Pr barikiwa sana , Ila pia Biblia haijasema wenye karama moja wawe na kanisa au dhehebu lao! Maana naona Siku hizi wenye Kunena Kwa Lugha wako pamoja na wwnye kukemea mapepo wako pamoja na wenye unabii wako pamoja kimadhehebu ! Hili nalo Mungu akuongoze siku moja utoe na hili somo Amina
Mchungaji nimekupenda bure,ume balance vizuri, unapiga wa torati,unapiga wa neema pasi na sheria, nakitamani,kipawa hiki, zaidi sana Matunda yatokanayo na kipawa hiki
amina sana mchungaji wetu uliye barikiwa sana na BWANA kwa njozi na maono juu ya kanisa letu make hatui kabisa kuhusu somo hili la roho mtakatifu na kunena kwa lugha.
Mchungaji mmoja aliandaa mhadhara ,basi wakati Wa mahubiri akahitajika mkalimani kwa manufaa ya waazi Wa eneo lile,lakini hakupatikana,pakatokea mlevi mmoja aliyesikia mchungaji akiuliza yeyote anayeweza kutafsiri ajitokeze ,basi yule mlevi aliyechakaa akajitokeza mbele ya watu .mchungaji hakusita Bali aliruhusu roho Wa Mungu amtumie huyu mlevi wakupindukia ,LA ajabu alihubiri naye alitafsiri kwa uhakika... Watu waliongoka na kubatizwa ..
Mungu akubariki mtumishi umetumika vizuri, lakini pia Samahani mtumishi, mimi naomba kuuliza kidogo @mahubiri tv Je siku ya pentekoste ilikuwa ni siku ya namna gani? Je siyo kuwa ilikuwa ni siku ya sikukuu ya wayahudi? Ambayo walikuwa wakikusanyika? Au mimi ndipo naelewa vibaya? Je waumini wanaotajwa kuwa walikusanyika je si wale wayahudi kutoka mataifa mengine sawa na vile wachaga ambavyo hukusanyika katika sikukuu zao? Naomba kufafanuliwa kuhusu hao waumini ni waumini akina nani hiyo siku ya pentekoste? Naomba kufahamu
Wachungaji ; tambueni Kuna vitu vitatu , 1, KUNENA Kwa LUGHA 2 KUJAZWA ROHO Mtakatifu 3, kalama za roho , Vitu hivyo vinahitaji UFAFANUZI Kwa watu/ wakristo
Mchungaji nina swali,nili kua bado mdogo...tuli amka ndugu yangu ali kua mgonjwa siku nyingi, ila ali amka asubui tuka sikia ana ongea swahili sanifu tena tuli kue hatujui tuli kua mtaani lugha yetu ili kua Kindande...ila yeye ali ongea swahili, alipo pona lugha nayo ika potea....swali kuna ugonjwa namna hio? Ao niku ongea kwa lugha.???
MGOLOLO KWENYE KIWANDA CHA KARATAS HONGERA SANA KWAYA YETU MINGU AWABARIKI SANA NA ABARIKI HICHO KIPAJI CHA HUYO MTOTO NA MKIKUZE MSIKIACHE ILI HUYO MTOTO AJE AWE MUIMBAJI MZURI
1kor 14:2,,, naomba kuelewa huu mstari hauwahusu wale wanaonena kwa Lugha peke yao wakati wa Kuomba? (ambao tunawaona wako wengi) Kwamba wakati huo roho zao huwa zinaongea na Mungu? Sijaona ukigusia hapo au sijaelewa...
Hiyo kunena kwa lugha ambayo imeandikwa kwenye biblia nitafauti ambavyo makanisa wananena kwa sasa sikuizi wananena vitu havieleweki sio hata lugha nikama wanacheza namidomo yao kwa maksudi hivyo vimetoka wapi? Biblia inamaanisha mitume walinena lugha ambazo zinajulikana kama lugha tena zinapaswa kutafsiriwa. sio shalapalalala bashololololo vitu havieleweki
Pole sana sikiliza uelewe maana mbili za kunena kwa lugha, unapoomba kwa lugha Biblia imesema akili yako haina matunda yani wewe mwenyewe hujui unayoyatamka kwa sababu ni Roho mtakatifu anatuombea kupitia midomo yetu wenyewe ni mambo ya sirini ni lugha ambayo hata shetani hawezi kuambulia kitu ni direct kwa Mungu Baba ni maombi yenye nguvu ya ajabu, nakuombea neema hiyo na ukishapokea nguvu utakayoipata hutakaa uache "Waabuduo halisi watamwabudu Mungu katika Roho na kweli"
Mchungaji mmoja aliandaa mhadhara ,basi wakati Wa mahubiri akahitajika mkalimani kwa manufaa ya waazi Wa eneo lile,lakini hakupatikana,pakatokea mlevi mmoja aliyesikia mchungaji akiuliza yeyote anayeweza kutafsiri ajitokeze ,basi yule mlevi aliyechakaa akajitokeza mbele ya watu .mchungaji hakusita Bali aliruhusu roho Wa Mungu amtumie huyu mlevi wakupindukia ,LA ajabu alihubiri naye alitafsiri kwa uhakika... Watu waliongoka na kubatizwa ..
Sijawahi kumpenda mpare ila mpare huyu ni mwalimu mwema. Sichoki kumsikiliza. Mungu akubariki sana, mafundisho yako yamenifungua mno.
Ameen pastor
Pr barikiwa sana , Ila pia Biblia haijasema wenye karama moja wawe na kanisa au dhehebu lao! Maana naona Siku hizi wenye Kunena Kwa Lugha wako pamoja na wwnye kukemea mapepo wako pamoja na wenye unabii wako pamoja kimadhehebu ! Hili nalo Mungu akuongoze siku moja utoe na hili somo Amina
Oooh my God is a good God, Pastor Roho mtakatifu akuzidishie ufunuo, moyo wangu unabubujika kwa ufunuo huu
Mchungaji nimekupenda bure,ume balance vizuri, unapiga wa torati,unapiga wa neema pasi na sheria, nakitamani,kipawa hiki, zaidi sana Matunda yatokanayo na kipawa hiki
Asante sana kwa mafundisho na maneno mazuri sana.
God bless u pastor umenijenga kiroho
amina sana mchungaji wetu uliye barikiwa sana na BWANA kwa njozi na maono juu ya kanisa letu make hatui kabisa kuhusu somo hili la roho mtakatifu na kunena kwa lugha.
Mchungaji mmoja aliandaa mhadhara ,basi wakati Wa mahubiri akahitajika mkalimani kwa manufaa ya waazi Wa eneo lile,lakini hakupatikana,pakatokea mlevi mmoja aliyesikia mchungaji akiuliza yeyote anayeweza kutafsiri ajitokeze ,basi yule mlevi aliyechakaa akajitokeza mbele ya watu .mchungaji hakusita Bali aliruhusu roho Wa Mungu amtumie huyu mlevi wakupindukia ,LA ajabu alihubiri naye alitafsiri kwa uhakika...
Watu waliongoka na kubatizwa ..
KUJAZWA ROHO MTAKATIFU SIO KALAMA, NI UTIMILIZO WA AHADI YA YESU MAANA ALIAHIDI KUTULETEA ROHO MT
BAADA YA HAPO NDIO KALAMA ZINAFUATA
Amina hakika naendelea kuuona ukuu wa Mungu maishani mwangu mbarikiwe nyote wanamgololo Bwana awabariki sana
balikiwa mtumishi wa Mungu
Mungu akubaeiki m2wababa
Mungu.akubariki.mucungaji.umeongeya.sahihi.mama.watuwengi.wanpingakwanza.munguakubariki
MUNGU siyo mungu
Asante sana mchungaji nimebarikiwa sana nami naanza kuomba karama za roho ili niitumie kulijenga kanisa lake. Bwana akubariki
barikiwe mtumishi wa MUNGU nakupata vema kwenye mafundisho yako
Anhaa, kumbe kunena kwa ile lugha isyoeleweka nayo ipo
Aminaaaaaaa. Asante mchungaji Bwana Mungu akubariki
Barikiwa snaa sana bonge la somo limeeleweka sna.
Amen. Ubarikiwe pastor Mbaga
Nimekuelewa sana Pastor....ilishanitokea Ila mara moja tu
Tuko pamoja sana emeeeen
Nimekuelewa sana Pastor.
Amen amen 🙏 Mungu akubariki sana muchungaji
Nami nabarikiwa kutoka kiminini Kenya
GOD bless you pastor
Amen amen umenibariki
Mungu akubariki sana pastor
Mungu akubariki mtumishi umetumika vizuri, lakini pia Samahani mtumishi, mimi naomba kuuliza kidogo @mahubiri tv
Je siku ya pentekoste ilikuwa ni siku ya namna gani? Je siyo kuwa ilikuwa ni siku ya sikukuu ya wayahudi? Ambayo walikuwa wakikusanyika? Au mimi ndipo naelewa vibaya? Je waumini wanaotajwa kuwa walikusanyika je si wale wayahudi kutoka mataifa mengine sawa na vile wachaga ambavyo hukusanyika katika sikukuu zao? Naomba kufafanuliwa kuhusu hao waumini ni waumini akina nani hiyo siku ya pentekoste? Naomba kufahamu
Beautiful 💕 song hallelujah amen
Nmeelewa sasa
Amina nimebarikiwa na soma
Safi injili ya kweli sana tupone
Pastor naomba unisaidie juu ya fundisho la utatu linanitatiza sana
Barikiwa sana mchungaji kwa mafundisho Yako mazuri
Amen nazid kuelewaaa
Allelluya
Amen be blessed
tunabarikiwa mtumishi wa bwna
BWANA siyo bwana
Nazidi kubarikiwa
Amen...be blessed
Kuna watu sku hiz wanaongea lugha za kuzim aina moja sio mbqlimbali tena
Amina !
Ameen pr
Wachungaji ; tambueni Kuna vitu vitatu ,
1, KUNENA Kwa LUGHA
2 KUJAZWA ROHO Mtakatifu
3, kalama za roho , Vitu hivyo vinahitaji UFAFANUZI Kwa watu/ wakristo
Kwan ww hujaelewa
Ameen
God is able
Be blessing
Mchungaji nina swali,nili kua bado mdogo...tuli amka ndugu yangu ali kua mgonjwa siku nyingi, ila ali amka asubui tuka sikia ana ongea swahili sanifu tena tuli kue hatujui tuli kua mtaani lugha yetu ili kua Kindande...ila yeye ali ongea swahili, alipo pona lugha nayo ika potea....swali kuna ugonjwa namna hio? Ao niku ongea kwa lugha.???
MGOLOLO KWENYE KIWANDA CHA KARATAS HONGERA SANA KWAYA YETU MINGU AWABARIKI SANA NA ABARIKI HICHO KIPAJI CHA HUYO MTOTO NA MKIKUZE MSIKIACHE ILI HUYO MTOTO AJE AWE MUIMBAJI MZURI
ANINA🙏
1kor 14:2,,, naomba kuelewa huu mstari hauwahusu wale wanaonena kwa Lugha peke yao wakati wa Kuomba? (ambao tunawaona wako wengi) Kwamba wakati huo roho zao huwa zinaongea na Mungu? Sijaona ukigusia hapo au sijaelewa...
mungu akuzidishie neemahiyo yakutufundisha pasita
Amen 🙏🙏🙏
AMINA AMINA
We're niwa kaniza Gabi ndugu?
Hallelujah
🙏🏾
👍
😀😆 kunena kwa lugha ni changamoto kweli kweli. Kila mtu anasema lake
...lakini Biblia inasemaje? Huko ndiko unatakiwa kujielekeza endapo utaona hawa wengine huwaelewi.
@@maureenmgenikweli kabisa, najua nn biblia imesema juu ya kunena kwa lugha. So niko na msimamo wangu.
Madhehebu mengi yanapinga kunena kwa lugha...ukiazama madhehebu yanayopinga kwa lugha utakuta washirika wa hilo dhehebu wamevia kiroho 😁😁😁
Amen
Hiyo kunena kwa lugha ambayo imeandikwa kwenye biblia nitafauti ambavyo makanisa wananena kwa sasa sikuizi wananena vitu havieleweki sio hata lugha nikama wanacheza namidomo yao kwa maksudi hivyo vimetoka wapi? Biblia inamaanisha mitume walinena lugha ambazo zinajulikana kama lugha tena zinapaswa kutafsiriwa. sio shalapalalala bashololololo vitu havieleweki
Pole sana sikiliza uelewe maana mbili za kunena kwa lugha, unapoomba kwa lugha Biblia imesema akili yako haina matunda yani wewe mwenyewe hujui unayoyatamka kwa sababu ni Roho mtakatifu anatuombea kupitia midomo yetu wenyewe ni mambo ya sirini ni lugha ambayo hata shetani hawezi kuambulia kitu ni direct kwa Mungu Baba ni maombi yenye nguvu ya ajabu, nakuombea neema hiyo na ukishapokea nguvu utakayoipata hutakaa uache
"Waabuduo halisi watamwabudu Mungu katika Roho na kweli"
Pastor nimekuelewa sana japo kwenye aina ya pili haujafafanua vizuri
Wanikolai tayari wameiisha dislike!!!.
@MAHUBIRI TV
Mchungaji mmoja aliandaa mhadhara ,basi wakati Wa mahubiri akahitajika mkalimani kwa manufaa ya waazi Wa eneo lile,lakini hakupatikana,pakatokea mlevi mmoja aliyesikia mchungaji akiuliza yeyote anayeweza kutafsiri ajitokeze ,basi yule mlevi aliyechakaa akajitokeza mbele ya watu .mchungaji hakusita Bali aliruhusu roho Wa Mungu amtumie huyu mlevi wakupindukia ,LA ajabu alihubiri naye alitafsiri kwa uhakika...
Watu waliongoka na kubatizwa ..
Wapi huko Nancy?
Amen
Amen
Amen
amen