DIAMOND ATOA AHADI KUMSOMESHA MTOTO WA DIDA MPAKA AMALIZE MASOMO/MAULID KITENGE AWASILISHA KAULI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024
  • DIAMOND ATOA AHADI KUMSOMESHA MTOTO WA DIDA MPAKA AMALIZE MASOMO
    ````````````````````````````````````````````````````
    Facebook Page @chazymedia
    instagram @chazymedia
    Tiktok @chazymedia
    ``````````````````````````````````````````````````````````````

КОМЕНТАРІ • 164

  • @AbdoulsudaisSuleiman
    @AbdoulsudaisSuleiman 4 години тому +6

    Ktk uisilamu haipaswi kuzungumzwa mtu kwa ubaya pindi tu anapofariki . 😢 innalillahi wa Inna ilaihi RAAJEOUN 😢

  • @RamadhaniChande-nk3rx
    @RamadhaniChande-nk3rx 3 години тому +3

    Shekh mazinge mwenye zimungu akulinde kwa kila jambo kwa elimu unayotoa kwa jamii na sisi mwenyezimungu atusaidia hata robo ya maisha yetu kuwasaidia wengine ishaalah.

  • @scopy0428
    @scopy0428 3 години тому +1

    Kazi ya Mungu haina makosa Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe Amina

  • @SilasJacob-z6v
    @SilasJacob-z6v 4 години тому +18

    Omba ufe upokelewe Kwa mungu muumba kuzikwa nawatu maarufu au wengi Wala haisaidii chochote

    • @MuhammadHassan-xp6dc
      @MuhammadHassan-xp6dc 4 години тому +2

      maneno yako ni kweli ndugu

    • @stonetown578
      @stonetown578 3 години тому +2

      Exactly

    • @georgedaniel4962
      @georgedaniel4962 3 години тому +2

      Kwa hiyo ulitaka asizikwe! Acha roho mbaya huko kwa Mungu anajua Mungu mwenyewe lkn pia hiyo ni picha kwamba aliishi vipi na watu wakati wa uhai wake.

    • @hassanomar1041
      @hassanomar1041 43 хвилини тому

      Nikweli ulivyo sema ndugu ila kuna kitu muhimu nikuambie mungu ame tusisitiza tuishi na binadamu wenzetu vizuri na kupata watu wengi ni moja ya kujua uliishi vipi hapa duniani. Na kwa dua za hao watu wengi ndio msamaha wake waeza pitia hapo mungu akampokea kwa wema.

    • @davidngonyani5599
      @davidngonyani5599 22 хвилини тому

      Kweri kabisa hata sala hazisaidii ukifa mwili unabaki roho inatoka

  • @sylivinebahaty5449
    @sylivinebahaty5449 4 години тому +7

    Wewe unaesema katolewa kafara,nahisi hauna akili timamu! Kiufupi hujielewi

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 4 години тому +5

    Pole kumbi la moto umefiwa japokuwa mliachana ila msamehe mwenziyo kama alikukwaza

  • @mgayan1222
    @mgayan1222 4 години тому +3

    MUNGU 🙏 AENDELEE KUWAFARIJI FAMILIA YA MAREHEMU 😢 HASA BINTI YAKE. AMUWEZESHE ASOME HADI PHD

  • @itanzaniaAS
    @itanzaniaAS 5 годин тому +2

    DIDA KAFA KAMA WATU WENGINE. MWACHE APUMZIKE. MLELEENI MTOTO WAKE😢😢😢

  • @RamadhaniChande-nk3rx
    @RamadhaniChande-nk3rx 3 години тому +4

    Yeyemwendo ameumaliza,swali limebaki kwetu tutamalizaje mwendo?kwa maana nguzo 4 zote za kikafiri zimetuzunguka.

  • @lidyamhova8528
    @lidyamhova8528 3 години тому +1

    Nikuomba Mungu atupe mwisho mwema katika safari hiii.
    Kila aliezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi ni chache, tusijisahau tuishi maisha ya toba tu.mana hakuna mkamilifu

  • @KhadijaHassany
    @KhadijaHassany 5 годин тому +3

    Wew umemuona Kama kamtoa kafala achen maneno hayo nduguzangu unaweza toa ushahidi Kama kamtoa punguzen maneno

  • @AidanKostantine-f5l
    @AidanKostantine-f5l Годину тому +1

    Mungu akusaidie mondi

  • @ThurayaPeer
    @ThurayaPeer 3 години тому +2

    Jamani msimkufulu mungu mnasema daymond kamtowa kafara mlimuona hiyo ni sili ya mungu yeye ndye anayejuwa mja wake kafa Kwa tatizo Gani msipate dhambi kusema mondi

  • @shamsajahagandhi3800
    @shamsajahagandhi3800 5 годин тому +2

    Inna lillah waina ilayh rajoon Allah mpe
    Kauli thabit.

  • @lissamsalu4792
    @lissamsalu4792 4 години тому +2

    Acheni kuongea mambo msio ya jua amtoe kafara kwalipi msibishane na ahad ya mungu

  • @ShaibuRamji
    @ShaibuRamji 5 годин тому +3

    Kuna watu watachomwa moto kwa kujitakia kwani dida hawezi kufa?

  • @Haleema-dg5bo
    @Haleema-dg5bo 3 години тому +2

    Innalillah wa innalillah rajiuni 😢

  • @oscarbrand2344
    @oscarbrand2344 4 години тому +2

    Mwili wetu roho ya MUNGU,atulaze mahali pema peponi

  • @RamadhaniNabli
    @RamadhaniNabli 4 години тому +1

    mbele yako nyuma yet mwenyezi mungu.akuwondolee na azabu za kabulini.amena

  • @MwanaShesha
    @MwanaShesha 5 годин тому +1

    Mungu awe subra familia

  • @maggieandrew995
    @maggieandrew995 4 години тому +3

    Mmhhhh mtaeleewa Tu badae. Sahv hamuez kuelewa usanii una Mambo mengi nyuma ya pazia

  • @AlexAidan-kq5zn
    @AlexAidan-kq5zn 5 годин тому +3

    Kafala ya nyoko ko KENYA ile meli nayo nikafala

  • @mfungonishauri4234
    @mfungonishauri4234 6 годин тому +4

    Mlipieni deni lake in Sha Allah

  • @OstakiaCornely
    @OstakiaCornely 5 годин тому +5

    Mi nashangaa eti diamondi kamtua kafara amekua mtoto wake tuache kuhukumu

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 5 годин тому +1

    Mbele yetu nyuma yake Mungu nimwema 🙏

  • @MayaKhairun
    @MayaKhairun 3 години тому +1

    Ivi kumbe kweli nilikuwa siamini lakini ebu tumjue Mungu

  • @aishahasan7722
    @aishahasan7722 5 годин тому +5

    Sasa hpo Zimbabwe kunaumbali gan angekwea pipa akawahi kuzika😢😢😢

    • @dianarosederick7154
      @dianarosederick7154 4 години тому

      Kwani ye akija ndo atasaidia nn sio mama yake huyo alikuwa mfanyakazi wake tu so walokuwepo karibu wanamuwakilisha tu maisha lazima yaendelee

    • @sarahminja7255
      @sarahminja7255 4 години тому +2

      Dida angekuwa mama yake mzazi angekwea pipa lazimaaa aje kumzika mama yake dida si mama yake

    • @RukaiyaSultan-f3m
      @RukaiyaSultan-f3m 4 години тому +1

      Haijalishi bhn angefika to msibani kazi zipo to lakini atambue hiyo ilikuwa safari ya mwisho ya mwenzetu angefika to sijapenda kwakweliiiiiii

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 3 години тому +2

      @@RukaiyaSultan-f3mNa kweli anagekuja tu kwani anapoteza nini kama pesa anayo bora angemzika mwenzake

    • @majidimussa8678
      @majidimussa8678 3 години тому +1

      Anaagalia 📺

  • @Rama-g7s
    @Rama-g7s 5 годин тому +2

    Kwa hyo kila anae fariki katolewa kafara achane zana mbaya

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 4 години тому +2

    Acheni uchochezi wa maneno niye mnotoa coment za ovyo kafara mnaijua nyiye nani ameshuhudiya hiyo kafara

  • @hamisigazza2838
    @hamisigazza2838 48 хвилин тому

    Tujue kuwa hii dunia tunapita tujitahidi kufanya yanayompendeza Allah

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 4 години тому +2

    Mjue mnajizoleya dhambi nyiye mnotowa comenty za ovyo

  • @rashidmaulid7312
    @rashidmaulid7312 4 години тому +2

    Kila nafsi itaonja mauti. Tujiandae na safari. TUACHE KIBRI. Tumtafute MUNGU wa kweli tutekeleze maamrisho yake na tuache makatazo yake

  • @BekaRDaffa
    @BekaRDaffa 4 години тому +1

    Yesu ninani bwegenn

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 5 годин тому +1

    Mdomo adui hayaaaa

  • @RamZomboko
    @RamZomboko 2 години тому

    Innalillah wainnalillah rajiun

  • @Jannah-r8d
    @Jannah-r8d 8 хвилин тому

    A'alaykum ,, nawaomba wote wenye vdeo au pich za marehem ambaz hajajistiri zifutwe na zisisambazwe kwasbabu kumpunguzia dhiki uko alipo na kumuombea dua Allah amsameh madhambi yake ila vdeo na pic mhurumieni huko aliko zifutenk na musisambaze😭

  • @AgnesShonga
    @AgnesShonga 3 години тому

    Jamani tupendane tu atayekuzika hamjui,,

  • @jetridalutebinga9331
    @jetridalutebinga9331 4 години тому +3

    Sasa hapo mambo ya kusema wakristo hawana dini yametoka wapi?nyie wenzetu mnajionaga dini yenu ndo ya haki.kila mtu asimame kwy Imani yake mbinguni hakuna dini...acha hizo

    • @MariamAsudi
      @MariamAsudi 3 години тому

      Samahani sana ndugu yangu aliyekwaambia mbinguni hakuna dini kakudanganya, Yalaiti ingalikuwa hivyo basi manabii wasingetumwa kuja kuwalingania watu Karne baada ya Karne, tafuta ilimu na omba Allah akuongoze In Sha Allah 🤲🤲🤲

    • @Rizikijumamkonge
      @Rizikijumamkonge 3 години тому

      Yaishe jmn

  • @AndreaRichard-j6d
    @AndreaRichard-j6d 5 годин тому +1

    Dada utafungwa

  • @asyachetu2388
    @asyachetu2388 5 годин тому +5

    Wakristo hamna dini ndo mana kila anokufa katolewa kafara kwa hy watu wasife

    • @stevekiwelu3883
      @stevekiwelu3883 4 години тому

      Acha uboya ww una din

    • @maureenlilykiwia1515
      @maureenlilykiwia1515 2 години тому

      @@asyachetu2388 acha kutukana ukristo huyo aliyesema hayo ndio udili nae tafadhali sana

  • @OmaryAisha
    @OmaryAisha 2 години тому

    Poleni sn wafiwa

  • @MaulidNdunda-cl3gz
    @MaulidNdunda-cl3gz 3 години тому

    Amtie kafara yanin acha Iman za kishirikina wew mbona wew hajakutia kafara muda ukifika Kila mtu ataenda waliko tangulia wenzetu mwonbee Kwa mungu sio kuongea maneno ya ajabu watz mnatia aibu hivi vinaangaliwa mbali zaidi sio tz tu mpka Kwa wenzetu tuwe na maneno ya faraja

  • @YugoAlly
    @YugoAlly 3 години тому

    Angalia mauridi kitenge sio sehmu nzuri hp

  • @sammynassry5893
    @sammynassry5893 4 години тому +1

    kila nafsi itaonja mauti wewe na mimi hatujuwi lini ila kufa kuko kama ulivyokuja peke yako duniani utaondoka peke yako na utalala nyumba ya peke innalilah wainna rajiun

  • @AsdDsa-fi5qk
    @AsdDsa-fi5qk 5 годин тому +1

    Akiondoka alijua mmh zibwabww mbali mmh

  • @ShaibuRamji
    @ShaibuRamji 5 годин тому +3

    Msenge wewe unaesema dida katolewa kafara unawaza kwa kutumia mkundu au?

  • @Abdulkhalimjumaiddi
    @Abdulkhalimjumaiddi 3 години тому

    ❤🤲🤲🤲

  • @HaridKisalala
    @HaridKisalala 3 години тому

    Hili naye ampeleke kwa didi

  • @wadhhasuleiman2621
    @wadhhasuleiman2621 5 годин тому +1

    Yaan mwandishi WA habar anasema mama dangote diamond platinum kwenye maziko dah

  • @saiclassicofficial3138
    @saiclassicofficial3138 4 години тому

    Acha imani potovu dada huna imani wewe poleni

  • @leonardedson3604
    @leonardedson3604 5 годин тому +24

    DAMU YA YESU INATOSHA,TUMKIMBILIE YESU KRISTO TU,NDO ATATUOKOA NA HII DUNIA ILIYOJAA URAFIKI WA KINAFIKI.

    • @hassanjonas1491
      @hassanjonas1491 5 годин тому +4

      Wewe huyo yesu nayeye amefariki mufu atamuokowa mwenzie

    • @leonardedson3604
      @leonardedson3604 5 годин тому +6

      YESU KRISTO YU HAI,JANA LEO NA HATA MILELE,NDIYE ALIYESHINDA KIFO KWA AJILI YA WANADAMU WOTE..AMEN

    • @magrethdaniel8441
      @magrethdaniel8441 5 годин тому +5

      Kwako ni mfu ila kwetu ni ufufuo wa wafu mamlaki ya enzi yapo mabegani mweke

    • @maureenlilykiwia1515
      @maureenlilykiwia1515 5 годин тому +5

      Hakika Damu ya Yesu inatosha na tunatamani kila mmoja angelijua hili

    • @leonardedson3604
      @leonardedson3604 5 годин тому

      AMEN

  • @Naju645
    @Naju645 3 години тому

    Kumbi lamoto maskin

  • @salmaabdu5011
    @salmaabdu5011 3 години тому

    Dai hawezi kuwepo hapo anajuwa alolifanya ili aizime stori ya Pididi wafanya kazi wa wasafi amkeni kabla ya rip

  • @KassimuMbarack
    @KassimuMbarack 2 години тому

    Samahani ondoa neno mzigo mtoto cyo mzigo

  • @AbelMukwala
    @AbelMukwala 2 години тому

    Kwan diamond Yuko wap

  • @Naju645
    @Naju645 3 години тому

    Et kamtoa kafara huna dinni

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 6 годин тому +11

    Kamtoa kafara halafu kajitolea kusomesha mtoto wake,,😢😢😢😢😢wajinga ndio sisi

    • @juniornamao527
      @juniornamao527 5 годин тому +3

      Huna akili mbwa wewe

    • @Mdenya
      @Mdenya 5 годин тому +3

      Usiruhusu kinywa chako kinene maneno machafu Mwenyezi Mungu ndie mwenye kutoa hukumu

    • @fbr5113
      @fbr5113 5 годин тому +1

      MBONA KAKA YAKE KASEMA POBE KALI NA VIDONDA VYA TUMBO NDIVYO VIMEMMALIZA NA ALIACHA DAWA? SASA WEWE UNASINGIZIZAJE WATU UTAPATA LAANA WEWE😏😏😏😏😏😏

    • @nahyialetomia9284
      @nahyialetomia9284 5 годин тому

      Muogope mwenyezi mungu

    • @brghtonmgonja6831
      @brghtonmgonja6831 5 годин тому

      Unaongelea ayo maneno ya kafala mdomon au mkunduni