Jinsi ya kupika KABABU - Kiswahili

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024
  • Mahitaji ya Kupika Kababu
    - Nyama ya kusaga - 1/4 kg
    -Slice 4 za mkate
    -Mayai - 2
    Unga wa ngano kikombe 1
    -Limao - 1
    -Tangawizi - kijiko 1
    -Kitunguu Swaumu - kijiko 1
    -Mdalasini wa unga - Kijiko cha chai 1/2
    -Jira ya unga - Kijiko cha chai 1/2
    -Pilipili Manga - Kijiko cha chai 1/2
    -Chumvi Kiasi
    -Mafuta ya kukaangia
    Follow us on Social Media
    Instagram- @Meg_swahili
    / meg_swahili
    *************
    Facebook Group:Meg at Home - Mapishi
    www.facebook.c...
    *************
    WhatsApp Group: Meg at Home - Mapishi
    chat.whatsapp....

КОМЕНТАРІ • 153

  • @sarahthobias8183
    @sarahthobias8183 6 років тому +5

    Dah we dada hii nilikuwa naitafuta kweli... Ahsante sana jwa somo zur

  • @nixtar6132
    @nixtar6132 4 роки тому +1

    Asante nitajaribu nilijua Zina kaziii kumbe sio

  • @sonojoel2117
    @sonojoel2117 7 років тому +2

    Asalaam Aleykum.
    Mashaallah Mashaallah kwa mapishi nimekusifu. Nilikuwa najisifu najua kumbe kunawalonizid. .Mola akupe afya na akuongezee umri wa ziad ns si sote ili tuendelee kuwa pamoja . Inshaallah na shukran

  • @prettylittlething6367
    @prettylittlething6367 5 років тому +1

    I have learnt to cook through you thanks alot.mungu aibariki kazi ya mikono yako

  • @magzakky2781
    @magzakky2781 4 роки тому +1

    Your husband and kids are so lucky to have u much love from Kenya

  • @edahbundala483
    @edahbundala483 5 років тому +2

    Asante kwa somo zuri

  • @zakiakassam5674
    @zakiakassam5674 4 роки тому +1

    Ahsante dada

  • @faridasaid8724
    @faridasaid8724 6 років тому +2

    asante my nimeweza kutengeneza kababu

  • @eriagabriel7283
    @eriagabriel7283 4 роки тому

    Asante sana wamapishi yako dada

  • @ravinemfoi6707
    @ravinemfoi6707 4 роки тому +1

    Nice one thnx

  • @saidabdala4980
    @saidabdala4980 4 роки тому +3

    Kidogo umenichanhanya ulivosema uwache mkate wiki nzima. Si utakuwa ushaharibika

    • @MegatHomeSwahili
      @MegatHomeSwahili  4 роки тому

      Unauweka sehemu ya wazi sio kwenye mfuko wake, hii itasaidia ukauke au Kama una oven/ toaster ukaushe tu huko.

    • @saidabdala4980
      @saidabdala4980 4 роки тому

      @@MegatHomeSwahili
      Oke mambo yangu haya kule ZANZIBAR. Na mis mbatata za urojo kwa badiya au kachori. Na mkate wa ufuta. Nimejaribu kupika mkate wa ufuta. Umekuwa mkate wa vunja ukuta hahaha nimepoteza muda buree .nilivokuwa naugeuza umeanguka HAHAHA

  • @mariangunda9042
    @mariangunda9042 4 роки тому +1

    Napenda

  • @stellangomano1275
    @stellangomano1275 6 років тому +7

    Kuna wengine wanaloweka mkate ndio wanachanganya na nyaama Dada hii imekaaje

  • @mamnas7648
    @mamnas7648 6 років тому +1

    Asante my love kwa mapishi

  • @mariamjumaswalehe635
    @mariamjumaswalehe635 5 років тому +1

    Masha Allah

  • @annacharles5395
    @annacharles5395 5 років тому +1

    Ahsante sana nimejifunza endelea kutupatia vitu vitamu

  • @janethjackson1339
    @janethjackson1339 4 роки тому

    Nzuriiii sana

  • @veronicaayo3169
    @veronicaayo3169 7 років тому +34

    nimecheka sana eti uwe makini na vidole vyako tunataka nyama iwe ya ngombe na sio vinginevyo hahahhhaha

  • @leticiaamuri1200
    @leticiaamuri1200 6 років тому

    Una tafsiri vizuri sana

  • @kinyashingoma7735
    @kinyashingoma7735 6 років тому +1

    Shukran

  • @nunayibrahim4085
    @nunayibrahim4085 5 років тому +1

    Asante

  • @hellenymnema2331
    @hellenymnema2331 7 років тому +1

    nimependa Mapishi yako na nmejaribu kupika ,nimepata matokeo mazur sana love much much

  • @tiffanythomas1402
    @tiffanythomas1402 7 років тому +1

    Nimekupenda sana wewe dada

  • @saadasaid4321
    @saadasaid4321 4 роки тому

    A.a naulizia kababu ukishatengeza design ya kababu je unaweza kuzihifadhi kwenye frizer mpaka siku zijazo?

  • @pilimashausi930
    @pilimashausi930 5 років тому

    Niweza mashaallah tamuu

  • @hawamashallahmkubwa5416
    @hawamashallahmkubwa5416 7 років тому +1

    shukran kwa mafunzo nimekuwa sasa

  • @malkiamusa
    @malkiamusa Рік тому

    the bread to get smaller crumbs,unaiweka kwa blender, choma mkate kwa pan iwe dry then weka kwa blender.

  • @FarhatYummy
    @FarhatYummy 7 років тому +4

    Nzuri sana nice one hun

  • @lilianmwinamila9506
    @lilianmwinamila9506 7 років тому +2

    Kama namuona aunt yangu doreen 😆kila saa anaangalia hii...wapi mwana wa mtega
    This video is helpful thank you meg .....

  • @halimaallymose1133
    @halimaallymose1133 5 років тому +1

    Hangers nzur

  • @everlynekasima1473
    @everlynekasima1473 5 років тому

    God bleess you 😍🤩😘👩‍🍳

  • @user-js6of3wp6x
    @user-js6of3wp6x 4 роки тому +2

    Asante sana kama hmna mkate haiwez kutoka vizur?

    • @MegatHomeSwahili
      @MegatHomeSwahili  4 роки тому +2

      Unaweza kutumia unga wa ngano/crackers ilikusaidia kushikana

  • @nafisamohamad3182
    @nafisamohamad3182 6 років тому +7

    Kumbe hazina kaz nyingi hivyo nashkuru kwa upishi mzuri huo dada, nitajaribu kuzipika kesho.

    • @upendomkilya9862
      @upendomkilya9862 4 роки тому

      Kama auna mkate utumie nn mi nataka kupika kesho zachai nanpo kijijn

  • @nevernicodem8420
    @nevernicodem8420 5 років тому

    waoooh asanteee nimependa mno

  • @ruyatally5188
    @ruyatally5188 5 років тому

    Nitajarib nami

  • @mohamedraahid1456
    @mohamedraahid1456 5 років тому +2

    jira ni binzari nyembamba.au uzile jina jingine

  • @monicaashery1
    @monicaashery1 5 років тому

    Kweli nimejifunza.

  • @leticiaamuri1200
    @leticiaamuri1200 6 років тому

    Asante dada

  • @annafoya3851
    @annafoya3851 6 років тому

    nimekupenda bure aunt

  • @Som-Hanoolaato
    @Som-Hanoolaato 7 років тому +1

    Shukrani

  • @witnessmallya5114
    @witnessmallya5114 5 років тому

    Ur so beautiful mdada,! Thanks

  • @bonitatembonitate257
    @bonitatembonitate257 7 років тому +2

    napenda sana kababu Dada nakupitia darasa lako ntaanza Fanya zoez lakuzipika mm mwenyewe, ila cjaelewa iyo nyama unasaga kwa blenda yajuice au?

  • @hamidaomar935
    @hamidaomar935 6 років тому +2

    Mkate Unatakiwa uweke juani Ndio unakauka kwa masaa kadha tu

  • @matsikoharriet8302
    @matsikoharriet8302 6 років тому

    Asanti sana!

  • @maryjohn9138
    @maryjohn9138 3 роки тому

    Mkate kama haujakauka haufai kutengenezea na iyo nyama nikiasi gani

  • @fatmahkondo363
    @fatmahkondo363 7 років тому +1

    mashaallah

  • @genophevagasper5006
    @genophevagasper5006 5 років тому +2

    Huna haja ya kuacha mkate wiki,unaanika juani.one day

  • @nyotaeto7562
    @nyotaeto7562 7 років тому +1

    Napenda sana mapichi, hunakaa wapi dada

  • @candylurv9208
    @candylurv9208 6 років тому

    Nyama ni lazima kuchemsha??

  • @judygasper8894
    @judygasper8894 6 років тому +1

    Love u

  • @looloolaalaa6365
    @looloolaalaa6365 7 років тому +1

    nakaa afrika

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 8 років тому +1

    Meg nlipenda bagia zako,ntajaribu na hizi.Naweza kukausha mkate kwa toaster?

    • @MegatHomeSwahili
      @MegatHomeSwahili  8 років тому +2

      Asante, Ndio unaweza ukakausha mkate wako kwenye toaster au oven. Pia unaweza ukatumia food processor kupata chenga za mkate baada ya kukausha. Jaribu kupika hizi pia.

    • @eliamutalemwa5720
      @eliamutalemwa5720 7 років тому +1

      hy nyama haijachemshwaa

    • @MegatHomeSwahili
      @MegatHomeSwahili  7 років тому

      Nimechesha nyama.

    • @veronicamwanyika7226
      @veronicamwanyika7226 5 років тому +1

      Ndio

    • @safina5013
      @safina5013 4 роки тому

      @@MegatHomeSwahiliasante

  • @wardahashim8662
    @wardahashim8662 7 років тому +2

    hasante dada

  • @mwajumakabesha9300
    @mwajumakabesha9300 6 років тому

    Nyama umechemsha na viungo hani

  • @crecenciamashauri298
    @crecenciamashauri298 7 років тому

    naomba kuuliza dear, n lazima kutumia mkate wa brown au hata mweupe n sawa?

  • @esthermwasongole7392
    @esthermwasongole7392 5 років тому

    Jila ni nin na inapatikana maduka gan???

    • @MegatHomeSwahili
      @MegatHomeSwahili  5 років тому

      Cumin (Jira), inapatikana kwenye maduka ya viungo

  • @halimayusuf3501
    @halimayusuf3501 4 роки тому

    Hello

  • @sadiaabeid7552
    @sadiaabeid7552 6 років тому +2

    jira ni nn

  • @krinewillfred1948
    @krinewillfred1948 4 роки тому

    👍🏼👍🏼👁

  • @carendaniel6117
    @carendaniel6117 7 років тому +2

    Mimi nimejaribu kupika kababu ,sijui nimekosea wapi limao limejaa sana kwny kababu,ila mkate niliweka vipande viwil,msaada wapi nilikosea?

    • @MegatHomeSwahili
      @MegatHomeSwahili  7 років тому +1

      +Caren Daniel mkate ungesaidia kupunguza ukali wa limao, kama unapunguza mkate weka kiasi midogo Cha limao au ongeza Nyama.

    • @carendaniel6117
      @carendaniel6117 7 років тому

      Meg at Home - Swahili Ahsante dear,ila jaman mapishi yako nayafurahia sana,ubarikiwe.

  • @sultanmm7722
    @sultanmm7722 7 років тому +4

    naomba nieleweshe samahani lakini kwahiyo nyama aichemshi inakua mbichi

  • @fideamalembeka9692
    @fideamalembeka9692 6 років тому

    nisaidie no yako dada unifundishe online

  • @annitabobo5438
    @annitabobo5438 5 років тому

    Hi what all spices you put in English pls!

    • @muhunzisimba619
      @muhunzisimba619 5 років тому +2

      Cinnamon Cumin black pepper ginger and garlic

  • @hellenymnema2331
    @hellenymnema2331 7 років тому

    sharifu ipo kama sambusa ivi but,yenyewe inakua kubwa zaidi na inakua na nyama ndani na pia kunakua na yai la kuchemshwa ndani yake

    • @MegatHomeSwahili
      @MegatHomeSwahili  7 років тому

      +Helleny Mnema Aah mi nazijua kama kababu za Mayai, nitaanda video yake

    • @hellenymnema2331
      @hellenymnema2331 7 років тому

      Ok ,Madam utakua umenisaidia sana

  • @annemwijage4613
    @annemwijage4613 7 років тому

    unaweza tumia nyama ya kusagwa ile ya kuchanganya kwenye tambi

    • @janethalley4046
      @janethalley4046 4 роки тому

      Ndiyo hiyo hiyo dear, ni nyama ya kawaida iliyosagwa

  • @alinaalina8727
    @alinaalina8727 6 років тому +1

    Ssry dada kwan ni lazima uweke jira

    • @MegatHomeSwahili
      @MegatHomeSwahili  6 років тому +2

      +alina alina Jira sio lazima ila inaongeza ladha

    • @alinaalina8727
      @alinaalina8727 6 років тому +1

      Meg at Home - Swahili asant

    • @florabaruti8032
      @florabaruti8032 4 роки тому

      @@MegatHomeSwahili hiyo jira madukani inapatikana

  • @hellenymnema2331
    @hellenymnema2331 7 років тому

    Madam tufundishe na jinsi ya kupika Sharifu dear

  • @magzakky2781
    @magzakky2781 4 роки тому

    I know mdalasini na nni ni jira

  • @mariammbughi2702
    @mariammbughi2702 7 років тому +1

    jira ni nini

    • @MegatHomeSwahili
      @MegatHomeSwahili  7 років тому +2

      Kwa Kingereza/English ni CUMIN. Pia watu wengine wanapenda kuviita viungo vya mchele. Vipo kama mchele kabla havijatwagwa.

    • @mariammbughi2702
      @mariammbughi2702 7 років тому +2

      OK shukrani

    • @bintabdallahjuma3331
      @bintabdallahjuma3331 5 років тому

      ni binzari nyembamba au ninzari nzima au wengine huita uzile

  • @ronzk2782
    @ronzk2782 7 років тому

    mdalasini kwa kizungu ni nini?kababu zenyewe zatamanisha kweli

  • @abudebinabri1287
    @abudebinabri1287 7 років тому

    nini jira

    • @MegatHomeSwahili
      @MegatHomeSwahili  7 років тому

      +أحمد عبداللهيضر قدمين؟ Jira ni Cumin

    • @manaaldula9295
      @manaaldula9295 5 років тому

      Jira ni binzar nyembaba ya pilau

  • @zawadiothman1270
    @zawadiothman1270 4 роки тому

    Jilaaa ndo nin

  • @meerabcesari967
    @meerabcesari967 5 років тому

    Mbona zangu zinapasuka

  • @lizlovedbyGod
    @lizlovedbyGod 7 років тому

    Chunga vidole tusije tukala vinginevyo. 😂😂😂😂😂😂😂

  • @elizabethyohana4081
    @elizabethyohana4081 6 років тому

    Bug

  • @abushirihamisi2833
    @abushirihamisi2833 7 років тому

    Hinyama imechemshwa nakukauka au

  • @petromwambeleko4424
    @petromwambeleko4424 6 років тому

    Jira ?.....siipati hii

  • @hamidaomar935
    @hamidaomar935 6 років тому +2

    Mkate Unatakiwa uweke juani Ndio unakauka kwa masaa kadha tu

  • @nyotaeto7562
    @nyotaeto7562 7 років тому

    Napenda sana mapichi, hunakaa wapi dada

  • @mwanaishambili241
    @mwanaishambili241 7 років тому

    mashaallah

    • @jackymakara5575
      @jackymakara5575 6 років тому

      Mwanaisha Mbili
      Uko PW sana mungu akuzidishie ujuzi Dada.