Asante kwa Mahubiri tunayapata vizuri jamani teknolojia ina mambo mengi mazuri, tunabarikiwa tukumbukeni kwa maombi pia nasi siku hisi 10 kwa machapisho kueneza na kutafsiri, barikiweni. Maranatha
ujumbe mzito sana huu, umenisaidia wakati umefika kusambaza habari hizi ili kila atakayechagua awe na uzima wa Milele. HALELUYA. hakuna haja ya kugatecrash Party ya shetani yaani kwenda jehanamu, binadamu hakupangiwa hilo MUNGU aturehemu, atusaidie na imani katika siku hizi za mwisho
Amen huyu ndie pst hueleza nyakati za mwisho nikaelewa mungu akubariki pastor
Shukrani mchungaji,masomo Yako yanatusaidia sana kiroho mwenyezi MUNGU akubariki zaidi.
Mtumishi wa Mungu aliye hai, kwa kweli nabarikiwa na mafundisho yàko.
Mungu akubariki sana pasita,unatufunulia mambo mazito na makubwa, Mungu akutie nguvu na akusimamie ww na familia yako
Asante kwa Mahubiri tunayapata vizuri jamani teknolojia ina mambo mengi mazuri, tunabarikiwa tukumbukeni kwa maombi pia nasi siku hisi 10 kwa machapisho kueneza na kutafsiri, barikiweni. Maranatha
Namshukuru Mungu kwa neema ya kujifunua kupitia kwako
Asante pastor unatufundisha haki
Nakufuatilia sana D.Mbaga namshukuru MUNGU kwa mafundisho
Ubarikiwe mtumishi
Ubarikiwe sana pastor Kwa mafundisho haya,umenibariki sana
Amina pr mbaga kwa mafundisho mazuri!.
I have been waiting for this for while thank you pastor for the wonderful sermon
Grace kutoka Lebanon amen
Umefundisha vyema Ubarikiwe
From Zambia amen 🇿🇲🇿🇲
Blessings to you
Thank you for the message pastor for expounded the teachings for us to understand without shambling it blocks
Tulivyokuwa na myoyo migumu kuelewa ukwer huu mungu ututie nguvu waja wako
Pasta nakupata Sana ubalikiwe hakika mungu nimkuu na ndiye astahiliye kuabudiwa
ujumbe mzito sana huu, umenisaidia wakati umefika kusambaza habari hizi ili kila atakayechagua awe na uzima wa Milele. HALELUYA. hakuna haja ya kugatecrash Party ya shetani yaani kwenda jehanamu, binadamu hakupangiwa hilo MUNGU aturehemu, atusaidie na imani katika siku hizi za mwisho
Pastor Mungu amekupatia akili na mimi naona unaitumia vyema kwa ufafanuzi mzur wa mambo
Be blessed with your household.Patricia from Nairobi Kenya
Amina
Dugu yangu uko saws,yesu akutie nguvu kwa injili hii,lkini ningependa unisomee wakolosai 2:8 halafu nifasirie plse
Somo zito, nowonder mitambo inasumbua.
Pia mm
Ni kweli baadhi ya sehem hazisikiki wala video ina kwaruza sana Mungu mkubwa asante kwa mafundisho mazuri
Official video inakuja soon
Nami napnga sana mfumo wa kibabel balikiwa mtu wa mungu
Amen,
Tu me barikiwa masikio inayo sikia sauti yako
Blessed here in Kenya♥️🇰🇪
Jamani jamani mbona hakuna sauti?
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍
Somo hili lirudiwe mchungaji
Oooh God pembe ndogo inatawala haitaki ukweli watu wadanganywe ndiyo raha yake kristo wa Neema yote
Network inasumbu inatukosesha utamu
Nipate neema ya kufuata biblia
No stumbling block in the teaching
Huyu msomaji kichwa kigumu 😛
Mchungaji MUNGU akilinde siku zote
Sasa kama anaomba msamaha mbona bado hawafundishi ukweli bado. Nini tutoe kwenye msamaha anaouomba? Sijaelewa pre. Mbaga
Sijaelewa swali
Nataka ufahamu,kuabudu jumapili ni sawa???kama ndiyo ,dhibitisha na biblia...kama la,ipi ndo siku ya sabato?????
Sauti inakatakata
Barikiwa mchungaji. Asante kwa somo hili, kutufungua macho
Amina