Ni wapi Yesu aliltuagiza tutumie maji na mafuta? Yesu aliamuru tutumie jina la Yesu Marko 16:16-18 [16]Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa. [17]Na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio; kwa jina langu watatoa pepo; watasema kwa lugha mpya; And these signs shall follow [18]watashika nyoka; hata wakinywa kitu cha kufisha, hakitawadhuru kabisa; wataweka mikono yao juu ya wagonjwa, nao watapata afya. Aposto leo umeyakanyaga
Kwa nini lkn mafuta na maji vinauzwa kwa fujo ktk makanisa ya kiroho nchini kote. Ni biashara ya aina gani hiyo kwa kiongozi mtoaji. Luk 4 1 . Kubatizwa nako nako maji yanatumika, ni kiashiria gani yana msukuma mtu akibatizwa maji kidogonau mengi yanatatiza wengi.
Amen Amen Amen
Hilo fundisho lina matege!!!
Umelazimisha maandiko uliyo soma,kuhalalisha mtazamo wako.
Duuuu!!!!😂😂
Very true and I thanks for speaking nice
“Mjinga huamini kila neno; Bali mwenye busara huangalia sana aendavyo.
”
- Mithali 14:15 (Biblia Takatifu)
Asante Yesu ,kwa sababu ya majina mafuta haya kila hatia inaondolewa napokea uponyaji kwenye tumbo langu la uzazi kwa jina la Yesu!!Amen
Mungu aliumba wala akuumbwa vyote vinatokana na Mungu usikuze vilivyoumbwa kuliko muumbaji ebu acheni mafundisho ya kutaabisha
Ameeen daddy ubarikiwe mnoo maana unazidi kuniimarisha kiroho HAKIKA MUNGU mwenye mamuraka yote akutunzee ❤❤❤❤🙏🙏🙏
Ahsante sana MUNGU wa Major 1 hatia zote zimeondoka kwangu in Jesus name
Amen apostle be blessed ❤❤❤ i received in Jesus name amen 🙏🙏🙏
Mungu azidi kukutumia Apostle Dionis
Hallelujah , i am following apostle
Amen tumebarikiwa Kwa neno la maji na mafuta asante
Amen and Amen chief Apostle, am blessed 🙏
Preach man of GOD ❤️ ❤❤
Appreciated man of God
Wewe mwongo mafuta hayauzwi makanisa ya Kiroho yote sio kweli kuna baadhi ya manabii wanao fanya hivyo ila sio wote
Pole ndugu Mungu akusamehe sana maana hujui mawazo yako
Luka 4 18 mafuta yanawakilisha roho mtakatifu mw 1 1. Perfectly said by apostle
❤ amen apostle
Mafuta mabichi yanazalisha nguvu. samwel alitiwa MAFUTA na Daudi pia. Maji mafuta ishara ya utajiri ? AMEEN.
Amen,Nimebarikiwa
A m blessed in Jesus nam
Amene ubarikiwe sanaa
Amen and Ameen ubarikiwe mtumishi
nimebarikiwa
Amen
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN
Nimebarikiwa sanaa
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN
Ameeeee👏👏👏
Ni wapi Yesu aliltuagiza tutumie maji na mafuta? Yesu aliamuru tutumie jina la Yesu
Marko 16:16-18
[16]Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.
[17]Na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio; kwa jina langu watatoa pepo; watasema kwa lugha mpya;
And these signs shall follow
[18]watashika nyoka; hata wakinywa kitu cha kufisha, hakitawadhuru kabisa; wataweka mikono yao juu ya wagonjwa, nao watapata afya.
Aposto leo umeyakanyaga
Kwa nini lkn mafuta na maji vinauzwa kwa fujo ktk makanisa ya kiroho nchini kote. Ni biashara ya aina gani hiyo kwa kiongozi mtoaji. Luk 4 1 . Kubatizwa nako nako maji yanatumika, ni kiashiria gani yana msukuma mtu akibatizwa maji kidogonau mengi yanatatiza wengi.
Connect connect
Bible interpretation is a very big problem
Kabisa ndugu nakubaliana na wewe,na hii ndiyo shida ambayo wengi hawawezi kugundua haraka maana yasemwayo yameandikwa ila tafsiri inayotolewa sasa!
Appreciated man of God
Connect connect