UST SAID OMARY ASHIRAZY KIBOKO YA BACHU MIAKA 9 NYUMA || MTUME NI BINADAM SI KAMA BINADAM MUHADHARA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 січ 2025

КОМЕНТАРІ •

  • @ayoubmsabila104
    @ayoubmsabila104 Рік тому +6

    Allah akupe afya na umri mrefu inshallah shk Saidi elimu yako ya dini imenitisha sana,unaichambua Qur'an na Hadithi kama ulizaliwa navyo.kweli elimu ni bahari,aidha hata shk bachu Allah ampe afya na elimu.❤ You all kwa ajili ya Dini.

    • @rahmahsaidomar9111
      @rahmahsaidomar9111 Рік тому

      Kama waona ana Elmu basi naskitija kwa umma huu. Vile atuchangania tafsir na kutafsir sivyo. Allah atupe elmu ya bayana. Kama hukueza bainisha haya Allah atuongoze sote.

  • @yarockabdulqadirqadir
    @yarockabdulqadirqadir Рік тому +5

    Asie elewa hapo basi tena huyo tumuombee dua Innalillah wa inna ilaih raajiuun. Sheikh Said Hongera sana

  • @abubakarymaulidy5681
    @abubakarymaulidy5681 Рік тому +6

    Mungu akupe elimu zaidi unahekma nyingi sana weww

  • @MuhdharMuhammad-qv3zl
    @MuhdharMuhammad-qv3zl Рік тому +2

    Shukran Sana ALLAH akupe umri mrefu na Maisha mazuri hapa duniani na Kesho akhera ALLAH Akuingize peponi kabla hujafa shukran sana

  • @abdallahhalifa5860
    @abdallahhalifa5860 Рік тому +2

    Mashallahu kijana umetulia na Allah akuzidishie.Bhachu alijua na ndio mana kiti alikiona Moto waLlahi Faswaha kabisa Allah awajaze Kheyr walimu wake pamoja na Waxazi wako Shukran sana

  • @ZuberKiroboto-ce4zt
    @ZuberKiroboto-ce4zt Рік тому

    Mashaalah shekh said asiekulewa
    Allah ampe uwelewa manake juzi kwenye munakash mawahabi walisema umeifadhishwa apo miaka
    Tisa nyuma kijana chabachu atukijui leo chababaisha watu mitandaon
    Amakwell vizuka awesh

  • @hafswanaaman2911
    @hafswanaaman2911 Рік тому +2

    Mashaallah mashaallah mungu akuhifadhi na kila Shari akupe umri twawili akupe mema duniyani na akheri ❤

  • @hafswanaaman2911
    @hafswanaaman2911 Рік тому +3

    Mashaallah mashaallah mungu akujaaliye Noor Duniyani na Akheri❤

  • @mohamedmasanga9134
    @mohamedmasanga9134 Рік тому +2

    Waislamu wa sasa wavivu kusoma wanapenda kuwa washabiki TU someni waislamu kijana HUYU yupo sawa someni mtamuelewa acheni uvivu

  • @ALiBAba-zz2td
    @ALiBAba-zz2td Рік тому +4

    Mashallah. sheikh Said

  • @AbdallahShariif
    @AbdallahShariif Рік тому +1

    Allah akuzidishie ramya wetu kazi kubwa waifanya wallahy

  • @Aisha-qx7kz
    @Aisha-qx7kz Рік тому +3

    Mashaallah sheikh said Allah akujalie mwisho mwema.....,bachu achana na said huyo ni simba humuwezi kubali acha kiereere na madharau usidharau kondoo kwa manyoya yake

  • @ashamngindo8023
    @ashamngindo8023 Рік тому

    Shekh said mungu akuhifadh yaan anaongea kwa upole na unyenyekevu

  • @rahmahsaidomar9111
    @rahmahsaidomar9111 Рік тому +1

    Hapo pia asema mtume kamuona Allah. SubhanaAllah. Haya sijapata kuyajua. Elimu munazo ila mwapotosha watu. Mkisema Mtume ananufaisha na kudhuru tena wasema tupupitie kwake tukaombe katika kaburi lake AstaghfiruAllah. Yanini kuomba kaburini ilhali Allah yupo hai na hafi. Atatujibu Rasul kashakufa au Allah aliokohai. Hapo sasa ndio mwantukuza kama manaswara wanavyomtukuza Isa ibn maryam. Tahadharini kupotosha watu na haki mwaijua ndank ya mioyo yenu. Siku ya qiyama mutamjibu nini Allah wakati mlijua ukweli na mukapotosha watu. Ukikubali maulid hayako hujapata kasoro. Bado utakua tu Said ila utakua mwenye hekma na mwenye kukubali haqqi.

  • @hassanowgennogenno5740
    @hassanowgennogenno5740 3 місяці тому

    mashaAllah tabarakAllah.jazakallahu kheyr

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv Рік тому +2

    Maa shaa ALLAH 💚💚💚💚💚

  • @jumamohamed4808
    @jumamohamed4808 Рік тому +2

    Mashaallah mashaallah

  • @amudybae4939
    @amudybae4939 Рік тому +1

    Baraka Allahu fiyk
    Washukran

  • @rajabmembe6695
    @rajabmembe6695 Рік тому +2

    SubhanaAllah, hii ni hatari sana

  • @saadihamadi99
    @saadihamadi99 Рік тому +1

    Innaalillahi wainnaa ilayhiraajiun acheni ushabiki,,,sheikh mzima unamwita mwehu subhanallah hata km mna mitazamo tofauti lakn haikupasi kumuita mwehu

    • @kiumbenatural-ii5jb
      @kiumbenatural-ii5jb Рік тому

      Inawezekana akawa mtt wa kharam

    • @JamalAbdallah-m1o
      @JamalAbdallah-m1o Рік тому

      ​@@kiumbenatural-ii5jbkm ww?

    • @kiumbenatural-ii5jb
      @kiumbenatural-ii5jb Рік тому

      @@JamalAbdallah-m1o nyie ndo mnamuona shekh yani dunia imeisha hata wehu ss watakua mashekh

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 Рік тому

      @@kiumbenatural-ii5jb KAMA BACHU ALIVYO JIKOLEA AKARUDI NYUMBANI KUMUULIZA WALII PAKA AENDELEE KUMFUNZA DINI 🤣🤣🤣. MAWAHABI WALII WENU PAKA MASHALLAH 😂😂😂

    • @kiumbenatural-ii5jb
      @kiumbenatural-ii5jb Рік тому +1

      @@hilalkhalfan1452 yule bachu hana akili kabisa yeye kawa nana eti amuulize paka alafu paka amjibu?

  • @SheriffAhadlly
    @SheriffAhadlly Рік тому

    Mashallah utapata noor ya mtume

  • @MizaniOnlinetv
    @MizaniOnlinetv Рік тому +2

    Ma Shaa Allahu Tabaarakallah.

  • @JamalAbdallah-m1o
    @JamalAbdallah-m1o Рік тому +2

    Maashaallah

  • @azzahrau
    @azzahrau Рік тому +2

    MashaLLAH❤

  • @hafswaabdulrahman198
    @hafswaabdulrahman198 Рік тому +1

    ❤MashaAllah

  • @kiumbenatural-ii5jb
    @kiumbenatural-ii5jb Рік тому +5

    Iyo elmu kwahapa tz niliisikia kigoma hayo maji mazito raha wallah Jalla jalalu wahabii wamekwama

  • @IKOLAPORT
    @IKOLAPORT Рік тому +4

    Sio lazma wote muelewe, inatosha tukimuelewa wachache bakini na chuki zenu kwa mtume wetu

  • @Mariam99-ld4gw
    @Mariam99-ld4gw Рік тому +3

    Simba ni simbaaa tu ❤❤❤❤❤

  • @kiumbenatural-ii5jb
    @kiumbenatural-ii5jb Рік тому +3

    Wallah raha ukisikiliza wasomi hutamani hata kula

  • @mohamedswalehe4442
    @mohamedswalehe4442 Рік тому

    Nyota njema huonekana asubuhi Allah atuwekee

  • @AlhajiShabani-rq9vm
    @AlhajiShabani-rq9vm Рік тому +2

    Ikiwa lugha hamjui mnakosolewa nakujaza sekna vip mtajua Baraza nnje

  • @mohdyfundi4667
    @mohdyfundi4667 Рік тому +1

    Haya we baki na hilo kaa litakupeleka peponi,ikiwa swahaba wa mtume alimpenda mtume mpaka usiku anamka kwa kumhudumia lakini alipo uliza ili awe nae peponi mtume alimuambia ?وقد رواه ابن جرير ، عن ابن حميد ، عن جرير ، عن عطاء ، عن الشعبي ، مرسلا . وثبت في صحيح مسلم من حديث هقل بن زياد ، عن الأوزاعي ، عن يحيى بن أبي كثير عن أبي سلمة بن عبد الرحمن ، عن ربيعة بن كعب الأسلمي أنه قال : كنت أبيت عند النبي صلى الله عليه وسلم فأتيته بوضوئه وحاجته ، فقال لي : " سل " . فقلت : يا رسول الله ، أسألك مرافقتك في الجنة . فقال : " أو غير ذلك ؟ " قلت : هو ذاك . قال : " فأعني على نفسك بكثرة السجود " .

  • @abubakarymaulidy5681
    @abubakarymaulidy5681 Рік тому +3

    Kama ni miaka 9 nyuma bas alisha bobea katika elimu sku nyingi

  • @nassormickdadynaammasheikh9541

    Subhaanallah nataman nije huko mombasa mabrui ila inshaallah Allah atanileta

  • @mohamedmasanga9134
    @mohamedmasanga9134 Рік тому

    Maadui wa DINI wakishafaulu kumuondolea heshima mtume SAW watawaondolea masheikh kisha wanamalizia muislamu kwa muislamu na lengo lao litakuwa limetimia na kazi yao inafanywa kwa umakini na ELIMU na kuna waislamu pengine wanajua au hawajui kuwa wanatumika

  • @hamadomarmwalau1841
    @hamadomarmwalau1841 Рік тому

    Mfudishe huyo Bachu hata pia kumchangia pia tutato in sha ALLAH

  • @Msalamsaidabdalla
    @Msalamsaidabdalla Рік тому +2

    Shida ya mawahabi hawataki kukubali kua hawajui lugha

  • @MohammedShehe-x8p
    @MohammedShehe-x8p Рік тому +2

    Kila wanaosimama awa watu wa twarika hawazivunji hoja alizotoa bachu wao ni kuzunguka na Kiarabu wakati wao ni wabantu si mashekhe wao wala wanafunzi ni weupe katika elimu ya kisheriaaa

    • @khalifaahmed5232
      @khalifaahmed5232 Рік тому

      Ingia kwa al-isan TV andika hoja yyte Kisha mbele weka sheikh aboud skiliza tuu kwa makini dalili kanukuu kwa wanavyuoni Gani Kisha Wape hukmu wanavyuoni walosema ayo ikiwa nawao ni washirikina haya pia nisawa Allah atahukumu

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 Рік тому

      @@khalifaahmed5232 HAPANA UMEKOSEA, HUYU MUWAHABI AKAMUULIZE WALII 🐆 ALIOMSOMESHA SHEKH WAO MAWAHABI (BACHU) BAADA YA KUJIKOJOLEA NA KUKIMBIA MJADALA MAMBRUI 🤣🤣🤣. HAWA MAWAHABI WALII PAKA SKUIZI NDIO WANAO MUULIZA, SASA MTU WA NINI TENA 😂

  • @hilalkhalfan1452
    @hilalkhalfan1452 Рік тому +6

    Kishasoma anachokisema, tofauti na Bachu anatoa fatuwa ambayo hajaisoma wala haijui

    • @akambi482
      @akambi482 Рік тому

      Ndo maana wajinga wasiosoma ndo wanamuelewa

    • @AmaniHepautwa
      @AmaniHepautwa Рік тому

      Upumbavu mtupu kasoma wapi huyu

    • @iddimohamed254
      @iddimohamed254 Рік тому +1

      Yani mpaka umtaje bachu ndio usikie raha ukweli ushajulikana mtakoma....

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 Рік тому

      @@AmaniHepautwa kasoma alipomtoa Bachu mikojo dwiiiiiiiiii😂😂😂

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 Рік тому

      @@iddimohamed254 mpaka kusalimu amri na kukimbia, ujue haqqi ipo wazi.

  • @IKOLAPORT
    @IKOLAPORT Рік тому +3

    Kufeni kwa chuki zenu, wallah mtume akitajwa kama hivi raha sana, wanao umia wafe tu kwa chuki zao au waende wakatushtaki wanapo taka

  • @fay9687
    @fay9687 Рік тому +1

    Kasome hamna tofauti na makafari kusema yesu ni mungu looooo

    • @fauznuhu9981
      @fauznuhu9981 Рік тому

      Wewe ni mbukuwani kweli man husikie kweli hufaee

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 Рік тому

      HAPANA HAJASEMA YESU MUNGU, KAMA HUAMINI WEYE MUWAHABI BASI KAUMUULIZE WALII 🐆 ALIOMFUNZA SHEKH WENU MAWAHABI (BACHU) BAADA YA KUJIKOJOLEA NA KUKIMBIA MJADALA MAMBRUI 🤣🤣🤣

  • @kijitamfyomi5598
    @kijitamfyomi5598 Рік тому

    Hii ilikua mwaka gani mbona hapa sheikh said alikua mdogo sana ama ni video tu

  • @AhmedKoji-y2m
    @AhmedKoji-y2m 9 місяців тому

    Ungejibu swali nyinyi chezeni mauno basi na mlooo😂😂

  • @rahmahsaidomar9111
    @rahmahsaidomar9111 Рік тому +1

    Astaghfiru Allah. Hata sura tul baqara waangusha tafsir vibaya. Wewe Allah akuongoze kweli. Mtume sio kama sisi laakin usimpe sifa ukamweka karibu na Allah. Rasul ni kipenzi wa Allah lakini unavyooneshe utukufu sivyo.

  • @kiumbenatural-ii5jb
    @kiumbenatural-ii5jb Рік тому +3

    Yule mwehu amjui mtume mtume amekwenda miraji kwa usiku mmoja kwa mapenzi ya mungu mambo mazito yalikua itakua wanyama kujua mimba ya mtume? Wewe bachu unaongoza wehu

    • @MohammadJumah-qk2xc
      @MohammadJumah-qk2xc Рік тому +1

      Imethibiti hiyo ktk quruan suuratu israail kusafiriswa ktk suuratu israail , kwa hiyo shekhe wetu tupe dalil ya wanyama samaki walitambua kwa kuingia mimba kiongiz wetu kwani bila hivyo sis huku wafuas wako hatujakaa sawa ktk hoja hii

  • @MohammadJumah-qk2xc
    @MohammadJumah-qk2xc Рік тому

    Abtadiu l-imlaaa bismidhaati l-aaliyya twaitikia swalla llaahu alayhi wasallam tafsiri yake hapa anaekusudiwa hapa ni allaah au mtume?

    • @yarockabdulqadirqadir
      @yarockabdulqadirqadir Рік тому +1

      Naanza kumuelezea mtume na familia yke kwajina la mwenyezimungu... hiyo ndo maana yke sheikh

    • @MohammadJumah-qk2xc
      @MohammadJumah-qk2xc Рік тому

      @@yarockabdulqadirqadir kwa nin tusisem subhaana llaah

  • @MohammedShehe-x8p
    @MohammedShehe-x8p Рік тому +2

    Bachu hakukosea alipatia isipokuwa ni zile fujo zao ila ukifatilia unakuta alivyosema ni sawa ((illa tahaqaqa swidqahuu kapatia, sasa cjui uyu said kashinda kwa lipi wakati hoja hajazijibuu kuweni waelewa na muitake haqq

  • @MuhammedBalkiss
    @MuhammedBalkiss Рік тому +1

    Subhanallah astghafirullah aladhim

  • @mohdhilaly7900
    @mohdhilaly7900 Рік тому

    Sheh said wewe wa moto kiasi bachu aende mbio hakuwezi hata uamshwe usingizini

  • @MohammedShehe-x8p
    @MohammedShehe-x8p Рік тому +1

    Ata watengeneze video yoyote hawawezi kuthibitisha kama maulidi yanafaa mana kuna sheria katika ibada ikiangaliwa haijafunzwa na Mtume wala maswahaba apo ndo wanachoka na kubakia kuwazuga wafuasi wao

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 Рік тому

      AKIWEZA WALII 🐆 TU ALIOMSOMESHA BACHU IMETOSHA🤣🤣🤣

  • @hawasheha8520
    @hawasheha8520 Рік тому

    tufundishe kuhusu maulid ni sahihi bachu ndo ashashindwa tuko na ww kesho akhera tutakuandama tutolee ushahidi ndan ya qurani na sunn

  • @mohdhilaly7900
    @mohdhilaly7900 Рік тому

    Walii wa bachu paka ndio alienda kumuuliza kama wanyama na miti ilizungumza ama hawakuzungumza

  • @AliDebab-c1j
    @AliDebab-c1j Рік тому

    ❤❤❤ﷲﷲﷲﷲﷲﷲﷲﷲﷲﷲﷲﷲﷲﷲﷲﷴ

  • @BosibleOmy
    @BosibleOmy Рік тому +1

    thibitisha wanyama walitamka kweli mimba ya mtume akazunguka masaa matatu hamna jibu. kisha munamsifu ama kweli washakunywa sumu ya bidha ngumu kupona

    • @fakihassani3
      @fakihassani3 Рік тому

      Ww upo kwenye wanyamasenge

    • @fakihassani3
      @fakihassani3 Рік тому

      Hem kasome ujue puuzi we

    • @fakihassani3
      @fakihassani3 Рік тому

      Unajitia ubishi kujielezea hujui kwa kiarabu hem tafuta elimu kwanza usiwe mpumbavu

  • @fay9687
    @fay9687 Рік тому +1

    Mtume binadamu kama si binadamu 😂😂😂😂😂😂😂😂 yaani wewe ndio ziro tikitimaji kabisa kasome wacha kudanganya watu

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 Рік тому +2

      Nataka nikuulize, sifa ya binaadamu anafika u wingu wa saba?, sifa ya binaadamu kidole chake kinatoka maziwa?, sifa ya binaadamu unaongea na Mungu unamsikia sauti?, sifa ya binaadamu unatia mate sehemu uliotafunwa na nyoka kisha sumu inatoka?..........
      MTUME SAW NI BINAADAMU KAMA MIMI NA WEWE NA SIO BINAADAMU KAMA MIMI NA WEYE KATIKA UWEZO WAKE ALIOPEWA NA ALLAH SW. HIO LUGHA YA KUFUPI, MAWAHABI ACHANI UZEZETA TENAAA, BACHU KISHATOLEWA MIKOJO MAMBRUI, BADO HAMFAHAMU TU KUWA DINI NI ELMU PANA SIO KILA MTU AFAA KULINGANIA.

    • @aninanichasi422
      @aninanichasi422 Рік тому

      wewe kuwa naheshma huyu kijana nimwanachuon

  • @hamadsaburi3569
    @hamadsaburi3569 Рік тому

    Ww mtoto. Acha kutumiwa. Vibaya

    • @jimjam-xg7rv
      @jimjam-xg7rv Рік тому

      Kasime dini uwepukane na ujinga ulo nao

  • @nurualwy3041
    @nurualwy3041 Рік тому

    Abdallah Faris,Babake Bacu ,Rogo ,Samir,Bahero waliyakuta na wameyawacha na kila anaepinga watayawacha kama hao.

    • @neemamohamed5926
      @neemamohamed5926 Рік тому

      Mtume Muhammad na Mitume na manabii waliomtangulia waliwakuta majafiri na wanafiki na wamewaacha

    • @neemamohamed5926
      @neemamohamed5926 Рік тому

      Waliwakuta mafiri na wanafiki na wamewaacha

  • @AlhajiShabani-rq9vm
    @AlhajiShabani-rq9vm Рік тому +2

    Wahabi kasomeni kwanza hamna elimu kazi kujaza sekne2

  • @ShuraimSoud
    @ShuraimSoud Рік тому

    We ongea sana ila maulidi haifai

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 Рік тому +1

      KAMUULIZENI WALII 🐆 ALIOMSOMESHA SHEKH WENU MAWAHABI (BACHU) BAADA YA KUJIKOJOLEA NA KUKIMBIA MJADALA MAMBRUI 🤣🤣🤣.

  • @mwijakaswaleh2662
    @mwijakaswaleh2662 Рік тому +1

    Kumtaja mtume ,kumwelelezea historia yake siyo tatizo,tatizo dufu,matwari,kucheza hakuna tofauti na ngoma

    • @yussufhajj4129
      @yussufhajj4129 Рік тому

      Uko na dalili ama kama bachu balbala

    • @JamalAbdallah-m1o
      @JamalAbdallah-m1o Рік тому

      Dufu na kucheza alishafanyiwa Mtume(saw) alipoingia Madina, km unasubiri bachu akuambie, HAKUAMBII NG'O, Nenda kasome acha ku coment ujinga wako

  • @aninanichasi422
    @aninanichasi422 Рік тому

    shekh umekuwa wamoto ww nimashine

  • @KhalfanMakota
    @KhalfanMakota 2 місяці тому

    Uyuu mpuuz na alichoongea upuuz tu aliekuambia mtume kamuona allah nan..ndio ujinga huu

  • @MohammadJumah-qk2xc
    @MohammadJumah-qk2xc Рік тому

    Quruan hutafsiriwa na quruan kwanza tupe dalil

    • @fakihassani3
      @fakihassani3 Рік тому

      Nenda ukasome acha ujinga kudai dalili kwenye utb

    • @MohammadJumah-qk2xc
      @MohammadJumah-qk2xc Рік тому

      @@fakihassani3dalili inadaiwa popote pale hali yakua jambo la dini , haijalishi you tube kwa sbb hii swadatun jaariya ndoo maana watambuz wanatumia mitandao kuufahamisha umma , wew kama hujui jibu kama wanavyotakiwa kujibu ahlu sunna wljamaaa

  • @abuunaraimansalumal-shaib9260

    Wewe saidi mpotoshaji Wacha kuwapotoa wasiojua

  • @mohdhilaly7900
    @mohdhilaly7900 Рік тому

    Ajabu ya bachu yeye anajipandisha daraja anajiita first eleven halafu mtume anamshusha anasema ni mtu wa kawaida ivi nyinyi mawahabi mnatumia akili zenu kweli

    • @MbaroukSaadHussein-p8t
      @MbaroukSaadHussein-p8t Рік тому

      NDUGU yangu kua MAKINI NA PUMZI, IVI ULIWAH KUMSIKIA BACHU AKISEMA YUKO SAWA NA MTUME AU NI USHABIK TU ILA ELEWA II SIO TU NI SMS ILA UTAIKUTIA KTK KITAB CHAKO.

  • @kiumbenatural-ii5jb
    @kiumbenatural-ii5jb Рік тому

    Wewe hujui kama yule bachu ni mwehu? Tena inawezekana akawa si mtto wa halali ni miongoni mwa wana kharam

    • @khalidtechnology367
      @khalidtechnology367 Рік тому

      Kumbuka kila unachosemwa kinaandikwa na utaenda kuulizwa na mungu huu ni ukumbusho wangu

    • @mwijakaswaleh2662
      @mwijakaswaleh2662 Рік тому

      Muogope Mungu ,wataka kuzua pia hapa

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 Рік тому

      @@mwijakaswaleh2662 🐆WALII PAKA ALIOMSOMESHA BACHU MUULIZENI

  • @salimaslalaamalekumwardah1318

    Hiyo SI km hutiba ya madrasa ya kitoto

    • @fakihassani3
      @fakihassani3 Рік тому

      Mjinga t weye unaepuuza maneno ya Allah utajikuta unatoka ktk uislam kwa usenge wko

  • @fay9687
    @fay9687 Рік тому

    Wacheni shirki mwanadamu tena kama si mwanadamu😅😅😅😅😅😅

    • @fauznuhu9981
      @fauznuhu9981 Рік тому

      Yani bunda ni punda tunpa paka hapa hujafahamu?

  • @hafsamohamed8342
    @hafsamohamed8342 Рік тому

    Mtume ni mwanaadam ww acha zako

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 Рік тому

      Kwani uliambiwa ni mungu?

    • @jimjam-xg7rv
      @jimjam-xg7rv Рік тому

      Ama kweli ufahamu wako ni mdogo kwanza kasome ujijuwe ww ninani ila auwezi mfahamu mtume (S.A.W) bila ya elimu

  • @nassirzamzam9312
    @nassirzamzam9312 Рік тому

    Mjibu bachu usiruke huku na huku .

  • @Muswlih
    @Muswlih Рік тому +1

    Hamna kitu

  • @ShuraimSoud
    @ShuraimSoud Рік тому

    Muongo bwana aya haijakusudia hivyo

  • @hijahamadi5793
    @hijahamadi5793 Рік тому +1

    Afafanua quran kwa fikra zake kwa kutegemea elimu ya lugha tu, hii ni hatari.

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 Рік тому

      Mie nataka Hao ndege kwenye prophyle, na utoke kwenye uwahabia

    • @hijahamadi5793
      @hijahamadi5793 Рік тому

      @@hilalkhalfan1452 Kwani kila ambaye hamsifii Ustadh said ni wahabi

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 Рік тому

      @@hijahamadi5793 KILA ANAEPONDA TWARIKA (SUFI) NI WAHABIYA. HAKUNA MTU ANAEMPONDA SHEKH ABDULKADIR JAILANI KS AKAWA BADO NI MUISLAMU. NA SHEKH ABDULKADIR JAILANI KS NI SUFI.

    • @hijahamadi5793
      @hijahamadi5793 Рік тому

      ​​@@hilalkhalfan1452sie Twazungumzia Ustadh said wewe wazungumzia Mwanachuoni Abdul qaadir , mbona unachanganya mambo sheikh wangu. Na hapo sijaponda mtu kuweni waadilifu, na mufahamu vizuri mtu anapotoa comenti, sio sahihi kuhukumi kuwa mtu ni wahabi eti tu kwa sababu comenti yake haimsifii mzungumzaji

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 Рік тому

      @@hijahamadi5793 tatizo lenu, kuna watu wakisema kichwani mwao mwawaamini na wengine msio wataka hamuwaamini kwasababu ya mlivyozoea kufunzwa. Haimaanishi ndio lazima wewe uwe sahihi. Kama sio muwahabi usichague Mwalimu kisha utapima baada ya kusoma

  • @fay9687
    @fay9687 Рік тому +1

    Ogopa mungu wewe porojooo

    • @fauznuhu9981
      @fauznuhu9981 Рік тому

      Soma weee bungu wani

    • @abubakarymaulidy5681
      @abubakarymaulidy5681 Рік тому

      Amuogpe mungu kwnye lipi mbn watapika hapa una mimba au yani mtu aeleza utukufu wa mtume unasema amuogope mungu

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 Рік тому

      🐆WALII PAKA MUULIZE

  • @fay9687
    @fay9687 Рік тому

    Shirki tupuuuuuu

  • @tifu678
    @tifu678 Рік тому +4

    Ndugu zangu fanyeni tahadhari na kibri na musikiwate kiwavike mato mpaka muwe hamuoni tena chochote ila sifa zenu wenyewe. Haitoshi kuwa mushambandika bingwa wenu ushindi, kumvisha majoho, kumbeba juujuu katika zefe? Sasa imefika kutafuta video za miaka tisa ilopita na kusema ni koboko ya mpinzani wake? Hii ni taratibu kweli ambayo mashekhe wetu wa dini twataka watuonyeshe? Badili ya kutafuta yalopita miaka mingi si afadhali mutengeze tuu video mpya fupi kueleza dalili za uhalali wa mawlid? Ukifanya hivyo utanufaisha waislamu wa pande zote mbili za tariqa na wanaopinga mawlid. Hili jambo ni kubwa kushinda Said na Bachu. Kumbukeni hilo nyote wawili kila mukipanda mimbar na kujipiga vifua kama Gorilla. Inshaallah mwenye enzi mngu atuongoze sote kwa ndia ya sawa. Ameen.

    • @AbdallahShamte-mp1iu
      @AbdallahShamte-mp1iu Рік тому +1

      Sasa mbona hujawaambia wale walioanza kutuma video za miaka ya 1980 maika 40 iliyopita za Sheikh Abdallah Swaleh Farsy

    • @kiumbenatural-ii5jb
      @kiumbenatural-ii5jb Рік тому +1

      Unatakiwa kujua elmu ya huyo bachu alipo paramia mika tisa alikua hivyo je leo? Watu wamesoma pia wapo wengi ila hawajaamua kusema

    • @abdulhamidbakar2461
      @abdulhamidbakar2461 Рік тому +2

      ​@@AbdallahShamte-mp1iuswadakta kabsa sasa cjui Nan mwenye kiburi Ima yule alotuma miaka 9 ilopta au yule anotuma miaka 40 ilo pita naafikrie kabla kusema

    • @fauznuhu9981
      @fauznuhu9981 Рік тому

      Nikuta mbukisha

    • @MizaniOnlinetv
      @MizaniOnlinetv Рік тому

      Kwani nyie mlio nyuma ya bachu muyafanyayo hamuyaoni? Mmemvika bachu ubingwa na kumsifu hata pale aliposema kaongea na paka kumuuliza habari ya mazazi ya mtume paka akashangaa

  • @fay9687
    @fay9687 Рік тому +2

    Wacha kudanganya watu weweeee

    • @binbarwan7401
      @binbarwan7401 Рік тому

      Huelewi kitu ndo maana unaongea pumba kaa kwa kutulia

    • @fakihassani3
      @fakihassani3 Рік тому

      Uongo wp hapa ww acha ujinga huna ujualo usidharau hujui km muna aya humu?

  • @AishaHamisi-tl9ek
    @AishaHamisi-tl9ek Рік тому

    Jibu kwanza wanyama waliongea kiarabu baada ya mimba ya mtume jibu kwanza acha umbea

    • @adamnguvu1020
      @adamnguvu1020 Рік тому

      Niulize mzee wako kwanza

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 Рік тому

      KWANI SHEKH WENU MAWAHABI (BACHU) ALIPOJIKOJOLEA NA KUKIMBIA MAMBRUI SI ALIRUDI ZANZIBAR KWAAJILI YA KUMUULIZA WALII 🐆 ILI AMPE MAJIBU? 🤣🤣🤣. BASI CHUKUENI ELIMU KWA WALII PAKA KAMA ALIKUWEPO DARSA ZA ABUU HURAIRA AU WALII PAKA WA BACHU ALIKUWA ANATOROKA DARSA SIJAJUA HAPO 😂. BACHU NDIO ANAJUA ZAIDI WANYAMA WALIONGEA AU LAA KUTOKA KWA WALII 🐆🐅, NYAU. 🤣🤣🤣.

  • @fay9687
    @fay9687 Рік тому +1

    Zungumzia maulidi yafaa au hayafai mbona husemi kufaidisha watu kuhusu maulidi kazi kurudia rudia wafurahishe tu watu utakufa peke yako

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 Рік тому +1

      WALII 🐆 KAMUULIZENI ALIOMFUNZA BACHU BAADA YA UKIMBIA MJADALA NA KUJIKOJOLEA.

    • @mohdhilaly7900
      @mohdhilaly7900 Рік тому

      Aliokuwa nao hapo wote wanayajua maulidi nyinyi mulikimbia na mwalimu wenu bachu endeleeni kukimbia hivyo hivyo na maulidi yanaebdelea kuvuma

  • @fay9687
    @fay9687 Рік тому

    Kiyama hakita simama mpaka tufuate mila za makafiri

  • @fay9687
    @fay9687 Рік тому

    Porojoooooo

  • @ashamngindo8023
    @ashamngindo8023 Рік тому

    Shekh said mungu akuhifadh yaan anaongea kwa upole na unyenyekevu

  • @ashamngindo8023
    @ashamngindo8023 Рік тому

    Shekh said mungu akuhifadh yaan anaongea kwa upole na unyenyekevu