HOTUBA YA RAIS RUTO AKIHUTUBIA KENYA, WANAJESHI KUPAMBANA NA WAANDAMANAJI, WAHALIFU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 чер 2024
  • Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
    Ikiwa ni wiki ya pili tangu maandamano ya Gen Z ya kupinga muswada wa sheria ya fedha yaanze, Rais wa Kenya, William Ruto amesema kwa sasa anaangalia zaidi usalama wa Wakenya hivyo ameliagiza Jeshi la Ulinzi (KDF) kuingilia kati katika kutuliza amani.
    Kauli ya Rais Ruto aliyoitoa usiku huu akilihutubia Taifa la Kenya inashindilia msumari katika kile alichokisema awali Waziri wa Ulinzi wa nchi hiyo, Aden Duale.
    “Jeshi la Ulinzi (KDF) tumeliagiza kuingilia kati na kuwasaidia polisi katika kutuliza amani wakati huu wa dharura,”amesema Duale.
    Akihutubia Taifa hilo leo usiku Rais Ruto amesema: “Nimeongeza vikosi vya usalama ili kukabiliana na viashiria vinavyohatarisha amani ya nchi yetu.”

КОМЕНТАРІ • 20

  • @IvanSaid-ef8tb
    @IvanSaid-ef8tb 3 дні тому +2

    Africa itabadilika baada ya miaka 1000 not today not tomorrow

    • @phylisboat6726
      @phylisboat6726 2 дні тому

      Not Kenya, Kenyans we know our rights!! The first sentence of our constitution states 'all sovereign power belongs to the people!'

  • @user-wi8og3sv4j
    @user-wi8og3sv4j 2 дні тому +1

    Wamarekani washakuloga uache kujipendekeza kwa manyang'au

  • @salimsalim-ut4jk
    @salimsalim-ut4jk 3 дні тому +1

    Kiongozi anapanda v8 lkn hatumii muda wake kufikiri jinsi ya kutumia raslimali zilizopo kuendesha nchi na hpo ndo penye kipimo cha uongoz wa mtu

  • @saidramadhan71
    @saidramadhan71 2 дні тому

    Waalike kabisa wanajeshi nauwaalike malangapi nawakati pia walikuwenlmo wamevaa nguo za j u

  • @saidramadhan71
    @saidramadhan71 2 дні тому

    Wewe bado unajifanya unahasira utajua hujui

  • @IvanSaid-ef8tb
    @IvanSaid-ef8tb 3 дні тому

    Africa changes not today not tomorrow

  • @allyomary2271
    @allyomary2271 3 дні тому

    Africa bado tunakazi kubwa sana yakuchagua viongozi watakao kuwa na maamuzi sahihi ya nchi zetu wengi tulonao wako kama maajenti wa nchi zilizoendelea wanakopa wanakuja kuleta mzigo mkubwa kwa wananchi wao

  • @aisha_mohammed5825
    @aisha_mohammed5825 День тому

    Uyu kwli ni ruto ama nashuku ruto wa ukwli alirogwa n wamarekani

  • @IvanSaid-ef8tb
    @IvanSaid-ef8tb 3 дні тому

    Wenzetu wanaweka nguvu ya kushindana na taifa kwa taifa cc tunaweka nguvu kushindana na wananchi yani unanoa kisu ujichinje mwenyewe

  • @abdulsuccessmahussein2563
    @abdulsuccessmahussein2563 3 дні тому

    Sasa si aanze kusalimia ndipo aendelee na msimamo

  • @jonasjonas8111
    @jonasjonas8111 3 дні тому

    The problem with kenyans' politics is, most of of ex- gvt leaders do not like Ruto to be in power from day one in the office, so they have been tryng as much much as they can to overthrow him out of the office at any cost. So if Ruto wont be strong enough would have already resign. Bt my opinion is that Ruto should first implement of what people demand current so as to resolve the existing problem while trying to look the way foward on the alternative source of raising national income.I knw he is in the bitter office today bt he must be strong

  • @user-wi8og3sv4j
    @user-wi8og3sv4j 2 дні тому

    Ruto jiuzulu tu ishaenda kuchukuw kikoi marekanhata wanahesabu hawakupend unataka wapeleke Haiti na Yemeni kwa maslahi gani ya Kenya au Africa?

  • @salimsalim-ut4jk
    @salimsalim-ut4jk 3 дні тому

    Kama viongozi wangalikuwa wanapambana na Hali za wananchi waliowachagua au kusaidia kutwaa madarak bas haya yote yasingalitokea na huko mbeleni bara africa likumbw na changamoto kubwa sana kwa kua Kadri siku zinavyosonga miji inakuwa na vijana wengi ambao hawana kazi maalum za kufany Sasa hawa ni rahis kuwashawishi kufanya tukio lolote. Uongozi sio kuongea tu nikufikiri sana na kutengeneza mazingira bora watu wakajituma kupata mahitaji

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 2 дні тому

    wanatakiwa wampige risasi tu

  • @EliaoleshengEa-pv8fu
    @EliaoleshengEa-pv8fu 3 дні тому

    Hi

  • @helenarhobi1250
    @helenarhobi1250 3 дні тому

    Huyo bwege ni moumbavu nini? Yaani anaalika jeshi kupambana na waandamanaji? Kwanini asiwasikilize? Sisi hatuko tayari kupokea wakimbizi mbwa wewe, kura za Raila uliiba za nini? Wacha laana ikutafune mizi we!

  • @mwananyamalaz4427
    @mwananyamalaz4427 3 дні тому

    They not criminal Ruto u are criminal they citizens of Kenya

  • @saimongilala8938
    @saimongilala8938 3 дні тому

    Uchia ngaz watu wengine wataware huna rorote mshilika wa mashoga