MMH:BINTI WA BIBI ALIYEMGANDA KIJANA KAMUUA BABA YETU WAKATI YUKO HAI KWETU NI MBEYA SIO ARUSHA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 124

  • @josephcongera9370
    @josephcongera9370 23 дні тому +4

    Ahsante bibi mdogo kwa maaongezi yako kuhusu bibi yetu Hatta mimi nina 59older siwezi nikamuoa yeye

  • @EsterCharles-g2c
    @EsterCharles-g2c 2 дні тому

    Pole sana dada happy

  • @TullyMwakibete-xt5xm
    @TullyMwakibete-xt5xm Місяць тому +2

    Heee nganisyakujhobha Happy,ulinkafu lelo😂😂😂😂😂

  • @DanielMolel-r9q
    @DanielMolel-r9q Місяць тому +2

    Kweli dada epi umepitia magumu pole sana

  • @pitabariki2499
    @pitabariki2499 Місяць тому

    Sioni km bi mkubwa anakosa, amesema wasi km kijana ameona amekosea hana budi kujirudi na kuwa na nidhamu na heshima, nampa bi mkubwa BIG UP,

  • @namungolubala1788
    @namungolubala1788 Місяць тому +2

    UKWELI WASEMWA SEMA DADA
    MAMAYENYU HANAHESHIMA
    MJUKUUWAKE NJO ANATAKA AWE MUMEWE 😭😭😭😭

  • @GodfreyMolel
    @GodfreyMolel Місяць тому +2

    Jambo hili sio la mzaha inafaa jamii wasimame vizuri kumuombea hiyo roho iondoke ktk jina la yesu

  • @marychiwowa1759
    @marychiwowa1759 Місяць тому +3

    Tatizo ni moja tu uku Tanzania. Uwongo ni mwingi kuliko ukweri...Yaan wewe msichana ata yule mama siyo mamako..mumekosa chakufanya bas ndo mnatunga ma stori mengi 😢

  • @rechopiahmusic9331
    @rechopiahmusic9331 9 днів тому

    Ila mnajua kutengeneza kiki haki mpka watu wamekubali 😂😂😂😂

  • @AhmedHImran
    @AhmedHImran Місяць тому +3

    Muache mamaako astirike we mbona wewe unamume muache anjoy khaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂kijana kafanya kazi yake

  • @ZabMan-w5u
    @ZabMan-w5u Місяць тому

    Watching frm kenya

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 Місяць тому +7

    Huyu dada si yule Msanii huyu au wapo wawili tafauti mhh

  • @RamadhanMohd-i2i
    @RamadhanMohd-i2i 7 днів тому

    Media mnafanya kaz fresh

  • @MirajiIssa-sl2li
    @MirajiIssa-sl2li Місяць тому +1

    Kwan asiongee hta mama yko anaujinga km huo utakaa kimya? Hata mungu hataki, uko sawa dda yangu

  • @JanetKimindu
    @JanetKimindu Місяць тому +1

    WA ndio watoto walioomoka.nimpenda,hata ingekua Mimi ingekua mwendo farasi mwanafunzi

  • @kasozimatovu5810
    @kasozimatovu5810 Місяць тому

    I will vist mbeya and get myself 50+lady too

  • @AnsilaBruno
    @AnsilaBruno Місяць тому +1

    Dada sio kweli wewe upo kwenye thelathini na

  • @hatibukazembe4055
    @hatibukazembe4055 Місяць тому +1

    Ila jamaa wanajua sana

  • @JanetKimindu
    @JanetKimindu Місяць тому

    Mwenye macho ambiwi tazama naakili ni nywele dadazangu asanteni Kwa ujasiri wenu.

  • @NadhiraNa-vm5hs
    @NadhiraNa-vm5hs Місяць тому +2

    Kwani nikwer au stor jaman tusipate tabu yakufatiliya maana sierewi kilasiku mtoto mpya

  • @RichardNzigilwa
    @RichardNzigilwa 10 днів тому

    Watani zangu acheni mama alemaisha

  • @sheryoman
    @sheryoman Місяць тому

    Jamaniii huyu c yule dada anaihiza mfiwa mbea leo 😂😂😂😂 kiki hizo Duuuh dunia simama nishuke

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 Місяць тому +2

    MWAMBIENI HUYO MAMA YENU ANATIA AIBU. TENA MBEBENI KWA NGUVU ARUDI KWAO

  • @SaadiyaMohammad-og5bg
    @SaadiyaMohammad-og5bg Місяць тому +1

    Hata awea nimama yake nilazima amuwekia sawa kwanza kumfeshia machafu bora asemia penginia atawacha

  • @mbuchechilewa4251
    @mbuchechilewa4251 Місяць тому

    Dada we mmbea kama kweli ni mama yako ungesema hayo kwenda zako

  • @AminaMbwele
    @AminaMbwele Місяць тому +1

    Mbeya wapi niwatembelee hao Kama sio swaga

  • @KamgishaIsaya
    @KamgishaIsaya Місяць тому +2

    Hawa wanalipwa na mtandao kwaiyo wako kibiashara uo ndiyo ukweri

  • @MasukeSasa
    @MasukeSasa 19 днів тому

    Heppy umesema ukweli

  • @ShabanHassan-g2r
    @ShabanHassan-g2r Місяць тому

    Mh.hy kali kwann asitafte taip yake bi. Mkubwa ansboa anadhariridha wa mama wenzake

  • @ZulekhaSaburi-t6i
    @ZulekhaSaburi-t6i Місяць тому +1

    Mama anazeeka vibaya ila mueleweni anarudi kua kama mtoto mdogo 😢

  • @GadssonLutaha
    @GadssonLutaha Місяць тому +1

    Dada muongo huyu😂😂😂😂😂😂

  • @mahersaid258
    @mahersaid258 Місяць тому

    Ila uy Dada nimempenda nyumaaaaaaa

  • @tatumwakitwange8369
    @tatumwakitwange8369 Місяць тому

    Wewe mama unawadharirisha watoto

  • @Asha-yn4bu
    @Asha-yn4bu Місяць тому

    Epi,ama happy😂😅

  • @AliJuma-k2t
    @AliJuma-k2t Місяць тому

    Lo jamani inaonekana hii familia yote inaonekana haifai kwasababu huyodada anamtukana mamaake hadharani lo jamaani hiiniaibuuuu

  • @HashimYahaya-hd3zm
    @HashimYahaya-hd3zm Місяць тому +13

    Nimama yake Sasa Kama mama yake anafanya mambo yakijinga asimseme wewe acha ujinga

  • @CharlesMlaponi-h6z
    @CharlesMlaponi-h6z Місяць тому +2

    Jitahidi kusoma biblia na msahafu. Wacha kujadili maisha ya watu.

  • @khadijasudy9859
    @khadijasudy9859 Місяць тому +2

    Liongoo uyoo dad ana miakaa 25 niwa mwaka gan kam mam akee 65 afu yeye wapil alizaa ana umuli gan mama akee au mwanae wakwanz wa mwaka gan

  • @Asha-yn4bu
    @Asha-yn4bu Місяць тому +1

    Arusha wapi😂😂😂mbeya kwa wambeya 😅

  • @ThomasMsigala-r1i
    @ThomasMsigala-r1i Місяць тому +1

    Wapo wengi tu

  • @JanetKimindu
    @JanetKimindu Місяць тому +1

    Jamani wamama mbona msikubaliane na miaka yenu

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 Місяць тому

    Mam hajitambui hata kidog wallah

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 Місяць тому +1

    Mbona mchukua big dill kwani hapo kwake si afukuzwa tu atalazimisha vipi mtu mtoto mdogo wa watu

  • @IreneGeorge-t3s
    @IreneGeorge-t3s Місяць тому +1

    huna akili we dada unamuongelea vby ivo ndo mama yako kweli duuh 😢

    • @salomemakene4446
      @salomemakene4446 Місяць тому

      Sio mamaake hawa ni waigizaji tuu,hata huyu mdada anaigizaga analia msibani tena huwa analia kinyakyusa

  • @SaidMattar-f8s
    @SaidMattar-f8s Місяць тому

    Wewe chunga haki za mama hata kama usimseme kwenye mitandao yakijamii

  • @OsmuntyMwikola
    @OsmuntyMwikola 4 дні тому

    Hazionekani wala hazisemi

  • @AnnaAnnawilisoni
    @AnnaAnnawilisoni Місяць тому

    Ugweeeeee sekela fiofiki kutukenyesyaaaaaaa gwe kikolo kya mwakibete

  • @bonfacenandwa-nb8lb
    @bonfacenandwa-nb8lb Місяць тому

    Nko tayari

  • @RucyMakapa
    @RucyMakapa Місяць тому

    Usimseme vbya mama yko utapata laana hepi

  • @abasiramashoo5026
    @abasiramashoo5026 Місяць тому +5

    Wewe huyo siyo mama yako usinge mzungumza vibaya hivo

    • @Stewart-l6t
      @Stewart-l6t Місяць тому

      We nawe kichaa ulitaka asemeje

    • @Angependo9141
      @Angependo9141 Місяць тому

      Kilicho mtokea mama yake kinaoneka kwani unataka kusema kikongwe huo hana makosa??

  • @shabaniahamadi3798
    @shabaniahamadi3798 Місяць тому

    Si muigizaji uyoo

  • @JanetKimindu
    @JanetKimindu Місяць тому

    Nyinyi niwale wakali wao mmmmwa kaziri sn

  • @TausiMayandika
    @TausiMayandika Місяць тому

    Uyo mama kiboko sana

  • @MillicentAdhiambo-d8k
    @MillicentAdhiambo-d8k Місяць тому

    Muschana ni mrembo.lakini mama anawaibisha

  • @Asha-yn4bu
    @Asha-yn4bu Місяць тому

    Ni kale kakitu😂😂😂😂😅

  • @MaryamShabani-n2u
    @MaryamShabani-n2u Місяць тому

    Mbona sijamuona kwa ndupe jmn

  • @malekatalyani3928
    @malekatalyani3928 Місяць тому

    Dada jitaidi kuhifadhi udhaifu wa mama yako, hatakama mabaya anayafanya, thamani ya mama hakuna hapa duniani, mbona kunamambo mazito binafsi unayo je unayaweka adhalani ,si inabaki wewe na mungu wako, mtunzie sili mama , na mungu atakulipa

    • @salomemakene4446
      @salomemakene4446 Місяць тому +1

      Huyo ni mamaangu mdogo huyo binti sio mwanae,wanaigiza hawa wanataka views tu

  • @mohamedasha3130
    @mohamedasha3130 Місяць тому +1

    Hata hain uhakik km ni mamke

  • @DorothyDavid-d8s
    @DorothyDavid-d8s Місяць тому

    Huyu dada anajuwa kuigiza kinyakyusa mno

  • @preciouschild1246
    @preciouschild1246 Місяць тому

    25 ni uwongo dada kwani hamjiheshimu, wewe unakaribia 50 na mamako ni 70 mkubali yaishe

  • @BashiruAlly-m9o
    @BashiruAlly-m9o Місяць тому

    Tunatakiwa kuwaombea wazaz i wetu ni pepo hi l

  • @HadijaJoseph-d1g
    @HadijaJoseph-d1g 29 днів тому

    Da kumbe huyo bibi analana

  • @Zainab-f9w5x
    @Zainab-f9w5x Місяць тому +1

    Simamake huyu

  • @AgathaMtera
    @AgathaMtera Місяць тому

    Huna adabu we bint unashindana na mamako kuwa na adabu na wazazi

    • @IddyKristopha-c7z
      @IddyKristopha-c7z 26 днів тому

      Adabu anayo anaongea sahihi uoni Kama anafezeesha watoto!?

  • @RoseKillian-b8k
    @RoseKillian-b8k Місяць тому +1

    Makubwa haya

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 Місяць тому

    Huyu ni laana inamsumbua na atahangaika sana kwani mambo ya mama yake angenyamaza tu maana aibu yake ni yako na wewe ungeona haya kwa kinachoendelea humu ukakaa kimya tu. tayari umeshapata laana wewe kumdhalilisha mama yako hadharani. Nyani wewe.

  • @thamratysuleiman3053
    @thamratysuleiman3053 Місяць тому +1

    Uyu dada c ndo yule wa movie ya chumvi nyingi?

  • @BachuBachu-mq2ko
    @BachuBachu-mq2ko Місяць тому +1

    WAONGO SANA hakuna lolote

  • @eliambowe2576
    @eliambowe2576 Місяць тому +1

    Mbona huyu dada anacheka kama rais wa fest year nindugu nin

  • @LOSERIANMOLLEL-l1c
    @LOSERIANMOLLEL-l1c Місяць тому

    Wwe kijana mwenzo achana mama yako wapo wasichana wengi

  • @monicachacha455
    @monicachacha455 Місяць тому +1

    shida nini

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 Місяць тому +1

    Aibu mmngangania mtoto wa watu na huyu mtoto zuzu unamshindwa kumkimbia huyo bibi wa miaka 65 anatoka mbeya ashukuru kijana hamkumtupa stend ilikuwa amuache angemdanganya akatoka naye kutembeya halafu amtoroke njiani au ampere mpaka karibu na stand ile amwambie ngoja nikanunue vocha au soda akimbie

  • @victorernest7702
    @victorernest7702 Місяць тому

    Mama tunsuu😂😂😂

  • @georgemulwa313
    @georgemulwa313 Місяць тому

    Mama hana upwiru hanataka moto

  • @FEBRONIAFABIANI
    @FEBRONIAFABIANI Місяць тому +1

    Ha makubwaa

  • @RehemaIssa-u7r
    @RehemaIssa-u7r Місяць тому

    Mototo wa nyoka ni nyoka!

  • @EAST884
    @EAST884 Місяць тому

    Dada ana "25" miaka☺☺😊

  • @obednyagani506
    @obednyagani506 Місяць тому

    Dada ukifika dar ntafte

  • @AkizimanaLyaka
    @AkizimanaLyaka Місяць тому

    Hao wako kikazi zaidi

  • @MohammedBarahiyan
    @MohammedBarahiyan Місяць тому

    Dada wwe 😂😂😂😂

  • @Asha-yn4bu
    @Asha-yn4bu Місяць тому

    Eti huyu daughter apo sawa???

  • @Asha-yn4bu
    @Asha-yn4bu Місяць тому

    Sorry,acha uongo 25😂😂😂😂😂😂😂😂😅

  • @GabrielMilanzi-s1h
    @GabrielMilanzi-s1h Місяць тому

    Anapakiwa vumbi la mkongo

  • @agnessangawe3844
    @agnessangawe3844 19 днів тому

    POLENI JAMANI.NINASHAURI MKIMFIKISHA VEMA NYUMBANI,APIMWE AFYA YA AKILI. HUYO BIBI HAYUPO SAWA KIALI,LABDA ALIPATA SHIDA AKIWA MTOTO MDOGO MSAMEHENI TU NA MUMWOMBEE

  • @Asha-yn4bu
    @Asha-yn4bu Місяць тому

    65😂😂😂😂vitukuu😅

  • @paulndavi2870
    @paulndavi2870 Місяць тому +1

    Nawewe mtangazaji huna busara nyumbani si unamama huna huyo bweege anaongea pumba

  • @Asha-yn4bu
    @Asha-yn4bu Місяць тому

    Oooowiiii😂😂😂😂😂😅

  • @AnatoriaRwabatwa
    @AnatoriaRwabatwa Місяць тому +1

    Mhhhh

  • @patelokoh5828
    @patelokoh5828 Місяць тому

    Amkataze mamake awache aidu

  • @paulndavi2870
    @paulndavi2870 Місяць тому +2

    Wewe dad's huna adamu mama ni mama äta aweje huwezi kumsema mama yako kwenye media pole

    • @glorymanga3650
      @glorymanga3650 Місяць тому

      Mama yakee mwenyewe anajidhalilishaa mtandaoni mtu mzimaa ovyo angeanza kujiheshimu kwanza

  • @isaacjosephjoseph2733
    @isaacjosephjoseph2733 Місяць тому +1

    Kwanza ungesha liua kitambo wewe unaongea nalo tu! Unashangaza sana. Hukutakiwa kucheza nalo. Sasa ona unafanya mchezo na pepo

  • @Muhumuza-jf3zs
    @Muhumuza-jf3zs Місяць тому +1

    Yani akiwa ni Mama wenu mumupereke kwa waganga kenyege kwakweri

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 Місяць тому

    Mtangazaji ww hujitambui hujui hata kumhoji mtuy ujinga mtup

  • @Asha-yn4bu
    @Asha-yn4bu Місяць тому

    Noooʻ25 😂😂😂😂😂kwenda 😂😂😂she is not 25

  • @ashambozu6038
    @ashambozu6038 5 днів тому

    Duuh hatal

  • @tumwesigyehamdan8587
    @tumwesigyehamdan8587 Місяць тому

    Ata. Juba. Tuliona

  • @happinessmchome9101
    @happinessmchome9101 Місяць тому +1

    Huyu ana miaka 25 kweli au nayeye ndio kama mama yake?

    • @AliJuma-k2t
      @AliJuma-k2t Місяць тому

      Mama nawatoto wotehawafaihao

  • @AllySibila
    @AllySibila Місяць тому

    Kama mama aliua Baba yako basi ngoja tuje tuwatie nguvuni yaani mtu anaua na shahidi upo hujatoa taarifa subiri

    • @LucasGoliath
      @LucasGoliath Місяць тому

      Huja muelewa,,,kasema aliwaambia baba yenu alikufa,,wakati baba yao yupo..

  • @JohnMbughi-p8k
    @JohnMbughi-p8k Місяць тому

    Upuzitu

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko Місяць тому

    Kiki mjinga