KUSEMA SANA NI DALILI YA UCHIZI / WATU WENGI WATAINGIA MOTONI KWA NDIMI ZAO / SHEIKH WALID ALHAD
Вставка
- Опубліковано 5 лют 2025
- KUSEMA SANA NI DALILI YA UCHIZI / WATU WENGI WATAINGIA MOTONI KWA NDIMI ZAO / SHEIKH WALID ALHAD
#KUSEMA#DARSA#WALIDALHAD
FULL VIDEO YA KUSEMA SANA NI DALILI YA UCHIZI / WATU WENGI WATAINGIA MOTONI KWA NDIMI ZAO / SHEIKH WALID ALHAD
KUTU FOLLOW KWENYE FACEBOOK PAGE YETU NA INSTAGRAM NA KU SUBSCRIBE KWENYE UA-cam CHANNEL YETU KWA VIDEO NYINGI ZAIDI THANKS
SUBSCRIBE
COMMENT
LIKE
SHARE
THANKS
MashaAllah ulipata mwanachuoni wa hali ya juu Sana ya Sheykh walid,ndio maana ilmu yako ni ya hali ya juu,nimefahamu leo kujua sayyid Ali badawy alikusomesha,basi nazidi kukuhimiza naomba dua zako najua umejazwa karama na sayyid, nifikishie nami habyb wangu,shukran.
Allahu akulipe sheikh wetu unatuelimisha mno
Usife nazo nipe na mimi na wengine lnshaalllah
Maa Sha Allah..... shukran saana niombee Dua kwa Allah ....
allah akuhifadhi akuzidishie ilmu na maarifa tuzidi kunufaika nawe Sheykh Walid bin Sheykh Alhad twakupenda kwa ajili ya allah...
Sheikh mashallah tunastfidi sana Kwa sheikh walid alhad
inshallah Allah akubarik
Mashallah shekh walid
ALLAH akulipe kheri nyingi duniani na akhera
Natamani niwe kama weye maaanshaalllah
MashaAllah jazakalahu kheri
Allah akuhifadhi 🤲
Mashaallah, mashaallah, mashaallah.
Shukraan sana sheikh
Mashallah shukran kwa Darsa
ماشاءالله شكرا يا شيخ
ههههههههههههه سبحان الله
Máashaa ALLAH.
Mashaallah
Mkewangu akijifungua mtoto wapili wakiume nataita Wald
Negekuwa nauwezo negekuja unisomeshe hiyo ndio hamu Dua zako sheikh walid alhad
Asant mwalim
Wengine n maumbile yao
SWADAKTA
Mwanachuoni aliwajibu wanaomsema Vibaya. ...semeni katk matusi na kunikashif bac kunyamaza ndo jawabu langu kwae wajinga. Bac kunyamaza ni jibue zuri kabsa