simulizi inafundisha na kuelimisha eeh mungu wetu tupo maisha marefu na yenye furaha na yenye Hofu ya mungu ili tuwezee kuwalea watoto wetu vzr ili wawe wenye kumjua mungu siku zote ukiiaga dunia wanao teseka hp duniani ni watoto wako utakao waacha hapa duniani maana ao ndio utakao waacha wakiumia kwa hii dunia yenye kila jambo na yenye kuumiza na kufuraisha ❤❤❤❤
Daah 😭😭😭 nimelia jaman uyu mama kwani ajazaa kweli 😢sisI yatima tunashida sana Kwa awa mama zetu wakambo na ndugu wazazi wetu nishida sana 😢😢 anko jay nimelia sana
Ankooooo nikupe hongera sana hii simulizi imenigusa umeisimulia kwa hisia sana mpaka na Mimi nimelia,na hiyo beats ndo kabisaaa kwa kweli mungu azidi kukubariki kazi nzuri sana congratulations 🎉 🎉🎉🎉 napenda sana kazi zako nzuri ❤❤❤❤
Sikujua ya kwamba hata wanaume wapo pia vichomi kwaivyo sikuizi akuna hata rafiki wa kweli kisa tu mapenzi kwani mapenzi ya Nini jamani hongera Sana mwandishi wetu na Ankojay simulizi ni tamu mnooooooo 😂😂
Aiseee ata wamwisho pia hupewa 🎉 yake ety naomben like zenu jaman maan ata mm nakumbuk kitambo dalasan ukiwa wa mwisho hupewa pen na daftar ety nawakwanza pia ivo ivo so wote nisaw nigongeen like zangu bs wapendwa ata 5 ety
Jamani kuna watu.wana.roho.mbaya sana mtoto wa mwenzio kusomeswa na mumeo ni makosa wanawake sisi mungu atuongoze insha Allah
Haya tupe uhondo Anko mapema kwanza chukua 🎉🎉🎉🎉 much love 💕 from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🇰🇪🇰🇪🇰🇪😂🎉
🎉🎉🎉
Mh jaman
❤
Fast is me Anko Msemakweli from Kenya 🇰🇪but on Dubai much love for fantastic simulizi one alway you Anko ❤
Woooooow asante broo jay❤🇰🇪
Asante kwa kigongo kpyaa shukurani kwa mtunzi na musimuliaji nawapenda❤❤❤🙏🙏🙏
Love you ❤❤❤❤😂😂😂ahsante anko Jay simulizi
simulizi inafundisha na kuelimisha eeh mungu wetu tupo maisha marefu na yenye furaha na yenye Hofu ya mungu ili tuwezee kuwalea watoto wetu vzr ili wawe wenye kumjua mungu siku zote ukiiaga dunia wanao teseka hp duniani ni watoto wako utakao waacha hapa duniani maana ao ndio utakao waacha wakiumia kwa hii dunia yenye kila jambo na yenye kuumiza na kufuraisha ❤❤❤❤
Wakwanza anko jay asante sana
Jaman me najskia vbya nnavyo waomb like mnaninyma sawatu😢
❤❤❤❤ Ohhhhh jamani ❤❤❤❤❤ from canada 🇨🇦🇨🇦
Asante anko jey ❤️❤️❤️❤️ watu munajuwa kuwahi sawa tupo pamoja 🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲 nawapenda sana wana family anko jey ❤️❤️❤️❤️
Anko J aweee tupe vitu aiseee ilo penzi la daktar yaliyomo yamo haya naombeni like hata kumi tu wanagulf
😊😊😊 uko wapi kwani mm Niko Qatar tim strong
@@FatimaRamadan-s4fnipo Oman
Ni simulizi hiliyo aje asante anko j wp like
Wow,kazi nzuri kaka,listening from Kenya(Eldoret),much love.
Nimewai leo 😂jamani like zenu
Nimekiwa wa 60 leo asante ankojay tunakupenda mtoe like jaman
Hata mm pia leo nimewahi leteni like zetu jamani😂😂,Ahsante sana Anko kwa simulizi yetu hii nzuri, usisahau bado tuko pamoya, Ankoo much love ❤️.
Anko J hii bit sio nzuri kwenye simulizi ya mapenzi
Haloooooo nimefika naomba likes zenu tafadhali
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉sina maoni Ila Steven zakaria unajua ...mwamba wetu@ #Anko jay big up❤❤❤ mob love this side❤we do love you
MWENYE ANAJUA UCHUNGU WAMWANA HII SIMULIZI LAZIMA MACHOZI YAMTOKE KAMA YANAVYO NITOKA MM❤❤🇰🇪🇰🇪
Kumbe tupo tupo 💞💞🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mungu atu hifadhi sote inshallah kwanza kama mm single mothers mungu anipe umri nizid kupambana na ulezi inshallah
@@FatimaRamadan-s4f usijali dear mungu yupo nasi kwa kila jambo
@user-it5ej8eq6m mungu atakuanawewe atakulinda wewe namwanao mungu awaepushe na mambo ya dunia 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@@ramasalm-wk5zj Amin shukran dear ❤❤❤
Acha ni 🪑🎧 niinjoi atakama nimechelia kwakweli lakini siombaa ahsante AnkoJay 😊🙏❣️
Haya leo tuone penzi la doctor ilikuakuaje🤗
Jamani atulali tuna Kesha kusubili anko jey
Watoto wa anko hawalali japo nimechelew nipe hata like kumi ❤❤❤
Ahsante saana Anko Jay mungu akubariki ❤❤❤❤❤❤
Mmh jamani tamu mpaka basi Asante Ankojay ❤❤❤❤
Wa kwanza🎉🎉🎉
😂😂😂
Mashalah asante anko jay Mmungu akupe umri mrefu inshalah
Amin
Daah 😭😭😭 nimelia jaman uyu mama kwani ajazaa kweli 😢sisI yatima tunashida sana Kwa awa mama zetu wakambo na ndugu wazazi wetu nishida sana 😢😢 anko jay nimelia sana
Wakwanza leo 😢naomba like zangu please 🙏 ❤
Love you uncle ubarikiwwe
Jamani asante anko jay 🎉🎉
Woow 🎉🎉🎉barikiwa Anko j ❤❤❤❤
Tupo sisi hawa.. let me put headphones 🎧 now twende zote sasa.. thanks kaka ankojay 🎉🎉🎉
Acha tusikilize simulizi tamu❤
Mambo ni moto🔥🔥🔥🔥
Ghai, I was thinking tat iam te first one
Jamani jasitini kanitoa machozi pole sana jasitini 😭😭😭 Kwa ulio pitia
Wow nzuri ety❤❤❤
Sawa Kaka nakuelewa sana asante
Duuu jamani mko makini sana wanafamili ya ank
Hizi ndio simulizi nazipendanga sana much ❤❤
Ankooooo nikupe hongera sana hii simulizi imenigusa umeisimulia kwa hisia sana mpaka na Mimi nimelia,na hiyo beats ndo kabisaaa kwa kweli mungu azidi kukubariki kazi nzuri sana congratulations 🎉 🎉🎉🎉 napenda sana kazi zako nzuri ❤❤❤❤
Jamaji mimi wa110 nimejitahidi msininyime like jamani😂😂😂
Bomba sana JACK
haya jamaniii PENZI LA DOCTOR 😂tunasikiliza hapa ili tujuwe hilo PENZI tamuu au CHUNGU LIKE 10 KWA PENZI LA DOCTOR ✌️✌️✌️
Mzima kabisa vipi wewe kaka Ankojay umeamkaje ❤❤❤
Pia mm nimewahi kiasi ❤❤❤❤anko
Hatali simulizi Kali nazipenda from Canada 🇨🇦 usiku nikiwa nimelala zangu ❤❤❤❤❤❤love
Wa kwanza hapa, number one fan (even tho i’m not premium)😅
Nime fika kuchelewa sababu ya mafuriko ila nam shukuru mungu Kwa kufika,, anko jay twakupenda sana👍🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wapi huko Kuna mafuriko Kenya
@@FatimaRamadan-s4fkenya hali tete mvua ni nyingi sana mafuriko yametuandama
Duh jamani hata sisi ni mvua tu
@@SelemanAlmas-i2g Kenya sehemu gani
Mashabiki wa ankojay naomba like zenu jamani nawapenda sana ❤❤
Na mm nimewahi mkwee❤❤❤
Na mm leo wa kwnz jmn lke zanguuuuuuuu🤣🤣🤣
Kila siku unasema wewe wakwanza 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@@Pinebaby-r9whata mm wakwanza hujaniona nikisema Huwa na nyamaza tu mm 😊😊😊
Yaan haka ka sound kanako sikika waooh muruwa😊 nafarijka hatari na simulizi inaoneka tamu Kama haka ka wimbo😊😊
Wa kwanza leo❤
🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦simulizi nzuli hasa usiku mtu kapumuzima ❤❤❤❤❤❤❤
Kwa kweli dunia simama wanadamu washuke hasa akinamama tumekuwa na tabia mabaya kuliko hata shetaniEE MUNGU uturehemu maana hatujui tulitendalo
WADOGO ZANGU HAMJAMBO?😂😂 NIMECHELEWA DADA ENU😂Naombeni like watu wa Mungu❤️🥰😂😂
😊😊😊
Umepata dada😂😂
@@AnithaeliasyAnithacharlesy asante mpenz😂
Haya Anko j tupo pamoja
Nimekua wakwanza leo like zangu jamani na mm sitawanyima zenu 🎉🎉
Haya mim leo nimechelewa ila naombeni like tu
Yaaani kila mtu wa kwanza,😂😂😂
Nimechelewa lkn nimefika ❤😂😂😂
Sikujua ya kwamba hata wanaume wapo pia vichomi kwaivyo sikuizi akuna hata rafiki wa kweli kisa tu mapenzi kwani mapenzi ya Nini jamani hongera Sana mwandishi wetu na Ankojay simulizi ni tamu mnooooooo 😂😂
Jamani jamani nakupenda 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Namm leo wa 43 hahàha mzigo wa doctor
Aiseee ata wamwisho pia hupewa 🎉 yake ety naomben like zenu jaman maan ata mm nakumbuk kitambo dalasan ukiwa wa mwisho hupewa pen na daftar ety nawakwanza pia ivo ivo so wote nisaw nigongeen like zangu bs wapendwa ata 5 ety
kuwai nayo raha kumbe😂😂😂anko jay ubarikiwe wacha nikae kwakusikiliza
Wazima sijui ww Anko
Tuko poa niko ndani karibu wana team❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Anko jay wetu unatupa raha ubarikiwe sana , hii muziki ni mzuri sana 🎉🎉🎉
nimewahi pia ankojey
Wa 20❤
Jamani naomba lik zenu hata 5 ndugu zangu
Asante sana ankojay Allah akulipe kheri Inshaallah ❤❤❤
Hello hello anko jay family. here with new simulizi...much love ❤❤❤❤❤
🎉🎉🎉sema nimekuwa wamwisho kabisa😊
Khaaa jamani watu mnalala hum hum au kila nikisema nimewahi kumbe nimewahiwa😂😂 0:44
Pole 🤣🤣🤣
@@ghanimamohammed5305asante
Pole sana Justin kwa Dar inasikitisha sana 😭😭😭 shukrani ancle kwa hii ubarikiwe sana ❤❤🎉🎉
Haiyaa ,wacha nisikilize kwanza nitarudi kucomment tena baadae, Ahsante Anko jay kwa kigongo hiki kipya naenjoy sana ❤❤❤🎉🎉🎉
Asant san kaka anko j mungu akubariki sana acha niinjoi namie 💃💃💃
Watu mnawahiii aya mm 34 nipe like nifurah jaman wapendwa
woooow!🎉 nice story❤❤
like zenu wapenzi❤
@@SaumuhamisiHamisi-w9r❤
Woyoooooo❤️❤️❤️❤️❤️
Wooooyoooooo❤❤❤❤❤
Oh! Belle histoire! Much love from Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Hila hii Dunia Kuna watu wenye roho chafu aki
Na mie nimewai jmn anko jay pokea maua yko🎉🎉🎉🎉
Ujawahi feli kaka
Niko fiti sana Ankoo sijui ww uhali gani?.
Wow asante
Nimekuwa wakwanz😢sjui na mm Anko jay atataja jina lang sku moja😅😅
Utasbr sna VIP ndo wanatajwa tu😂😂😂😂😂
Ira nyieee🤣🤣🤣
😂😂😂 Kumekucha@@Babyfaty-m3y
Simulizi hiz ni zuri yanipa moyo
Ni Mimi nipo sana ❤❤❤🎉
Me wammwisho😂😂😂😂
Cjachelewa mie 😂😂 wa2 walilala UA-cam 😂😂😂 ANKOJ PAMOJA MBK MWISHO
Jamani kunawatu wana roho mbaya duhh asante sana ank j sasa mimi ndio wamwisho
Malipo yote nihapa hapa duniani 😢😢😢hujafa hujaubika
Naon kila mtu anaomb likes😂
Asante ankojay simulizi mzr Sana jamani wanawake tuwenauruma mtoto wamwezio ndio mtoto wako❤