MUFTI WA TANZANIA SERIKALI INAWATISHA WATU ILI AMANI IPATIKANE"NIHARAMU KUMWAGA DAMU Y MTU MWINGINE"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 118

  • @VENANCEAUGUSTINO
    @VENANCEAUGUSTINO 2 місяці тому +1

    Mufti,nimekuelewa vzr sana.mwenyezi Mungu hakujalie heri na baraka.

  • @methodneka2791
    @methodneka2791 2 місяці тому +7

    Kumbe uislam na ukristo wanafanana kwa mafundisho....Leo ndo nimeelewa Hongera sana mufti

  • @JohnKaliadi
    @JohnKaliadi 2 місяці тому +11

    Mungu akubariki,muft nimetamani uendee wengine ni kuwachambua wakristo tu,umefundisha maadili

  • @rodrigoChiduo-s1l
    @rodrigoChiduo-s1l 2 місяці тому +2

    Mufit uko vizuri sana unazungumza kuhusu watu kufata maagizo ya mungu huna ubaguzi ila wale mwaipopo na mazinge ni wabaguzi sana

  • @vincentcharles4385
    @vincentcharles4385 2 місяці тому +3

    Sheikh nakukubali sana,long live Ndugu yangu

  • @Kingstonbagamoyo
    @Kingstonbagamoyo 2 місяці тому +2

    Mufti big up

  • @edisonmjema2620
    @edisonmjema2620 2 місяці тому +1

    ❤ Mungu akubarik xana sheikh mkuu umeupiga mwingi mno 🎉🎉

  • @glorysungura3180
    @glorysungura3180 2 місяці тому +6

    Ww ni kiongozi mpenda haki. Na kuwa mkweli na uwazi huo ndio ucha MUNGU. Ongeeni Taifa lipone, tuna maumivu mioyoni watz kwa haya yanayotendeka. Mkisimama na kusema, na kuomba taifa litapona na tutakuwa salama. MUNGU akupe afya ww na familia na wote unaowaongoza. Amen

  • @rogersjoseph7363
    @rogersjoseph7363 2 місяці тому

    Mungu akukumbuke katika ufalme wake katika jina la yesu amen

  • @nunumrisho6548
    @nunumrisho6548 2 місяці тому +13

    Mwenyezimungu amuongezee hikma Shekh wetu

    • @razaroKaengwa
      @razaroKaengwa 2 місяці тому

      Unasema vema sana Babaa!! MUNGU awe pamoja nawe ktk kazi zako.

  • @ibrahimalharthi4599
    @ibrahimalharthi4599 2 місяці тому +6

    Sl Hamdu Lilahi Namshukuru Mwenyezi Mungu alieniumba kunijaalia mimi niwe Muislamu na nitakufa mimi Muislamu wa Salaa tano kila siku

    • @AyubuIkaku
      @AyubuIkaku 2 місяці тому +1

      Amiin. Mwenyezi Mungu akuongoze

    • @abelianraphili5150
      @abelianraphili5150 2 місяці тому

      Mpe YESU krisvto maisha ACHA upuuzi, utaenda kuzimu😮

    • @AyubuIkaku
      @AyubuIkaku 2 місяці тому

      @@abelianraphili5150 una uhakika gani na unachokizungumza?

  • @oscarmatwi6030
    @oscarmatwi6030 2 місяці тому

    Maneno ya muft ni sahihi kabisa shida Iko kuyaishi, kama ndugu Hawa wangeishi maneno hayo nchi ingepona. Mwenye haki mmoja akiwepo nchi inakombolewa . Sasa wengi wanatamka ila matendo ya maisha Yao yanakinzana . Tutapataje kupona tusipojali wokovu wa namna hii... katika Kristo Yesu. Mufti hongera na wote tuishi katika misingi ya neno la Mungu aliye hai amen.

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 2 місяці тому

    Mungu akubariki mufti asante kwa kusema kweli

  • @BenjaNetanyahu
    @BenjaNetanyahu 2 місяці тому +3

    Sio kwa uslamu peke, hata sisi mnaotuita makafiri,,, bibilia yetu inasema! Mpende bwana MUNGU wako kwa roho yako yote, na mpende jirani yako kama uipendavo nafsi yako,, hawa watekaji na watu wasiojulikana, wote hao njia yao ni jehanamu,, kwa mujibu wa bibilia hata wangetubu vipi! Hawata samehewa. Mf/ acha sadaka yako madhabahuni kisha kapatane na ndugu yako/jirani yako/mtu yeyote uliechukizana nae,ndipo sadaka yako itapokelewa, je? Kama ulisha muuwa kwa hasira au hira! Utapatana nae vipi? Hivo toba zako hazitapokelewa, utaingia jehanamu tu!

  • @abuumkumbalu9123
    @abuumkumbalu9123 2 місяці тому +7

    Tunaipenda inchi yetu tatizo viongozi wetu wa ovyo wanatuangusha

  • @OmaryMwinjuma-x1i
    @OmaryMwinjuma-x1i 2 місяці тому

    Dah mufti mungu akulinde kwa hii elimu amani ni kitu adhimu sana hawahawa wanao tushauri maandamano kikinuka wao hawapo wmeshatengenezewa makao mema ughaibuni je sisi wanyonge tunakimblia wapi

  • @MiriamAziz-z5t
    @MiriamAziz-z5t 2 місяці тому +2

    SHUKRAN SHEKH MKUU NA MUFTI WA TANZANIA KWA NASAHA NZURI, MANENO YA HEKIMA NA BUSARA KWA WATANZANIA....LAKINI....LAKINI...HUKUZUNGUMZIA SANA 'HAKI'....UISLAMU UMESISITIZA SANA JUU YA 'HAKI' BILA KUJALI DINI ZETU, VYAMA VYETU, MAKABILA YETU, N.K. ILIFAA SANA UZUNGUMZIE 'UADILIFU' KWA VIONGOZI WETU NA HASA WA KISIASA....WANAISHI MAISHA MAZURI YA KIFAHARI KWENYE NCHI YENYE LINDI LA MAMILIONI YA MASIKINI NA MAFUKARA.

  • @abelianraphili5150
    @abelianraphili5150 2 місяці тому

    Dah, INASIKITISHA mtu mwenye Hekimà namna hii..akaenda kuzimu kwa maana ajamp Yesu Kristo 😢.... YESU KRISTO ni njia
    Yohana 14:6

  • @alumonkisinda4574
    @alumonkisinda4574 2 місяці тому +2

    mkristo ila kiongozi mkuu wa kihislam mtu mmoja mnzuri sana hana jazba jazba maneno yake ni wino usiofutika uliambatana na busara kuu mungu mlinde kiongozi wetu alijaa huruma na upendo

  • @PeterMahona-zd3oz
    @PeterMahona-zd3oz 2 місяці тому

    Shida niviongozi ndiyo changamoto sisi watanzani nawasitalabu sana ccm hii inatuvuga sana

  • @GrantMwakalambile
    @GrantMwakalambile 2 місяці тому +11

    Ww sasa upo vzr sanaa unafundisha vzr mnoo co wakina mwaipopo ubaguz2 wa din hawafundish watu tuishije pokea maua yako muft🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @JamesJastin-bg1rx
      @JamesJastin-bg1rx 2 місяці тому

      Sasa hayo maua akiyapokea yeye yatamsaidia nin?

    • @antonychitara5707
      @antonychitara5707 2 місяці тому

      ​@@JamesJastin-bg1rx kwani alichokisema kakosea?? We vipi

    • @GambasonLuselegasi
      @GambasonLuselegasi 2 місяці тому

      ​@@JamesJastin-bg1rxMungu atambariko kwa kuongea ukweli sio nyie chawa

  • @AbdulKinda
    @AbdulKinda 2 місяці тому +2

    we ndo mwalim aseee chukua maua yko🎉🎉🎉

  • @LaizerSaitoty
    @LaizerSaitoty 2 місяці тому +3

    bora nisilimu mafundisho safi mashallah

    • @AyubuIkaku
      @AyubuIkaku 2 місяці тому +1

      Inshaallah, Mwenyezi Mungu akuongoze uweze kuijua haki

    • @abelianraphili5150
      @abelianraphili5150 2 місяці тому

      😂😂😂 mjinga sana weee

  • @mchungajimpigauzitv5703
    @mchungajimpigauzitv5703 2 місяці тому +2

    Balikiwa shehe Watu hatujuwi Maana ya Islam hatujuwi kwamba uisramu ni unyenyekevu au uwaminifu Au niupendo Kwa wanadamu balikiwa sana

  • @YohanaMagembe-i6z
    @YohanaMagembe-i6z 2 місяці тому +3

    Mimi nimkirsto muft kaongea maneno mazuri yenye kujenga

  • @BeniJohn-xd3cn
    @BeniJohn-xd3cn 2 місяці тому +2

    Ndungu yangu wewe ni kweli sanaa

  • @wilbertlufurano3629
    @wilbertlufurano3629 2 місяці тому

    Goood

  • @YohanaJoshua-h2j
    @YohanaJoshua-h2j 2 місяці тому

    Amejaliwa hekima lakini amekosa kitu kimoja nacho ni kumwamini Yesu Kristo na kuachana na dini ya majini

  • @fatmarashid3137
    @fatmarashid3137 2 місяці тому

    Huku ushehe huku usalama wa taifa good taifa kwanza na aman kwanza

  • @HassaniRubibi
    @HassaniRubibi 2 місяці тому

    Mungu akubaliki

  • @NyasanaTv-ol4ix
    @NyasanaTv-ol4ix 2 місяці тому +5

    Uko vizuli kabisa tukipata watu kama wewe watatu kweli tutakuwa vyema

  • @EngelbertMakoye
    @EngelbertMakoye 2 місяці тому

    Nimekupenda sana kweli wewe ni mzalendo na unaipenda nchi yako wala si mnafiki mnafiki

  • @pendojeremiah1023
    @pendojeremiah1023 2 дні тому

    Munch akubariki Muft

  • @AshamMussa
    @AshamMussa 2 місяці тому +1

    Wakrsto walomuelewa mufti ndo wale ahalkitabu hawana kiburi hao wengine upaulo unewazonga ktk nafsi zao

  • @Faraja-j2z
    @Faraja-j2z 2 місяці тому +6

    Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa mwanae wa pekee ili kila amwaminie asipotee bali awe na uzima wamilele,amwaminiye mwana hahukumiwi bali asiye amini amekwisha kuhukumiwa

    • @abuubilal2646
      @abuubilal2646 2 місяці тому

      Wacha ujinga wewe

    • @jumamohamed3168
      @jumamohamed3168 2 місяці тому

      Mungu hana mtoto wala mke wala mjomba wala hana bibi ujisitie akili.Mungu hana hata familia.

    • @AyubuIkaku
      @AyubuIkaku 2 місяці тому

      Acha kumezeshwa. Mwenyezi Mungu hajazaa wala hajazaliwa.

  • @comsmkemwa2671
    @comsmkemwa2671 2 місяці тому

    Mwaipopo huwa anafeli wapi? Ahsante muft,

  • @DivineWisdom-o8y
    @DivineWisdom-o8y 2 місяці тому

    Huyu ndo muislamu wa kwel wale wengine wanaoshinda wanatukana humu kwenye mitandao wale hawajui maana ya uislamu ni bendera fata upepo

  • @mangiclaus
    @mangiclaus 2 місяці тому

    Watekaji sio waislamu wala wakristu. Na wote wanaowaunga mkono ni mashetwani

  • @saltechnologiesco.ltd.2377
    @saltechnologiesco.ltd.2377 2 місяці тому

    Amani hupatikana kwa maridhiano na si vitisho maana hata mtoto anayechapwa bakora kila siku mwisho wa siku huwa sugu na asiyesikia tena. Tujihadhari mamlaka yaheshimiwe na mamlaka yasidharau watu wake.

  • @emanuelinaman8240
    @emanuelinaman8240 2 місяці тому +1

    Mimi ni mkristo ila nimependa sana mafundisho yako Mungu akutangulie

  • @ZaitunAbdallah-ol1bb
    @ZaitunAbdallah-ol1bb 2 місяці тому

    Wakatokezea watu au watwala wanawaua waislamu tu fanyeje ?????jibu hilo wanauwa tutii wanatekà tuutii

  • @DoraNyandamba7078-ef2rz
    @DoraNyandamba7078-ef2rz 2 місяці тому

    Baba upon vizuri mungu akuupe uhai kuna machete wanaobgea mambo ya ajabu

  • @Mpakele
    @Mpakele 2 місяці тому

    Jeee, KUILINDA NCHI DHIDI YA MAFISADI UISILAMU UNASEMA NINI? MAANA KIINI CHA YOTE KIPO HAPA

  • @MtanganyikaTanganyika
    @MtanganyikaTanganyika 2 місяці тому +3

    Wanao ujua uisilam Wala hawana hasira na maneno machafu kama mwaipopo Mimi ni mkrito nimekuelewa

  • @TameckLenard
    @TameckLenard 2 місяці тому

    Kweli shekhe

  • @PeterLaizer-hj3cy
    @PeterLaizer-hj3cy 2 місяці тому +2

    Huyu ndio kaongea point, sio wale ambayo ubaya unavotokea, badala waikemee Kwa nguvu, wanaleta mambo ya udini, kusema, sijui MKRISTO sijui mwislam.
    Badala asema serikali ikemee au kuwalinda wananchi dhidi ya utekaji, analeta uchonganishi na udini.
    Wajinga tu.

  • @nkwazigatsha
    @nkwazigatsha 2 місяці тому

    Uislam ni mtoto wa Ukristo ulioenezwa kwa kiarabu na kishairi.

  • @michaelmshighati8432
    @michaelmshighati8432 2 місяці тому

    Niwakati Mzuri wa Kukenea Mawaji Mufti Tanzania Iombewe Kwa Dini zote Kuna Roho ya Mauti Imeingia Nchini

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 2 місяці тому

    • Mbona hampazi saıtı waislamu wengne wamedhulumiwa, wako Mahabusu miaka kadhaa Gerezani
    • Waislam wa Tz hatukukui ww ni İmam au Shekh wa mckiti upi??????
    • Mashia ni Marafiki zako au ??
    • Ww watakuelewa wenye KUFUATA MATAMANIO YA NAFSİ lkn KWA WANAOELEWA DİNİ WAMESHAKUPUUZA.

  • @EngelbertMakoye
    @EngelbertMakoye 2 місяці тому

    Mufti mwiteni mama muongee naye watu wanaumia

  • @JumaDoce
    @JumaDoce 2 місяці тому

    Na ndo mana mashekh wetu waliodhulumiwa kwa miaka 8 wakifungiwa jela nakuadhibiwa waliliona hilo lá kulinda watwani yao ili isidhulumiwe na madhalim wa CCM wa tanganyika ndipo mulipo kasirika mukawapa kesi ya ugaidi ambayo mulishindwa kuthibitisha ila akhera haiko mbali mutakwenda kuthibitisha mbele ya Allah

  • @MtanganyikaTanganyika
    @MtanganyikaTanganyika 2 місяці тому

    Amina baba mkubwa

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 2 місяці тому +9

    Mimi huwa nasemaga siku zote huyu mufti mkuu hakika ni muislam Hana jaziba moyoni mwake hata uongeaji wake umejaa hekima Yesu Kristo azidi kukubariki shekhe

    • @JamesJastin-bg1rx
      @JamesJastin-bg1rx 2 місяці тому

      Wew ni mpuuzi sana

    • @jumamohamed3168
      @jumamohamed3168 2 місяці тому

      Yesu hawezi kumbariki anayeweza kumbariki ni yule aliye muumba huyu Mufti,aliyemuumba yesu na wewe pia kwa hiyo yesu hawezi kufanya hivyo,Yesu ni kiumbe tu wa Mwenyezi Mungu.

    • @AyubuIkaku
      @AyubuIkaku 2 місяці тому

      Yesu mwenyewe alikuwa hawezi kufanya chochote bila Mwenyezi Mungu hivyo hana uwezo wa kumbariki mtu, hiyo ni kazi ya Mwenyezi Mungu peke yake.

    • @ManswetKimario
      @ManswetKimario 2 місяці тому

      Siku utakapojikuta uko mbele zake akiwa anakuhukumu kwa kuwa ww ulimkataa yeye kwa kuyatupilia mbali maneno yake yaani INJILI mfano: (1) Kutolitumia jina lake [jina la Yesu] katika mambo yako yote ikiwemo katika sala zote ili Mungu akusikie Injili ya Yoh.16:23-24 ndo utajua hujui.

    • @abelianraphili5150
      @abelianraphili5150 2 місяці тому +2

      Mpe YESU kristo maisha ACHA upuuzi​@@AyubuIkaku

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 2 місяці тому

    Mtu gani atafanya Fiji Maandano ya AMANI ni HAKI ya kila MTANGANYIKA.

  • @amanimlengwa9202
    @amanimlengwa9202 2 місяці тому

    Daaah, huyu ana hekima ya hali ya juu sana.
    Si kama wengine tunaowaona wanaojiita viongozi wa dini.

  • @MsanangoMwalabu-rx1oo
    @MsanangoMwalabu-rx1oo 2 місяці тому

    Shekh ujagusia uuzaji wa raslimali za nchi kihorela kwa masrahi ya watu wachache.dini inaruhusu?

  • @MzeeAnganile
    @MzeeAnganile 2 місяці тому

    Nimekwelewa sana mtumishi

  • @MajutoKanamazi
    @MajutoKanamazi 2 місяці тому

    Sheikh umetutoa huzuni

  • @JafariHamisi-gu4ef
    @JafariHamisi-gu4ef 2 місяці тому

    Bakwata ya nyerere na ccm

  • @peteremanuel2367
    @peteremanuel2367 2 місяці тому

    Mimi ni mkristo lakini maneno yako yako sawa kabisa, hata sisi pia tunashauriwa tufuate hayo unayosema.

  • @mchungajimpigauzitv5703
    @mchungajimpigauzitv5703 2 місяці тому

    Kwa Busala hizo vyema uwe mojawapo WA utakao kaa nabaaz ya Maaskofu

  • @peteremanuel2367
    @peteremanuel2367 2 місяці тому

    Matamshi ya mufti ni yanamaana yake kweli.

  • @RyobaWambura-j8b
    @RyobaWambura-j8b 2 місяці тому

    mimi mkristo nimependa hotuba yamufiti ni ya hekima na amani wakina mwaipopo mazinge mziwanda mazingewajifunze kutoka kwa mufiti wao kuchonganisha watanzania kidini na kushabikia bandali uchukuliwe bure mufiti ameogea madini mungu akupe heri

    • @vincentcharles4385
      @vincentcharles4385 2 місяці тому

      Mwaipopo mlevi wa konyagi

    • @AyubuIkaku
      @AyubuIkaku 2 місяці тому

      ​@@vincentcharles4385 Allah akusamehe ndug, una ushahidi na unachokizungumza, jitahidi katika matumizi ya lugha.

    • @AyubuIkaku
      @AyubuIkaku 2 місяці тому

      Sema na mchungaji aliyeibua yote haya ndio alikosema namna ya kufikisha ujumbe. Yeye kama kiongozi wa dini haikumpasa kumzomea Rais, hizo ni siasa

  • @davidsamson8292
    @davidsamson8292 2 місяці тому

    SAFI MUFTI

  • @abuuthauran9933
    @abuuthauran9933 2 місяці тому

    Mufti inafaa kufanya ziara ktk kaburi la mtu asiekua muislamu na kumuomba dua,,,,?
    Surat tawba : 114

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 2 місяці тому

      Haifai, haifai, haifai.

  • @MzeeBonge
    @MzeeBonge 2 місяці тому

    Very good una Hekima na Busara sio wengine kuongelea Imani nyingine wakati wao is Idiot

  • @JosephatPeter-jb5bq
    @JosephatPeter-jb5bq 2 місяці тому +1

    Tunataka damu

  • @WilfredRweyemamu-rp5re
    @WilfredRweyemamu-rp5re 2 місяці тому

    Imeongea vyema

  • @MashineMashine
    @MashineMashine 2 місяці тому

    Kafiri siyo mkristo tu,hata waislamu wapo makafiri elewa.

  • @MashineMashine
    @MashineMashine 2 місяці тому

    Uliza ujue maana ya kafiri.

  • @StephenNjau-y4y
    @StephenNjau-y4y 2 місяці тому

    Haraaamuuuuu

  • @ImaniTinda-h6x
    @ImaniTinda-h6x 2 місяці тому +1

    Ni mfumo kamili wa maisha ya muislam na sio mkristo,

    • @maftahmusa9513
      @maftahmusa9513 2 місяці тому

      Mfumo wa maisha kwa ulimwengu wote upende usipende unatikiwa kuishi kwa mfumo wa uislam

    • @mwamakaassely2260
      @mwamakaassely2260 2 місяці тому

      Napenda ukristo wangu, kiarabu tuwaachie wenyewe ​@@maftahmusa9513

    • @B-S-S-P
      @B-S-S-P 2 місяці тому

      Ukisema huo ni mfumo wa Uislam ,wengine ni ngedere???Mpumbavu amesema moyoni mwake hakuna Mungu,yaani wengine sio kitu au hawajui kitu ila sisi,huyo ndiye shetwani mwenye miguu miwili(Zaburi 14:1,53:1)!!!!

    • @ImaniTinda-h6x
      @ImaniTinda-h6x 2 місяці тому

      @@maftahmusa9513 usilazimishe mifumo yenu yakishetan

  • @EmanuelMmbaga-p7i
    @EmanuelMmbaga-p7i 2 місяці тому

    Shehe uishi kama CCM iishivo!

    • @joshuaswai8203
      @joshuaswai8203 2 місяці тому

      Acha uovyo

    • @JumanneNditi
      @JumanneNditi 2 місяці тому

      Unachokisema ni sawa ila Tanzania inaharibiwa na viongozi waliojipa mamlaka na kwa kauli ya mufti hiyo ni faraja kubwa na ni ruhusa kwao kufanya ufisadi wa hatari zaidi katika nchi ya Tanzania , wewe endelea kupigania wa mama kupika maandazi watu wanauza nchi.

    • @comsmkemwa2671
      @comsmkemwa2671 2 місяці тому

      Umeshavuruga mjadala

  • @FurahaNelson-z6c
    @FurahaNelson-z6c 2 місяці тому

    Wewe mtekaji

  • @veraisaria
    @veraisaria 2 місяці тому

    Hakika huyu ni kiongozi wa watu sio waislam tu yupo mpumbavu mmoja mwarabu huko kigoma alitutishia Kisa tunasema na sisi watz tuna hija jinga lile pumbavu lile nadhani limejibiwa na mufti pumbavu na wenzake wanadhani nchi yetu ni ya kijinga kama mataifa yao😊

  • @GhaniaSaid-u5k
    @GhaniaSaid-u5k 2 місяці тому +2

    Usitaje uislamu zungumza siasa ww huna sifa ya uislamu kwn ww umelinda dini au unailinda ccm?

    • @jumamasoud1188
      @jumamasoud1188 2 місяці тому

      Hacha kumvunjia heshima wew, uwaga unakaenae kwenye hiyo Ccm?

    • @HusseinSaguti-sj9nh
      @HusseinSaguti-sj9nh 2 місяці тому

      Acha ujinga wako
      Pumbavu

    • @vincentcharles4385
      @vincentcharles4385 2 місяці тому +1

      Wewe Shoga hizo akili za kufirwa,sheikh ana heshima zake sio unaongea kama mwendawazimu

  • @thadeusmateru1356
    @thadeusmateru1356 2 місяці тому +2

    Shehe je huo ndio mwishpo wako wa kufikiri akili yako yanawaza maandazi ya nazi na mfumo wote wa chakula. Je uislamu tunaoufahamu una jihadi kwa tendo lolote la maonevu ndiyo iliyokuwa dhana ya uislam kuna elquida boko haram hawa ni waislam wanaolinda kile wanachikiamini. Usemayo si uislamu hai bali unatumika

    • @jumamasoud1188
      @jumamasoud1188 2 місяці тому

      Wew ndy ujuwi uislamu, maana hata hayo makundi unayosema hujuwi yanaasisiwa nanan.

    • @HusseinSaguti-sj9nh
      @HusseinSaguti-sj9nh 2 місяці тому +1

      Ww huna ujualo
      Allah mwnyw anasema usiuwe nafc ilyoharamishwa kuuliwa ila kwa haki
      Kaa kimya kilaza ww

    • @amanimlengwa9202
      @amanimlengwa9202 2 місяці тому +1

      Mwamba mimi pia ni mkristo kama wewe.
      Ila kiukweli umeongea pumba grade1.

    • @salimbahatisha3003
      @salimbahatisha3003 2 місяці тому +1

      Kaongea mambo mengi ya hekima na busara lakini we kwa akili yako ilofinyu umeona maandazi...we kwely upepo