Wooow congregation Gidi na Ghost Aki hii patanisho ya Leo Imeweza sana..Juu least week wanawake walikata Mchezo wakurudi kwa ma bwana.Awachani Njeri aletewe chips
A confused man , Huyu atabadilika kweli ? Mungu saidia . Wafula anampenda kuliko wazazi wake, Njeri anapenda kama chipo ,patanisho nzuri🤣🤣🤣🤣 .may God see you through .
Shida ya kupenda mtu na unamfanyia kila kitu atakufanyia mambo yenye hujawài ona😂😂😂ati anakaa kama MCA cheiiiii men phoooo jisimamie njeri wacha huyo mwanaume atakupa pressure bure...😂😂😂wafula amekuroga yawa
Mjulus ikiwa poa, the power of bedminton 🍆🍆💧huyo mluhya ako physically fit 🤸♂️🤸♂️njeri can't imagine mjulubeng inaenda 🤣🤣💪as a kikuyu lady we disown njeri, huyu sio mkikuyu original anaosha mwanaume Ana nyooka na pesa yako
The power of mjulus.... Njeri hawezi kubali iende ivo
Mbele ya muluyah pia mm cwezi acha iende hivo
True
heheheh mukomberooo hoyeee
@@mumblessed001 kuna zenye ni ndogo c waluhya wote wameweza
Hehehe pia mm nimeona hiyo
Hii ndio patanisho of the year Mimi kama OMERA KENYAN COMEDIAN hio love ni nomaaa
The power of Pekejeng,but nmependa hio patanisho all the best #NjerinaWafula.
The best patanisho ever.
Njeri anafaa kua comedian.
Mjulubeng imeweza....Wafula lipunda iko sawa...
Mjulurbeng inikome Ata kama ni tamu nita buy dildo
@@ulimacoxwagichohi Wacha...munasemanga hivo but munaipenda ile mbaya....
Wafula mtoto wetu wacha kusumbuwa shemeji yangu njeri😂😂😂😂tunakupenda njeri
The best Radio 📻 in Kenya. God bless Giddi and Ghost.
Kabisa 🙌👍❤
Amen 🙏
Thank you very much njeri for representing my people with waru
Walujee wako na bakola mzuri sana me niko na wangu siwezi taka aniwache
Ati nini
Hapo sawa shemeji
haha tunza wako vizuri
Usimwachilie kabisa wako sawa hao watu hata wangu nimeshikilia na mikono yote
😁😁😁😁😁🙏
Njeri amepata mluyia anamunyorosha fimbo ya usiku mpaka kwa koo. Ndio maana anamupenda sana nakufanyia kilakitu. Na akumbuke mapenzi niyamuda.
Nayo nikweli mujulubesi unafanya kazi vizuri
Kweli
Team kujiamini mpo 💪💪😍😍
Hehehe huyo dem I wish angeniuliza mm
Best patanisho ever.God Bless you guys..
Waluhya hoye mjulus yenu iko juu Njeri Shem Welkam back home wanawake Waja kuangaisha huyu msichana
Wooow congregation Gidi na Ghost Aki hii patanisho ya Leo Imeweza sana..Juu least week wanawake walikata Mchezo wakurudi kwa ma bwana.Awachani Njeri aletewe chips
Hahaha hii patanisho ni more fire 🤣🤣🤣😂😂😂😂I wish them blessings
A confused man , Huyu atabadilika kweli ? Mungu saidia . Wafula anampenda kuliko wazazi wake, Njeri anapenda kama chipo ,patanisho nzuri🤣🤣🤣🤣 .may God see you through .
Best show in Kenya Orio mno😂😂😂😂😂
Hii ya leo ilikua tamu sana,nani ameirudia mara tatu kama mm mkono juu 🙋🙋
Aii nitamu sana hii 😅😅😅
Huyu bukusu ni kitombi😂😂😂ati oriii😂😂njeri umenimaliza
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Njeri and Wafula aki ile vituko iko kenya
😃😃😃😃😃 duuuh nimejikuta nacheka
ebu mtu aniambie kwanini ukupenda mwanaume sana inakuwa ndio mwazo wa kulia majuto juu nimejionea na macho
Same here
Aki hii ya Leo inauwa sana Gidi Leo Ghost atafujika mpafu😅😂😅😂😁😀😂😁 Anatusiwa Anasema tuu Oreee aki kutojua lunga ya wenyewe nishida sana
Aki diyo nilisema better uolewe na mwenzako
@@agneswanjihia1383 Ungekula tabu yakutafuta mzee
@@sweetmumwake9729 aki
@@agneswanjihia1383 Uko aje mum
@@sweetmumwake9729 Niko poa dear diyo kulala sasa
Best patanisho Ever 😂😂😂
Hakuna uchawi..cassava ndio iko poa😂😂😂😂 kakameka
Omuogo iko mzuka
🥒🥕🍌❤❤❤❤❤
Njerii kama hawa wamebaki wachache sana kwa hii kenya yetu hebu kujia na huku.
This is so hilarious. I just love Patanisho.
😂😂😂haki Njerii umenibamba leo,eti alikua kaa mwizi,sahii anakaa kama MCA,halafu unakaa kuolewa na mtoto wa president 😂😂😂😂
This is hilarious 😂ata mm Nita tafuta chali mluhya sasa 😜😂
🤣🤣🤣 wishing you all the best . Wote si kama wafula
Karibu shemeji waluhya wako sawa
Waluya wako swa kwa blablabla siyo kma kabila nyegine kkkkkkkkk
Nitafutee mimi ni mluya
Waaaaaa iko sawa bro for huyo jamaaa ako poa ,na hio mapenzi iko poa kunijua zaidi angalia UA-cam OMERA KENYAN COMEDIAN
Ati nakupenda kama chipo😂😂😂🤣🤣🤣
This broke my ribs 😂😂😂😂
Ooh this made my afternoon 😂😂😂
To me meet hpa tena lol
@@chainbre275 😂😂😜😜😜😜wewe
@@saidahj2543 shabiki was sns tunajua tu kkkk
Hii ya Leo ni tamu huyu mwanaume amenifuraisha vile amesema awezi acha mtoto wake mwenye yuko kwa tumbo
Shida ya kupenda mtu na unamfanyia kila kitu atakufanyia mambo yenye hujawài ona😂😂😂ati anakaa kama MCA cheiiiii men phoooo jisimamie njeri wacha huyo mwanaume atakupa pressure bure...😂😂😂wafula amekuroga yawa
🤣🤣🤣🤣 amerogwa kweli
😂😂😂😂😂😂😂Eti unampenda kuliko chipo😂😂 maviazi tu.
Hii ndiyo patanisho 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
I wish ingekua live leo
Aki nimecheka sana
Njeri unandanganywa tu live ukimwi iko huyo wafura ni mhanyaji kabisaaa
Kumbe mkukuyu anaezapenda mluhyia wololo
Kwani wakikuyu ndio nn ndio wasipende waluhya na vile wanawakufia
Wafula wafula yawa,,ya leo siongei sana,,,,
Simply the best morning show
Njeri shikilia hapoooo
🤣🤣🤣 nmeqwama qwa chipo😍😍😍
ukiona mkiek anakatalia mlunje hivi, ni chuma ya doshi na katiba husomwa kurasa zote!!!
The lady is genuine..BT mwanaume ni mjanja
Waaaah!!!!! Day made
Waluhya in da house😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Haha hii ya leo n kal
Congratulations Njeri mm nilichoka na mapenzi 🤐
Ukam nikuchukue.
@@ferdinandodanielo1 😁😁😁
On the same side...nilichoka pia as young as I am...
😁 😁 😁
Nimeona comments Facebook mpaka nimekuja yutupe kusikisa
Uyo jamaa ni mjaja amesikiza akajua vile atapanga Njeri anyway may u leave happily marrige and lemmy be thin by mine
Wafula ..... Omundu STRONG!!
Huhuhuhuhu ya Leo kali
Aki wafula hapo amecheza bakubwa,lakini ni mchanja,hekima imemusaidia but badilika njeri anakupenda ya ukweli.
Wanaume wakufanyiwa nigutee ,Mimi sioshi kijana wa wenyewe
Hehehee, aki kuja unioshe ning'ae woliyee please?😢😢
God bless that marriage 💑
Na nyinyi waschana wa kujituma kufulia waume za watu wameoa jamani shida yenu ni nini???
*Cheerie ame rekax*
❤❤
Oooh my GOD...chipoo
This was really fantastic patanisho ever. Chipo?
Na muendelee kupeana😂😂
Wewe Njeri kaa maisha yako huyo Jamaa ni sheitani. Njeri utapata bwana Mzuri from GOD. Jamaa ata regret very soon hataona bibi kama wewe.
Wafula vle wanajuanga kupenda wow
Njeri congrats sana wafula tunza bibi yako heshima idumu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣drama c kama drama ghost leo umecheke
😂😂😂😂😂 aki eti kama chipo
number 1
🥳🥳👏👏
Siku ya Leo nimewezuwa kupata number one
👏👏👏😍
@@sweetmumwake9729 leo nimejaribu siku hizi nachelewa sana
@@moreenmbatha1147 shikilia hapo hapo dear
Huyo ni wangu nampatianga yangu nampatie yote, kucheka nayo,
Mjulus ikiwa poa, the power of bedminton 🍆🍆💧huyo mluhya ako physically fit 🤸♂️🤸♂️njeri can't imagine mjulubeng inaenda 🤣🤣💪as a kikuyu lady we disown njeri, huyu sio mkikuyu original anaosha mwanaume Ana nyooka na pesa yako
Ukubafu tu nijikute
@@ulimacoxwagichohi mtu ajioshe na ajinyooshe na pesa yake 👀
Sweet mum wake uko wapi
Aki ndoa sina mambo
Ehhh Njeriiiii??????? concentrate na job,Mungu atakusaidia
Hii n kali ety anapewa your 🤣😂🤣😂...mapenzi linauma jamani....mapenzi c pesa
Wnnderful
🤣🤣🤣nmemtengeneza anakah kama MCA hahhahaha 🔥🔥🔥npeni likes kama umeskia alikua kama mwizi
#nakupendakamachipo 😂😂😂😂
Today nimejaribu kukuwa no 2
🥳🥳👏👏
Kwani Umenitoa number yangu 😅😃😅😂😅👍👍
Kesho ni wewe
@@celestineayush4012 Sawa but sikuhizi patanisho sio kama kitambo maybe inaweza kosa
😂😂😂😂😂😂 luhya salamu ni muhimu kwetu
Mara ya kwanza kuona mkikuyu mjinga (njeri)
Hakuna mtu mjinga duniani,don't ever judge the Lady.
Eti mkikuyu mjinga kwani wakuanga werevu
Wafula wacha umalaya,
huyu ni kutombwa ana tombwa vizuri..hahaha
True,coz mluhya na mkikuyu si soft
😛😛😛😛😛 punguza volume asap
Denis Davis waaah
Eti wafula na salama Njeri na gwaru🤣🤣🤣🤣😂
Lipunda iko saw a😂😁😀😂😁😀😂😁😀
Hahaha.
@@griffinwasike9171 waingo acha kucheka, tuambiane ukweli, Wafula ako chonjo 😁😀
🤣🤣🤣🤣🤣ndio imefanya Njeri achizi
@@salmamohamed909 imagine, hadi anataka kukufa 😂😁😀
@@roselineawinja6604 😂😂😂tricky
Hahaha wanawake tuko nakazi kuolewa kuvumilia Mwanaume sio Mchezo dada
Aki mungu atusaindie
@@agneswanjihia1383 Amen he will
Mtu akijua unampenda anakua na kiburi
Nyie wa2 kueka photo UA-cam niaje nsaidien
Mwanaume Aki note anapendwa ana matharau sana
Ghost hucheka kama ....
Congrats Gidi,na Ghost endelea kuongeza miaka na kicheko😅😅
I miss radio jambo😂😂😂😂
Aki huyu dem(njeri) ni cartoon. nipelekeni for surgery kwani ribs zangu zimevunjika. heti mi namwambia tu "orie"',nimekufa wakenya wenzangu...
Hehehe patu
Hio kicheko ya ghost😅😅😅😅😅
Mm mwanaume kuosha asha ikae.siwesi
Ndio maana niko 973
Twin
If a woman help as a man ,ataishi kusema she helped you🤣🤣🤣🤣🤣🙆🙆🙆🙆🙆, this guy must be good in bed ,Dio maana anatafutwa
Orie 😅😅😅😅😅
Njeri arudi kwake akiwa nae hao wanawake wataenda
si uchawi, ni the power of Luhya Boy oo
I agree 💯
Kweli wanaume walunje wanatambaa