MZOZO MKALI: BASHE, MDEE NA WANASHERIA WATOLEWA NJE YA BUNGE NA SPIKA, MAREKEBISHO YA KIFUNGU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 вер 2024
  • #UhondoTV #Uhondo

КОМЕНТАРІ • 114

  • @majidimussa8678
    @majidimussa8678 3 місяці тому +3

    mpina💪💪💪

  • @GabrielSky64
    @GabrielSky64 3 місяці тому +6

    Mpina oyeeeeeh

  • @PauloNnko-g4x
    @PauloNnko-g4x 3 місяці тому +4

    Wanajifanya wanajadili ili tuone kama wanafanya kazi kubwa kumbe ni danganya toto hakuna mkazo wowote

  • @deniccgabriel6153
    @deniccgabriel6153 3 місяці тому +3

    IPO siku na sisitutawakimbiza hapo bungeni mmeona wenzenu Kenya walivyo fanya nyie tuchezeeni

  • @Dfamilysingers
    @Dfamilysingers 3 місяці тому +5

    Ivi kwanini kistumike kiswahili kwenye kuandika vitu ya msingi kama ivyo da kweli mkoloni katuloga

  • @SelemanMhana-ol7tk
    @SelemanMhana-ol7tk 3 місяці тому +1

    Mbona wabunge kama mmepoa sana nahisi mmeanza kumkumbuka Mh.Mpina alikuwa yuko sahihi kufuatilia mambo ya kitaifa kwa hapo Mpina angelipika na taarifa (Mpina-Think tank ya Taifa)

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 3 місяці тому +4

    Huyo mwanasheria ingekuwa enzi za bunge la kina Tundu Lisu, Zito, Silaa jasho lingemtoka😅

    • @hassanchiwambo687
      @hassanchiwambo687 3 місяці тому

      Wakubali kwanza waziri wa kilimo alivunja sheria na kusema uongo bungeni. Mmembeba tu kwa heshima ya samia.

    • @sylivanusbernard3325
      @sylivanusbernard3325 3 місяці тому

      Angeomba kustaafu

    • @jackmabirangacharles9398
      @jackmabirangacharles9398 3 місяці тому

      Nakuunga Mkono Akili yake ni sawa na Ruto tu huyu Mwanasheria wetu

    • @illomowerner7690
      @illomowerner7690 3 місяці тому

      Kweli kabisa, bunge kipofu, bunge kiziwi

  • @fadhilmbulugwa7322
    @fadhilmbulugwa7322 3 місяці тому +1

    Mwanasheria mkuu wa serikal mbona anajibu kwa kubahatisha

  • @abdallahhuseinkabale7534
    @abdallahhuseinkabale7534 3 місяці тому

    Bonge la spika ..mola akulinde watu wanafundishwa mpka waelewe

  • @mrimaniyamtu
    @mrimaniyamtu 3 місяці тому

    Mbona maneno mengine munayabana inamaana munatuongopea au

  • @paulmteki8196
    @paulmteki8196 3 місяці тому

    Mheshimiwa spika shida ya Mpina ninani anayeaagiza na anauwezo gani hapo ndio rushwa imetembea Bashe atujibu kwa hilo. Numegundua kumbe mnaelewa ila mnatufanya mapumbavu sisi wananchi

    • @illomowerner7690
      @illomowerner7690 3 місяці тому

      Sahizi hata wale Mburula walioongozwa na mihemuko kumshambulia na kumpa adhabu Mpina ndio wanaiba umuhimu wake ...shame on our parliament

  • @jeremiahmagau8623
    @jeremiahmagau8623 3 місяці тому

    Duuuuh! AG khaaaa!

  • @mnoor20051
    @mnoor20051 3 місяці тому +1

    HIYO SUKARI YA BUFFER STOCK, ITANUNULIWA WAPI, KWA NANI, NA KWA BEI GANI. JEE IWAPO ITANUNULIWA KWENYE VIWANDA VYA NCHINI ITAKUWA SUKARI YA ZIADA AMABYO HAITA LETA UPUNGUFU SOKONI. JEE HAPA HAPATAKUWA NA UFISADI NA UPENDEDELEO, NA UNUNUZI UTAKUWA WA USHIBDANI KATI YA VIWANDA

  • @josephineseruhere-cv4wc
    @josephineseruhere-cv4wc 3 місяці тому

    Hongera Spika wa Bunge Big up❤

    • @NdageKitahama
      @NdageKitahama 3 місяці тому

      Mpina yupo sahihi kaonewa kwasababu kasema ukweli

  • @MonicaBeni
    @MonicaBeni 3 місяці тому

    Me sijaelewa kwani ili ni Bunge la Ulaya au Tanzania? Sasa kizungu kingi cha nn ongeeni Kiswahili chetu Kwene kilakitu woote tuelewe mbona mkija kutudai Kodi amuongei kingeleza chenu

  • @tanzaniacarschannel6975
    @tanzaniacarschannel6975 3 місяці тому

    Context matters

  • @illomowerner7690
    @illomowerner7690 3 місяці тому

    Hivi huyu Bashe hawezi KUONGEA kiswahili mahiri mpaka aongee kiingereza?
    Watanzania wote wanaujua kiingereza?
    Kama hawezi kuongea lugha yetu basi aachishwe, lakini pia Kwa nini bajeti ziwasilishwe kwa kiingereza....? Kwa nini zisiandaliwe mbili?
    Ya kiswahili na kiingereza for international matters and recognition?.

  • @MmbagaMmbaga
    @MmbagaMmbaga 3 місяці тому

    Mnago,mbna tu kila siku eternet hakuna

  • @fadhilmbulugwa7322
    @fadhilmbulugwa7322 3 місяці тому

    Mwanasheria mkuu wa serikal mh!

  • @bakarimahenge
    @bakarimahenge 3 місяці тому

    mpina hongera wanafichiana madudu yawo hamna chochote hapo

  • @Lundege_Hips
    @Lundege_Hips 3 місяці тому +1

    Me Wananikera sana Bunge kutumia kiingereza Luga iliokuja na ndege

  • @GodfreyMkolokoti
    @GodfreyMkolokoti 3 місяці тому

    Mwacheria

  • @JumaAbdalla-xm9pb
    @JumaAbdalla-xm9pb 3 місяці тому

    Mzimu wa mpina unawaumbua hawa sasa wanatapatapa tu vilaza hawa

  • @Mapenzi2635
    @Mapenzi2635 3 місяці тому

    Hivi kusoma kunafaidia nini mtu akikosa maarifa? Naona aibu sana kuwa tuna vyuo vikuu.

    • @KelvinConorard
      @KelvinConorard 3 місяці тому

      Sisi tunaona aibu kuwa na watu wanaoendekeza mapenzi

  • @josephmahando493
    @josephmahando493 3 місяці тому +8

    Yani huyo mwanasheria mkuu wa serikali, ndo simwelewagi kabisa, nadhani ni vyeo vya kupeana. Spika uko vizuri kabisa ila udhaifu wako ni pale unapo gundua tatizo, unashindwa kutoa maamuzi ya uwajibishwaji kwa kosa uliloligundua.

  • @evansdecaprio8196
    @evansdecaprio8196 3 місяці тому +10

    Ukitaka kujua bunge letu Lina vilaza wengi hapa hutasikia meza kupigwa maana hakuna wanachokielewa zaidi ya kutoa macho tu

    • @sylivanusbernard3325
      @sylivanusbernard3325 3 місяці тому

      Chief Umenifurahisha Sana japo nina Imani saana na kile ulichokisema

    • @gallusmbaga5522
      @gallusmbaga5522 3 місяці тому

      Kwani kupiga makofi ni lazima hoja iwe nzuri, si Hata utumbo watu wanapiga makofi.

    • @julietngassa2353
      @julietngassa2353 3 місяці тому

      😂😂😂

  • @ErnestLutubija-wp5tq
    @ErnestLutubija-wp5tq 3 місяці тому +7

    kwani kunaubaya gani bungeni kikitumika Kiswahili Tu kama lugha ya taifa maana kuchanganya lugha hivii mh

  • @paulmteki8196
    @paulmteki8196 3 місяці тому +1

    Hivi shule mmeenda nyinyi tu serikali tunaomba Bashe urudishe ela yetu ya zidio la sukari tuliyonunua 6000 kwa kilo sisi wananchi. Na Mpina harudi bungeni ameonewa

  • @samwelshepa8443
    @samwelshepa8443 3 місяці тому +3

    Hapa ninachoona wanajaribu kuweka viraka vya kuendeleza kuficha madudu ambayo yameshatokea. Mimi ningeshauri serikali wangekuwa wanakubali kukosolewa wanapoona wamekosa wakomba msamaha badala ya kufukuza nje ya Bunge watu wanowkosoa. Yaani ndio wanakumbuka kufanya maekebisho sasa wakati walishaovertake procedure!!!

  • @jimonmwakalebela9470
    @jimonmwakalebela9470 3 місяці тому +2

    Kosa la mpina liko wapi

  • @JaphetJairos-n4l
    @JaphetJairos-n4l 3 місяці тому +1

    Kama ni ivo mpina luhaga alikuwa sahihi sana

  • @AndrewShiratu
    @AndrewShiratu 3 місяці тому +1

    Tunaomba mpina mmuombe msamaha.maana hajawakosea bali mmemuonea tu

  • @jumamayenga7449
    @jumamayenga7449 3 місяці тому +1

    Ccm nnyie ni mmetuzoea twende kazi

  • @drp3721
    @drp3721 3 місяці тому +3

    Mh. Spika unapata kazi ya ziada, kazi ambayo Mwanasheria mkuu angekwisha kufanya.

  • @mikemutabuzi3665
    @mikemutabuzi3665 3 місяці тому

    Ni bunge linazima sauti? ama ndo hii channel? mpina jitayarishe kushtaki bunge lote wakulipe mahela😅😅😅😅😅

  • @Nedjadist
    @Nedjadist 3 місяці тому +1

    Rubbish. Watu wazima badala ya kuzungumzia lini tunaondoa umaskini wa kutisha Tanzania....

  • @kitosio
    @kitosio 3 місяці тому +2

    Mh. Spika Ni Hodari Sana Sana. Sasa ivi Bungu letu Lina Manufaa makubwa zaidi.

  • @ring-tone278
    @ring-tone278 3 місяці тому +2

    .
    Ruto has lost control and is not serving Kenyans anymore but foreign Interests and himself. A failed Presidency.

  • @jumamaganga5064
    @jumamaganga5064 2 місяці тому

    Kumbe tukifikiaga kwenye mambo ya sheria ndio hakunaga taarifa au mm ndio sina D mbili😢😢

  • @feiswalsalim2117
    @feiswalsalim2117 2 місяці тому

    mdio maana badodo niko hapoa nigekuwa nikekuja huko Tz nymbaa nagojaa maombi kuwepo kwa kazi sababu compuni yetu ya sukari hawajanibu juu ilee faida wanaypleta kwetu 500000 milioni hamsini kwa mwaka sip sahiho

  • @feiswalsalim2117
    @feiswalsalim2117 2 місяці тому

    mweheshimowa punguza uhabaa hukuwepo kwa sukari bei ya choni mwsnzo tu kabla yakuwepo kwa bei kuwa juu

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 3 місяці тому +2

    Mwana sheria mkuu Kuna Madudu anaficha

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 3 місяці тому +1

    Mbona mnazimia spika maiki vipi tena

  • @petermasanilo732
    @petermasanilo732 3 місяці тому

    Kumbee mpina Yuko sahihi hata ninyi mmegundua makosa ya Bashe

  • @floraflora5717
    @floraflora5717 2 місяці тому

    😅. Aliye takiwa ajibu maswli akiwa na pingu mikononi mynacheka naye yiyi

  • @hajikhamis-od1no
    @hajikhamis-od1no 2 місяці тому

    Yani always namkubali sanaaa halima mdee

  • @aishaalbalushaishabalush8291
    @aishaalbalushaishabalush8291 3 місяці тому

    sasa kizungu cha nini na wakati bunge lakitanzania na kiswahili na wanao sikiliza wengi was watu wavijijini hawajui kiswahili si muongee lugha ya taifa kwenye mambo muhimu kama haya yanayohusu raiya wote waliosoma na wasio soma

  • @richardkayuguyugumasalu2594
    @richardkayuguyugumasalu2594 3 місяці тому

    Hawa nao cku moja tuwatimuwe na ubwabwa wao tuupige

  • @MmbagaMmbaga
    @MmbagaMmbaga 3 місяці тому +1

    Wasome kwa kiswahili au kisukuma

  • @mfwimiekayuki8692
    @mfwimiekayuki8692 3 місяці тому +2

    Mwanasheria wetu mmmh.Hana uhakika naanacjokifanya

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 3 місяці тому

      Si ndio huyo aliyewalaumu watu kujisomba Kwa Makonda,,,

  • @sadikidaudi460
    @sadikidaudi460 3 місяці тому

    Halima mdee 👊

  • @Abdiallihassan
    @Abdiallihassan 3 місяці тому +1

    Ruto must. Stay

  • @MonicaBeni
    @MonicaBeni 3 місяці тому

    Hili ni Bunge LA wa Bunge. Cyo Bunge LA Watanzania

  • @fadhiliabasi6585
    @fadhiliabasi6585 3 місяці тому +1

    Akifa atasifiwa wala Asijali

  • @Stevenmwanisawa-dt5vb
    @Stevenmwanisawa-dt5vb 3 місяці тому

    Mapoyoyo ni wengi mbona wamemlinda Fulani.

  • @alisalum6733
    @alisalum6733 3 місяці тому +2

    Mama Tanzania❤

  • @esuthoby7865
    @esuthoby7865 3 місяці тому

    Hivi hili bunge haliwezi kuona kuwa ni ujinga mkubwa kutunga sheria za nchi kwa kizungu? Nchi gani itakuheshimu kama hutmii identity yako wewe mwenyewe.yaani bado mko colonised?hadi leo hamuwatendei haki watanzania walio wengi na lugha yao.mnachekwa sana na wakoloni wenu,bado hamjajitawala.poleni sana.

  • @africaone4306
    @africaone4306 3 місяці тому

    Kuna wabunge wao wamejiandaa kupiga makofi tu.. hata hawajisumbui kusoma na kuchangia.

  • @NtuzuNtuzu
    @NtuzuNtuzu 3 місяці тому

    kiswahili nichakuombea kulatu nja

    • @illomowerner7690
      @illomowerner7690 3 місяці тому

      Waje watumie kiingereza kwenye uchaguzi ✍️

  • @MmbagaMmbaga
    @MmbagaMmbaga 3 місяці тому

    Tatizo ni elimu wote hapo mmesoma baba na mama,wanakula ugali,na maharage mkikutana na fundi gereju tu,wote ni zero

  • @josephineseruhere-cv4wc
    @josephineseruhere-cv4wc 3 місяці тому

    Yu tubu mnapotosha huo siyo mzozo Language kingerzawni kigumu na kila mmja ana uelewa na ufafahamu wake so they was jus difining it was in form of indigestion 😂😂❤

  • @JOSEPHPETERMACHOTA
    @JOSEPHPETERMACHOTA 3 місяці тому +6

    Ukweli mnaomsifia tulia mmechanganyikiwa ni mtu anaongoza bungee kinafiki sana amekalia upande wa serikali so bunge la wananchi

  • @salumgharib7687
    @salumgharib7687 3 місяці тому

    Mh : tunaomba tuongelee kwa lugha yetu ya kiswshili ni mzuri sana tujivunie lunga. yetu. 5:55

  • @Optionxll_Playz1
    @Optionxll_Playz1 3 місяці тому

    Ni kwa nini sheria zetu haziandikwi kwa Kiswahili?

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 3 місяці тому

    Hahahaaa mwana sheria mkuu. Pole.

  • @farajiharuna5945
    @farajiharuna5945 3 місяці тому

    Mbona mnakata kata jamaani

  • @ahmedissa7882
    @ahmedissa7882 3 місяці тому

    Nice one muheshimiwa Spika

  • @dassustephen731
    @dassustephen731 3 місяці тому

    Boring Bunge session focussing very boring issues

  • @zuwenaenock2073
    @zuwenaenock2073 3 місяці тому

    Spika wa bunge mh tulia dada yangu kazi unaifanya vzr sana ila kwanini unakuwa na kaupole furani unapogundua kuna kosa hulichukuliii mamzi

  • @adow9musictz931
    @adow9musictz931 3 місяці тому

    Forever tz i love u tutafika tu

  • @EmanuelAndrew-nq5oc
    @EmanuelAndrew-nq5oc 3 місяці тому

    Mm nime notice nyakara😂😂

  • @HaryPoter-zw7vr
    @HaryPoter-zw7vr 3 місяці тому

    SASA mmemfungia Mpina Kwa Nini??? Nyinyi wenyewe wabunge amjiridhika😮😮😮😮

  • @Lundege_Hips
    @Lundege_Hips 3 місяці тому

    Leo mitambo yenu imekua ya kipuuzi sauti

  • @KiriaKipara
    @KiriaKipara 3 місяці тому

    Mbona mkatakata

  • @zuwenaenock2073
    @zuwenaenock2073 3 місяці тому

    Na Aida

  • @GodfreyMkolokoti
    @GodfreyMkolokoti 3 місяці тому

    Jamaa huyuuu

  • @johnkitwima6963
    @johnkitwima6963 3 місяці тому

    sauti zinakatakata 😢😢

  • @rkcomercialenterprises3209
    @rkcomercialenterprises3209 3 місяці тому

    Wanawake kuvaa mitandio bungeni ni sahihi kweli?Spika angalia hili swala la kuvaa kiholela.

  • @barakamussa
    @barakamussa 3 місяці тому

    Surely,, keep on DR TULIA Mungu akutangulie katika kulijenga taifa letu

    • @ibrahimtesha2733
      @ibrahimtesha2733 3 місяці тому

      Tulia si ndiye anamlinda Bashe? Na si ndiye alisimsmia wastaafu wapunguziwe mafao ya kustaafu kupitia kikokotoo 1/580 badala ya 1/540, kadirio la umri baada ya kustaafu kuwa 12.5 badala ya 15.5, mkupuo kiduchu 40% badala ya 50% akatunyongelea mbali?

  • @ambokileasheengai1140
    @ambokileasheengai1140 3 місяці тому +1

    KWANI NI MSITUMIE MNATUMIA LUGHA KWA WIZI WENU WENGINE WASIELEWE

  • @kassimukipingu7917
    @kassimukipingu7917 3 місяці тому

    Hivi hii shida ya kukoment hoja you tobe mnaipata kama mimi unatach mpaka unataka kughairi au ni simu yangu au
    Ila nimpongeze speaker wetu anajua sheria ndani nje

  • @bbclondonulimwenguwasoka6126
    @bbclondonulimwenguwasoka6126 3 місяці тому +1

    Spika uko vzr sana aisee

  • @JosephMtaya
    @JosephMtaya 3 місяці тому

    Spika bigap