VITUKO vya AGGREY MWANRI, WAZIRI MKUU HOI - "HARUDI MTU MISRI, KAMA MNATAKA KUJINYONGA, JINYONGENI"
Вставка
- Опубліковано 10 лют 2025
- VITUKO vya AGGREY MWANRI, WAZIRI MKUU HOI - "HARUDI MTU MISRI, KAMA MNATAKA KUJINYONGA, JINYONGENI"
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa, ametinga mkoani Kilimanjaro kupiga kampeni ya kunadi sera za chama chake cha CCM na kuwaombea kura wagombea wa CCM katika majimbo ya Kilimanjaro...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...
Jamani maguful mahali uliko naomba umpe mwanri kz plz usimuache nje
Hata kama hata kua na office awepo ndani ya sirikali tuu mzee wakazi ..... kwa hakika mungu azidi kuibariki tz mm kutoka +254 naamini tz kuna kiongozi mzee jpm na wafwasi wake
Anafaa sana kuwa kiongozi
Kabisakabisakabisakabisaaaaaaaaa
Safi sana mh. Mwanri tunahitaji viongozi waadilifu na wenye uzalendo na nchi na tabasamu. Tunatambua mchango na umuhimu wako ,mungu akujalie maisha marefu .
KAMA UNAMKUBALI MWANRI KAMA NINAVYO MKUBALI MIMI BASI GONGA LIKE TWENDE SAWA
Chunga kondooo wangu
Mwalimu wangu nimekumisi sana ulinipika vzr sana Mungu akujalie
Mzee wa Toronto yuko pw sana
I love Tanzania.
Wangapi wamesikia NITAPIJA MZIGO BABU KUBWA ANIPE LIKE YANGU HAPO..... JPM HOYEEEE CCM HOYEEE
Umesimama ktk kwel mungu hatokuacha milele
Hekima yako imenifuza kitu baba.jamani Mungu atakupa cheo kikubwa zaidi ya hicho Magufuli ajapungukiwa na chochote mbelezako.asante baba
Baba lao huyu mwangalie jicho la tatu
Safi Sana
Mago juuuui
Namwita Daud Rais wetu
Mungu Yehova maisha marefuuu
Tumekumic Tabora
Tutakukumbuka sana haswa katika mapinduzi ya kijani
Viva Mwanry Aggrey
Mzee wa Toronto 🙏🙏🙏
Good Mzee wa Toronto uko vizuri Sana yajayo yanafurahisha
Ninamwombea mzee Aggrey Mwanri kwa Rais Magufuli ampatie nafasi serkalini kwa sababu ni mzalendo barabara.
Amen
Kweli hyu mzee yuko vzr sana angekuja kupewa hata ukuu Wa mkoa Wa DSM ingependeza
Nakukubari sana mzee wang
Umefanya jambo lakishujaaa kwakweli Watu wa Siha tunakukubali sanaaaa na maneno ya upako ndani yake🙋🙋
Sukuma Ndani Mweshimiwa Mzee Wetu atakuona uko vzr
Mheshimiwa rais mwangalie kwa jicho laupendo mzee wtoronto yuko vizuri
Wizara ya tamisemi jafo achukue nafasi ya waitara anasifa nyingi ni kingozi mwalimu atawasaidia wakuu wa mikoa na wilaya
Huyu Mzee ukiwa ulimfatia sana ktk uongozi wake basi hautojiskia vzr kumuona hatopata madaraka yeyote serikalin amejitahid.
Huyu Mzee alikuwa anajibu maswali bungeni bila kutafuna tafuna..kiufupi yuko vizuri..SOMA HIYOOO
Mzee wa Toronto sasa sijui unataka siha iwe kama Jerusalem 😂😂 uko vizur sana
Hatari lakin salama
Huyu mzee bado anatufaa sana kwenye ujenzi wa taifa letu
Maneno ya hekima na umoja na mshikamano uliojengwa na Ccm ni mfano kwa mataifa mengine sio wengine wakikosa wanahama chama!
Siha hoyeeeee....barabara ya fuka mpk Kibongoto lamiiiiii😍😍 madukani mpk Mae juu lamiiiiiii
😂😂😂😂😂😂mchaga ni mchaga tu big up
Nakukumbuka sana kwa mazuri yako tunakuombea barikiwa sana. Nimaombi yetu Magufuli akukumbuke tena
Duuuuuuuuuh mheshimiwa mpe nyadhifa huyu mtu
Agrey Mwanri ni mtu safi sana??
Nampenda sana mwanri kwa maongezi yke.ucjali Magufuki atakupa kazi tu
Huyu mzee nampenda sana kaifanya tabora kuwa nzuri
🤣🤣🤣🤣🤣 nampenda huyu baba jamani so funny
Anaongea sana huyu mzee
Kama mm yani 😂😂 sichoki kumuona
Aggrey Mwanri you are the great and Dr, john pombe magufuli please give him a job..
Kumbe uyu Mzee tosha kuwa mchungajiiiiiiiii aiseee
Hahahahahaha
saf sana Aggrey
Mpe viti maalumu huyu awepo bungeni nitaanza kufatilia bunge kwa ukaribu sana ukilinganisha na mwanzo
Nampenda sana huyu baba sjui wajumbe walifeli wap
Mh JPM, tafadhali sana turudishie mkuu wetu wa mkoa TABORA
Huyu baba Mungu amuweke miaka mingi.
Agri Mwari umekomaa kisiasa BG-UP mkuu
Saafii mno hii ndo ccm niipendayo na Tanzania niipendayo... Jpm oyeee
Safi sana tena sana
Mzee bado yupo fit sana angekuja dar akawa mkuu wa mkoa
Mnooooo
Yes
🤣🤣🤣🤣🤣 Watu kama mzee mwanri ni wachache..yan he is serious ila anachekesha
Huyu mzee kama comedy ila point sana anaongea
Mzee mwaniri yupo vz
Sukuma nje chadema
Huyu ni moja waviongoz bora... namqubali.. san...
Halafu anakuwaga serious sana hachekicheki ovyooo akicheka tu Watu hoi Nampenda sana mzee huyu
Jamani mzee wa Toronto sukuma ndani wajikune waone
hahaha mzee jembe
Ww kiboko mkuu
The new president should see into this man's political maturity and consider him along HER.
Raisi john pombe magufuli mpatie tena Mwanri kazi.
Mfano wa kuigwa, mi huwaga nakukubali sana..
Magufuri naomba umpe wizara ya michezo naomba
Safi sana mwinjilisti
Huyo MZEE wizara inayomfaa ni tamisemi na jafo awe katibu Mkuu jafo achukue nafasi ya waitara mambo yatakuwa safi
@@simongalahenga6858
Kweli kaka yani waitara hamna kitu ...kwa huyu mzee tutaendelea kuongeza siku kwa kucheka na furaha.
Apewe wizara ya ujenzi
Nakuombea upewe ukuu Mkoa Wa Kilimanjaro tena
Haiwezekani
jamani uyu baba apewe uongozi yupo vizuri
hodari mkuu
Kwa kwel hata mim namuomba rais wetu asimsahau huyu baba!!!! TUNAMPENDA SANA RAIS WETU NA HUYU AGREY MWANRI.
Bro, Mwanri mimi na wanao huku tunakuombea
Jamaaa afungue tu kanisaa🤣🤣🤣🤣
Askofu wa ccm 😂😂😂🤣haki ya mungu huyu mzee ajielewa mbaya sana...majaliwa kaeni chini na rais magufuli mumueke pahali
Mkuu wa mkoa dsm
We ni mtumishi wa MUNGU
Mzee mimi najua 2 wewe lazima uwe waziri
Sukuma ndani
Jaman siwezi kusikiliza hotuba za huyu baba bila kucheka😂😂
😂😂i like you
Niliwahi kwenda ofisini kwake..2015....ni mkarimu na hana dharau, ni mtu wa watu kama yanavyoonekana hapo, hana kiburi cha madaraka!!
Mungu azidi kukutangulia baba
Mukuuu unafaaaa sana
Huyu baba 😀😀😀mungu amuweke,,tuti tuti ni nini?
tumekums toronto
Mchungaji wangu huyo
Oyoooo oyooooo
Huyu jamaaa hatar sana yupo vizru
Oooh sukuma ndani tunakupenda Sana kweli rais akupe nafasi ututumikie tena
Nini maana ya ngome na ujue uki inyima ccm jimbo moja yenyewe inachukua selikari ujaikomoa
Mzee njoo na huku Kigoma kuna janjajanja huku.
Mwinr asiachwe jaman
Huyo ndiye Mwanri.Alitaka kukatwa pangs,.lakini Ccm ndiyo mtoto yake halisi.mrudisheni kwenye uhai wa utumishi bado zimo Huyo.
Huyo ni mwanasiasa Jembe
kwa stahili chadema ya kuvizia kama fisi mfupa udondoke waokote imakula kwao magufuri anatisha
Umezngua, aggrey anapendwa na watu wote
Mzeee anafaa kuwa mwnjilist
Ni muumini wa injili
Rais john pombe magufuli mpatie tena Mwanri kazi.
Yaani wazee wanatumia siasa kujiajiri vijana mmelala
😃😃😃😃😃😃👏👏👏👏👏👏👏
Huyu mzee tunamhitaji
Mzee wetu umekunywa maji ya ccm skulaumu
Lakini tusiwafanye wananchi madaraja ya kufikia ndoto zenu hii ni dhambi mkubwa.watu mnaongea kama chiriku mpate kura baada ya hapo wananchi hawatambuliwi.haya ni maisha tu dunia tunapita
Simba na mtibwa
Mwanri hawezi kuwa mkuu wa mkoa tena ameshastaafu
kwanini usiwe mchungaji wewe
Atasaidiana na Mchungaji mwenzake Gwajima. Aje Kawe ampigie debe.
Mwanri Jembe
Loloo lelee ahaaa
Duuh watu wamejaaaaaa, hakuna hata pa kukanyaga
Weeeeh unaona kiongozi wa sukuma ndani anasema jpm kisha ww upoteze kura yako kwa uzembe haki tutasukuma ndani ww na familia yako kisha tutachajua huko huyu anafaa ama hafai ...... CCM HOYEEEE
Hahaha kwa maneno mwandree yuko vizuri sana ila matendo ndani ya jimbo 0
NABII WA KUSHI ++Andrew Mwambi Basi Sasa uwe Muhubiri mbona NAONA Kama utakuwa na upsko?
MH, RAIS MAGUFULI WA 2025 NK, KAMA HUTOJALI MWANRI NA MAKONDA USIWAACHE NJE YA ULINGO! HAYA NI MAJEMBE!! MAGUFULI HOYEEE.MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU MBARIKI RAIS WETU JOHN POMBE MAGUFULI WA 2020 - 2025 NA LUTITU.
Jifanye unajikunaa
Mwanry saaafi