TERESA FULL MOVE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 26

  • @MzeeRaca
    @MzeeRaca 2 місяці тому +1

    One love ❤❤❤💯💯🇹🇿

  • @Vacchannel-tq3je
    @Vacchannel-tq3je 2 місяці тому +2

    SUPER GENIUS DIRECTOR leo ontime nipeni like 10 tuh

  • @MohaJunior254
    @MohaJunior254 2 місяці тому +3

    Snake boy mpaka lini director

    • @goromamussatvonline
      @goromamussatvonline 2 місяці тому

      szani kama itakua nzuri Aise wameanza kutuanhusha. Nenda kwa #Chado masta ujpatie Movie kwa Haraka zaid

    • @sweetbabymwangi8373
      @sweetbabymwangi8373 2 місяці тому

      Chado master, Chumvinyingi gang na Director Gozi ndio wanaongoza kwa uigizaji. Kila siku episode mpya.

  • @sweetbabymwangi8373
    @sweetbabymwangi8373 2 місяці тому

    Movie imekatakata sauti hata sehemu nyingi hatuajelewa wanasema nn. Mmetuboa kiukweli. Muc love from Mombasa Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @edwardaguya9913
    @edwardaguya9913 2 місяці тому

    Mungu akupe nguvu na ujasiri wewe ni mtu mwema maishani,unatufunza mambo mengi tusio jua,#kenya❤

  • @AhmedyKambi
    @AhmedyKambi 2 місяці тому +1

    kazi nzuri sana!

  • @FestoAbiud
    @FestoAbiud 2 місяці тому +3

    Kakoso anavo like comments zetu anatupa nguvu Sana ya kumsaport❤❤❤

  • @captainkastua4830
    @captainkastua4830 2 місяці тому +1

    Kakoso seemu zigine hazina sauti

  • @halimadonath1862
    @halimadonath1862 2 місяці тому

    Umefeli sana kakoso kwenye sauti mpaka umeboa sana

  • @liz77941
    @liz77941 2 місяці тому +1

    Sijailewa Sana maana hamna sauti .

  • @lyidiajuakaly3335
    @lyidiajuakaly3335 2 місяці тому +1

    Saut inafer kwangu tu au maana kama sielewi

  • @MariamMariam-h8h
    @MariamMariam-h8h 2 місяці тому

    Jamani jimove liko more fire 🔥 ila mnaleli kwenye sound to

  • @AlyNely
    @AlyNely 2 місяці тому

    Mouvie ni nzuri sana kbs but nuko sehemu hazina sauti sehemu nyingi tuuu hata sehemu ya kwisho sauti haukuna

  • @MwangiraniElvis
    @MwangiraniElvis 2 місяці тому +2

    Haujawahi kutuangusha director wetu ❤❤❤

  • @halimadonath1862
    @halimadonath1862 2 місяці тому

    Kakosoooo kwanini hupendi kusikiliza ushauri wa mashabiki zako?

  • @MomadeSujai
    @MomadeSujai 2 місяці тому

    M❤

  • @ZalhaMustapha-yj4os
    @ZalhaMustapha-yj4os 2 місяці тому

    Jmn mbona me hii mov nimeielew vzr2 jmn

  • @halimadonath1862
    @halimadonath1862 2 місяці тому

    Najma wewe rariki mnafki hufai hata kidogo kuwa rafiki. Kumbe unamtaka mkango ndo maana ukamsingizia yote hayo Teresa .

  • @InchargeManyota-q8p
    @InchargeManyota-q8p 2 місяці тому

    Sauti mbona inakatakata

  • @rosemaryjenera5414
    @rosemaryjenera5414 2 місяці тому

    Hunaga kazi mbaya❤

  • @dadotrinebahati8360
    @dadotrinebahati8360 2 місяці тому

    KAKOSO NICE MOVIE ❤BUT WE ARE HAVING ISSUES WITH THE SOUND….SIJA PENDA😊

  • @halimadonath1862
    @halimadonath1862 2 місяці тому

    Teresa kaenda kwa mkango kuomba msamaha ndo sauti hakuna. Kila movie lazima iwe na kasoro kwanini lakini
    ? Mara ngapi unashauriwa ukitoka location kabla hujarusha vipande upitie kwanza uone wapi panahitaji marekebisho? Lakini wewe hufanyi hivyo

  • @goromamussatvonline
    @goromamussatvonline 2 місяці тому

    movie lakijinga sana hili .mnaamza kuboa

    • @Cambarada
      @Cambarada 2 місяці тому

      Nashukuru kwa comment yako maan imenibidi niache kwanza kuangalia nisimelize mb hadi umalizie uboya wake ni nini