evangelistvictor9728 4 дні тому +2

    Mungu wetu aliye mwaminifu afungue njia ili tuweze ku support kazi yake

  • @catherinenyokabi5746
    @catherinenyokabi5746 4 дні тому +2

    MUNGU tubaliki ili tuweze kusimama na kazi hii yako pia kumbuka hawa watumishi waku kwa kazi kubwa na zuli wanaya ifaya GOD BLESS THEM

  • @wasaficlassicshoes
    @wasaficlassicshoes 4 дні тому +4

    Daah aise hikazi ya Mungu imekuwa ngumu sana. Mungu aendelee kutupigania

  • @firiminrichard7397
    @firiminrichard7397 4 дні тому +3

    Mungu ni mwema brother yangu

  • @bensonwandia3995
    @bensonwandia3995 4 дні тому +2

    Barikiwa mtumishi,na utuombee ili MUNGU atuwezeshe kutoa kwa upendo

  • @jeanefelix70
    @jeanefelix70 4 дні тому +2

    Amen, Baba yetu wa mbinguni watie nguvu watumishi wako wasikate tamaa kwa ajili ya kazi yako.

  • @ezekielmwamba9106
    @ezekielmwamba9106 4 дні тому +3

    Mungu atafungua njia

  • @BonnyMusonye-ft6zg
    @BonnyMusonye-ft6zg 4 дні тому +2

    Usijali mtumishi Mungu ni mukuu ,atatengeneza jia pasipo jia. Wadungu wapendwq wanamatengenezo kama kweli tuko na upendo ambao Bwana yesu alisema tupendane iyo pesa nkidogo tukitoa kwa moyo.Hepu tusome 2cor.8:2_7.Mbarikiwe

  • @HarrietOyugi
    @HarrietOyugi 4 дні тому +3

    Sorry for that Mtumishi, God will open ways..tuko pamoja

  • @bernardndolo1998
    @bernardndolo1998 4 дні тому +2

    Mambo yamekuwa magumu lakini Mungu atatusaidia, tusife moyo wapendwa

  • @NeemaMutawali-v1e
    @NeemaMutawali-v1e 4 дні тому +2

    Mungu atoejia na wapendwa tukutane na kila mtu atoe chenye yuko nacho kwaji ya kurekbisha gari ya mtumishi.

  • @AnncasterDavid
    @AnncasterDavid 4 дні тому +2

    Paul alipitia changamoto kma hizo TU,mara kadhaa kuharibikiwa na jahazi ndani ya bahari,kukosa chakula na maji,kupitia maeneo hatari,wakati mwingine alikuwa anakosa hta nguo za kuvaa,anakosa makao maalum,analala kando ya ufuo wa bahari na baridi yote!!2 Corinthians 11:25-27! Mtumishi jipe moyo kma Paul maana shetani Hana Raha na kazi ya mungu.tutakukumbuka kwa Hali na Mali na maombi pia

  • @zuhraall02
    @zuhraall02 4 дні тому +3

    KWA MUNGU HAKUNA LISILOWEZEKANA .

  • @kenkinyua143
    @kenkinyua143 4 дні тому +3

    Hii kazi ni yetu sisi sote wapendwa ....hili ni jambo ndogo tukishikana tunamaliza mara Moja...tuchangamie jambo hili