MANENO MAZITO YA SHEIKH WALID MBELE YA JENEZA LA MAREHEM DIDA KABLA YA KUSWALIWA MASJID MAAMUR

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 жов 2024
  • • MANENO MAZITO YA SHEIK... #KHIDMATV #SheikhWalidAlhad #nasaha #msibawadida #mtangazajiwasafifm #dida #khadijashaibu
    =
    Tufuatilie mitaondao ya kijamii;-
    Facebook: / mzeewakhidma
    Instagram: / khidma_tv
    Tiktok: / khidmatv1
    UA-cam: / @khidmaonlinetv350

КОМЕНТАРІ • 117

  • @mohamedhamismagoraonlinetv459
    @mohamedhamismagoraonlinetv459 5 годин тому +3

    Ma Shaa Allah Sheikh wetu Sheikh Walid Jazaka Llahu khayran.

  • @mahramarswad6041
    @mahramarswad6041 3 години тому +5

    Usimuhukumu mtu ukimnyooshea kidole kimoja mwenzio basi vitatu vinakurudia weye mwenyewe usimuhukum mtu hujui yasiri yake yeye na mola wake usimukuhukumu weye sio mungu hatujajuwa sie mwisho wetu na vizazi vyetu haifai huu ni ukumbisho kwa kila mtu jamani haifai tutazidi kumuombea kwa mungu tunakupenda marehem dida Allah akulaze pema peponi Amin . From uk 🇬🇧

  • @a.856
    @a.856 5 годин тому +6

    Allahumma ghfirlaha warhamha waskinha filjannat Yaarabbi...amin

  • @zuhurahamisi1639
    @zuhurahamisi1639 4 години тому +4

    Mwenyezi Mungu ni mjuzi wa amari za mwanadamu. Sio binadamu.

    • @KhalfanMakota
      @KhalfanMakota 3 години тому +1

      Hapana allah nasema fanyeni amali njema yeye ataona pamoja na mtume wake na wale waumini pia wataona...kwa iyo hata binadam wanaona mema ya mtu au mabaya yake cio mungu tu

  • @KhalfanSaid-v1h
    @KhalfanSaid-v1h 4 години тому +2

    ALLAHU Salamu"usimuhukumu mtu kwa matendo yke ..Allah ndoanaejua

  • @YasminYasmin-vj5ih
    @YasminYasmin-vj5ih 4 години тому +5

    Mtoa hukumu ni Allah hujui ndani yke pengine alikuwa akitoa sadaka pengine alijenga kisima vipo vitu vingi usimuone mtu kwa nje ujui ndani kafanya nn tusihukumiane

  • @mwinyihijajumaa3773
    @mwinyihijajumaa3773 4 години тому +1

    Innalillah wainnailah rajiun Mungu ampe makazi mazuri

  • @ashajoj5786
    @ashajoj5786 4 години тому +1

    Allah ndo mjuz kw watu, tusihukumiane, hakimu n Allah pekee, na ndo mana tunaomba mwisho mwema na Allah atupe pepo yke kw rehma zake na sio kw matendo yetu

  • @TinaAugustino
    @TinaAugustino Годину тому +1

    Mbele yako nyuma yetu didaa..😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 4 години тому +1

    INNA LILLAH WAINAA ILAYHI RAJIUN

  • @safiaha12
    @safiaha12 3 години тому +1

    Tusihukumu jamani Rehma ya Allah nikubwa sana kwa wajawake tumuombey mema Zaidi .

  • @mireillebabilone1970
    @mireillebabilone1970 2 години тому +1

    Tunamuomba Allah amusamee dada yetu makosa yote Alio ifanya apa duniani. Ni mengi tunayafanya kama wanadamu, Tunamuomba Allah atujalie toba mbele ya kufa.
    Na sisi tulio Baki iwe Funzo kwetu , tusiipende dunia saana mpaka tunasaau kama kunasiku tutaviacha, nakurudi kwenye tumetoka. Tupendane, tusameane, kwa ajili ya Allah,
    Na Tunamuomba Allah atujalie Mali ya halali, isio kuwa ya haram. Juu Mali nayo njoo inatufanya tupotee.
    Kifo ni mawaiza kwa kweli , leo tupo kesho atupo. Kila mtu awe anajiuliza leo nikifa kitu gani tapeleka mbele ya Allah?

  • @JeminAbraham-f1o
    @JeminAbraham-f1o 3 години тому +1

    Hukumu za Nini jaman wewe unajuaje mzuri kwa mungu we unaemuona chiz ndo Bora kwa mungu muhimu dua..tu yule anaeyona yy sahihi na sio sahihi

  • @maryamsuleiman6340
    @maryamsuleiman6340 4 години тому +2

    Unaminzani gani ulionayo ,yakupimia dhambi za viumbe wewe kiumbe ,mkamilifu ni Allah hatawewe unayako madhaifu ,usimhukumu mtu pekeyake nidhambi nduguyangu 😢

  • @YasminYasmin-vj5ih
    @YasminYasmin-vj5ih 4 години тому +3

    Unakijua kisa cha mlevi ss ajabu mlevi kaingia peponi kwa nn kaingia pepon alikufa watu wa mji wake wakasema mlevi huyu atazikwa na nani chaajab shekhe wa hpo anasema nimelala nimeoteshwa mlevi yuko pEpon anaenda muuliza mkewe huyu alikuwa na amali gn mbona nimeotedhwa yko pepon mkewe anawaambia alikuwa akitoa sn sadaka akisaidia yatima kwa hiyoo tusihukumiane tuombe mwisho mwm

  • @husseinc
    @husseinc 3 години тому +2

    Pumzika amani dida

  • @KarimAdam-rg9fe
    @KarimAdam-rg9fe 5 годин тому +3

    Tajemi mema ya maiti zenu Kwa Nini useme hawezi samehewa ? Unajuaje khatma yake mlango wa Toba upo midhali roho haijafika tamati tumuombee na tutaje yale mema yake

    • @JumaJamal-d6z
      @JumaJamal-d6z 5 годин тому

      Kwan hawez msameh ww NDO unaufunguo wamsamaha wamungu,au unajuwa ww utakufaje labda

  • @HamiduMtandika-lc2tp
    @HamiduMtandika-lc2tp 3 години тому +1

    Ewe mwenyezi tusamehe ss wajawako

  • @wardasamwel6243
    @wardasamwel6243 4 години тому +2

    acha kuhumu wewe sio mungu anayejua hukumu yake ni allah peke yake

  • @MuneerAbdu-v9e
    @MuneerAbdu-v9e 4 години тому +1

    Muhimu ni dua kwakwe musiwe mujirimuni taja mema yake tu

  • @AllyHizza-f9c
    @AllyHizza-f9c 3 години тому +1

    Iv nyie mbon mnakuwa kama hamnaakili jaman heb jalibunikuwa na subra na at sura yaaibu unajitamkia2 maneno yako je ww unajua umekanilik ama hujakamilik au unasema hivyo kwasababu jamb hili halipo kwako

  • @hamadKhamis-p6k
    @hamadKhamis-p6k 4 години тому +3

    Kwanza mujue waumini mtu yeyote anaekufa ijumaa huyo ni mtu mwema

  • @MonicaTimotheo
    @MonicaTimotheo 4 години тому +2

    KUISHI NI YESU KRISTO ILI KUFA IWE FAIDA SI VINGINEVYO MAANA AMUAMINIYE YESU NA KUBATIZWA ATAOKOKA NA KUISHI MILELE SI VINGINEVYO KAMWE

  • @MonicaTimotheo
    @MonicaTimotheo 4 години тому +3

    BWANA YESU KRISTO PEKEE NDIYE MWANZO/ ALPHA NA MWISHO/OMEGA HAKUNA MWINGINE

  • @UmmuJauzan
    @UmmuJauzan 5 годин тому +9

    Lakini dida mungu hawezi msamehe hakuacha athari yoyote njema duniani watu wakanufaika nazo, zaidi ya maovu machafu mgombanishi mvurugaji , ndoa nyinyi zimevunjika zawatu kupitia yeye, hakuna mastaa wasanii muna lakujifunza hapo alitakiwa atubu be fore

    • @SofiaNdundu-ty3jz
      @SofiaNdundu-ty3jz 5 годин тому +6

      Mwenyew nafasi Kwa m/mungu anajulikana na mungu sio mim n ww

    • @fatnasaidi3027
      @fatnasaidi3027 5 годин тому +7

      Wewe ninan mpaka useme ivyo

    • @mohamedhamismagoraonlinetv459
      @mohamedhamismagoraonlinetv459 5 годин тому +8

      Dah. Wewe ni tahira kabisa maskini ummu jauzan. Unampangia Mungu unayoyataka wewe. Wewe unajua kila alilofanya Dida

    • @malila4582
      @malila4582 5 годин тому +7

      Kipenzi Mareham asemwi vibaya ndugu yangu hakimu ni mungu2 mpendwa😢😢😢sisi jukumu letu ni kuomba dua2 kwa marehemu wetu.wote waliyotangulia mbele ya haki

    • @halimamwingu4478
      @halimamwingu4478 5 годин тому +5

      Ni kweli alionekana akiishi nje ya taratibu za Allah lakn tumuombee dua tu maana hatujui wakati anakata roho huenda alitubu palepale na hakuna aliyesikia zaid ya Allah. Wapo watu wanapata bahat maisha yao yote anasa lakn mwisho unakuwa mzuri! Inakera sn mtu akiwa hai hana haja na dini ila akifa ndio aimbewe lakn mm nashauri tuombeane tuu hatujui mwisho wetu pia🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @RashidHaroun-c2j
    @RashidHaroun-c2j 5 годин тому +2

    Unaweza mkuta firaun peponi so usihukumu

    • @SelemaniOmari-j7t
      @SelemaniOmari-j7t 4 години тому

      Tuwache kidogo

    • @nassoraliy3871
      @nassoraliy3871 4 години тому

      Firauni tena hee umezidi

    • @alijabu6226
      @alijabu6226 4 години тому

      Io haiwezekan fir aun makaz yake tayr yesha ainishw ktamb

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 3 години тому

      Firauni ni kafiri hajaamini utamkutaje peponi? Au ndio nyie mnaowaombea dua za pepo wasiokua waisilam hali yakua hawakuamini?

  • @alijabu6226
    @alijabu6226 4 години тому

    M2 atakua muislam lkn matend yake hayafqnan kbbissa na uislam huu n mtihan jamn 2ckubal matendoyet yakaw hayaendan na AKIDA ye2

  • @wardasamwel6243
    @wardasamwel6243 4 години тому +1

    acha kuhumu wewe sio mungu anayejua hukumu yake ni allah peke yake