"MNATUHARIBIA KAZI" WAZIRI MKUU ATINGA BANDARINI, AWABANA MADEREVA, ATOA MAAGIZO KWA MABOSS

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 140

  • @veronicajulius1223
    @veronicajulius1223 3 роки тому +13

    Du!!! Asante baba umeachwa pekeyako mtumwenye msimamo na maamuzi ya haki

  • @paulmadundo8084
    @paulmadundo8084 3 роки тому +20

    For sure, i really appreciate our PM. I see JPM philosophy in majaliwa....keep it up our PM!

  • @sabrinaally2045
    @sabrinaally2045 3 роки тому +20

    Me nataka viongozi wenye msimamo kama hawa na wafuatiliaji baba alianza na ninyi munapaswa kuiga na ndio sababu leo kila mtu anamkumbuka baba magu kwa upigaj wake kazi safi sana majaliwa rahisi mtarajiwa tunajua baba magu aloshatabir tayar.

  • @KasindiPapi
    @KasindiPapi 3 роки тому +2

    Apa kazi tu, fanta ivo ivo baba MP tunahanza kuona Magufuli ndani yako. Asante kwakualhanza kututuliza roho zetu, Mungu akuongezee ujasiri huo.
    Once again Thank you.

  • @kurthumkamru5435
    @kurthumkamru5435 3 роки тому +6

    Hongera Sana waziri mkuu mungu akipenda tunaomba uwe Rais wetu

  • @castobenjamin4074
    @castobenjamin4074 3 роки тому +27

    Kassim Majaliwa Mtu wa Kaziii,Kazi iendeleee👊🇹🇿

  • @ipajam9
    @ipajam9 3 роки тому +8

    Tumuombee Mungu huyu Waziri Mkuu.

  • @tabuboone934
    @tabuboone934 3 роки тому +4

    Majaliwa wetu asante sn kwa kufatilia na kwenda kuhakikisha mwenyewe hii itasaidia watu kuchapa kazi. Sehemu zingine pia ukashitukize make wafayakzi wanaanza kulegalega kuchapa kazi na kuhusumia watu kwa haraka ni maendeleo ya nchi.
    Kazi uendelee tu kwa kishindo. Big up Mhe!! 🇺🇸🙌🏽🇹🇿

  • @sabrinaally2045
    @sabrinaally2045 3 роки тому +44

    Wanaoamin mze kasim majaliwa atakuja kuipeperusha bendera ya taifa tanzania like hapa tunaitaji viongozi hawa wakali mno mwenye msimamo tutafika mbali.

    • @ellyisidoli2192
      @ellyisidoli2192 3 роки тому +1

      Bro vp mama unamuonaje anaweza ama ndyo anatembea tu na kuomba misaada

    • @sabrinaally2045
      @sabrinaally2045 3 роки тому

      @@ellyisidoli2192 no sio HVO unavofikila we mama mbn rahisi nzur tu ila magu alitabir atakuj kuwa rahis ata me napenda kuona siku moja kasim akijakuipeperusha bendera

    • @emmapaul1766
      @emmapaul1766 3 роки тому

      @@sabrinaally2045 atamshinda nani sasa huyo hebu muulize alipokuja kanda ya ziwa kwenye kampen alikuwa anapata watu kias gani yani alikuwa hafikii hata mikutano ya madiwan wa chadema halafu kwa akili yako unafikir atashinda uchaguz labda mpare kama mlivyofanya mwaka jana

  • @benyavan5774
    @benyavan5774 3 роки тому +14

    Hadi nimelia nimekumbuka JPM hii style ya kazi na ukaguzi

  • @dickyfimbo6822
    @dickyfimbo6822 3 роки тому +39

    After jpm, i move on with majaliwa

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 3 роки тому +6

    Mh majaliwa Mungu akulinde yani ningependa uwe rais 2025

  • @kidbwaytheviper7748
    @kidbwaytheviper7748 3 роки тому +28

    Jamaa ananipa matumain sana yaan

  • @shukurumahiki7304
    @shukurumahiki7304 3 роки тому +8

    Madereva ni wanafiki juzi mnasema Kuna foreni Leo waziri mkuu anawauliza mnajikanyaga pumbavu sana

  • @jaxboytv7834
    @jaxboytv7834 3 роки тому +22

    Huyu ndo ana deserve sasa kua..!

  • @marconzilankoma7581
    @marconzilankoma7581 3 роки тому +2

    Mungu ibaraki Tanzania na watu wake 🇹🇿
    Mungu mbariki Rais wetu 🇹🇿
    Mungu mbariki Waziri Mkuu 🇹🇿
    Msisahau R. I. P JPM 🇹🇿 alituonyesha kuwa inawezekana bila watu franii

  • @twahaayubu8686
    @twahaayubu8686 3 роки тому +1

    Chapa kazi Mh Waziri Mkuu pia Kuhusu Mizani punguzeni Msongamano kw kuruhusu Mabasi yasipite kwenye Mizani ili gari z mizigo ziwahi kufika

  • @jisamjoseph4558
    @jisamjoseph4558 3 роки тому +2

    Rais wangu Majaliwa piga kazi Watanzania wanakutazama wewe....😭😭😭 R.I.P JPM

  • @eliasialex4066
    @eliasialex4066 3 роки тому +1

    Napenda sku moja uwe rais !

  • @mustaphareua2370
    @mustaphareua2370 3 роки тому +1

    Uko juu ayo tv

  • @richardmhoja7634
    @richardmhoja7634 3 роки тому +3

    Hongera raiis 2026

  • @emmanuelmasse6219
    @emmanuelmasse6219 3 роки тому +4

    Raisi anaekuja mungu akuongoze maana lisemwalo lipo Kama halipo laja

    • @muhezadc5865
      @muhezadc5865 3 роки тому

      Unatembea kwa mwenda zake,,hongera mzee

  • @catherinechifebe5800
    @catherinechifebe5800 3 роки тому +12

    MSAPOTI MAMA YETU WAZIRI MWEMA.MUNGU ATAKULIPA

    • @machaggechacha3422
      @machaggechacha3422 3 роки тому +1

      Mama yenu bure!! Ameishakamatwa na matajiri na majizi! Hana tena haja ya kuwafahamu watu wa chini.

    • @salumsaid6572
      @salumsaid6572 3 роки тому

      @@machaggechacha3422 chuki na roho mbaya mtu ndokwanza anaweka sawa mambo

    • @franksofa1670
      @franksofa1670 3 роки тому

      Mama mbanga

    • @TUTAKUFRAHISHA
      @TUTAKUFRAHISHA 3 роки тому

      Mama yupi huyo?

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 3 роки тому +1

    PM uko vizuri yaaani utadhani Nchi haina Waziri wa uchukuzi na wengine hawana nia ya kuboresha mapato ili wakope kwa Wazungu na wengine pia hawana nia ya kukuza uchumi wanawaza Watanzania kuchomwa Chanjo tu

  • @godfreygodson6639
    @godfreygodson6639 3 роки тому +9

    Mh.Majaliwa aliwauliza hao wanaokuja bandarini mara moja kwa mwezi hadi miwili,aje atuulize sisi ambao kila siku tunakua katika bandari tumweleze changamoto zetu,wasijifanye nafunika kombe...tunateseka na tunaumiaa!!!

    • @chikuluchidodokochiitingan340
      @chikuluchidodokochiitingan340 3 роки тому +1

      Ni kweli kabsa dreva anaulizwaa anasema hakuna shidaa .walioulizwaa hawajui changamoto

    • @Munyama675
      @Munyama675 3 роки тому +2

      Acha unafiki wewe

    • @happyjohn5882
      @happyjohn5882 3 роки тому +1

      Sasa kama unatseka mbona washindwa kumfata ofisini kwakee Dodoma wakt kuna uwezo wa kutoa mawazo huruu,wewe chukua video pelka then watfnyia kazi,mbona hii video ambyo PM kaona na kfnyia kazii !!

  • @josephally1719
    @josephally1719 3 роки тому +2

    Yaan majaliwa alistahili kua rahisi ila basi tu tuvumilie paka 2026

  • @samhadas8009
    @samhadas8009 3 роки тому +2

    Tatizo moja tuu kwa nini hamkutangaza magu ni mgonjwa. Wewe angalau unafanya kazi mungu akulinde.

  • @mwalimsubira7341
    @mwalimsubira7341 3 роки тому +3

    Safi Kassim

  • @mariammmbaga976
    @mariammmbaga976 3 роки тому

    Wanasumbuliwa sana njiani kusimamishwa bila tahadhari. Majuzi gari ilisimamishwa sehemu mbaya karibu ianguke.

  • @alumonkisinda4574
    @alumonkisinda4574 3 роки тому +2

    Jamani nimemuona mwanadada ananyuka gia mzigo Kama wote kutoka msumjiji

  • @sethstiven3393
    @sethstiven3393 3 роки тому

    Hongera kwa kujua changamoto piga Kaz baba nakuamini Kati ya viongoz walio baki

  • @muddymkamba352
    @muddymkamba352 3 роки тому +5

    Uchumi ni vita...

  • @allyhamic1255
    @allyhamic1255 3 роки тому +2

    Safi....

  • @lugelosanga5798
    @lugelosanga5798 3 роки тому +6

    Namkumbuka magu

  • @charlesngwembele4541
    @charlesngwembele4541 3 роки тому +1

    This deserves to be a president by now

  • @mr.paulminja7894
    @mr.paulminja7894 3 роки тому

    PM ucjali tuko pamoja.. piga Kaz Mungu atakulipa... You are the only hope at the top.

  • @simonmachupa5850
    @simonmachupa5850 3 роки тому +1

    Piga kazi PM, Mungu atakulipa.

  • @tunumadiba824
    @tunumadiba824 3 роки тому +1

    Daah Kassimu waziri mkuu ndo Rais 2025 Tunakupenda sn Tz hd vijijini walitegemea ww ndiye badala ya Magufuri upo imara

  • @erardmporoto2660
    @erardmporoto2660 3 роки тому +7

    Raisi Amekuwa waziri mkuu, waziri mkuu amekuwa raisi, "just trying to understand the current situation in a Buki nabe perspective "

    • @patricklembeli8523
      @patricklembeli8523 3 роки тому

      Wazili mkuu ndo mtendaji mkuu wa serekali

    • @jumabudaalbahar29
      @jumabudaalbahar29 3 роки тому +4

      Waziri mkuu ndio mtendaji pia mfumo ni mgawano wa madaraka si kila jambo afanye rais, raisi ni mtu wa mwisho hivyo ni vikazi vya mawaziri na watendaji wengine

    • @erardmporoto2660
      @erardmporoto2660 3 роки тому

      @Patrick & Juma sahihi wakuu, but it was just an assumption trying to reflect the whereabouts of the past, present and future of our leadership, In connection with the regular perspectives held by majority.

    • @stephensandiko6049
      @stephensandiko6049 3 роки тому

      Raisi kaenda Uganda kushuhudia kuapishwa kwa museveni

    • @mahembajulius7036
      @mahembajulius7036 3 роки тому

      Hiyo ndo maan hakisi ya mgawanyo wa majukumu, sio manager kutak kufany kazi ya gateman

  • @rehemamiraji9821
    @rehemamiraji9821 3 роки тому

    Mama tunakuomba Sana umpishe majaliwa 2025 hili ndio jembe lililobaki ana damu ya jpm

  • @pksailortz4404
    @pksailortz4404 3 роки тому +1

    Majaliwa anataka kuwafuta machozi wa Tz "kazi iendelee.

  • @jimmyyahaya2603
    @jimmyyahaya2603 3 роки тому

    Mwamba yuko vuzuli sana hongera wazili mkuu

  • @edisonbenard226
    @edisonbenard226 3 роки тому

    Majaliwa Yuko vzr sana pia anafaa kuwa rais kbsa

  • @mosongatz4534
    @mosongatz4534 3 роки тому +2

    Kuna baadhi ya mambo waziri mkuu kalishwa matango pori ila ipo siku atakuja jua ukweli foleni mara nyingi zipo bandarini tunaomba waandishi wa habar mjitahidi kupaza sauti na mtembelee ma agent kuwahoji kuhusu changamoto za bandari yetu maana maagent wengi ndio wahusika wakuu wanaopambana na hizo changamoto madereva wameonyesha uoga wa kuongea ukweli

  • @MegaAlexison
    @MegaAlexison 3 роки тому

    Majaliwa for next president. I have hope

  • @isamony58
    @isamony58 3 роки тому +2

    amalize mm mdawake uje ww majaliwa tunakukubali kama hayati magufuli tuuu uyuu mm mshike mkono anayumbishwa sana

  • @moricemorice75
    @moricemorice75 3 роки тому +5

    Kiukweli ni kwamba waziri unatutia moyo Sana lakin angalia baba wanaweza kukunyamazisha

    • @sophiajackson5001
      @sophiajackson5001 3 роки тому

      Tunamuombea Mungu amuepushe

    • @yasinkihupi9583
      @yasinkihupi9583 3 роки тому

      hawamiwezi huyo mtu wa kusini ngende kwenyewe hata JPM alichemka kusini kaenda mara moja kapigwa moshi hajarudi tena😆😆😆

  • @severinemabirika2249
    @severinemabirika2249 3 роки тому

    I see everything of JPM into my best Prime Minister ever since 1984 after the death of Sokoine ...Majaliwa Kassim Majaliwa

  • @jeffkonki8279
    @jeffkonki8279 3 роки тому +2

    Huyu ndiye raisi was tz lakini hatuna namna tutafanyaje sasa

  • @twahashearer8302
    @twahashearer8302 3 роки тому +1

    Mh. Waziri Mkuu tunataka mahojiano ya wazi na huyo dereva inawezekana kuna changamoto zimejificha na kama tunahitaji kutatua tatizo ni bora mambo yawe hadharani

  • @shadiathemedshadiathemed8699
    @shadiathemedshadiathemed8699 3 роки тому

    Hongeeni ukwer msifiche hapo afu baadae munaaza kutoa lawama kwny mitandao

  • @gynae8407
    @gynae8407 3 роки тому +1

    Huyu ndie Rais wangu aliebaki na nitasimama na hiki nachokiamini

  • @user-je1id1tx1u
    @user-je1id1tx1u 3 роки тому

    Kwenye kukata siri hapo aminia kwenye maswala mengine ya bandari ningekuwa mimi hapo ningeongea mpaka ningepata nafasi ya kuwasimamia hao jamaa bandarini ni sehemu ya manyanyaso sana

  • @daudisiloma5549
    @daudisiloma5549 3 роки тому +2

    My president later

  • @richardsaimon6325
    @richardsaimon6325 3 роки тому

    Saf sana

  • @williammbuzimai5744
    @williammbuzimai5744 3 роки тому +5

    Kazi inaendelea

  • @Skomi-0nedayyes
    @Skomi-0nedayyes 3 роки тому

    He must be our future President Tanganyika yaan sitaman mama amalize muda Kama vp ajiuzuru tu maana anabomoa misingi iliyo achwa na JPM. Barabara ilisha chongwa but she go around the bush I don't know why! Our hope is only remaining to Majariwa. kassim.

  • @aminahamisi2837
    @aminahamisi2837 3 роки тому +1

    Raisi mtarajiwa

  • @timothyusuph8800
    @timothyusuph8800 3 роки тому +21

    tunaomba tukupe nchi baba

  • @muhammadfortune2995
    @muhammadfortune2995 3 роки тому +1

    Wewe ndio unafaa kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania.

  • @sillasmsenga1414
    @sillasmsenga1414 3 роки тому +14

    Afadhali Mheshimiwa ume enda kujionea mwenyewe na kujiridhisha. Niliona hiyo clip nikajua ni mbinu za kuchafuana na kuharibiana tuu. Huyo jamaa akamatwe aeleze nani kamtuma kuongea hivyo.

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale 3 роки тому +3

      Kabisa!

    • @hadijamandanje6189
      @hadijamandanje6189 3 роки тому +3

      Nafikiri Nia aonekane samia hatufai nilimsikia manara eti amesomea elimu ya propoganda

    • @thomasraiton7760
      @thomasraiton7760 3 роки тому +3

      Wako wale wasiompenda mama samia walikuwa karibu na msosi enzi zile sasa hawaamini kama ameondoka

  • @mrizzy5424
    @mrizzy5424 3 роки тому +2

    woyooooh

  • @sixbertmwakaluwa5665
    @sixbertmwakaluwa5665 3 роки тому +1

    Tutamkumbuka Sana Engineer kakoko

  • @njilaboy4839
    @njilaboy4839 3 роки тому +1

    Rais mtarajiwa

  • @listerngoliga5032
    @listerngoliga5032 3 роки тому +2

    Hapo madereva wanaogopa foleni ndio kikwazo hapo

  • @stephensandiko6049
    @stephensandiko6049 3 роки тому +1

    Nyinyi madereva msiogope semeni ukweli folen bandarini uwa kubwa huyo mzee afanye kazi yake

  • @theophilchangwa6537
    @theophilchangwa6537 3 роки тому +2

    Magufli alie bakia ni majaliwa

  • @michaelswai4929
    @michaelswai4929 3 роки тому +1

    Emungu tusimamie na nchi yetu ya tazania

  • @adammakoye9332
    @adammakoye9332 3 роки тому +2

    Hapo ni kurekebisha maushuru tu na makodi makubwa . Biashara zifanyike mambo hayaendi biashara zimekuwa ngum watu wanashauri hamsikii tatizo ni nn ?

    • @saidalhinai1131
      @saidalhinai1131 3 роки тому +1

      Rais amesema warekebishe kodi na ushuru na wasiwabambikie kodi

  • @mbogomlwilo6203
    @mbogomlwilo6203 3 роки тому +1

    Njiani shiida

  • @nisetameena9276
    @nisetameena9276 3 роки тому +3

    Kuwa makini kumsikiliza mt kama Magufuli

  • @jumawaziri8501
    @jumawaziri8501 3 роки тому +1

    yaaani MAJALIWA ndio anafaa kuvaa viatu vya JPM

  • @josephjoseph8982
    @josephjoseph8982 Рік тому

    Kenya is doing better than our country TZ on GDP is we need to pull up our socks, tanzania we have more raw materials or resources than kenya why we drag behind them .

  • @lucasmugoma2870
    @lucasmugoma2870 3 роки тому

    Ccm msimuue na huyu maana ndio tumaini la watanzania

  • @ignassindabaha1813
    @ignassindabaha1813 3 роки тому +2

    Mm nahisi watu wanamuhahooo wanaogopa kuwa wakweli hahaahahahaa

  • @mimimanirakiza6478
    @mimimanirakiza6478 3 роки тому

    Huyo dereva aliongeya na muheshimiwa waziri mkuu hajamueleza kuwa Sisi madereva tunaka hadi Siku mbili mbandariri tiks ajili yafoleli aho kasahau aho ni uoga

  • @joancenjosias1296
    @joancenjosias1296 3 роки тому +1

    Wewe unafaa kuwa prezidaaaa

  • @edwinm.masong1729
    @edwinm.masong1729 3 роки тому +1

    13.05.2021

  • @letsexploretanzania8611
    @letsexploretanzania8611 3 роки тому +1

    Jifunze kuhusu Historia Tamaduni na Vivutio vya Tanzania 🇹🇿 kwenye UA-cam channel yangu

  • @paulinamassay5122
    @paulinamassay5122 3 роки тому

    Mbona madereva mnakuwa waoga kusema ukweli!!! Mnakaaa kwenye foleni hata siku tatu!!!.

  • @mrizzy5424
    @mrizzy5424 3 роки тому

    wa kwanza

  • @joycelugega452
    @joycelugega452 3 роки тому

    🙋

  • @jamesjahasa3348
    @jamesjahasa3348 3 роки тому +1

    Kasimu majariwa tunategemea wewe utatufariji kuchapa kazi kwa ukalibu Kama magufuli

  • @ernestlameck6006
    @ernestlameck6006 3 роки тому

    Show show 🇺🇸

    • @jacklinelucas3021
      @jacklinelucas3021 3 роки тому

      TRA wame ua wafanya biashara wengi kwa presha hawafai hata bule wabaya sana angalieni contena hizo china zimekaa muda gan? Majini mudagani ? Nahapa kwetu Tz zina kaa tu myanyabiashara ana kaa tu storeji inasoma maperefu kujilimbikizia malitu

    • @jacklinelucas3021
      @jacklinelucas3021 3 роки тому

      Tumbua tu nahao wameua biashara bila huruma kamatakamata wateja wote wameondoka mmefukuza had wawekezaji Tra.badiliken

  • @MegaAlexison
    @MegaAlexison 3 роки тому

    Majaliwa ananikumbusha baba magufuli

  • @shadiathemedshadiathemed8699
    @shadiathemedshadiathemed8699 3 роки тому

    Uyu jamaa alikua anaogopa

  • @mkushplatnam1595
    @mkushplatnam1595 3 роки тому

    yani unadhan dereva atakubali kuaribu, kibarua chake, manake kampun yako itaweka bifu na watu wa bandari, na uyo dereva kaz hana , mfatilien baada ya mwez hapo ni uoga tu kero haziwez kukosekana, we camera, kabisa unamulikwa, adi gari alafi uchome watu

  • @shijamakoye6544
    @shijamakoye6544 3 роки тому

    Hawa madereva niwajinga hawa unaulizwa wanafichaficha mambo

    • @mosimba467
      @mosimba467 3 роки тому

      Kawajibijie wewe

    • @shijamakoye6544
      @shijamakoye6544 3 роки тому

      @@mosimba467 hata mama yako anaweza kwenda kwa niaba yangu maana Mimi si ndio namwinamishaga kumpiga paipu mwambie aniwakilishe

    • @mosimba467
      @mosimba467 3 роки тому

      @@shijamakoye6544 maana ya jina lako ni laana tosha makoye gete yaani matatizo sana tu harafu siwezi tukanana na mwanamke wangu wa zamani eti kisa nimekuacha Shija wane mbona umebadilika hivyo nakumbuka Itabagumba nilikua na mchuchu wakuitwa Shija nazani utakua wewe nimeona mwandiko wako shijae oleheshii nakotolele kakiswela biye ha ha ha ha haaa Shija wane

    • @pillyladislaus8657
      @pillyladislaus8657 3 роки тому +1

      Tunakuombea chapa kazi

  • @nurujosephu5546
    @nurujosephu5546 3 роки тому

    Wameweka mikono mbele akiondoka wazili mikono mfukoni

  • @kwezyasizyasitta7367
    @kwezyasizyasitta7367 3 роки тому

    Nina iman na ww mkalimu san

  • @castobenjamin4074
    @castobenjamin4074 3 роки тому +11

    Kassim Majaliwa Mtu wa Kaziii,Kazi iendeleee👊🇹🇿

  • @jaxboytv7834
    @jaxboytv7834 3 роки тому +3

    Huyu ndo ana deserve sasa kua..!