Hi friends,here am Dinah,but sometimes heshima hudumu,mtu alikosana na Mimi, mother inlaw aliingilia wapi bt anywei Haina shida let's wait for God's judgement sisi wanadamu hatuwezi jua ukweli uko wapi bt only sir God knows.but wherever you are Daniel respect my mam,hata ungenikol mwenyewe.Am really hurt for your lies.
Every child has a right to see and be supported by both parents Mother in law please you are also wrong. The child might turn against you in future. Chungeni sana wanawake .
Uyu mama mpuzi sana yuaongea kama charahani kwani ata kama umtu wa sheria ndio uonee mtoto wa mwenzako kwani mtoto wako alilazimishwa si ni mapenzi aliaribiwa alipakwa mavi aliaribiwa au walipendana we mama mungu anakuona
Hahaha Gidi yawa Abujubuju abujubuju 😂😂😂anyway huyu mama mkwe hapana ni moto wakuotea mbali kwani ataoa huyu msichana ake.wamama wengine ni mikozi tu!! Lazima yeye kwanza aonyeshe heshima nkt but nawe kijana cheza kama wewe kujibishana na mama mkwe hapana
Abuju bujuu haitawezekanaaa.matha in law wachana na watoto waishi bila wewe kuwatenganisha. Let your children learn to solve their issues with each other so they learn about each other. The family Chantel on TLC edition in Kenya. Dramaaa Pedro and Shantel are the most popular in usa
Daniel plzz kakaangu achana na uyu mwanamke na uyo mama mkwe achana nae mjinga kila kitu ofisi ofisi kwakua waanza ww kufanya kazi ofisini lea sana nae pia mungu atampatia mafanikio mana wamyanyasa ati mtoto wako aliaribiwa yani akiwa ashamaliza kusoma
Aki mimi nataka namba ya mama Dina niongee nae. Ila mama wengi wangekuwa kama mama Dina hakika wasichana wengi hawangeolewa huyu kijana ni mnyenyekevu Sana Hana story mingi kijana ambae namjua vizuri. Mama Dina kwa kweli mapenzi ya watoto usiingilie. Wacha kulea msichana wako kama mayai🤤😭 Ila huyu mama yuko Na mdomo jamani 😢Bro Daniel move on kakangu Mungu atakupa mke mzuri.
Jamaa ako na shidaa mingi.........respect mother in law my friend
Vijana hawana heshima sisi wakwe pooh
Nipo kama kawa 👏👏🙌🙌unga bandari mmoja wanakosania unga 🏃🏿♀️🏃🏿♀️🏃🏿♀️
Thanks for update Gidi na Ghost.watching yu from saudia.
Hi friends,here am Dinah,but sometimes heshima hudumu,mtu alikosana na Mimi, mother inlaw aliingilia wapi bt anywei Haina shida let's wait for God's judgement sisi wanadamu hatuwezi jua ukweli uko wapi bt only sir God knows.but wherever you are Daniel respect my mam,hata ungenikol mwenyewe.Am really hurt for your lies.
Hello Dianah,vipi ulikwisha rudi kwa mume wako?
Haaaa,2021 mtajipanga na upuzi ya unga..😁😁
Mwanaume kimbia mbio sana ukienda ukiendanga.hapo ni noma
Theses days you are up to date in terms of updating daily
THANKS GUYS FOR YOUR ADVISES. AM THE ONE MWENYE NILIPATANISHWA
Pole bro bb kama ni wako atarudi usijali
Pole sana
Pole aki huyo mama waaah !mpe tu heshima yake na mke wako atarudi
Pole sana....but mama mkwe mpeleke pole pole cz hapo huwezi kimbia
Na wewe ni celeb na 380 sub😂😂😂
Good one for the new year
Hahaha..ety anajuaje nko na speed..this mshereeee oooh...
Mother lnlaw ako juu sanaa,,,,Aiiiiii m
Kitambo kabla ya Patanisho kulikua na nini jameni?😂😂😂Ahsante Sana Bw.Gidi na Gost...Mungu awalombe miaka mingi🙏🙏🙏
Tuned here in saudi waaaaa😯😯😯huyu kijana aende slowly
Mimi niko hail hapa saudi
Every child has a right to see and be supported by both parents Mother in law please you are also wrong. The child might turn against you in future. Chungeni sana wanawake .
Exactly.Ave discovered nowadays thats what mother inlaws does.
Aki huyu mama Dina 🙆🙆🙆 mdomo wahhh my brother uko na shida, Aki na ww Ghost 🤣🤣🤣
# Hii ni moto..# yakuotea mbali..usinisubue..
Daniel you will never win over your mother-Inlaw, go slowly here!
Daniel atafute wazee wamteete with a mother inlaw you don't send messages or argue with her you stand to lose.
Daniel is a looser and he has no discipline he should respect mother in law
Mama Dina 🔥 🔥 🔥
Hataki ujinga
Pia huyu mama akona kiherehere sana pia nkt
Haha..alienda pia na kifagio 🤣🤣🔥
Kifagio mzee ndio 👍😍
Chezea baba mkwe lakini sio mama mkwe... 😂😂😂
Respect mother-in law
Hahaha it was fun
Wah dunia ina mambo
Hii ni kali Sana mama mkwe waah.nawe kijana jameni Kama umejukua msichana wa wenyewe karibu kuwa na hesima
Mama kijana hakuaribia msichana masomo mtoto alikubali mcheketo hapo hiyo weka kando
Huyu ako kama mamangu kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
that ring backk tone hehehe
Aki mother in law.. wengine binguni mutainoea viu sasa 🤣🤣🤣
Unga ya ngano xmas unatafuta maneno
Mama Dina hataki ujinga 🤣🤣
Gidi na ghost thnx for the show u pple really made my day
Uyu mama mpuzi sana yuaongea kama charahani kwani ata kama umtu wa sheria ndio uonee mtoto wa mwenzako kwani mtoto wako alilazimishwa si ni mapenzi aliaribiwa alipakwa mavi aliaribiwa au walipendana we mama mungu anakuona
Hii leo ni noma
In the mix
Hahaha Gidi yawa Abujubuju abujubuju 😂😂😂anyway huyu mama mkwe hapana ni moto wakuotea mbali kwani ataoa huyu msichana ake.wamama wengine ni mikozi tu!! Lazima yeye kwanza aonyeshe heshima nkt but nawe kijana cheza kama wewe kujibishana na mama mkwe hapana
Mother-in-law waaa 100 words in a second
Mama in-law need to stay away from her daughters marriage. Look like she is controlling her daughters decision which is wrong.
Eeeeeeeeh mluje in da house!
😂😂😂😂😂😂aki hii dunia
Huyu mama pia ako na kiherehere nkt
But this mama is right hutu tuvijana tudogo wanasumbua alafu matusi kama wanawake....
Umejuaje mm Nina speed 🇹🇿🇹🇿
Nimekwama hapo kwa Abujubuju! Gidi, Leo umewezwa hadi words zikapotea! Daniel..... go slowly 🐌 🐌🐌 and all will be well 🙏🏾
Waaaaaaa huyu mama Ana machungu
Huyo mama mkwe hapana heri ikae na mm mamangu awezi simamia ndoa yangu no
Imagine demu anaenda kwao anaondoka adii na fagio yanguuuu😂😂
Man Daniel.ua Mother in law is like your mum.respect her banaa. And think what you talk to her. Mama mkwe.heshima
Kicheko ya Ghost pekee ndio hunileta hapa...
Be4 u marry, try n see if u can handle or manage your in-laws. Ukisema moja ako kwa100 akiendelea......... 🙆♀️🙆♀️😂😂😂😂😂😂
Leo hii nigumu kweli mum in low hataki kabisa
Jamani ety alibeba mpaka kifagio
Daniel ulisikia wapi ati mama mkwe ako na speedy, 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wah !Leo kimeumana
Huyu mama mkwe pia ako na makosa.
No 21 leo Kuchelewa ndio zangu
Daniel ameingia one chance 😂🤣🤣🤣 you are in trouble
Taadiel unalaka tispline 🤣🤣🤣
Two years after, i found this station, i can't stop laughing
Waaaaaaa huyu mama ni 🔥🔥🔥🔥🙌👏
Mama achana na boma ya wenyewe just mind your own business msichana wako aliolewa wapatie time wa solve their own differences
Wah wah...wololo huyu mother-in-law is so rude hata kama Daniel ako na makosa, apana. Tafuta bibi mwingine hapo hakuna ndoa
THANKS, POINT TAKEN
Anaongea vibaya at a mm sikupenda hiyo sio suluisho kwa mzazi
Daniel ww ni mjingaaaa ,kipii kabisa
Abujubuju Abujubuju Abujubuju😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kifagio Tena woyooo
Abuju bujuu haitawezekanaaa.matha in law wachana na watoto waishi bila wewe kuwatenganisha. Let your children learn to solve their issues with each other so they learn about each other. The family Chantel on TLC edition in Kenya. Dramaaa Pedro and Shantel are the most popular in usa
Waluhya na unga jamani
Gidi na Ghost abujubuju 👊 😂😂😂😂😂
Boy child nakuhurumia
Watu wa kims hi my people
Huyu mama a naongea sana
Hehe ghost eti atafute Mama mkwe mwenye hana speed lol 😂🤣🤣🤣🤣
Mama mkwe hataki kusikiya! aache watoto wapendane hatakaa na musichana wake forever.She talks too much.
Daniel plzz kakaangu achana na uyu mwanamke na uyo mama mkwe achana nae mjinga kila kitu ofisi ofisi kwakua waanza ww kufanya kazi ofisini lea sana nae pia mungu atampatia mafanikio mana wamyanyasa ati mtoto wako aliaribiwa yani akiwa ashamaliza kusoma
Aki mimi nataka namba ya mama Dina niongee nae.
Ila mama wengi wangekuwa kama mama Dina hakika wasichana wengi hawangeolewa huyu kijana ni mnyenyekevu Sana Hana story mingi kijana ambae namjua vizuri.
Mama Dina kwa kweli mapenzi ya watoto usiingilie. Wacha kulea msichana wako kama mayai🤤😭
Ila huyu mama yuko Na mdomo jamani 😢Bro Daniel move on kakangu Mungu atakupa mke mzuri.
We aty mama Ana mdomo,was kibaya nie wakimanya,ke wabene rurayo.
@@dianahwekesah2038 ama ni wewe 😂😂😂
Wamama wanavunja ndoa sana
Funny😂😂😂
Waluhya ndani ya nyumba 😂😂😂😂
Huyu mama mukwe ni Mbaya sana, asiingilie ndoa ya mschana wake.
😂😂😂😂😂😂Gidi mama bukusu hawezi rudi nyuma akisha sema amesema😂😂but mtoy wa 2yrs anaongea kweli
Ni kukosa akili a 2year old baby utaongea na yeye nini
Mboma singine ni kanyanga kwa wote wawili hakuna suruhisho !
Ndani
Mama mkwe pia apunguze speed
Akho 🤔🤔🤔
Mm hata nkioa siezi ongea na mamamkwe atanionea tu nkipeleka mahari mengineo siezani mamamkwe tafadhali stay away na maisha yangu
Huyu mamakwe acha akae na mamayake Daniel tafuta bb achana na huu upuzi acha mamamkwe aoe mtoto wake
Outside is bad
Uyu mama ni moto wa kuotea mbali 😂😂😂😂
Achana na ndoa ya mwanao
Hiyo sio poa ni madharau kwa wazi
Ukipata mother in law mwenye afuata sheria
Pam good morn Gidi na Ghost huyu hapa ni Quinn de Quinn kwenye patanisho
Huyu Maama ako na mdomo😳😳
Aki nauliza kitambo watu walikuwa wanaishi aje Bila radio jambo, fans leteni jubu
The generation then walikuwa na heshima,few case's were solved through chief baraza's.
Most patanisho's are age 20's.
moto
Inaua hali ilivyo kutoka mpakani mmmmmmh
Anajiita celeb na anakosa pesa ya unga😁😲
😂😂😂ni celeb wa ocha😂😂😂
Celeb wa kimilili🤣🤣
Si ata mchungulie you tube yangu...
uyo mama ni pesa anataka , labada uyo kijana hana pesa .
Huyu mama bukusu yawa... pooooh....
Mama mkwe anaongea sana,aache pia kijana ajielezee,mama a ha kuongea hivo mbele ya son-low anaona uko na mdomo hata kushinda msichanaako
Huyu mama ni chizi
Ya Leo ni kali gidi na ghost
Hahaha haha mama dina hutaki ujinga lkn utashagaa huyu dina akirudi tu kwa huyu kijana mambo ya wawili utabaki katikati