SEH :1- TAYAR KWA BARAKA? ||PR.DAVID MMBAGA|| (OFFICIAL VIDEO)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 27

  • @roselineombati670
    @roselineombati670 10 місяців тому +4

    Mungu huyu unayetenda zaidi ya yale tuombayo kwa ajili yako,🙏🙏🙏🙏,mwanangu amekua na malezi mabaya kwa muda maana nilimwaacha nikaenda kutafuta nikawa naumia na kulia finally nikaamua kurudi Kenya after a short while,i thank God maana amenionekania baada ya siku kumi za maombi ameingia kwa malezi mazuri na akaingia shule bora yenye nilitaka sana tangu akazuiliwa,zaidi sana muujiza Mungu alifanya hiyo nafasi haikua lajini neema ya Bwana akajaliwa kupata nafasi licha ya kua mtoto kimasomo alikua chini sana ambapo he was not supposed to be in that school but God Almighty made it and was admitted anaendelea kusoma tangu Monday ako sawa, nashukuru Mungu aki nimeuona uweza wake mkuu.barikiwa sana tupoweka matumaini yetu kwa Bwana.

  • @zeliageorge3311
    @zeliageorge3311 10 місяців тому +1

    Amen siku kumi za maombi zimekuwa baraka hata mm nmepata kupona macho niliogopa kwa mlipuko huo, ila nkamwambia Mungu akatenda zaid ya hapo ni kusogezwa karibu zaid na Mungu.

  • @jolemerci2155
    @jolemerci2155 10 місяців тому +1

    Nami Nina hitaji ya kijana wangu na hitaji mufungo huu wa kufunga nakuomba umufunguwe kijana wangu kwa kifungo a nacho cha dawa za kulevya naomba MUNGU kupitia watumishi wake kijana wangu afunguliwe aongozwe sasa n'a MUNGU Amina 🙏🙏

  • @jarediovemaombi-of2ej
    @jarediovemaombi-of2ej 10 місяців тому +1

    Mungu ashukuriwe sana. Amewezesha familiya yote kupata kazi. Sasa naomba uniombeye kwa Mungu awezeshe mradi zangu. Na tamani niinuke kiuchumi kwani nafwata sana mafundisho Yako yananitiya bidii .

  • @louisekichochi-ye7fi
    @louisekichochi-ye7fi 10 місяців тому

    Aksate sana mchungaji kwa maombi yako naMungu akubariki tunazidi kubarikiwa kupitiya wewe amen.

  • @zabrongermanus-co1jj
    @zabrongermanus-co1jj 10 місяців тому +1

    Barikiwa sana mtumishi

  • @perisbosibori2249
    @perisbosibori2249 10 місяців тому

    GOD bless you abundantly Pastor Mmbaga for the word well delivered, AMEN 🙏🙌.

  • @Joycependopendo-dv2tb
    @Joycependopendo-dv2tb 10 місяців тому +2

    Amen bwana asifiwe pastor namshkuru Mungu Niko mzima lakini niko na changamoto hapa kazini juu boss Wangu haniruhusu kutumia simu hata kama nimemeliza kazi Kwa hakika nakosa kuisikiza mafundisho haya juu simu kuitumia mpaka usiku kuazia saa inne Sasa naomba unisaidiee Na maombi abadilike juu hata sai ametoka ndio naitumia Tena kujiimba Na mwamini mungu kupitia maombi hayo atabadilika

  • @MjakaziGladys
    @MjakaziGladys 10 місяців тому

    Amen ....apo ktk kuonyana unakuta unamuonya mtu anaanza kusema unamhukumu uje utufundishe tofauti ya kuonya na kuhukumu daddy.

  • @eustina0
    @eustina0 10 місяців тому

    Mungu atukuzwe kwa kila jambo maishan wangu

  • @NeemaMwita-ub7md
    @NeemaMwita-ub7md 2 місяці тому

    Nao wakamshinda kwa damu ya mwana kondoo na kwa neno la ushuhuda wao. Hakika kwa Yesu uponyaji ni wa kweli na amina nimeponywa vidonda vya tumbo sasa nakula maharage bila shida yoyote hakika maombi ya kufunga yana nguvu kwa imani katika Yesu kristo.... Just believe

  • @elizabethgodfreytondo3052
    @elizabethgodfreytondo3052 10 місяців тому

    Amen

  • @enocktvonline8465
    @enocktvonline8465 10 місяців тому

    PASTA MBAGA HONGERA KWA MAHUBILI YAKO MAZURI NATAMANI SANA UONGEREEE UNABIII KATIKA SIKU HIZI ZA MWISHO

  • @mophinenyaboke8678
    @mophinenyaboke8678 10 місяців тому +2

    Pastor mungu amenifanyia miujisha binti yangu akutaka kwenda kanisa lakini jumamosi ndiye wa kwanza kutayarisha wadogo wake kwenda kanisani

  • @mophinenyaboke8678
    @mophinenyaboke8678 10 місяців тому

    Pastor nimepalikiwa nakufuatilia maumbili
    Yako

  • @naomybosibori-w6i
    @naomybosibori-w6i 10 місяців тому

    Amen na naeza pata no. ya pastor

  • @Philiphmatata
    @Philiphmatata 10 місяців тому

    Pastor ya ugali ipo

  • @kevinkimaro9346
    @kevinkimaro9346 9 місяців тому

    Hii video haina sauti @pastormbaga

  • @zeliageorge3311
    @zeliageorge3311 10 місяців тому

    Amen siku kumi za maombi zimekuwa baraka hata mm nmepata kupona macho niliogopa kwa mlipuko huo, ila nkamwambia Mungu akatenda zaid ya hapo ni kusogezwa karibu zaid na Mungu.

  • @leahwainaina4396
    @leahwainaina4396 10 місяців тому

    Amen

  • @zeliageorge3311
    @zeliageorge3311 10 місяців тому

    Amen siku kumi za maombi zimekuwa baraka hata mm nmepata kupona macho niliogopa kwa mlipuko huo, ila nkamwambia Mungu akatenda zaid ya hapo ni kusogezwa karibu zaid na Mungu.

  • @purity134
    @purity134 10 місяців тому

    Amen

  • @zeliageorge3311
    @zeliageorge3311 10 місяців тому

    Amen siku kumi za maombi zimekuwa baraka hata mm nmepata kupona macho niliogopa kwa mlipuko huo, ila nkamwambia Mungu akatenda zaid ya hapo ni kusogezwa karibu zaid na Mungu.

  • @Lilly-z9j7h
    @Lilly-z9j7h 10 місяців тому

    Amen.

  • @zeliageorge3311
    @zeliageorge3311 10 місяців тому

    Amen siku kumi za maombi zimekuwa baraka hata mm nmepata kupona macho niliogopa kwa mlipuko huo, ila nkamwambia Mungu akatenda zaid ya hapo ni kusogezwa karibu zaid na Mungu.