DINGI MTATA | 7 | FINAL Mkojani, Mtinda, Kijiko

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • #mkojani #dingimtata

КОМЕНТАРІ • 69

  • @gweremuhidini4204
    @gweremuhidini4204 Місяць тому +13

    Kwaiyo mimi ndy wakwanza kuona finally weka like 3 hapa 😂😂😂😂😂

  • @HatibuRajabu-p5q
    @HatibuRajabu-p5q Місяць тому +6

    Hii sehemu ya rasta angecheza Samofi ingekua Bomba sana aisee

  • @ANTHONYDAVID-cy2jz
    @ANTHONYDAVID-cy2jz 28 днів тому +1

    Kali sana 🎉

  • @user-vr2di3gi1r
    @user-vr2di3gi1r Місяць тому +1

    Natoa shukrani sana kwa kupata burudani kwa tamthilia hii ya dingi mtata ila kusema ukweli bwana mkojani mulimuonea kijiko...😂

  • @munirachangawa2928
    @munirachangawa2928 Місяць тому +3

    Mkojani wewe eti Ile nyeupe ilokaa kama gundi😅😅😅😅😅

  • @BonventryChevai
    @BonventryChevai Місяць тому

    😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅kazi nzuri sana mkojan... marshalla😅😅😅😅tunamtaka samofi

  • @SamsonNambunga
    @SamsonNambunga Місяць тому

    Series nzuri sana Mungu awabariki kwenye majukumu yenu muwe na ubunifu zaidi. Lakini kwenye kuboresha series ziwe ndefu kidogo na nyingi kama hii imeishia sehemu ya 7 kitu ambacho kinakatisha utamu wa movie

  • @SusanJulius-cu8xp4vx4m
    @SusanJulius-cu8xp4vx4m Місяць тому +2

    I'm the first one mkojani fan

  • @InnocentArmadillo-do9vm
    @InnocentArmadillo-do9vm Місяць тому

    Mkojani gang washiriki wote good job more fire 🔥🔥🔥

  • @agnesjohn9382
    @agnesjohn9382 Місяць тому +1

    😂😂😂 kwa hiyo mkojani unataka kumnyonga mwanao duu

  • @KoreanDramaMoviesKiswahili
    @KoreanDramaMoviesKiswahili Місяць тому +1

    ❤❤❤

  • @user-ji3wu7oe7b
    @user-ji3wu7oe7b Місяць тому +3

    🎉kazi nzuri sana cholobi na mamà yake wapo vzr sana

  • @DayanaStanford
    @DayanaStanford Місяць тому +1

    Kazi nzur mkojani👌

  • @jumamohamed4252
    @jumamohamed4252 Місяць тому

    Next mlete samofi. Hii movie ilikua iko baridi sana

  • @MoussaAbdoul-wo3ur
    @MoussaAbdoul-wo3ur Місяць тому +1

    Mkojani eti kamshitiki baba ako hapo umeniuwa sana 😂😂 unajisahau sana😂😂

  • @CharrzTem
    @CharrzTem Місяць тому +3

    Wakwanza ❤❤❤❤

  • @tigergilyofficial
    @tigergilyofficial Місяць тому +1

    Chorobi kaushutukia mchezo 😅😅 🎉

  • @agnesjohn9382
    @agnesjohn9382 Місяць тому

    Bora ilivyoisha sijakuzoea hivi mkojani movie ilikuwa imepoa sana

  • @ommymasixole607
    @ommymasixole607 Місяць тому

    Mkojani washabiki wako kutoka South Africa 🇿🇦 please next time tutolee movies ya kichawi kama ile pete chandimu samofi kamugisha kijiko wasikose big up broo

  • @rajabmatusi9583
    @rajabmatusi9583 Місяць тому +1

    Twamtamani samofi na pia uongeze epsord🇰🇪🇰🇪

  • @FatmasaidAhmed-ws1rs
    @FatmasaidAhmed-ws1rs Місяць тому

    Mkojani ukimaliza hii movie taabani na huyo mtoto 😂😂😂😂😂😂😂😂😂🇰🇪🇸🇦

  • @munirachangawa2928
    @munirachangawa2928 Місяць тому +1

    Kazi nzuri mkojani gang. Tupo tunasubiri mzigo mwingine. Twajua hamupoi hamuboi mkojani gang

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY Місяць тому +1

    Mkojan unajua kuitengeneza movi

  • @MishaelmsafDiamond
    @MishaelmsafDiamond Місяць тому +1

    Kwanin siku hivi unatowaga fupi sana kuna kuna nini

  • @OrlandoJosemateusJosémateus
    @OrlandoJosemateusJosémateus Місяць тому

    Mkojani mm nimekukubali kbs❤❤🔥🔥

  • @PoliteKind-df8kw
    @PoliteKind-df8kw Місяць тому

    Ah mkojan ndo nin sas movie hata Haina ukubwa wake

  • @meninamerry1143
    @meninamerry1143 Місяць тому

    Alhamdulillah mkojani tunaomba movie ingine ❤

  • @HarunaAliy-tk6xg
    @HarunaAliy-tk6xg Місяць тому

    Hongera sana mkojani kzi n nzuri

  • @user-zu6pc1hu7d
    @user-zu6pc1hu7d Місяць тому +1

    Mkojani mrudishe Samof

  • @zebedeemkallah5610
    @zebedeemkallah5610 Місяць тому

    🎉🎉🎉 kazi njema.

  • @YUSSUFVUAIMKANGA-kr8on
    @YUSSUFVUAIMKANGA-kr8on Місяць тому

    Mkokani kaI nzuri. Na tunataka series iwe ndefu ili heka heka ziwepo. Halafu CHANDIMU yupo wapi siku hizi....!!?🙏🙏🇹🇿😂

  • @MussaHaringa-k4o
    @MussaHaringa-k4o Місяць тому

    Jammies chandim AP Kuna maeneo

  • @MonaaOm
    @MonaaOm Місяць тому

    Kazi nzuri sana 🎉🎉🎉🎉

  • @RukiaKhamis-pu9zv
    @RukiaKhamis-pu9zv Місяць тому

    🤣🤣🤣🤣 naijua hy

  • @ngoshaog1255
    @ngoshaog1255 18 днів тому

    🔥🔥🔥

  • @abdulazizitwalib5859
    @abdulazizitwalib5859 Місяць тому

    Kazi safi mkojani ❤❤❤❤❤

  • @khamisyaa6927
    @khamisyaa6927 Місяць тому

    Tnx mkojani gang

  • @iddimngazija1957
    @iddimngazija1957 Місяць тому

    Mtu wa fashion kaachwa😂

  • @user-fw2jk3mx7g
    @user-fw2jk3mx7g Місяць тому +1

    Mkojani huyu mtoto atakuuza muda sio mrefu

  • @ezeromujoshua7341
    @ezeromujoshua7341 Місяць тому

    nipeni like sasa na mm❤ chawa wa mkojani gang

  • @user-sp7mp8fx6l
    @user-sp7mp8fx6l Місяць тому

    Mwarabu mweusi❤❤

  • @VERONICAHAULE-i5m
    @VERONICAHAULE-i5m Місяць тому

    Jamn kwani rasta mbona unataka kufanana na tinwht ata sauti

  • @KingAmos-il6ce
    @KingAmos-il6ce Місяць тому

    Movie nzuri lakin angekuwepo samof ingekua konkiiii

  • @Sidee-i8h
    @Sidee-i8h Місяць тому

  • @PeterStanford-fk8ld
    @PeterStanford-fk8ld Місяць тому

    Wakumi like zenu

  • @djraul_pro
    @djraul_pro Місяць тому

    Wakwanza

  • @samueledward109
    @samueledward109 Місяць тому

    Series nzuri ila mbna ni fupi mno tatizo nini mkojani.

  • @SeleIddi-gj9fu
    @SeleIddi-gj9fu Місяць тому

    Mkojani season 2 please

  • @assanerachidenkomua3506
    @assanerachidenkomua3506 Місяць тому

    Samofi

  • @twahaanwar5415
    @twahaanwar5415 Місяць тому

    Ah zinatookha 😂😅

  • @KhalfanAli-ye6mf
    @KhalfanAli-ye6mf Місяць тому

    Kamshtaki baba yako 😂😂

  • @twahaanwar5415
    @twahaanwar5415 Місяць тому

    We manyon nyon2 😂

  • @samirsaidi8386
    @samirsaidi8386 Місяць тому

    Mrudishe samof tu aseee

  • @Mzuri_002
    @Mzuri_002 Місяць тому

    Kijiko pole😂😂

  • @RapaFata
    @RapaFata Місяць тому

    Mtoto hana adabu huyo

  • @user-vt5ug9uu7y
    @user-vt5ug9uu7y Місяць тому

    hatar sana

  • @gharibsuleimanjahag7276
    @gharibsuleimanjahag7276 Місяць тому

    Mkojani magoma tena

  • @sammaine98_
    @sammaine98_ Місяць тому

    Mkojani achia nyimbo za kai☹️

  • @assanerachidenkomua3506
    @assanerachidenkomua3506 Місяць тому

    Tumemisi samofi

  • @FatumaHamisi-sr6yj
    @FatumaHamisi-sr6yj Місяць тому

    Kijiko😢😂😂😂😂

  • @alhimnamussasaid3619
    @alhimnamussasaid3619 Місяць тому

    Mkojani unaenda bar 🍸 na shuka kweli

  • @saidiabdalahshabani941
    @saidiabdalahshabani941 Місяць тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @HusseinMwatende-ws1nt
    @HusseinMwatende-ws1nt Місяць тому

    Mkojani,mkojani mkojani, you're the greatest artists here in Tanzania in the comedian side,if you're doing things do it perfectly,I did not like this series because you're not seriously for what you're doing

  • @agnesjohn9382
    @agnesjohn9382 Місяць тому

    😂😂😂 kwa hiyo mkojani unataka kumnyonga mwanao duu

  • @PeterStanford-fk8ld
    @PeterStanford-fk8ld Місяць тому

    Wakumi like zenu

  • @VenancioHoracio-ty3hk
    @VenancioHoracio-ty3hk Місяць тому

    ❤❤❤

  • @agnesjohn9382
    @agnesjohn9382 Місяць тому

    😂😂😂 kwa hiyo mkojani unataka kumnyonga mwanao duu

  • @gayanestory4357
    @gayanestory4357 Місяць тому

    ❤❤❤