UKHTY MWANACHA | MBAYA WANGU | NEW QASWIDA | OFFICIAL PERFORMANCE 4K VIDEO.
Вставка
- Опубліковано 1 жов 2024
- Kwa mahitaji ya Qaswida Mpya, Tenzi, Mawaidha, Nasheed, na matukio mbali mbali ya kijamii, usisahau ku SUBSCRIBE, LIKE, COMEENT, SHARE ili uwe wa mwanzo kupata matukio hayo kila yanapotoka kwa wakati sahihi.
Kwa mawasiliano zaidi, wasiliana nasi kupitia simu No.
Whatsapp. +255772285543
Call. +255772285543
ASANTENI NA KARIBUNI.
Mashaallah! Mm ndo nnavyopenda ivy lakin jitahid muimbe na za kiarabu
❤❤❤
😂😂😂😂😂😂😂 Qaswida
❤
Mngetoa qaswida za mafunzo ingependeza kweli uhkt waangu
Qqppp
Mung akuongoz❣️❣️❣️
Jamani muimbe nyimbo za mapenzi hizo hazipendezi watu wamekuja kustarehe sio nyimbo za mafumbo sio nzuri. Na jengine kwanini mziki uleule kila nyimbo hsmchanganyi na ikawa tafauti mkatia kiarabu. Kisomali. Ki aljeria zitapendeza sana.
Hujaimbiwa wewe shika adabu Yako limekutachi eee
😅
Mashoga wa siku hizi kweli hawana maana
Duu mbona mafumbo
Iko pw kwel👌👌👌💕💕
Kazi nzuri mungu awaongoze kwenye kanzi zenyu
Mbayaaaaaa
Mmh ukhtii mbona unatutisha
😊😊😊😊
Mashallh👏🥰
Haya wee kumekucha mambo ayo
2mekuchk na hiz maso
❤
❤️❤️❤️❤️❤️❤️😁
Nawapenda san❤❤
Qaswida nd izo izo badilisheni bc
Mashahalla ukhut Allah barik
Asalam alaykum mashaallah alf mabrook allah awaomdoleye wabaya wenu na maaduwi zenu
Qaswida ni nzr lakini sie tunaoimba tunazifanya kuonekana mbaya
Nawapenda sana
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ love
Manshallaahh ukhuty hujawahi kukosea ❤❤❤Allaah awalinde
Sema astaghfirullah
Mashaallah mwanach nampend san
Jaman napenda saut ya adila
Allah baarik
Mashallah
❤❤❤
❤
💃💖💖
Mnaig nyimb za watu za iss maton taft zak
Ukhty hongera
xo mafumbo ndo ukwel wenyew
Kwann usiend kuimba weye nyoko weeh
😅😅
😂❤❤
Wambiee😂
❤pambe kipendh
Hongera
Ww nikikuona umefanana na mwanangu
Allah awalinde na Kila shali
Mmmmmh qaswida za ciku izii ni ajee apaaaa leonileo
a😊
Jaman kali sn❤❤❤❤
Mashallah ukhty mwanacha and adila love u
Tenaaaaa❤❤
Kweli kabisa allah akulinde dada yangu 😂😂😂😂🎉
Saf
❤❤❤ mashallah
Mwanacha nakupenda saana wewe na dada adilia ❤
Mashallah❤❤❤
Utam utam ❤❤
pambeee 😘😘
Mashallah mungu akuongoze nshall
Muniro
Nice
Mashallah mashallah ❤️
Hakikisha kwamba unaimba qaswida zinazo peleka dini mbele na sio mafumbo
Mbn ukhty asha ckuhiz hamshirikian nae
Kweli au hawpo sw
Itakua kuna kitu
Mashallah .niambieni title ya hii nyimbo nimetafta sana
Nice song. Tushawajua Alafu Alaaah Kumbe.!!!✅