Shalom mtumishi. Niliota kobra wa rangi kahawia(brown) ametokea ardhini akamgongq mzaliwa wangu wa kwanza lakini alikuwa amevaa raba na meno haikuingi ndani ,nilipoanza kumkemea yule kobrq kwa damu ya Yesu akapoteq maana nilikuwa nyuma ya binti yangu,kisha nikampeleka hosp nikaamka.
Apo pa kupambana na madui wee ndio ndoto zangu,,ninaona nimekua mrefuu zaidi ya miti na nyumba ,madui wanaruka,na wengine wanapanda juu ya miti ili wanifikie wanikate na panga ila na wapokonya.
Amen
Amen 😂😂
Amen 🙏
Wow! niliota kupigana na adui nikamshinda na pia nikiwa kwa nyumba nzuri
Amen 🙏🙏
Amiin
Shalom mtumishi.
Niliota kobra wa rangi kahawia(brown) ametokea ardhini akamgongq mzaliwa wangu wa kwanza lakini alikuwa amevaa raba na meno haikuingi ndani ,nilipoanza kumkemea yule kobrq kwa damu ya Yesu akapoteq maana nilikuwa nyuma ya binti yangu,kisha nikampeleka hosp nikaamka.