DR. MPANGO ACHUKIZWA WAFUNGWA KUTUMIA NDOO KAMA CHOO “HAIFAI KABISA IKOMESHWE”

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 15

  • @aminielmwasha3994
    @aminielmwasha3994 3 години тому +4

    Hii imekaa vibaya sana aisee😳 yani mpaka leo wanatumia ndoo kama choo😢😢

  • @WAASINASTYCRAZY
    @WAASINASTYCRAZY 35 хвилин тому

    Professional 👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿

  • @RamadhanMbwana-o1j
    @RamadhanMbwana-o1j 3 години тому +3

    Yani mpaka leo 2024 wafungwa wanatumia ndoo! duuh😮

    • @aminielmwasha3994
      @aminielmwasha3994 3 години тому +1

      Mwenyewe nimeshangaa sana, siyo fair hata kidogo aisee😥😥

  • @MussaBakar-p2p
    @MussaBakar-p2p 3 години тому +3

    Viongozi tembeleeni magereza kilawakati ndio itakoma

  • @SalimKombo-xo4pq
    @SalimKombo-xo4pq 3 години тому +1

    Mungu akubariki muheshimiwa.
    Tanzania ni nchi ya amani lakini wafungwa wana teseka sana.
    Hawana haki kabisa.
    Bado wana kunya kwenye mtondoo.
    Mambo ya kizamaniiiii😢😢😅

  • @MussaBakar-p2p
    @MussaBakar-p2p 3 години тому +1

    Itakomaje

  • @jerome3143
    @jerome3143 3 години тому +1

    bejeti ipo wajengeni vyoo

  • @felisterandrew8741
    @felisterandrew8741 4 години тому

    Sawa

  • @FredrickMatiku-xf2uk
    @FredrickMatiku-xf2uk 59 хвилин тому

    Wapelekwe jela ya p.didy ina choo cha kukaaa

  • @EmmanuelMtatiro-cl5oe
    @EmmanuelMtatiro-cl5oe 2 години тому

    Kp

  • @elidadinyalemaelidadinyale3686
    @elidadinyalemaelidadinyale3686 3 години тому

    Wafungwa tuanze kula Bata

  • @avithkyaruzi990
    @avithkyaruzi990 4 години тому

    😂😂😂😂sasa wafanyeje

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 3 години тому

      Wawasindikize porini😃😃😃😃

    • @ChoroTesla
      @ChoroTesla 3 години тому

      Ukiwa mfungwa haikuondolea ukose haki zako za msingi ikiwemo kula kulala hata adhabu hv ww ndo wafungwa wanyee kwenye ndoo kuna magonjwa ya mlipuko ndo mana wenzetu wanaita department of correction