JOSHUA KYANDO FT ASHMIX YESU ANANITOSHA .

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 лют 2022
  • YESU ANANITOSHA umeimbwa na mwimbaji Joshua kyando.
    @Joshua kyando ni mwimbaji wa nyimbo za Injili.Yesu ananitosha ninamaanisha Yesu aweza kunipa chochote niombacho katika mapenzi yake yeye.
    Petro anamwambia Yesu hivi "twende kwa nani Bwana,maana kwako kuna uzima wa milele" Pia mtume Paul anasema ni nini kitakachonitenga na Upendo wa MUNGU?
    Mimi kama Joshua nimejifunza mengi kwa YESU,kwani Daudi nae kuna mahali amesema hajawai ona mwenye haki ameachwa.
    Kuna wakati utapitia magumu lakini kumbuka hakuna shujaa bila Vita. vinginevyo usipopita kwenye Vita utabaki wa kawaida,hivyo kumbuka pia Vita sio vyetu Bali ni vya Bwana ndo maana nimeimba Yesu ananitoshaaaaaaa!!
    video to be directed by P88 studio under Paul Mgaya.
    Audio:Ashmix and Joshua Kyando.
    call.0745250597

КОМЕНТАРІ • 7