KIMEUMANA ! RC MAKONDA AWAVAA MASKOFU NA MANABII " HIVI KWA MUNGU KUNA DEMOKRASIA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 15

  • @paull8659
    @paull8659 Місяць тому +1

    Makonda ni pumbav, mahubiri haya ni hovyo kabisa.

  • @JustineWangi-j2t
    @JustineWangi-j2t Місяць тому +2

    Watanzania hatuna viongozi!kwa hali hii wamepagawa ivi!mbona wanatumia nguvuykubwa sana kutupanga?kunanini?hii nchi wameifanya nn?kunann hapa? Jibu lahisi hatupo salama hatuposalaama.

  • @severinkinunda5269
    @severinkinunda5269 Місяць тому +2

    Leo hii viongozi wa dini wakitoa majibu na kusema ukweli, mnawatishia maisha yao, hata Eliya unayemzungumzia naye kuna wakati alikutana na upinzani kutoka serikali. Makonda wewe kama unamjua Mungu kuliko watumishi wa Mungu tuambie watekaji ni nani? Mbona tatizo la Ngorongoro umefanya nini? Suala la viongozi wa dini kukemea liko kwenye biblia, Yohane Mbatizaji ni mfano, Yesu alikemea pia, Eliya alikemea, Yeremia alikemea.

  • @MichaelNdonde-g6w
    @MichaelNdonde-g6w Місяць тому +1

    Makonda unaanzisha maneno ambayo yatakuletea shida

  • @daudimchileg307
    @daudimchileg307 Місяць тому

    Usiseme yupo wap mungu wenu. Maana haujui mungu kamwita nan? Yakumbuke ya pharao. Ni kweli kama kuna watu hawajaitwa hao nami nawafuta. Ila tusaidieni mauaji na utekaji yaishe

  • @Josephineexsuper
    @Josephineexsuper Місяць тому +1

    Watu hawajui biblia na wanaitafsiri wanavyojua wao...Yesu mwenyewe alihoji na kuelekeza... Ile kesi ya Yesu yenyewe ilikuwa ya kisiasa....kajifunzeni neno vizuri. Nasadiki kwa kanisa moja takatifu katoliki la mitume

  • @SeverinepauloPeter
    @SeverinepauloPeter Місяць тому +1

    Acha uboya kuwapanga watu low minded

  • @JustineWangi-j2t
    @JustineWangi-j2t Місяць тому +1

    Watakao kuelewa makonda ni watu wasiojielewa,kwanza mwamposa anawaambia watu hilo sio kanisa ni kituo cha maombi kwaiyo hapo kunawaislam kunawakristo ambao wanamakanisa yao na miskiti yao bila kufikilia,unamuharibia mshikaji kati ya maaskofu na ww nani fek?nilikuwanakuelewa kumbe ndio ulivyo!😅😅😅

  • @SeverinepauloPeter
    @SeverinepauloPeter Місяць тому +2

    Hii siasa hii.wewe umepatikana kisiasa fala ww

  • @geturdablatch9706
    @geturdablatch9706 Місяць тому

    Watu wangu wataangamia kwa kukosa maarifa

  • @SeverinepauloPeter
    @SeverinepauloPeter Місяць тому

    Ukora huu mbona yeye anaongea kwenye platform ya dini.aacha kutupanga no one is perfect

  • @SeverinepauloPeter
    @SeverinepauloPeter Місяць тому

    Watakunja ma missionaries

  • @tobesimatiku8459
    @tobesimatiku8459 Місяць тому

    Watu hawasomi neno na kulitenda ndo maana hakuna watumishi wazuri .....mh neno halipo

  • @KesuYeile
    @KesuYeile Місяць тому

    Kuwa na akiba ya maneno makonda kwahyo unamanisha kwamba mwambosa TU peke yake ndo mtumishi wa kweli sio

  • @edmarboniface5863
    @edmarboniface5863 Місяць тому

    Huyu mwamba simuelew Kwahyo wasihoji ila wazidi kuomba huku watu wanatekwa